Dada Namsifu habari ya uzima, nabarikiwa Sana na huduma yako nzuri ya uimbaji, ningependa kuomba urafiki na mawasiliano yako, Nina mengi yakuzungumza na wewe. Mimi ni Mrs.Mathias J. Mavashi, napatikana Nkololo-Bariadi vijijini. Nitashkru Sana endapo nitapata kusikilizwa. (0627 938 872)
Jaman jaman huu wimbo naupendamno mno unanibariki sana. Mungu akutunze dada
Ameeeen🙏
Huu wimbo Na ule msifadhaike uurushe boomplay
Asante tena kwa ujumbe huu. Mungu azibariki kazi zako dada
Mm nakufuatilia mam yan unanibariki san tena san yan Mungu akutumie kwa kusudi lake ya mda mwingn napenda yan nipate hat number ako yan
Unanibariki saana, ubarikiwe mno
My favorite blest singer of all the time
Kumbe mama ulienda blessed
*"NDIYE BWANA ANAKUJA, KARIBU ATAKUJA HARAKA"*
UBARIKIWE KWA JUMBE ZINAZOTUANDAA KWA UMILELE 😊
Ubarikiwe sana
Dada Namsifu habari ya uzima, nabarikiwa Sana na huduma yako nzuri ya uimbaji, ningependa kuomba urafiki na mawasiliano yako, Nina mengi yakuzungumza na wewe. Mimi ni Mrs.Mathias J. Mavashi, napatikana Nkololo-Bariadi vijijini.
Nitashkru Sana endapo nitapata kusikilizwa. (0627 938 872)
AMINA ubalikiwe sana
Huwa ninabarikiwa sana na wimbo huu!
Amen
Haleluya
Barikiwa sana Mama wewe na nyumba yako yote
Amina sana
Ongera sana dada kwa kutuinjilisha kwa wimbo huu