Karibu sana Dorice, Tunajivunia wewe. La ha sha! CV sio lazima iandikwe kwa kiingereza, CV inaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili pia na ikafanya vizuri kwenye utambulisho wako. Labda kama takwa la tangazo la kazi limekulazimisha utumie kiingereza basi Utafanya hivyo.
hii ndio aina ya cv nilio kuw nai tafuta, m happy for you be blessed🙏🏽
Karibu sana Yusuph, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Jaman kwa sisi fresh kutoka vyuon tunaandikaaje???
Karibu sana Zainab, Katika kipengele cha experience unaweza andika sehemu ulipofanyia field.
Darasa nzr
Karibu sana Benedetha, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Safi sana
Karibu sana Gerald, Tunajivunia wewe.
Samahan Naweza nikapata soft copy ya hii CV?
@@taimorifadhili3977 Karibu sana.
Mm nlikuwa natafuta mfumo kam huu wa kuandka
Karibu sana. Tunajivunia wewe.
Habar naomba niandikie cv ya kuomba kaz nje
Karibu sana Jenifer! Tafadhali wasiliana kwa email hii; ibra050794@gmail.com
Yr vry smart
Welcome Agness, We are proud of you. Do not hesitate to share the tutorial with your beloved ones.
Aiseee kaka niandikie please
Karibu sana Rachel, Tunajivunia wewe.
Cv ni lazima iandikwe kwa kingereza