Nimekusoma sana kiongozi. Jana tu Tar 07June ,2023. Lecture wa UD katuelekeza jinsi ya kuandika barua. Na alielekeza kama ulivyo elekeza isipo kua TU hapo kuandika jina kwenye anuani ya mwaombaji wa kazi alisema haitakiwi kuandika jina kwenye anuani isipo kua jina utaandika chini kama ulivyo sema so hii imekaaje?
Karibu sana Baruti, Tunajivunia wewe. Nadhani msamiati mzuri ni "sio lazima" so ukisema "haitakiwi" ni Kama kanuni au sheria wakati ni kitu ambacho hakiathiri lengo kuu la hiyo barua yako.
Karibu sana Prisca, Lugha zote mbili zinakubalika isipokuwa labda Sehemu unayoomba kazi Wawe wamekutaka utumie Lugha mojawapo kama sharti mojawapo. Habari njema ni kuwa katika hii channel yetu upo mfano wa Uandishi Bora wa Barua kwa kiswahili, tafadhali utizame pia. Karibu tena.
@@richardmachibya4543 Karibu sana, Katika tangazo la kazi LAZIMA utapewa muongozo na anuani ipi barua yako ielekezwe huko. Ukisoma vizuri tangazo HALISI na sio habari iliyosambazwa mitandaoni.
@@yourportal Mimi nimesave cheti cha degree mara mbili kimakosa nikajari kuondoa kibaki kimoja hakuna option ya kudelet ila ipo tu ya kuedit hapa nafanyeje chief?
Karibu Zakaria. Ndio, kutokana na matakwa ya sasa katika mfumo inakupasa kupitisha nakala za vyeti vyako kwa mwanasheria aweke muhuli wa kuvithibitisha.
@@yourportal samahani na kama mwanzoni ulieka vyeti ambavyo havina mhuri wa mwanasheria na Sasa unataka ueke vyenye mhuri unafanyaje?! Mana ukienda kwenye edit ukiuplod vyeti inakataa,na hakuna sehem ya kudelete

Ahsante mkuu
Karibu sana, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Asante sana imenisaidia sana hii barua 🙏🙏🙏
Karibu sana Mussa, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale unaowajali.
Nmependa ahsante Sana kiongozi kazi nzury
Karibu sana Juma, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na unaowajali.
Asante sana teacher
Karibu sana Rozina, Tunajivunia wewe. Usisite kushare na wale Unaowajali.
Excellent!
Welcome Ivan, share to your fellows as you care for them.
Samahani si unaweza tumia kiswahili au kingereza kati ya izo lugha 2 zinakubarika?
Karibu sana Prisca, Lugha zote mbili zinakubalika isipokuwa labda Sehemu unayoomba kazi Wawe wamekutaka utumie Lugha mojawapo kama sharti mojawapo. Habari njema ni kuwa katika hii channel yetu upo mfano wa Uandishi Bora wa Barua kwa kiswahili, tafadhali utizame pia. Karibu tena.
@@yourportal shukran sana
@@yourportal kishwahili
Kwa Mfano, labda Chuo kimetoa post ya Lecturer au post yoyote lakini kupitia Ajira Portal kwenye anuani ya Mwandikiwa inakaaje..!?
@@richardmachibya4543 Karibu sana, Katika tangazo la kazi LAZIMA utapewa muongozo na anuani ipi barua yako ielekezwe huko. Ukisoma vizuri tangazo HALISI na sio habari iliyosambazwa mitandaoni.
Boss vipi kuhusu barua ya kuomba internship.
Karibu sana Denis, Tunajivunia wewe. Muundo ni huohuo ila utajielekeza kwenye ombi la internship.
Sasa kama nikiandika barua yangu kwa kiswahili, vp kuhusu cv nitaiandikaje? Kisw au english
Karibu sana Charles, Lugha yoyote ile inaruhusiwa...lakini kwa ushauri CV tumia lugha ya kiingereza.
@@yourportal ndg mm nashida na namba yako
hapo kwa reference hapo ndio pananichanganya samahani ref no napata wapi?
Karibu sana Germana. Kama hawajaweka kwenye Tangazo achana nayo sio tatizo.
Reference Nu unaipata pale kwenye tangazo la kazi. Online au kwenye gazeti. Au sehemu ingine
Vipi kama umesave the same info za academic twice unafuta vipi apo?
Karibu sana Janeth. Jaribu kulog out kisha log in tena na kisha nenda kwenye kipengele husika upande wa kulia utaona option ya kukifuta.
@@yourportal Mimi nimesave cheti cha degree mara mbili kimakosa nikajari kuondoa kibaki kimoja hakuna option ya kudelet ila ipo tu ya kuedit hapa nafanyeje chief?
@@obed_artz5418 Karibu sana Obed, Unatumia kifaa gani unapoingia AjiraPortal?
@@yourportal Natumia simu (smart phone)
Na mm nnashida hiyo hiyo naweza vp kufuta mana hakuna option
Ivi ajira portal ni lazma vyeti uweke mihuri
Karibu Zakaria. Ndio, kutokana na matakwa ya sasa katika mfumo inakupasa kupitisha nakala za vyeti vyako kwa mwanasheria aweke muhuli wa kuvithibitisha.
@@yourportal samahani na kama mwanzoni ulieka vyeti ambavyo havina mhuri wa mwanasheria na Sasa unataka ueke vyenye mhuri unafanyaje?! Mana ukienda kwenye edit ukiuplod vyeti inakataa,na hakuna sehem ya kudelete
@@rosemtaita164 Karibu Rose! Ipo sehemu ya kudelete. Angalia vizuri.
@@yourportal sehem ya ku-delete hamna ipo edit tuu