Karibu sana Nancy, Gharama itategemeana na Umbali au Mazingira ya Shamba Yalipo. Hata hivyo gharama zake ni affordable. Kwa mawasiliano ya uhakika na maelezo zaidi tafadhali tutafute kwa mawasiliano ya email au namba ya simu.
Karibu sana Mr Boniface, Gharama itategemeana na Umbali au Mazingira ya Shamba Yalipo. Kwa mawasiliano ya uhakika na maelezo zaidi tafadhali tutafute kwa mawasiliano ya email au namba ya simu.
Nmefrai kujifunza hindi ya kuconnect mfumo wa drip irrigation
@@lovenessAbdueli Karibu sana, Tunajivunia wewe wakati wote. Usisite kushare na wale unaowajali.
Ekari 3 gharama zenu ni kiasi gani ?
Vifaa nanunua mwenyewe
Karibu sana Nancy, Gharama itategemeana na Umbali au Mazingira ya Shamba Yalipo. Hata hivyo gharama zake ni affordable. Kwa mawasiliano ya uhakika na maelezo zaidi tafadhali tutafute kwa mawasiliano ya email au namba ya simu.
Mbona hawatoi namba hofu hawa matapeli ni huwenda!!!
Gharama za kuinstal heka moja ni sh ngap ?
Karibu sana Mr Boniface, Gharama itategemeana na Umbali au Mazingira ya Shamba Yalipo. Kwa mawasiliano ya uhakika na maelezo zaidi tafadhali tutafute kwa mawasiliano ya email au namba ya simu.
Mimi nilipoteza izo connecter na raba za drip,,, uwezekano wa kununua zingine upo na ni wapi zinapatika
Karibu sana, ndio uwezekano wa kupata zingine upo. kwa sasa tupo Dodoma.
Nikihitaji hivyo vifaa (drip pipes na connectors zake) napata wapi
Karibu sana, kwa sasa Tupo Dodoma.
Abar duka la vifaa liko wapi
Karibu, Kwa Dodoma lipo 4ways.
Yap audi bei yake
@@AvinAlphonce Karibu sana, tutumie email kupitia... ibra050794@gmail.com Nasi tutakujibu haraka na kukupatia mawasiliano zaidi
Namba za simu sioni
@@gigwamayara73 Karibu sana, tutumie email kupitia... ibra050794@gmail.com Nasi tutakujibu haraka na kukupatia mawasiliano zaidi.