Dada Namsifu nakupenda unavyoimba na unavyovaaa. Natamani waimbaji wengine wajifunze kutoka kwako; waache kuimba kwa lengo la kupata sifa na mashabiki. MWIMBIE MUNGU DADA.
Hongera saana mama KAZI nzur imenibid niwashe notification zote kwenye channel yako jamn unifundishe kuimba mamaangu lakin pia nakuombea Baraka tele mama Mungu akutangulie🎼🎶
MUNGU Akutie nguvu zaidi Mwanangu songa mbele ktk utumishi na uliishi neno na uwe mfano ukimwinua YESU kokote kazini nyumbani ktk familia YESU awe Mbele yako daima Hatakuangusha. Mtegemee YESU.daima ukajifunze kwake kuwa mnyenyekevu. Na Maombi yawe silaha daima ktk maisha na familia yako ukiwaombea na nduguzo pia Mungu awape SHAUKU ya kumtumikia MUNGU na kukuza karama zao. Barikiwa Sana 🙏 wewe na Familia yako. Amina.
Barikiwa sister Nilikuwa nikitamani sanaaa kujuwa kuimba ka wewe nakumbuka nilikuwa nachukuwa nyimbo zako ninaziimba kanisani kwangu kama ule shiida zikija aki nilikuwa napenda Sanaa lakini Leo hii na Mimi nimeweza kuimba nyimbo zangu mwenyewe nakufanyia vidio hakika Mungu akubariki hatujawahi onana lakini wewe ndo ulinifanya nifikie hapa nilipo Mungu akubariki Sanaa Dada angu Nakupenda❤️❤️
Mungu akubariki sana. Ni furaha kumtumikia Mungu. Asante kunitia moyo pia. Nawe pia unanibariki sana kwa kazi zako. Kumtumikia Mungu kuna faida. Mungu akuinue juu zaidi
Mama NAMSIFU, je waweza kuja pia imba kwenye kanisa langu la wa sabato hapo Congo, BUKAVU/KALEHE/EGLISE BULAMBIKA kwakuweza kutusaidiya kuadibisha vijana wetu kwa njia ya nyimbo? Napenda vile uimbavyo.
Mungu Atukuzwe Sana 🙏❤️ ktk utume na kujihusisha mbele daima nyuma kamwe.Amina.
Mungu akubariki zaidi. Unanibariki kwa nyimbo zako tulivu.
People around me always ask me ulifikiria nini ukaimba ,, they are motivated like never by any songs. Barikiwa sana .❤
😅😊😊😅
Barikiwa saana Dada.
Dadaangu huku kwetu wanasema wewe unajua...mimi nasema unajua mnooo👏👏👏👏👏sifa kwa Bwana
Nice song ❤❤kiukweli nimependa wimbo huu sana ubarikiwe kwa kipaji ulicho nacho
Dada Namsifu nakupenda unavyoimba na unavyovaaa. Natamani waimbaji wengine wajifunze kutoka kwako; waache kuimba kwa lengo la kupata sifa na mashabiki.
MWIMBIE MUNGU DADA.
Aminaa
nyimbo nzur sana Mama yangu
Barikiwa kwa wimbo huu Mzuri. MUNGU aendelee kukutumia hivi na kuzidi kuwa Baraka kwa wengine
Mungu akubariki Sana mpendwa
Nakufuatilia sana dada
MUNGU akuinue zaid dada unanibarik sana 😢 🙏 nataman kuimba kama ww ip
Hongera sana Dadaangu! MUNGU MKUU AZIDI KUKUINUA SANA...
More blessings mamy, nakupendaga sana yaani we mama ,nyimbo zinanibariki mno, Mungu asikuache kamwe
Asiniache kabisa kwa Jina la Yesu Kristo. Asante mpendwa. Asante sana
Asante sana mungu amekupa kipaji kizuri sana mtumishi wa MUNGU
Barikiwa na Barikiwa Sana na nyimbo zako
Hongera saana mama KAZI nzur imenibid niwashe notification zote kwenye channel yako jamn unifundishe kuimba mamaangu lakin pia nakuombea Baraka tele mama Mungu akutangulie🎼🎶
Amina amina asante
Mungu akusaidie uzidi kumtumikia umenibariki kwa wimbo mzur
Amina dada mungu akujaze uwezo
Unanibariki Sana Dada yangu 🙏🙏😘😘
Asante dada kwa uinjilishaji wa kina
Wimbo nzuri sana ongera
Wow
Be blessed binti wa Mungu.
Hubiri nzuri
Hongera sana kwa wimbo mzuri. Mungu akubariki na kukuongoza udumu kumtumikia
😊😊Since my childhood till now, you're a such blessing servant of God......🙏🙏🙏
Ni wimbo mzuri sana
Be blessed sister na Mr. Wako pia
Kaz nzur mtumish wa Mung
kazi safi
Hongera sana madam mungu akutangulie
Barikiwa sana mpendwa. Nabarikiwa sana na nyimbo zako. Mwenyezi Mungu akubariki uzidi kubariki wengi kwa karama hii.
Amen for sure blessed 💕💕💕💕💕💕
Tunashukuru sana kwa wimbo mzuri sana
Asante sana wifi yangu
NAOMBA NAMBA ZA CM ZAKO MAMA NAMSIFU MWITA
Wimbo mzuri sana ubarikiwe saana mtumishi wa MUNGU
Amina
MUNGU Akutie nguvu zaidi Mwanangu songa mbele ktk utumishi na uliishi neno na uwe mfano ukimwinua YESU kokote kazini nyumbani ktk familia YESU awe Mbele yako daima Hatakuangusha. Mtegemee YESU.daima ukajifunze kwake kuwa mnyenyekevu. Na Maombi yawe silaha daima ktk maisha na familia yako ukiwaombea na nduguzo pia Mungu awape SHAUKU ya kumtumikia MUNGU na kukuza karama zao. Barikiwa Sana 🙏 wewe na Familia yako. Amina.
Ameeeeen
Hongera mtu wa Mungu, wimbo mzuri Sana, ila jitahidi kuuishi uasilia wa kazi zako, utawale mwili wako kupunguza mitikisiko! Unataka kuhama.
S🇧🇧🇧🇧👿😦😦🏝⛱⛱😎⛱😎⚽😎⚽⚽⚽😎😎😎😎😎⚽⚽⛱🏚
Ubarikiwe sana
Amina ubarikiwee kwa ujumbe mzuri. Mungu atusaidie tusije tukasahau wito wetu, Mungu asije akatuacha.
Hongera sana Namsifu. Mungu azidi kukubariki
Barikiwa sister
Nilikuwa nikitamani sanaaa kujuwa kuimba ka wewe nakumbuka nilikuwa nachukuwa nyimbo zako ninaziimba kanisani kwangu kama ule shiida zikija aki nilikuwa napenda Sanaa lakini Leo hii na Mimi nimeweza kuimba nyimbo zangu mwenyewe nakufanyia vidio hakika Mungu akubariki hatujawahi onana lakini wewe ndo ulinifanya nifikie hapa nilipo Mungu akubariki Sanaa Dada angu
Nakupenda❤️❤️
Mungu akubariki sana. Ni furaha kumtumikia Mungu. Asante kunitia moyo pia. Nawe pia unanibariki sana kwa kazi zako. Kumtumikia Mungu kuna faida. Mungu akuinue juu zaidi
Amen Mungu akubariki sana
Such a nice song 💕be blessed sister.
Amen sana dada
Waamuzi 16:20 Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri🙏
Powerfull massage
Be bless madam
Barikiwa sana dadangu. May God bless the work of your hands
Zippy asante sanaaa...waiting for you here Dodoma
AMEN ! AMEN ! I'm always blessed with your songs. GOD bless you abundantly as you continue working for our LORD.
Mulungu agwambilige mayu
Asante sana Mola
Asante mpendwa kwa baraka hizi🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Another Nice Song! Hahaa kumbe zile zangu z Sintogopa Zilipendwa
Hahhahhhaa Dav nimekukumbuka sanaaaa...uje tufanye collabo
Amen
Ameeeen
Amen , Tunaomba pia nyimbo uwe unatuwekea na kwenye audiomack tunaomba sana
Ubarikiwe mtu wa Mungu. Ushauri wako tunaufanyia kazi.
Barikiwa Sana
Aminaa
Barikiwa Sana Namsifu. Nice song😘
🙏🙏🙏🙏
Inspiring
Amina
Mama NAMSIFU, je waweza kuja pia imba kwenye kanisa langu la wa sabato hapo Congo, BUKAVU/KALEHE/EGLISE BULAMBIKA kwakuweza kutusaidiya kuadibisha vijana wetu kwa njia ya nyimbo? Napenda vile uimbavyo.
Amina jaman. Mungu akipenda tukipata muda tutakuja
AMINA
Hongera sana Namsifu. Mungu azidi kukubariki
Amen
Amen
Habari Naomba Naomba namba za cm
Naomben namba za cm za mwimbaji Namsifu Mwita
Amen
Amen