Naomba mkopo mimi ni mfanya biashara au mjariamali kwahiyo nahitaji kuongeza mtaji naomba uipokee ombi langu na ntarejesha vizuri bila Shaka naomba unisaidie kwahilo
Karibu sana Juma, huu ni MFANO TU wa barua ambao unaweza kuutumia kuandaa barua yako mwenyewe kwa ajili ya kuomba mkopo katika taasisi mbali mbali za kifedha ili kutimiza malengo au mahitaji yako ya kifedha. Kwa maana hiyo basi, katika platform hii au hapa jukwaani hatutoi huduma ya mikopo wala hakuna mtu yeyote anayehusika na huduma ya utoaji mikopo kupitia jukwaa hili. AHSANTE.
Kaka nimependa Sana barua yenye Yani namna ya kuandaa barua uko vizuri waoooooh
Karibu sana Simion, Tunajivunia wewe. usisite kushare na wale unaowajali.
Naomba namba ya simu yenu
❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🤝🤝🤝
Naomba mkopo mimi ni mfanya biashara au mjariamali kwahiyo nahitaji kuongeza mtaji naomba uipokee ombi langu na ntarejesha vizuri bila Shaka naomba unisaidie kwahilo
Mie naitwa juma gawe na ntarudisha marejesho na ntaamini kwa utaratibu uliyowekwa Asante
Juma msandawe Ni jina langu la kabila
Karibu sana Juma, huu ni MFANO TU wa barua ambao unaweza kuutumia kuandaa barua yako mwenyewe kwa ajili ya kuomba mkopo katika taasisi mbali mbali za kifedha ili kutimiza malengo au mahitaji yako ya kifedha. Kwa maana hiyo basi, katika platform hii au hapa jukwaani hatutoi huduma ya mikopo wala hakuna mtu yeyote anayehusika na huduma ya utoaji mikopo kupitia jukwaa hili. AHSANTE.
Mimi nashida na namba ya simu yenu
Karibu sana.
Tutumie namba yako, Tutakupigia.