Daaah namsifu Mungu akubariki Sana kwa kuendelea kuweka tabasamu kwa wazazi hawa. Nakumbuka maisha ya imbaseni ,ngongongare,usariva pamoja jmn .tulifirahia Sana sabato pamoja tangu utoto jmn.nawapenda Sana mama maduhu mpenzi wa nyimboo .ninawatazama Hadi bandle linaniishia jmn.aminaa
Mungu Baba Yetu Utujalie familia yangu yote siku moja soooote tufike Mbinguni ambapo tutaimba na Malaika na sauti nzuri kuliko hizi tulizo lmba maana huko hatuta zeeka Ni Mimi Hellen Maduhu Mrs.
Mbarikiwe sana. Kumbe baba na mama pia wahubiri Inj8li kwa njia ya nyimbo. Ulipata msingi mzuri toka kwa wazazi. Mungu awabariki sana kwa huduma hii ya kiroho..
The song is all about the tough life experience, Human being always undergo. Think of our Ancestors, according to the Bible, Adam lived 930yrs. But at last, death occured! There is a great Hope! In Heaven, We will never grow Old. . . . . .
Na leo tena nimeangalia huu wimbo. Ni zaidi ya wimbo, NI MAHUBIRI KABISA; Ni package kamili ya kutufanya tutamani na TUJITAHIDI kuingia Mjini - MBINGUNI. MUNGU NI MWAMINIFU SANA. Amina.

Jaman Neema asante sana kwa kunikumbusha mbali. Mungu ni mwema sanaaaa
Mungu Baba Yetu Utujalie familia yangu yote siku moja soooote tufike Mbinguni ambapo tutaimba na Malaika na sauti nzuri kuliko hizi tulizo lmba maana huko hatuta zeeka Ni Mimi Hellen Maduhu Mrs.
Familia yenye amani ni furaha machoni pa mungu mungu akitue nguvu mama angu
Hatuta zeeka kabisa, hiyo ni kweli. Mungu awabariki kwa karama hiyo.
Mbarikiwe sana. Kumbe baba na mama pia wahubiri Inj8li kwa njia ya nyimbo. Ulipata msingi mzuri toka kwa wazazi. Mungu awabariki sana kwa huduma hii ya kiroho..
Amina, lovely..God bless you Maduhu family..
The song is all about the tough life experience, Human being always undergo. Think of our Ancestors, according to the Bible, Adam lived 930yrs. But at last, death occured! There is a great Hope! In Heaven, We will never grow Old. . . . . .
Ameen Ameen mbarikiwe sanaa
Nashangaa mimi mwenyewe nimeahazeeka! Yaani shida sana!
Asanteni sana wananzengo. Hongerq sana mama na baba kwa kibao hicho.
Na leo tena nimeangalia huu wimbo. Ni zaidi ya wimbo, NI MAHUBIRI KABISA; Ni package kamili ya kutufanya tutamani na TUJITAHIDI kuingia Mjini - MBINGUNI. MUNGU NI MWAMINIFU SANA. Amina.
Amina mmependeza sana jina la Bwana litukuzwep
Mungu awabariki. Mfanano 100%
Aminaaaaaaaa nabarikiwa Sana na huu wimbo mpaka natokwa machozi,niwakumbukapo wapendwa wetu waliotangulia mble
Nimefurahi sanaaa dada yangu Namsifu mwita hakik Hatutazeeka nimependa baba na mama wanaimba wabarikiwe sana wazaz wetu Mungu awatunze
Waoooh.. Ameeeen... Mbarikiwe Sana
Ameen 💕 family my happy ❤
Mama ni wewe, kabisa hahah, great song nimebarikiwa sana
Amina,Mbarikiwe
It has blessed much in fact will not retired to our great Dady.
Nimefurahi kuwaona wazazi wako dadaangu Mungu aendelee kuwalinda wawe salama❣️🌹🙏🙏 kweli hatutazeeka mbinguni
Kazanaga ndugu wane dusike ung'wigulu uko badanamhalaga nulu gugiguluha yaya,Barikiweni.
Waoooo nabarikiwa Sana na hii wimbo my sister
Ni kweli kabisa
Mbinguni hatutazeekaa
AMINA nabalikiwa sana na.nyimbo
Mungu awabariki kwa wimbo huu
NAHENE. AMINA. MUNGU ATUKUZWE. MBARIKIWE
Barikiwa sana sana kwa huduma hii Mama Deborah
Well done Godbless u
Barikiwa sana
Amen
Dodoma kumepamba moto.
Amina
Sawa gete obalong'we
Obeja sana
Amina
Amina
Amina