Mim nilisahau pasword ila nikienda pale walipoandika forgot pasword naandika emal yang wanasema wanatima pasword ila hawatumi ndo nashindwa ku login jaman
Karibu sana Mary, Tunajivunia wewe. Nenda pale kwenye page ya kulog in, chini yake utaona maneno "forget password?" Bonyeza hapo kisha fuata maelekezo ili utumiwe password yako.
@@yusterbaton9509 Karibu sana Yuster, Tunajivunia wewe. Kama namba ya NIDA inagoma, jaribu kuiandika kwa makini kama ilivyo bila kuacha space. Ikigoma tena jaribu ku unstall app na download tena, install na ingiza tena.
After Forgot password i get notification to be successfully resetting the password when you go back to email nothing.. help me bother
Mim nilisahau pasword ila nikienda pale walipoandika forgot pasword naandika emal yang wanasema wanatima pasword ila hawatumi ndo nashindwa ku login jaman
Karibu sana Nelly, jaribu kuwapigia kwa namba ya simu huenda system yao ya kutuma text iko down ili wakusaidie manually.
Mimi inagoma kabisa kuingia kwenye ku login
Karibu sana hilda, Tunajivunia wewe. Inagomaje? Password au inaandikaje?
Mie niliwahi kujiunga lakin sikumaliza kujaza info zng nkatokag now nmesahau password nashindw kuingia
Karibu sana Mary, Tunajivunia wewe. Nenda pale kwenye page ya kulog in, chini yake utaona maneno "forget password?" Bonyeza hapo kisha fuata maelekezo ili utumiwe password yako.
Habari mimi kwenye kujaza namba ya nida inagoma kusave
@@yourportalnaomba nisaidie
@@yusterbaton9509 Karibu sana Yuster, Tunajivunia wewe. Kama namba ya NIDA inagoma, jaribu kuiandika kwa makini kama ilivyo bila kuacha space. Ikigoma tena jaribu ku unstall app na download tena, install na ingiza tena.
Nida yangu inanambia ishatumika na Nina account Moja msaada jmn
Karibu sana Fatuma, jaribu kuomba u reset password.
Mbn hiy app siion play store
Karibu sana.
Asante sa naipataje hiyo app ya ajira portal
@@HusseinAbdulbali Ingia playstore kisha search "ajira app" utaiona kama ilivyooneshwa kwenye video hii.
Mimi inagoma kabisa kulog in ,,inaandika error
@@samsonielias-f8s Karibu sana, huenda itakuwa tatizo la network.
@@yourportal apana hii ni wiki Sasa imeisha Bado inagona ,,na ata nilimtumia link Bado haikubali ,,kama unalink ya uhakika nitumie nijarib kuingia
@@samsonielias-f8s Sawa