Asante mwalimu nimekuelewa vizuri, Mimi nina swali, gari ina shida moja, kama imepaki kwa muda kidogo huwa inachelewa kingia ngia ya mbele hata nyuma, ila baada kuingia inabadilika vizuri tu. Je tatizo liko wapi mwalimu. Asante
@@zawadiluvanda8859 Karibu sana, fanya jitihada umuone Mtalaam wa Gearbox ana kwa ana ili agundue tatizo ni nini. Suala hilo linahitaji Chombo kiwepo karibu ndio upate suluhisho.
@@akizasamuel7920 Karibu sana Ndugu. Tunajivunia wewe. Kwa Changamoto hiyo maranyingi tatizo huwa katika Gearbox ya Gari husika. Unashauriwa kwenda kwa Technician Anayeaminika ili abaini chanzo halisi cha Tatizo. Asante.
Karibu sana Beno, Haishauriwi kutumia N kwenye foleni kwasababu gari itakuwa out of engine control na endapo itatokea dharura yoyote inaweza leta madhara. Ni vema ukatumia D ipasavyo.
Karibu sana Awami, hapana ukibonyeza ikakuonesha kitaa cha ON kwenye dashboard maana yake speed itakuwa controlled haitazidi 60KmH. Ukibonyeza tena itakuwa OFF then speed ya gari itapanda kulingana na acceleration yako.
Mungu akutunze❤
Amina, Karibu sana. Tunajivunia wewe.
Darasa zuri sana 👏👏👏
Asante sana mwalimu kwa mafunzo
@@SalumuMohamedi-q6g Karibu sana. Tunajivunia wewe na Usisite kushare na wale unaowajali.
Thank you God bless you
@@josephyamathlaizer-op9sw Karibu sana Ndugu yetu. Tunajivunia wewe.
thank very nice darasa nzuri ..
@@nancykaseko Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Ubarikiwe sana nitaendelea kufatilia,
Karibu sana Juliet, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Ahsante kwa elimu🙏🙏🙏🙏🙏
@@mathewbundu235 Karibu sana. Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
thanks for teaching
You are warmly welcome Saada, do not hesitate to share the tutorial to your beloved ones so that they could get what you got.
Asante 🙏mim nimekuelea ntena tufuze zaidi
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Asante sana brother
Karibu sana Lubwela, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Asante kwa elimu nzuri, he gear hizi mbili kwa maana ya L na 2, unaweza kubadili gear hizi wakati gari ipo kwe nye mwendo?
Karibu sana, inakulazimu usimame au upunguze mwendo kwa break ndipo ubadili. Ukishavuka kikwazo husika ndipo urudishe gear D.
Thank alot
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Asanteh sanah kwa elimu kaka
Karibu sana
SoMo zuri sana
@@HenryMwanjala Karibu sana, Tunajivunia wewe.
Great
Welcome Samwel, Thanks for Your Acknowledgement.
Habari,Gear box ya gari yangu nikiendesha gari baada ya dk kadhaa inakua hairudi nyuma ila ukipaki kwa muda gari ikipoa rivers inarudi je tatizo nini?
Karibu sana Filbert, tafadhali ipeleke kwa technician mzuri akague gearbox nzima hadi kwenye mkono wa gear.
Asante mwalimu nimekuelewa vizuri, Mimi nina swali, gari ina shida moja, kama imepaki kwa muda kidogo huwa inachelewa kingia ngia ya mbele hata nyuma, ila baada kuingia inabadilika vizuri tu. Je tatizo liko wapi mwalimu. Asante
@@zawadiluvanda8859 Karibu sana, fanya jitihada umuone Mtalaam wa Gearbox ana kwa ana ili agundue tatizo ni nini. Suala hilo linahitaji Chombo kiwepo karibu ndio upate suluhisho.
Hello hongera kwa huduma njema
Nifanyeje gari ikiwa imeshindwa kwenda parking
@@akizasamuel7920 Karibu sana Ndugu. Tunajivunia wewe. Kwa Changamoto hiyo maranyingi tatizo huwa katika Gearbox ya Gari husika. Unashauriwa kwenda kwa Technician Anayeaminika ili abaini chanzo halisi cha Tatizo. Asante.
Dah nimekuelewa san pia unafundisha vizur san mwalimu
@@AmourMohammed-wu1me Karibu sana. Tunajivunia wewe.
❤
Kaka unajua sana fungua chuo me naandika notce kupitia elimu yako nzuri
@@danielmwakipesile2727 Karibu sana Daniel, Tunajivunia wewe sana. Usisite kushare na wale unaowajali.
Tunaomba utufundishe Toyota runnion gear box yake ipo tofauti haina L wala haina 2tujuze apo mwalimu
Karibu sana. Tunalifanyia kazi.
Nipo najifunza driving hii imenisaidia sana kwakweli mwalimu wangu ni mkali nilikua simuelewi ila wewe nimekuelewa
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Nimeelewa vizur
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Apo umetuelewesha maana ya ngia maana mm uwa nazama mara nyingi natumia d kumbe kuna ngia zingne
Karibu sana. Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Je ,naweza kutumia N kwenye folen?
Karibu sana Beno, Haishauriwi kutumia N kwenye foleni kwasababu gari itakuwa out of engine control na endapo itatokea dharura yoyote inaweza leta madhara. Ni vema ukatumia D ipasavyo.
Nimejifunza kitu teacher ila na mimi kataka kuwa dereva
@@MasekeNyamaruly Karibu sana.
Nakushuru sn nimepata kitu kikubwa sana kuhusu Auto car.
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali. Pamoja na Kusubscribe Channel yetu.
Habali na gari ya Aina automatic nikiweka gear (d)dravu gari inazima sababu nini
Karibu shabani, Nenda kwa Technician mahili mwambie akukagulie mfumo mzima wa engine ikiwemo pamoja na sensors zote.
Alama p inamaana gan
Karibu sana Lazarus! "P" humaanisha 'Parking'
Tunashukuru kw elim unayotupa mwalim
Karibu sana Abass, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Kwann ukibinyeza Iko kitufe gali inaongrzeka spd
Karibu sana Awami, hapana ukibonyeza ikakuonesha kitaa cha ON kwenye dashboard maana yake speed itakuwa controlled haitazidi 60KmH. Ukibonyeza tena itakuwa OFF then speed ya gari itapanda kulingana na acceleration yako.
Mkuu vipi kuhusu S na B
Karibu sana, Ni kwenye gari gani?
Unaptk wap
Karibu sana Junior, Tupo Dodoma na Dar.