Sawa kabisa mdadavuaji. Makubaliano hayapo kisheria. Waungwana wawili au zaidi wanapopatana jambo la kiungwana (halali) linalohusu mfano familia zao, rasilimali zao, n.k, na huku wakijua kuwa jambo hilo litawagusa watu wengi kwa namna mbalimbali, basi hufanya patano la kisheria ambalo kwa muktadha huo litaitwa MKATABA. Na lazima patano hilo liridhiwe na watakaoguswa ndipo saini za wawakilishi wa pande zote zitawekwa mbele ya mashuhuda wa pande zote husika.
Asante kwa udadavuaji kuntu
Karibu sana Tumainiel, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na unaowajali.
Asante sana kaka
🎉🎉
Karibu sana Isaac! Tunajivunia wewe.
Sawa kabisa mdadavuaji. Makubaliano hayapo kisheria. Waungwana wawili au zaidi wanapopatana jambo la kiungwana (halali) linalohusu mfano familia zao, rasilimali zao, n.k, na huku wakijua kuwa jambo hilo litawagusa watu wengi kwa namna mbalimbali, basi hufanya patano la kisheria ambalo kwa muktadha huo litaitwa MKATABA. Na lazima patano hilo liridhiwe na watakaoguswa ndipo saini za wawakilishi wa pande zote zitawekwa mbele ya mashuhuda wa pande zote husika.
Karibu sana Lema, Tunajivunia wewe. Mchango wako ni muhimu kwetu na Tunaendelea kujifunza.