Mpendwa Mungu wangu, asante kwa kila kitu katika maisha yangu, upendo wako kwangu, huruma na wema wako Mungu ni Mkubwa. Asante kwa kuniepusha na mengi niliyoyaona na yale ambayo sikuyaona. Ninakuinua na kukutukuza kwa kuwa daima umesimama upande wangu tangu udogo wangu hadi sasa. Ninakuomba unisaidie katika safari yangu ya maisha. Unisaidie kuendelea kujua kwamba wewe ni BABA YANGU HAKIKA utaniongoza na kunipitisha mahali pote na nyakati zote. Jina lako litukuzwe.
Barikiwa sana dada yangu Nilikuwa mahali nakunywa juiçe nikasikia wimbo huu. Nikajisikia kimtafakari Bwana wangu moyoni. BARIKIWA KATIKA HUDUMA YAKO 🙇🙇🙇
Mpendwa Mungu wangu, asante kwa kila kitu katika maisha yangu, upendo wako kwangu, huruma na wema wako Mungu ni Mkubwa.
Asante kwa kuniepusha na mengi niliyoyaona na yale ambayo sikuyaona.
Ninakuinua na kukutukuza kwa kuwa daima umesimama upande wangu tangu udogo wangu hadi sasa. Ninakuomba unisaidie katika safari yangu ya maisha. Unisaidie kuendelea kujua kwamba wewe ni BABA YANGU HAKIKA utaniongoza na kunipitisha mahali pote na nyakati zote.
Jina lako litukuzwe.
Eimen mom kpenz,,,,, unanibarik thanaaaa Kwa nyimbo zako zenye utukufu wa Allah
Nyimbo ilio kichwani mwangu,kila mara naomba kidg dog! nakupendga mama,naeipenda Sana naele tumuige Yesu yeye ninfano ulio bara❤❤
Unanishawishi kunza kumwimbia Bwana, nitakutafuta be blessed Namsifu Mwita🙏🙏
Barikiwa sana dada yangu
Nilikuwa mahali nakunywa juiçe nikasikia wimbo huu.
Nikajisikia kimtafakari Bwana wangu moyoni.
BARIKIWA KATIKA HUDUMA YAKO 🙇🙇🙇
@@TeacherBoazi amina sana
👏 👏 👏 amina
Amen 🙏🏼may God bless you 🙏🏼❤
❤ huyu ndie mwana kondoo wetu
Amen ..Mungu akubariki kwa huduma hii muhimu ya kuimba ...umeniniunua sana
Amen amen amen..nimekuwa nikitafuta nyimbo zako sana
Amen,wimbo mzuri na sauti nzuri,
Ninafurahia sana nakubarikiwa mno
Ubarikiwe dada na MUNGU aliyeumba mbingu na nchi amina.
Amen.nmebarikiwa na naendlea kubalikiwa na ww.nilikuwa nmekta tamaa san cz ya changmto za maisha .naanza upya na sto kata tamaa😢
@@ElizabethMatete-q2y Mungu ni Baba yetu usikate tamaa
asante kwa wimbo wa,kumsifu mungu
Amen dada yangu nabarikiwa sana na uimbaji wako ufike mbali kwa kazi ya Mungu
Barikiwa Sana my sister nabarikiwa Sana nyimbo zako Mungu azid kukutumia ktk kazi yake amen.
I am always blessed by your songs!!!
Nkpnd thanaaaa mom ,,, you are the best always,,,,, brightest future for you
@@JACKSONIMKAMA aamen. Glory to our Lord
Haven't heard your songs before,,,iam blessed I feel more encouraged mum ,,be blessed 🙏🥂
ameni sana
Amina Barikiwa
Barikiwa kwa huduma
Ooh how blessing are your songs, may God raise high your ministry. God bless you precious sister.
Barikiwa mno
Amina na Amina!
Amen, be blessed
Ubarikiwe sana
What a blessed voice!
Ameen
Dada unanibariki sana
Amina sana. Ubarikiwe nawe pia
Amen😊
Amen nisaidie no zako
Amina
Napenda unavyoimba nyimbo zako zimetilia mno barikiwa sana