- 39
- 509 277
TMN Portal
Tanzania
Приєднався 9 січ 2019
Any positive change is derived from a positive idea consumed. Welcome to the Portal of POSITIVE IDEAS for you to Consume.
JINSI YA KUTUMIA CONDOM KWA USAHIHI
#afya #jinsiyakutumiacondom
#howtouseacondom #afyayangumtajiwangu
#howtouseacondom #afyayangumtajiwangu
Переглядів: 101
Відео
I met this incredible creature at Night, just look!
Переглядів 3921 день тому
#tourism #explore #unboxing #animals #nature #inspiration #insects
How to Earn Money on YouTube $250+/Day, Do This on Settings
Переглядів 23Місяць тому
#youtubemonetization #youtubepartner #channelmonetization #youtubeads #money #youtubeviews #advertising
UGONJWA HATARI WA TIKITI KUPASUKA
Переглядів 433 місяці тому
#kilimo #watermelon #agribusiness #kilimo #kilimobiashara #kilimoufugaji
JINSI YA KUJIPIMA HIV WEWE MWENYEWE
Переглядів 14 тис.4 місяці тому
Kujua Afya yako Mapema Kutakusaidia Kujilinda Wewe Mwenyewe na Kuwalinda Wengine na Hatimaye Kuzifikia Ndoto Binafsi na Maendeleo ya Taifa kwa Ujumla.
JINSI YA KUSALI SALA YA BWANA
Переглядів 1529 місяців тому
#Sala #Ya #Bwana #lordsprayer #lordsprayernetwork Ni Imani Yangu Kuwa, SALA Hii Itafanyika Baraka na Wokovu Kwako Na Kila Aaminiye.
BARUA YA KUOMBA KAZI KWENYE KAMPUNI YOYOTE
Переглядів 24 тис.10 місяців тому
#barua #kazı #ajira #letterwriting
JINSI YA KUTUMIA NA KUFUNGA DRIP IRRIGATION SYSTEM, UMWAGILIAJI
Переглядів 3,4 тис.11 місяців тому
#dripirrigation #dripirrigationsystem #howto #installation #dripirrigationsystem #kilimo #agriculture #agri #irrigation #kilimobiashara
JINSI YA KUSOMA TAREHE YA UTENGENEZWAJI WA TAIRI LA GARI NA KUISHA KWAKE
Переглядів 2,4 тис.Рік тому
#howto #read #manufacturing #date #of #cartyre #carmaintenance #drivingskills #car #automobile #vehicles #tairilagari
JINSI YA KUTUMIA KIBIRITI CHA GARI, CAR CIGARETTE LIGHTER, KUWASHIA MOTO
Переглядів 304Рік тому
JINSI YA KUTUMIA KIBIRITI CHA GARI, CAR CIGARETTE LIGHTER, KUWASHIA MOTO
JINSI YA KUTENGENEZA PICHA ZA 'AI' KAMA HIZI BURE
Переглядів 290Рік тому
JINSI YA KUTENGENEZA PICHA ZA 'AI' KAMA HIZI BURE
JINSI YA KUTUMIA GEAR NAMBA '2', 'L' NA 'N' KWENYE GARI YAKO
Переглядів 27 тис.Рік тому
JINSI YA KUTUMIA GEAR NAMBA '2', 'L' NA 'N' KWENYE GARI YAKO
ZIJUE ALAMA ZA DASHBOARD YA GARI YAKO NA MATUMIZI YAKE
Переглядів 69 тис.2 роки тому
ZIJUE ALAMA ZA DASHBOARD YA GARI YAKO NA MATUMIZI YAKE
BARUA YA KUOMBA KAZI YA UALIMU KWA KIINGEREZA
Переглядів 7 тис.2 роки тому
BARUA YA KUOMBA KAZI YA UALIMU KWA KIINGEREZA
HOTUBA ZA MWL NYERERE ZINAZOISHI MILELE
Переглядів 2142 роки тому
HOTUBA ZA MWL NYERERE ZINAZOISHI MILELE
KILIMO CHA TIKITI BILA MVUA KIKO HIVI
Переглядів 3,3 тис.2 роки тому
KILIMO CHA TIKITI BILA MVUA KIKO HIVI
JINSI YA KUJIUNGA NA 'APP' YA AJIRA PORTAL
Переглядів 8 тис.3 роки тому
JINSI YA KUJIUNGA NA 'APP' YA AJIRA PORTAL
JINSI YA KUJIBU SWALI HILI KWENYE INTERVIEW
Переглядів 9613 роки тому
JINSI YA KUJIBU SWALI HILI KWENYE INTERVIEW
BARUA YA KUOMBA KAZI/KIKAZI KWA KISWAHILI
Переглядів 214 тис.3 роки тому
BARUA YA KUOMBA KAZI/KIKAZI KWA KISWAHILI
JINSI YA KUJAZA TAARIFA ZAKO 'AJIRA PORTAL' KWA USAHIHI
Переглядів 6 тис.3 роки тому
JINSI YA KUJAZA TAARIFA ZAKO 'AJIRA PORTAL' KWA USAHIHI
BARUA YA KUOMBA KAZI/KIKAZI KWA KIINGEREZA
Переглядів 33 тис.3 роки тому
BARUA YA KUOMBA KAZI/KIKAZI KWA KIINGEREZA
JINSI YA KUCHOMA NYAMA KIASILI KWA KUTUMIA NDIMU MSALATO-DODOMA(MNADANI)
Переглядів 1,5 тис.3 роки тому
JINSI YA KUCHOMA NYAMA KIASILI KWA KUTUMIA NDIMU MSALATO-DODOMA(MNADANI)
VP
Hizi elimu tunapewa mtaani uzeeni...wakati shuleni tulikua tunachora panzi. Viongozi wetu sijui wako na akili gani
@@jeremiaaugustino7187 Karibu sana. Tunajivunia wewe.
Nice ideal
@@JohnphaceSengo-o9j You're Warmly Welcome.
RPM NI NINI ,,NIMESIKIA INAENDA MPAKA 4 MPAKA 5
@@ErickSospeter-no1fc Karibu sana, RPM kwa lugha rahisi ni kiwango cha ukanyagaji wa accelerator kinachohusiana na unyonyaji wa mafuta na speed ya gari.
Asante sana kaka umenipatia elimkubwasa mungu akuongoze
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Amina.
nakubali
@@OmarSuleiman-t1c Karibu sana, Tunajivunia wewe.
Asant kaka angu nimeelew
@@SifaelNnko Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali. Asante.
Na kuelewa sana
@@habiliKalebo Karibu sana, Tunajivunia wewe.
Naomba kujua nilitaka kuweka chet kingine cha kuzaliwa chenye muhur nikafuta cha mwanzo sasa kuweka kingine kinasumbua kwenye file
@@marymariki-m5w Karibu sana, jaribu ku log out kisha log in tena alafu fuata muongozo wa Mfumo.
Je ukitokea msitar ulokoz n ulofifia
@@ElizabethBusely Karibu sana, Kwa mujibu wa Maelekezo ya usomaji wa hicho kipimo, matokeo hayo uliyoyasema yanaweza kuashiria uwepo wa maambukizi. MUHIMU ni kutoyachukulia matokeo hayo kama hitimisho la uchunguzi. Inashauriwa kufika Kituo cha Afya ambapo utapata huduma ya kufanyiwa uchunguzi wa kina na kupata muongozo mzuri wa matibabu na ushauri nasaha pale itapobidi. Habari njema ni kuwa Serikali ya Tanzania imeboresha sana upatikanaji wa huduma za Afya kunakochangiwa na Maendeleo ya sayansi na Teknolojia. Asante.
Ahsante sana mkuu kazi nzuri sana
@@JafariMohamedi-t6s Karibu sana Kiongozi. Tunajivunia wewe. Usisite kushare na unaowajali.
Je nimuda GAN ukienda kupima virus vinaweza konyesha
@@AmansalumNdili Karibu sana. Kwa Mujibu wa Wataalamu wa Afya, Mtu Akihisi Kuwa Hivi Karibuni Amepita Katika Mazingira Yasiyo Salama ama Kuhusishwa katika Vihatarishi Vinavyoweza Kusababisha Maambukizi Mapya Basi Anashauriwa Kusubiri Walau Wiki 6 mpaka 8 ndipo aende Kupima Hali ya Afya yake kwa Mara ya Kwanza Kabla ya Kurudia Mara ya Pili.
Samàhan doctor me nlipatA dalili zote lakin nilipoenda kupima mwezi mmoja baada ya kukutana na mwanaume nliambia ninagono nikapewa dozi nikamaliza jana nimepima nina fangasi ukimw nimepima mwezi mmoja tu naomba unisaidie huenda dalili zilikuwa za gono tu au na ukimwi make ninamiez miwil tang nikutane na mwanaum
@@BetilaZakaria Karibu sana. Pole kwa Changamoto za Kiafya na hongera kwa kuchukua hatua sahihi za kwenda kituo cha Afya. Unashauriwa Kuendelea kutembelea kituo cha Afya kwa Uchunguzi mara unapoona dalili zozote zinazopelekea Afya ya mwili wako kutokuwa sawa. Ni imani yetu kuwa hizo changamoto ni za kawaida na kila kitu kitakuwa sawa. Na mwisho, utapopata matibabu na kupona basi jitahidi kuchukua hatua za kujikinga dhidi ya Magonjwa mbali mbali ya kuambukizwa ili Ufurahie Maisha yako na Familia yako. Asante.
Nashkuru sana doctor kwA ushirikiano na iman sitarudia tabia hatarsh
Sijaelewa kuusu hvyoo vibatan
@@LameckWiston-z3q Karibu sana, Tafadhali Fuatilia tena kwa Utulivu utaelewa pasinashaka. Ukipata Changamoto usisite kuturudia.
Hicho kipimo n sh.ngap
@@LinaMugisha Karibu sana, Bei inatofautiana kulingana na aina ya kipimo. Unashauriwa Kufika Kituo elekezi cha vifaa tiba ili kupata ufafanuzi zaidi.
Kaka samahani nisahidie namna ya kuandika barua kupitia email
@@OdiaRaphael Karibu sana.
@@OdiaRaphael Tumia Mfumo huo huo kuiandaa barua kisha utai scan na kuituma kwenye email.
Umenifundisha vzur sir
@@ramseyagriper Karibu sana, Tunajivunia wewe.
Taa ya chaji na ya oil umetuchapa apo
@@majaliwamchomvu Karibu sana, Hoja yako ni nzuri sana! Tafadhali pata nafasi ya kuifikiria mara ya pili na ya tatu kisha fuatilia kwa makini video yetu alafu Karibu tena Utupe maarifa yako KWA UFAFANUZI SAHIHI ili na sisi tuongeze maarifa toka kwako Mtalaam wetu. Asante.
Je overdrive ikiwa on hata ukikanyaga accelerator mpka mwisho inaweza zidi speed 80 ??
@@Rene_valmont_10Karibu sana, Hapana haiwezi zidi speed 80.
Unabadilishaje gear kutoka D kwenda L ukiwa unatembea? Au had usimame? Kwa manual tunakanyaga clutch kwa ajir ya kubadili gear vp kwa hyo auto tunafanyej?
Karibu sana, gear hiyo hubadirishwa pale unapoanza kuvuka mazingira husika(mlima, tope au mchanga). Kwa maana hiyo lazima gali itapunguzwa mwendo na utakanyaga break ambayo ndio hutumika kama clutch wakati wa kuingiza gear au kubadili gear.
Asante sana Kwa SoMo zuri sana
je gari inapokuwa kwenye mwendo unaweza kwenda kwenye 2 Na L bila kukanyaga krach
Hapana lazima ukanyage break kwanza, kwaiyo break hutumika kama clutch. Asante.
tuelekeze toyota primio haina L wala 2
@@manethmwiyanja2452 Karibu sana. Toyota premio inazo gears na. L na 2.
Je ni sahihi kuweka overdrive wakati wote
@@eliatoshamathiasmjema6710 Japokuwa matumizi yanatofautiana ila inashauriwa kuiweka on pale unapoona panauhitaji huo kutokana na mazingira uliyopo. Asante.
Je overdrive inakula mafuta sana, na je nikiweka overdrive wakati wote Kuna tatizo?
@@eliatoshamathiasmjema6710 Karibu, Hapana Ulaji wa Mafuta unachangiwa na sababu nyingi sio Overdrive.
Hicho kipimo kinauzwa bei gani
@@amanjwajiji2812 Vipo aina Tofauti na bei tofauti. Zingatia Maelekezo ya Mtalaam wa Afya husika akuongoze kipimo sahihi cha Kutumia.
Naitaji kufahamu udreva wa backho vp inawezekna kuipata
Asante MUNGU akubaliki sana
@@Elizabeth-sk5dl Karibu sana, Tunajivunia wewe. Mungu akubariki pia.
Asante
@@ClementinaHabineza Karibu sana.
Kaka tunaomba jinsi yakuandika barua ya mdhamin wa kazi
@@Swax_tekkash Karibu sana, Linafanyiwa kazi.
Shukrani kaka
@@Swax_tekkash Karibu sana. Tunajivunia wewe.
Kaka mm jana nmepima mstar ukakaa kweny C lakn leo jione nmeangalia naonaa kweny namba moja na mbili kuna mistar lakin imefifia jaman asa inakuaje apo
Uko vizuri kipimo ni dk 5-15 au 10-20 unaeza kaa dk 45 ikaja miwili Sababu ya vumbi na uchafu uchafu tu kuingia
@@KhairatyAbillah kina uzwa bei ganiii
@@KhairatyAbillah uko kama mimi mimi mwenyewe niliona mstar mmoja kwenye c nikakaa kama lisaa limoja nakuja kukuta mistari 2 ila imefifia sio kama wa c
Asante kwa mchango wako mzuri. Tunajivunia wewe.
@@GrolykamolaMwakapangala majibu sahihu ni dk 5-10-15 ambapo mstari utaku kwenye control ambayo ndio C-hiyo nyingine ni Hali tu ya kipimo kuingi uchafu bacteria Wala sio kwamba uko na maambukizi
Kaka mm jana nmepima mstar ukakaa kweny C lakn leo jione nmeangalia naonaa kweny namba moja na mbili kuna mistar lakin imefifia jaman asa inakuaje apo
Kaka mm jana nmepima mstar ukakaa kweny C lakn leo jione nmeangalia naonaa kweny namba moja na mbili kuna mistar lakin imefifia jaman asa inakuaje apo
@@KhairatyAbillah Karibu sana, Usiwe na wasiwasi hata kidogo. Kwa maelekezo ya watalaam wa Afya, kipimo hicho kinatoa majibu ndani ya dakika 10 mpaka 15. Hivyo nje ya muda huo majibu huweza kukosa uhalisia. MUHIMU: Miongozo ya Afya inatuelekeza kuwa, Hata ikiwa mtu amefanya uchunguzi wa Afya yake yeye mwenyewe kwa kutumia kipimo hicho na kupata majibu chanya au hasi anashauriwa kufika kituo cha Afya ili Kujiridhisha na Kuelimishwa juu ya magonjwa mengine ya kuambukiza na jinsi ya Kujikinga ili kuwa Salama na Afya njema wakati wote. Asante na Tunajivunia wewe.
Kaka mm nmepima na imekaa kwnye c lakin leo jion naangalia kipimo nmekuta kwenye 1 na 2 kuna mistari lakini aijakoza sasa inakuaj apo jaman ndo nn
@@KhairatyAbillah Karibu sana, Usiwe na wasiwasi hata kidogo. Kwa maelekezo ya watalaam wa Afya, kipimo hicho kinatoa majibu ndani ya dakika 10 mpaka 15. Hivyo nje ya muda huo majibu huweza kukosa uhalisia. MUHIMU: Miongozo ya Afya inatuelekeza kuwa, Hata ikiwa mtu amefanya uchunguzi wa Afya yake yeye mwenyewe kwa kutumia kipimo hicho na kupata majibu chanya au hasi anashauriwa kufika kituo cha Afya ili Kujiridhisha na Kuelimishwa juu ya magonjwa mengine ya kuambukiza na jinsi ya Kujikinga ili kuwa Salama na Afya njema wakati wote. Asante na Tunajivunia wewe.
Kama upo dar baadhi ya maduka ni elfu 3000 ila wengine 10000 na kuendelea na kipimo ni hichohicho
@@RoseMaxwiliam Asante kwa Mchango muhimu.
Je ambazo zina D,3,2&L. Hyo 3 unatumia mazingira yapi
@@rubenlusekelo Karibu sana, Tutakuletea tutorial hivi karibuni kuhusu swali lako. Tunaomba utuvumie.
Samahani Kama ni barua ya kujitolea naanzaje kuandika
@@MariaMdumla-b4z Karibu sana, Utatumiwa link hivi karibuni.
@@yourportal naomba nitumie mimi pia please
@starlight100-o2l FUATA HII LINK ua-cam.com/video/OepJGhIcqz4/v-deo.htmlsi=fkZN3T6Gs0uQNj-g
@@MariaMdumla-b4z FUATA HII LINK ua-cam.com/video/OepJGhIcqz4/v-deo.htmlsi=fkZN3T6Gs0uQNj-g
Thanks broo
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na unaowajali.
Dah nimekuelewa san pia unafundisha vizur san mwalimu
@@AmourMohammed-wu1me Karibu sana. Tunajivunia wewe.
Sijakuelewa kwenye battery kabisa kazi ya battery nikusapoti tu kuwasha gari. Gari ikishawaka battery Haina kazi Tena Bali otonete ndoyo inayobaki kufanya kazi ya uendeshaji wa umeme kwenye gari sar
@@AbednegoGwalugwa Asante kwa Mchango wako, Tunajivunia wewe.
Je majibu yanaweza badilika baada ya muda ? tofauti na zile dakika 15
@@SarahCharles-p5k Karibu sana, Watalaam wa Afya wanashauri kuzingatia muda elekezi wa kupata majibu sahihi. Hivyo muda ukizidi kipimo kinaweza kuwa nje ya ufanisi wake.
Ukianza na hay maji kisha damu¿
@@emmanueljoshua7769 Karibu sana. Haishauriwi hivyo.
Habar naomba kuuliza ayo maji ni lazima na je kama sina ayo maji na majibu yakatoka yatakua na uhalisia au na ni wapi sehemu maalumu ya kuvipata maanana ata ukikipata unakua umetumia njia za maficho. Asante kwa mda wako taifa linategemea watu kama nyie.
@@AgataCharles Karibu sana, maji hayo ni lazima kwasababu ndiyo yanayokamilisha mchanganyiko wa kisayansi pamoja na damu ili reaction sahihi ionekane kwenye kipimo husika. Na kuhusu upatikanaji wa hivyo vifaa, kuna muongozo unaotolewa na wizara ya Afya wa namna bora na salama wa upatikanaji wa hivyo vifaa. Karibu.
Mungu akutunze❤
Amina, Karibu sana. Tunajivunia wewe.
Thank you God bless you
@@josephyamathlaizer-op9sw Karibu sana Ndugu yetu. Tunajivunia wewe.
SoMo zuri sana
@@HenryMwanjala Karibu sana, Tunajivunia wewe.
Shukrani
@@patrickymkoma3558 Karibu sana.
Alama ya betri ni otoneta haichaji betri pindi unapostat gari yako otoneta ndo inashughulika na mambo yote. Kama ukiwasha taa ukisiliza redio nk
@@RonnieBertin Karibu sana na Asante kwa Mchango wako Muhimu.
Una patikana wapi kaka?
@@OmaryAbbas Karibu sana, Tupo Dodoma kwa Sasa.
Kwani barua ya kazi inaambatanishwa na vyeti kaka
@@MilembeMichael Karibu sana, ndio! ni muhimu kuambatanisha na copy za vyeti orijino ili kusapoti ombi lako la kazi.
@@yourportal kwa hiyo kaka kwa ile mtu unavyoamua kuandika barua ya kazi kabla ya kazi kutangazwa na ukiwa huna vyeti unaweza ikusanya au haitakiwi ukaweka tu cv na vyeti vya form 4 na advance maana cha chuo sijafata bado au unanishaulije kaak
@@MilembeMichael Karibu, ni muhimu kuambatanisha document yeyote ambayo itaonesha sifa au uwezo ulionao katika kazi unayoomba. Kwahiyo kama vyeti ulivyonavyo vitakusaidia kupata kazi ni sawa, lkn kama unaona kimoja kinakosekana ni vema ukakipata na uambatanishe.
@@yourportal sawa kaka kwa sasa nitaombea hivi nilivyonavyo nashukuru sana cha chuo nafat mwez wa 12 akikubali nitakituma pia
@@yourportal sawa kaka kwa sasa nitaombea hivi nilivyonavyo nashukuru sana cha chuo nafat mwez wa 12 akikubali nitakituma pia
Abari kaka
@@SaidTulia-d9j Salama, Karibu.
Nisaidie no yako fundi
Namba yako
Samahan Naweza nikapata soft copy ya hii CV?
@@taimorifadhili3977 Karibu sana.
After Forgot password i get notification to be successfully resetting the password when you go back to email nothing.. help me bother