Kwa dhiki, kwa shida, Adha na hatari, Nyakati za raha Katika huzuni, Ustahimilivu, Uvumilivu, Unyenyekevu na huruma. Upendo wa Mungu UONYESHWE Nakutakia neema na upendo wa Mungu. Asante kwa kutazama na Mungu akubariki sana❤❤
Ubarikiwe Sana dadangu Huwa nabarikiwa Sana na hii ministry yako dadangu kuna watu Taji zao mbinguni zitang'aa Sana nawewe ni mmoja wao unagusa na kubariki wengi am proud of your family ministry
Mmm huwa nabarikiwa san na nina kupenda san mama yan toka wimbo wa hili ndio ombil langu 😢😢 unikumbuke Mungu siku utakaporud . ❤❤ Yan uwa natamn siku moja nikushuudie ukiimba
Kwa dhiki,
kwa shida,
Adha na hatari, Nyakati za raha Katika huzuni, Ustahimilivu, Uvumilivu, Unyenyekevu na huruma.
Upendo wa Mungu UONYESHWE
Nakutakia neema na upendo wa Mungu.
Asante kwa kutazama na Mungu akubariki sana❤❤
Ameeeen, wimbo mzuri
Mungu azidi kukutunza na kukubariki Nam❤👏🏾👏🏾
Unakipaji kizuri Cha uimbaji, nabarikiwa na nyimbo zako
Ubarikiwe Sana dadangu
Huwa nabarikiwa Sana na hii ministry yako dadangu kuna watu Taji zao mbinguni zitang'aa Sana nawewe ni mmoja wao unagusa na kubariki wengi am proud of your family ministry
Ubarikiwe Kwa wimbo mzurii
Ujumbe konki
Mmm huwa nabarikiwa san na nina kupenda san mama yan toka wimbo wa hili ndio ombil langu 😢😢 unikumbuke Mungu siku utakaporud . ❤❤ Yan uwa natamn siku moja nikushuudie ukiimba
Wow wowwww🎉🎉🎉 kazi nzuri sanaaaaaaaaa
You are blessed daughter. Nyimbo nzuri na pia ujumbe nzuri. Zidi kumuimbia BWANA.
Hongera sana kipenzi. Tunaguswa
BARIKIWA SANA DADA
Mungu aendelee kukutumia ktk viwango vya juu zaidi
Hongera sana wimbo mzuri sana
Mbaraka wa pekee sana huu
Ubarikiwe na Mungu
Im proudly for you
Upendo Hauhesabu mabaya🎉
Hongera sana shemeji
Barikiwa mno mamaa. Mguso wa pekee katika wimbo huu wa kiroho ul'otulia vizuri. 🙏😊
Shukurani dada mibaraka kwako
Hongera Sana
👏👏👏
Shemeji yangu unajitahdi kuimba naitwa raymond npo shinyanga
@@RaymondChilawahi asante sana shemeji
Nabarikiwa sana na nyimbo zako... Acha Mungu akutumie na kukuinua juu. Ubarikiwe sana
Amen
Ahsante sana kwa ujumbe huu
Bwana asimame upande wako daima. . . . . Endelea kumtumikia Bwana kwa njia hii hii.
Jaman❤❤❤ Asante baba yangu
Well sang & well presented
sung
Amen amen
🔥🔥🔥
Ni Baraka kusikia wimbo unao turejesha Kwa Bwana Wetu Yesu kristo, barikiwa sana msikilizaji na Muimbaji pia.
Asante sana Pr Maseke.
So much good ...... be blessed
am blessed. God bless you Namsi.
Wimbo mzuri be blessed so much
what a song, barikiwa mno sister!
Barikiwa sana
Amina
This is so amazing. Unanibariki hadi kupitiliza, hongera sana dada Namsifu
Ona wimbo wa familia pia Hammenya
This is awesome. Be blessed Namsifu for this great piece 🎉🎉AMEN.
Thank you 🙌
Amen
Amen
Amen