Unapitia uzoefu gani maishani mwako? Unatafuta ajira, anahitaji mke au mme na pengine watoto, uko mbali na familia yako, siku zimepita sana hauna matumaini? Mwamini Mungu atakukumbuka na kwa wakati sahihi atakujibu haja yako. Asante kwa comment yako, like na ku share na wengine wapate matumaini. Kama hauja subscribe kwenye channel yetu tafadhali fanya hivyo na Mungu akubariki sana
Sitasahau Maneno Yako Ya Pekee, Kanisani ukihubiri ya Kwamba "Umekuja ili Roho Moja ipone" Ninabarikiwa Na Nyimbo zako na Wimbo wa Pekee kama Huu umenisogeza karibu na Mungu
Unapitia uzoefu gani maishani mwako? Unatafuta ajira, anahitaji mke au mme na pengine watoto, uko mbali na familia yako, siku zimepita sana hauna matumaini? Mwamini Mungu atakukumbuka na kwa wakati sahihi atakujibu haja yako. Asante kwa comment yako, like na ku share na wengine wapate matumaini.
Kama hauja subscribe kwenye channel yetu tafadhali fanya hivyo na Mungu akubariki sana
Oooh barikiwa
Amen
Mungu ni mwema
Ahsante sana kwa mbaraka wa wimbo. Bwana akubariki na akuongoze zaidi na zaidi.
@@calebmaduhu4901asante baba yangu.Mungu aikumbuke familia yetu pia, akupe afya njema wewe na mama. 🙏
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU bwana akaguse WATU wake kupitia huu wimbo.
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukupa hekima uendelee kuhubiri neno lake kupita uimbaji
Mungu hawezi kutusahau Daima atatukumbuka , Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri unaomtukuza Mwenyezi Mungu wa Mbinguni🙏
Wimbo mzuri nabarikiwa saana 🙏🙏
Barikiwa sanaaa mtumishi
hakika:Mungu atujaalie mioyo ya subra
barikiwa sana mama deborah,mwita ma caleb
make sure this talent goes out to deborah
Hongera Sana ,kwa kazi njema yenye kutia moyo.Nakuombea Mungu aendelee kukutia moyo.
Barikiwa sana Mtumishi kwa kutufikishia injili kwa njia ya nyimbo. Bwana Yesu azidi kukuimarisha kiroho.
Nawe pia ubarikiwe
Hallelujah. Barikiwa sana Namsifu pamoja na familia yako.
Ubarikiwe mtumishi kwa kazi njema.
Mungu Unikumbuke kwa utukufu wako
Hongera sana mtumishi wa Mungu wimbo mzuri sana. Mwenyezi Mungu aendelee kunyanyua kipaji chako ❤❤❤
Ahsante sana kwa mbaraka wa wimbo maana, kwa neno hili, tunabarikiwa sote. Bwana akubariki sana kwa Huduma yako katika Mambo yako yote.
Amen stay Blessed.
Nice sister tunabarikiwa sana na wanao kwa nyimbo zako 🙏
Amen Wimbo mzuri saana
Hongera sana kivyele wangu Baba wa mbinguni azidi kukutumia ktk huduma hii
Asnte sana kivyele wangu. Miss you
Ameen
Mtumishi wa Bwana Yesu umenibariki, 🎉❤
Amina sana shemeji yangu. Jina la Bwana libarikiwe sana
*Kama si Bwana Israeli na aseme sasa.*
*Mungu atukuzwe katika ujumbe huu🙏🙏🙏*
Mungu atanikumbuka Hallelujah Amen
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, wimbo mzuri sana, Mafuta ya Roho mtakatifu yazidi sana kuachiliwa juu yako
❤ Asifiwe wetu
Barikiwa sana wii
Amen my Wii
Barikiwa sana
Amen! Amen!
Amen mungu azidi kukuongoza dada yangu
Mungu atanikumbuka 🧎♂️➡️🙏🏾🤲
Ameeen 🙏Bwana akutangulie ktk kazi yako ya utumishi kwa njia ya nyimbo.Barikiwa mdogo wangu🤝🤝
Watching from Eldoret, Kenya. To God be the glory.
Amen. God bless you
Ilumbuyu wanheja gete,kulaga uhamgame,Barikiwa sana dada
Wabeja sana nkoyi
Binamu Mungu alibariki ujumbe wa wimbo huu umenibariki mno
Whaooo nimeipenda mate wangu. Ubarikiwe sana
Barikiwa sana mungu azidi kukutumia ili watu wakamwone mungu kupitia kazi yako
Barikiwa
ahsante sana mama kwa ujumbe mzuli barikiwa sana
Amen my dada wajina
HAWEZI NISAHAU AMENICHORA KATIKA VITANGA VYA MIKONO YAKE
Very courageous and inspirational song! God bless you Daughter of God👏
Barikiwa mdogo wangu kwa utumishi wako
Ameeni barikiwa sana kwa wimbo wenye ujumbe mzuri mama Angu kipenzi
Fortu wewe❤
Dada Maduhu, Mungu wetu aendelee kutunza huduma njema (Taifa na Kanisa) ndani yako.
Amina Director
Nabarikiwa sana na nyimbo zako
Amen barikiwa sana sister kwa wimbo mzuri
Bwana apewe sifa
Sitasahau Maneno Yako Ya Pekee, Kanisani ukihubiri ya Kwamba
"Umekuja ili Roho Moja ipone"
Ninabarikiwa Na Nyimbo zako na Wimbo wa Pekee kama Huu umenisogeza karibu na Mungu
Amen jina la Bwana litukuzwe
Ubarikikiwe sana mama Wambura
Be blessed madam
Nice song
I feel blessed
Amen
Wow!! Nabarikiwa sana na nyimbo zako Dada yangu Namsifu, Unazidi tu kupaa juu na juu zaidi!! Barikiwa sana sana sana!!!
@@joelelias9771amina sana sana pia