Who is following this man of God in every app like me❤,,, may God bless you abundantly i just like listening to your music 🙏i believe i will come to your church immediately I land in kenya🙏🙏🙏
Hak kwel Mungu n mwaminifu kwa waliyo waaminifu na wanyenyekeyo kwake,Leo hii na shuhudia ukuu wa bwana kwa umbal amenitoa hz nyimbo zmenijenga sana mpaka na hisi aman moyon mwangu tumushikilie Huyu YESU tukimaanisha wapendwa
Akika asante Sana Simba wa yudhaaa nabarikiwa Sana ninapokua chini napolitia Hali ngumu hasa wakati huuu nashukuru kwa nyimbo zako mana tangu nizaliwe amenijua ameniokoa amenitoa mbali
Ndungu ubarikiwe kwa nyimbo za mungu kupitia kwa nyimbo zako nimejua kucheza na roho hushuka kila mahali nisikiapo nyimbo zako mungu awe nawe milele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
Hallelujah mungu wetu ni mwema kila wakati ndipoza tuko vile tuko hivi,,oli ne sipawa silai yaya chinyimbo sechiwechangaho emurwe ta😅barikiwa sana yaya. So sweet song❤❤❤
Mutumishi hua nabarikiwa. Sana nyimbo zako sana nijuwa huku warabuni naomba mungu akubariki sana 💅💅💅hapo kwa roho yananga wee mungu akuongoze sana bro 🎉🎉🎉yani nmehisi niko kenya
You're in truth and spirit in worship brother. Once I listen to your worship ,Holy spirit always comes and my spirit is uplifted from one Glory to Glory
Always enjoying this songs because they Comfort , encourage and strengthen me when am depressed and stressed. Always stress free when listening and watching to them. I always thank God 4 this Ministry which touches our lives 🙏 🙌
Hapo sasa nmesubiri kwa hamu sana hatimae nmepata ubarikiwe sana mungu akutie nguvu kupitia hizi nyimbonaona mungu akitenda mambo mingi kwa maisha yangu na kwa kazi yangu ubarikiwe sana
Mungu akupariki ndungu, na akutie nguvu, na mungu akutumie kama chombo chake, hizi ndio nyimbo zenye utukufu, tukimusifu mungu namna hii bila unafiki wowote ndani ya mioyo yetu hakika tutaparikiwa, may God bless you abundantly, unasikia utukufu na uwepo wa mungu ukishuka, 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Amen Daniel, naparikiwa sana na hizi nyimbo zako hata kama napitia mambo mengi katika maisha yangu but nikizikiliza nyimbo zako zinanitia nguvu 🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
Who is following this man of God in every app like me❤,,, may God bless you abundantly i just like listening to your music 🙏i believe i will come to your church immediately I land in kenya🙏🙏🙏
Me here,he is such a blessing in many people's lives. Be blessed more, man of God ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hari100000001😊0etagesa40
Be blessed pastor mungu ni mtamu nkisikiliza hizi nyimbo nambia bwana inisamehe dhambi zangu nasikia kuinuliwa zaidi🙌🏿🙏🙏🙏
Hak kwel Mungu n mwaminifu kwa waliyo waaminifu na wanyenyekeyo kwake,Leo hii na shuhudia ukuu wa bwana kwa umbal amenitoa hz nyimbo zmenijenga sana mpaka na hisi aman moyon mwangu tumushikilie Huyu YESU tukimaanisha wapendwa
Akika asante Sana Simba wa yudhaaa nabarikiwa Sana ninapokua chini napolitia Hali ngumu hasa wakati huuu nashukuru kwa nyimbo zako mana tangu nizaliwe amenijua ameniokoa amenitoa mbali
Good job
Mimi sio mluyah but napenda beat za kiluyah ,Am blessed Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@ElizabethNgani wow amen amen
Amen 🙏 🙏 @@danielsifuna7377
Likewise to me. Am..really blessed with this Wonderful Ministry ❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤
Karibu sana,leo nakubatiza tutakuita Naliaka sasa.barikiwa😂
Asante yesu hizi wimbo zinanipa motisha ya kusifu mungu na kuka ndani ya mungu barikiwa unatukumbusha Payne tumetoka hizi ndio wimbo
Nice1 brother unichukue tuimbe pamoja please najua kuimba
@@JOSEPHATODERO-v8j amen amen karibu ❤️❤️❤️❤️🙏
Ndo hyo xx💃🏾💃🏾💃🏾
Mimi ni msanii naomba tujiuke pamoja kwa uimbaji naweza kukupa taje
@@danielsifuna7377me pia niko apa bro muimbaji
Toa song moja to proof
wah aki hii wimbo inafanya roo ishuke nikiendesha gari wah daniel mungu akupitie kwa imani umbarikiwe
napenda nyimbo zako sana brother GOD bless u
Powerful worship , more grace man of God.
Ooh bro I love the way you mix de gospel,,,, unibariki sana,, Mungu azidi kukuinua
@@joachimmutaiti1475 amen amen ❤️♥️♥️♥️
Yea❤❤
Ndungu ubarikiwe kwa nyimbo za mungu kupitia kwa nyimbo zako nimejua kucheza na roho hushuka kila mahali nisikiapo nyimbo zako mungu awe nawe milele ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
Amen ndinayemumoyo kwange hata wanaotafuta maisha yangu haowachawi wakumbuke ninaye yesu ndani
Yangu he is my shepherd ❤❤
@@Brenda-yu5pp aaaaaaamen ♥️❤️❤️🙏
Aleluya yesu unastaili kuabudiwa napenda kusikiza nyimbo zako pastor ubarikiwe sana ❤❤❤❤
Napenda sana nyimbo zako mungu wa mbinguni akubariki na uishi maisha marefu ya kumpendeza munge🙏🙏
Hi wimbo inanifuraisha walaai
I'm blessed through your songs man of God
Be blessed bro,you're a blessing.
God bless you my dear brother or mtumishi wa mungu uendelee hivo hivo
Hallelujah hallelujah 🔥🙌🙏 n neema juu neema napokea🙌🙌be blessed Man of God 🙏 🇸🇦🇰🇪
@@CelestineKhaleji-y2g amen amen
Halleluyah hizi nyimbo ni nzuri Sana ,God bless you brother 🙏🙏
Amen blessed one huwa unaimba toka kwa roho deeply praising the Almighty God barikiwa sana nasi tunapobarkiwa tokana nyimbo zako
May God continue using you because when ever I listen to ur songs I always be blessed ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙌🏻🙌🏻🙌🏻😊
Ako kafeeling ka kumtukuza MunguGod bless u my brother❤
Halleluya roho yananga, Amen and Amen. Hakika naona roho mtakatifu akishuka kupitia nyimbo zako pastor. Barikiwa Sana🙏🙏🙏
@@CleahMulanga amen amen ❤️🙏🙏
Amen amen
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🙏 be blessed my brother nyimbo zako zinaingia hadi kwa damu barikiwa sana ❤
Asante sana mtumishi wacha Mungu azindi kukujaza zaidi.
Amen
Haleluya ninae yesu ninae 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 ninaomboleza mother inlaw hii wimbo amenirudisha karibu nayesu haleluya nae yesu ❤❤💃💃💃
@@RoroRoserororo aamen amen amen
Roho ndiye aliniita nimfanyiye kazi be blessed mungu ainuwe kipaji chako umetowa mbali na nyimbo zako ❤❤
@@Brenda-yu5pp Amen amen amen ♥️🙏
Am luyah l love this song Mungu akubariki sana❤
Hallelujah mungu wetu ni mwema kila wakati ndipoza tuko vile tuko hivi,,oli ne sipawa silai yaya chinyimbo sechiwechangaho emurwe ta😅barikiwa sana yaya. So sweet song❤❤❤
@@Eglay-u5z amen amen orio muno 😂🙏♥️♥️
Big river flows from the mountains, nyimbo hizi ni kama mito mikumbwa inayotiriri kutoka milimani ili kuokoa mioyo ,barikiwa sana❤❤❤❤❤❤❤❤
@@JosephAnyanga-wb7ug aaaamen amen amen 🙏♥️❤️❤️
Bro tunajivunia amen. ❤
Aaaaamen❤
Even though my situations are not good but if I hear the songs of pastor Daniel my life changes immediately
God bless you papa ❤❤❤❤
Weeeee,,, this is hot, ingo ndio nyumbani.
❤kuka wele khakaba akhulinde luli lukali
Ameni be blessed mtumishi wa bwana.yesu kristo asifwe
@@bettymuhonja9967 amen ❤️🙏🙏🙏
Woooooowe hallelujah hu wimbo roho yananga ndiyo nilikuwa natafuta bro Daniel I'm proud of you be blessed 🙏🙏🙏
@@nelsonechesa2200 aaaaaaamen 🙏
Asantee Mungu akinimebarikiwa Sana God bless you ❤❤ man of God 🙏 🙏🙏
Am a kamba but l love luhya gospel songs❤❤
Nilingojea huu wimbo sana...sante mwilwatsi barikiwa zaidi
@@hellenmakhuyi4606 aaamen 🙏❤️❤️❤️
❤❤Your songs ,,Mungu Aendelee kukupa nguvu ya kumtumikia yaya
Hallelujah mtumishi wa mungu nyimbo zako zinanijaza sana mungu akubariki sana ❤️
❤❤Amen Amen Asante sana. Wimbo amenijenga sana. Najua Mungu ameshafungua njia yangu ya kusafiri.Amen Amen. Acha azidi kupa nguvu ya kuimba.
@@gloriaochango3323 amen 🙏🙏🙏♥️♥️
I love your songs it's so touching God bless you.
Mutumishi hua nabarikiwa. Sana nyimbo zako sana nijuwa huku warabuni naomba mungu akubariki sana 💅💅💅hapo kwa roho yananga wee mungu akuongoze sana bro 🎉🎉🎉yani nmehisi niko kenya
Amen 🙏🙏 thank you lord wacha nichesee mungu wow god bless you mutimishi❤❤
@@Mary-j5i aaaamen 🙏♥️♥️
Halleluya kweli ya khulanga omurumish wa nyasae akhweamani na penda nyimbo zako mungu akubariki sana
Amen more grace servant of the most high God,stay blessed always ❤💃💃💃💃🕺🕺🕺
Actually God had a purpose ua songs has uplifted me faithfully May God bless ubro🎉
Wow wonderful natamani nikujoini Niko Kwa nyumba na dance roho ameshuka nilikuwa na maumifu imeisha
Jumapili ya leo nimo ndani ya yesu na Daniel Sifuna
Mungu akubariki. Uendelee kutuliza mioya za wengi.
Ndi naye allelujaaaaaaaa
Hallelujah.....Ndinaye yesu mlimenya liaze....thank God for the gift of life
Amina man of God ,be blessed 🙏 🙏🙏
Wele yuno wa kamaya mbao nge ye tawe.. hallelujah 🙏🏾🙌💃💃💃
Kweli ni mungu n mwema Kwa kila nifanyayo wala pakuenda yy ako Tu nami Ameeni 🙏🙏🙏🙏
Allelujah Allelujah Allelujah Allelujah I'm so blessed I really receive the holy spirit from this song
@@TheAngelofGod-b1q aaaamen ❤️🙏🙏🙏
Omwami yesu afume lukali ndungu sifuna unanibariki na nyimbo zakidambo mungu akubarika sana ofukananga waye nije
You're in truth and spirit in worship brother. Once I listen to your worship ,Holy spirit always comes and my spirit is uplifted from one Glory to Glory
Mtu wa mungu ubarikiwe sana Hadi shetani ashangae nabarikiwa nikiwa Nairobi
Always enjoying this songs because they Comfort , encourage and strengthen me when am depressed and stressed. Always stress free when listening and watching to them. I always thank God 4 this Ministry which touches our lives 🙏 🙌
@@jacquie329 aaaamen Amen Asante sana 🙏♥️
@@danielsifuna7377 You are a blessing to my life bro
Ndinaye Yesu mlimenya lianje❤Asante Yesu sifa na utukufu ni wako❤hallelujah
Glory to God
Amen mungu akubariki sana 🙏🙏🙏 you are the blessing to many souls 🙏🙏🙏
Amen amen❤❤❤❤
🎉🎉❤❤❤❤❤@@danielsifuna7377
Amen hapo sasa
Amen amen❤❤❤
Hallelujah, maisha napewa na Bwana Yesu
@@Heht-gp2jg amen ❤️🙏❤️❤️
Be blessed mtumishi
Yesu ninaye 🙏🙏🙏🙏
Amen
Daniel Sifuna, you are blessed. May God expand your territories for his glory. Barikiwa sana haki your songs uplift me so much
Hapo sasa nmesubiri kwa hamu sana hatimae nmepata ubarikiwe sana mungu akutie nguvu kupitia hizi nyimbonaona mungu akitenda mambo mingi kwa maisha yangu na kwa kazi yangu ubarikiwe sana
@@RuKIAALIARO amen ❤️🙏🙏🙏♥️♥️
Bukusu worship songs are a blessing to those who understand and know my language like Anne.
Powerful!waingo smiling aaall the way
Hallelujah. So powerful. Ninaye Yesu Hallelujah ❤❤❤❤❤
@@jacquie329 amen ❤️🙏
Wabechanga waye ease God's time is best
I have been looking for this kind of songs for so long but finally I found them
Touching, during my Battles, God bless you Mtumishi Wa Mungu 🙏
God bless you my brother more grace servant of God
Wow wow! It's so powerful all, may God bless you brother, good work thanks so much for a nice songs, and all is my fevered thanks Glory to God
God bless you my brother because your music is so nice to change some body 's carriage
Barikiwa sana mtumishi wa mungu hii mix iko sawa kabisa nkisikia nyimbo zako hua za nitia nguvu ya kufanya kazi. 🙏🙏🙏🙏
@@AlimaMachungu aaaamen ❤️🙏♥️
Mungu akupariki ndungu, na akutie nguvu, na mungu akutumie kama chombo chake, hizi ndio nyimbo zenye utukufu, tukimusifu mungu namna hii bila unafiki wowote ndani ya mioyo yetu hakika tutaparikiwa, may God bless you abundantly, unasikia utukufu na uwepo wa mungu ukishuka, 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Aaaaaamen 🙏❤️❤️
Hallelujah, indeed roho yu mwema 👏👏👏👏👏
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉Ameen. B blessed. Wengi tumeokoka kupitia nyimbo tamu kama hizi zako.
Wele wangendinenawe mbaka ndavusie mlimenya lliange oyaya koyie...
Let the holy spirit work
Be blessed man of God
Mungu akuogoze kwenye wimbaji wako amen
Hallelujah,,,Rohoiwe noyanza hulenyanga Roho aluvolere ❤❤❤💃💃💃🎉🎉🎉🙏🙏
@@nancynzinah8290 amen amen 🙏❤️❤️❤️
My brother nyimbo zako zinanibariki sana, Mungu akubariki
Nice one pastor
Amen Daniel, naparikiwa sana na hizi nyimbo zako hata kama napitia mambo mengi katika maisha yangu but nikizikiliza nyimbo zako zinanitia nguvu 🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
Kweli mungu yumwema bro barikiwa sana
Very true maisha napewa❤ blessing song mungu chuka
@@narcytmbithawatchingfromea4676 amen ❤️🙏🙏🙏
God Bless you man of GOD 🙏 being blessed through your songs
Barikiwa sana ndugu. Mwenyezi mungu akuinuwe zaidi na zaidi 🙏
Amen❤❤❤❤❤
Amen amen 🙏🙏 may God continue to bless you.where you are my brother
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏 🙏....nimebarikiwa
Halleluyah,be blessed servant of God
Amen barikiwa sana mtumishi
Amen❤❤❤❤