Wimbo huo umenibariki sanaaaa na umenifanya nisioneshida yeyote kumwambia Mungu matatizo yangu. Bwana akubaliki sanaaa👏👏👏 Kutenda yaliyomapenzi yake👇 1 Petro 4:10 kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu. Kiukweli karama yako Ni mbaraka mkubwaaa kwa Kila anaesikiliza wimbo wako .Bwana akuinue zaidi na zaidi Hadi mbinguniiiiiii🙏🙏🙏
Wimbo wenye mguso, Mungu na azidi kukutumia kama apendavyo
Wimbo mwingine mtamu sana
ua-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
Amina dada Mungu akubariki sana kwa ujumbe mzurii hakika Yesu ndiye jibu letu🙏🙏
Happy Sabbath dadaa Mungu akubariki kwa wimbo huu
Umetengwa na jamii sababu hujiwezi Yesu ni jibu lako.
Amen ubarikiwe
ua-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
amina wimbo nzuri kbs
Barikiwa dada. Wimbo mzuri
Ubarikiwe kwa wimbo mzuri!
I love your pieces Madam. Strong vocal. Listening from Kenya.
Witabiribwe.
ua-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
Amina wimbo mzur sana
Wimbo mzuri sana, Mungu azidi kukubariki zaidi na zaidi.
Amina asante
Sabato njema mama tukutane mbinguni
Amina sanaa
Hujawahi kutuangusha wadau wako sister
Ubarikiwe pia tunapokuwa tunabarikiwa na huu wimbo mzuri kabisa 🙏🙏🙏
Amina jamn. Asante
Wimbo huo umenibariki sanaaaa na umenifanya nisioneshida yeyote kumwambia Mungu matatizo yangu.
Bwana akubaliki sanaaa👏👏👏
Kutenda yaliyomapenzi yake👇
1 Petro 4:10
kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.
Kiukweli karama yako Ni mbaraka mkubwaaa kwa Kila anaesikiliza wimbo wako .Bwana akuinue zaidi na zaidi Hadi mbinguniiiiiii🙏🙏🙏
Wimbo mzuri ubarikiwe Mama, with amazing film
Hahaaa asante mdogo wangu.
Mungu akubariki Mama wewe na familia yako
Amina,barikiwa sana dada,nibadilishe Bwana
mungu azid kukubariki unt
Iam really taken by the words in this song. Iam comforted. God bless you sis. Live long to spread His word through music
ua-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
Ahaaa....Barikiwa,nimemuona da Jac!
Ubarikiwe Dada sana
ua-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
Iam listening from Zambia
Thank you my dear
ua-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html
May you find hope in Jesus name
Amen
Amen
Amen
ua-cam.com/channels/iJKAwJz94ZzqeHpLqluCDQ.html