2HOURS TENZI ZA ROHONI, NYIMBO ZA WOKOVU/INJILI Part 2 BY DANIEL SIFUNA, BEST SWAHILI WORSHIP SONGS.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 296

  • @AndrpidUser-q2m
    @AndrpidUser-q2m Місяць тому +3

    Thanks be to God almighty who sits in the praises of his people.Your songs strengthen my soul too much after work.Emily from Kenya listening in Lebanon Amen.

  • @KevinaNechesa
    @KevinaNechesa 7 днів тому

    May God bless you brother mungu azidi kukushika mkono wake

  • @getrudenabwayo4754
    @getrudenabwayo4754 6 місяців тому +10

    Bwana Mungu wangu, jinsi neno lako limeandikwa kwenye kitabu Cha 1wakorintho 9:27 Bali nautesa Mwili wangu na kuutumikisha ;isiwe ,nikiisha wahubiri wengine, mwenyewe niwe wa kukataliwa. Wacha liwe Ombi langu kwako nitunze upendavyo, niongoze Kwa njia za haki Kila wakati, nisiwe kama makapi yatakayopeperuashwa na upepo siku za mwisho. Mtumishi wa Mungu @Daniel sifuna injili yako ya kupitia Kwa nyimbo ninaipata nikiwa gulf, and after kusikiza wimbo namba tatu Yu Bwana, nmesikia sauti Kwa kishindo Danieli mwanangu, The international grace of traveling inakuja kwako na si Kwa ajili ya kuenda kufanya kazi Bali kueneza injili ya bwana, mhuri ni wangu na hautafutika 😭😭😭🤲🤲🤲haikuwa nilie nikiandika huu ujumbe lakin the anointing Iko hapa so powerful and touching 🙏🙏🙏🙏🙏.

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  6 місяців тому +2

      Amen amen amen❤❤❤😢 Mungu akulinde na awalinde wote mko huko.
      Pesa yenu isije ikaingia kaatika magonjwa ama majanga mbalimbali... Mungu akutimizie haja za moyo wako ❤❤❤❤❤❤

    • @hylinem5101
      @hylinem5101 6 місяців тому

      ​@@danielsifuna7377Amina Amina tuombee sana nikiwa mmoja wa wanaoandamwa na magonchwa hadi Niko na zero savings

    • @PurityMbuli-e5o
      @PurityMbuli-e5o 6 місяців тому

      ​@@danielsifuna7377Amen 🙏

    • @dorcaswasike3669
      @dorcaswasike3669 4 місяці тому

      Kwa Yale ninayo pitia hizi Nyimbo hunipa utulivu

    • @KarolinaOman
      @KarolinaOman 26 днів тому

      ​@@danielsifuna7377Asante mtumishi wa kutuombea tuliopo huku gulf Mungu azidi kuku tunza mtumishi wa Mungu 🙏

  • @marywanyama2216
    @marywanyama2216 6 місяців тому +70

    Mtumishi wa Mungu wacha neema ya Mungu inatosha na kukuweka kiwango cha juu saidi ili uweze kuponyo moyo za watu wingi maana wengine wanaokoka kupitia nyimbo hakika na barikiwa sana wewe ndiye church yetu watu wenye tuko gulf

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  6 місяців тому +8

      Amen amen❤❤❤❤ asante sana

    • @simonwefwafwa8894
      @simonwefwafwa8894 6 місяців тому +6

      Servant of God you sing from the bottom of your heart. Barikiwa Sana

    • @ColinceMukabwa
      @ColinceMukabwa 6 місяців тому +2

      Nabarikiwa na kazi yako ubarikiwe sana

    • @MercyMwende-hg2cn
      @MercyMwende-hg2cn 6 місяців тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @FlorenceKavaya-p6f
      @FlorenceKavaya-p6f 6 місяців тому +1

      Hakika nimebarikuwa sana na hizi nyimbo Mungu akuinue zaidi

  • @joankalegi
    @joankalegi 6 місяців тому +21

    NI KWELI TUNALINDWA KWA DAMU YA YESU,, MAISHA HUKU NJE SIO RAHISI,, 😢😢,, ASANTE SANA KWA NYIMBO ZAKO ZINANITIA NGUVU,, BE BLESSED 🙏🙏

  • @faithndambo6773
    @faithndambo6773 6 місяців тому +3

    Impressive be blessed Dan.....hata kama nimemis church2 yrs when I listen to your songs moyo wangu upona......wapi likes za wanagulf

  • @AlimaMachungu
    @AlimaMachungu 6 місяців тому +9

    Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu nyimbo zako hua zanitia nguvu ninapo pitia magumu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JosephAnyanga-wb7ug
    @JosephAnyanga-wb7ug 6 місяців тому +8

    Barikiwa sana Dan,na uwepo BWANA Yesu uandamane na hizi nyimbo kuokoa wengi kwa jina la Yesu kristo

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  6 місяців тому

      @@JosephAnyanga-wb7ug Aamen amen Mtu wa Mungu 🙏🙏❤❤❤

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 5 місяців тому +5

    Amen hizi wimbo zinabariki hallelujah tumusifu yesu christo milele.

  • @CosmasMajata
    @CosmasMajata 5 місяців тому +2

    Hakika unatuinua kiroho sisi wenye mioyo iliyopondeka barikiwa sana mtumishi WA Mungu nyimbo zako ni ibada kubwa sana kwangu❤

  • @Flah2024Kina
    @Flah2024Kina 25 днів тому

    Mutumishi wa mungu mm nnapenda nyimbo zako sinanitulisa roho yangu nikiwa huku Gulf barikiwa sana

  • @DivinahDivinah
    @DivinahDivinah 5 місяців тому +3

    Ni kweli tumo kama picha duniani nyimbo zako zinanipa nguvu sana ubarikiwe sana mungu akulinde

  • @leonardmubanani4844
    @leonardmubanani4844 3 місяці тому +1

    Ni dhahiri kwamba wewe unatumika na Mungu wetu, mfariji, mwingi wa nehema, mwenye nguvu, mtakatifu mwenye upendo usiopimika, mwokozi wa ulimwengu na tumaini pekee la ukweli kwa mwanadamu.

  • @AndrewMahagwa
    @AndrewMahagwa 6 місяців тому +2

    Mtumishi mimi nikisukiza hizi nyimbo umeongozwa na roho mtakatifu kuziimba akii ninajikuta nimebondeka mbele za Mungu na ninapata nguvu za kuomba

  • @desirenafula6875
    @desirenafula6875 6 місяців тому +8

    God your daughter is on your feet🧎🧎🧎 through the songs from your servant, let it continue giving me peace in my heart😭😭😭😭😭😭😭😭 i believe in you jesus you will never forsake your daughter🙏🙏🙏🙏

  • @RoseKungaOnyango
    @RoseKungaOnyango 6 місяців тому +1

    Hallelujah,wacha damu ya yesu izidi kunena mema juu yako mtumishi wa mungu

  • @Eglay-u5z
    @Eglay-u5z 6 місяців тому +2

    Huu wimbo hua unanikumbusha mbali,,always nikiusikiza hua nafeel happy na kucheza tu pekee angu..ni tamu sana❤❤❤

  • @GastonJules-b9q
    @GastonJules-b9q 2 місяці тому

    Amina sana Mtumishi wa Mungu

  • @EveOgata
    @EveOgata Місяць тому +1

    Mungu azidi kukulinda nyimbozako simenichasa

  • @RichardMukere-b2s
    @RichardMukere-b2s 2 місяці тому +1

    Mungu akuongezeye miaka unanibari kweli nyibo zuri sana

  • @janekavaya6193
    @janekavaya6193 Місяць тому

    I love this songs they really motivate mm spiritual,thanks alot pastor be blessed

  • @bhavinjani4415
    @bhavinjani4415 6 місяців тому +5

    Aleluyaa Jehova nabarikiwa kwa tenzi zenye uvuvio we roho mtakatifu God bless you

  • @hylinem5101
    @hylinem5101 6 місяців тому +1

    Hallelujah hallelujah hongera mtumishi nimebarikia sana na ujumbe ulioko kwenye nyimbo hizi.am in my lowest moment struggling with sickness but this songs gives me hope .pray for my family and be blessed abundantly

  • @GodfreyMuhambe
    @GodfreyMuhambe 4 місяці тому +1

    Nyimbo zako ziko nakibali mbele ya mungu,barikiwa mtumishi

  • @estherwamalwa3881
    @estherwamalwa3881 Місяць тому

    Amen and Amen be blessed brother more grace

  • @EstherSophiabarisa-bj4bg
    @EstherSophiabarisa-bj4bg 6 місяців тому +2

    Amen Amen🙏🙏🙏🙏nabarikiwa nikiwa lebanon yesu ndio faraja yetu tukiwa hapa

  • @JoyceVulimu-jm6zz
    @JoyceVulimu-jm6zz 5 місяців тому +1

    Pastor may god bless you nyimbo hizi zinanijenga sana najisikia kuinuliwa

  • @ColinceMukabwa
    @ColinceMukabwa 6 місяців тому +1

    Nabarikiwa na kazi yako, ubarikiwe sana mchungaji

  • @alimfred3259
    @alimfred3259 6 місяців тому +3

    Wimbo zko zna npea nguvu kuomba Kila wakati nnapo ckia mungu akuzidishe katika uduma yako yakimaisha be blessed

  • @FAIDAKIBIBI
    @FAIDAKIBIBI 6 місяців тому +2

    Amen Mungu tutete kila saaa na dakika

  • @joycemwake4647
    @joycemwake4647 3 місяці тому +1

    Yaani ninaposhushwa nyimbo zko zinanifariji

  • @SimonShisambula
    @SimonShisambula 2 місяці тому

    nimebarikiwa

  • @BeatriceMsimbi
    @BeatriceMsimbi 3 місяці тому

    Unanibariki sana

  • @ThomasOdhiamboomondi
    @ThomasOdhiamboomondi Місяць тому

    Nauzidi kubarikiwa

  • @PhiliceWafula-d2s
    @PhiliceWafula-d2s Місяць тому

    Kibali ulichopewa na mungu ni hali ya juu be blessed always mtumishi

  • @samsonkipruto887
    @samsonkipruto887 6 місяців тому +3

    More grace mtumishi 🙏

  • @faithauma3538
    @faithauma3538 4 місяці тому +2

    Yaani naona nikama nitaingia mbinguni in the next minutes 🙏🙏

  • @EstherElius-xh4yr
    @EstherElius-xh4yr 5 місяців тому +1

    Yesu akupe.zaid❤❤❤❤❤

  • @JohnShokholo
    @JohnShokholo 3 місяці тому

    Ubarikiwe sana

  • @GodfreyShitera
    @GodfreyShitera 6 місяців тому +1

    Kwa ukweli hizi nyimbo zinanitia nguvu ndani ya yesu kristo

  • @LilianOmondi-x1q
    @LilianOmondi-x1q 4 місяці тому

    Be blessed man of God you songs rub my tears away and feel happy despite all the challenges am going through ❤❤❤❤amen😅😅😅😅🎉

  • @OmethoTeam
    @OmethoTeam 3 місяці тому

    Inaguza Kila christian

  • @GeofreyWasi
    @GeofreyWasi 5 місяців тому +1

    Zidi kutuponya katika usharati

  • @jackylnemisiko-ep4zn
    @jackylnemisiko-ep4zn 2 місяці тому +1

    Amen 🙏 and amen 🙏🙏 ooh hallelujah 🙌🙌🙌 be blessed man of God

  • @linetohuru348
    @linetohuru348 6 місяців тому +3

    Niseme nini baba😭😭😭😭Asante kwa yote

  • @GastonJules-b9q
    @GastonJules-b9q 2 місяці тому

    Mungu akubari sana ,ukulinde na ukuzidishie maradufu ktk kipaji chako cha uwimbaji wako...

  • @faithauma3538
    @faithauma3538 4 місяці тому

    Nikisikiza hizi nyimbo najiona nikama si mtenda dhambi.mwenyezi anirehemu 🙏🙏🙏barikiwa sana mpendwa

  • @KresterMuema
    @KresterMuema 2 місяці тому

    Always stand with us Daniel

  • @MwangangiKithitu
    @MwangangiKithitu 6 місяців тому +1

    😢barikiwa mchungaji

  • @JosephMuanga-yv2oo
    @JosephMuanga-yv2oo 6 місяців тому +1

    Very nice songs be blessed

  • @nancynzinah8290
    @nancynzinah8290 6 місяців тому

    AMINA AMINA 🙏🙏 kwa umbali umenitoa baba pamoja na familia yangu hakika nakushukuru Jehovah 🙌🙌🙏🙏

  • @MerryTree-pj4nm
    @MerryTree-pj4nm 3 місяці тому +1

    Mimi nanzipenda nyimbo nzake sana

  • @joycemakokha9648
    @joycemakokha9648 6 місяців тому +2

    Amen 🙏🙏🙏🙏 be blessed Man of God good job keep going Mungu azidi kukuinua

  • @idhfdxdcb7849
    @idhfdxdcb7849 6 місяців тому +3

    Amen mungu azidi kukunua 🙏🙏🙏

  • @FelistersKyengo
    @FelistersKyengo 6 місяців тому +2

    Be blessed Mitsubishi hizi nyimbo zinaniinua sana

  • @RaheemRaheem-rd4lf
    @RaheemRaheem-rd4lf 3 місяці тому

    Ooooohh wawoo nice songs yaani nikisikiliza nyimbo izi najiona kama abaye ninaye bwana mikononi mwangu❤❤❤❤

  • @alimasiabongyo1266
    @alimasiabongyo1266 6 місяців тому +2

    Ameeeeeeen ndugu Mungu Azidi kukubariki 🙏🙏

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  6 місяців тому

      Aaaaamen amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤

  • @godwillmasheti8073
    @godwillmasheti8073 6 місяців тому +4

    Yesu ndio mungu kabisa 🙏

  • @heavenishome20
    @heavenishome20 5 місяців тому +3

    I'm really loving these melodies. Brother Sifuna can you build us a church also? God bless you more. You're a pastor 👏👏👏👏👏Live longer sir, tsm🙏

  • @LucienMongan
    @LucienMongan 3 місяці тому

    Ubarikiwe sana baba mcungaji kwa kazi hii unayo fanya . Ume niamusha kwenye usingizi. Nimepata tena nguvu ya maombi kupitiya kazi hii

  • @Mersy-d9v
    @Mersy-d9v 4 місяці тому

    Amen hizo nyimbo zibarikiwe😢

  • @margretnthenya1872
    @margretnthenya1872 6 місяців тому +2

    Amen mungu azidi kukuinua mtumishi

    • @danielsifuna7377
      @danielsifuna7377  6 місяців тому

      @@margretnthenya1872 aamen amen🙏🙏❤❤❤

  • @okuboveronica329
    @okuboveronica329 4 місяці тому

    Nabarikiwa na nyimbo zako Mtumishi Wa Mungu🙏barikiwa saana

  • @minikaayuma7202
    @minikaayuma7202 6 місяців тому

    Mtumishi wa mungu Asante kwa nyimbo zako kila mara ninaposikiliza roho yangu hutulia be blessed in your life

  • @mulwajacintayousinggooddan746
    @mulwajacintayousinggooddan746 2 місяці тому

    Apo sawa❤more love mtumishi wa mungu

  • @BeatriceDhahabu
    @BeatriceDhahabu 5 місяців тому

    Mungu akuinuie ili ss tunaopitia Hali ngum tukiskza mungu anstuponya naomba uniombee mtumishi🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @beatricekaliki1713
    @beatricekaliki1713 6 місяців тому +1

    Nyimbo nzuri zinaponya

    • @MillieNasimiyu
      @MillieNasimiyu 6 місяців тому

      Nyambo nzuri mtumishi wa mungu, mungu akupe nguvu uendelee kutoa zaidi ya hizo

    • @MillieNasimiyu
      @MillieNasimiyu 6 місяців тому

      Ubarikiwe zaidi venye nyimbo zako zimenibariki

  • @BornfaceJuma-v8i
    @BornfaceJuma-v8i 3 місяці тому +1

    Asante sana kiongozi kwa nyimbo zako inuka uangaze

  • @naseeralbishi4726
    @naseeralbishi4726 5 місяців тому

    You are blessed man of God

  • @Judy-vl4fr
    @Judy-vl4fr 6 місяців тому

    Zanibariki sana nyimbo zako may God be with u all times of your life neema yake iwe nawe milele yote

  • @kathleendalitsu6025
    @kathleendalitsu6025 Місяць тому

    God you know me better than anyone else please heal my heart 🙏🙏 your worthy like no one else I adore you Jehovah 🙏🙏

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 6 місяців тому

    Amina nimeparikiwa na nyimbo ashubui ya leo mungu akupeoe kiwango cha juu parikiwa sana mtumisi

  • @DomnicOwino-n2l
    @DomnicOwino-n2l 5 місяців тому

    May God bless you servant of God

  • @stellahkaburu5321
    @stellahkaburu5321 6 місяців тому +1

    Amen...nabarikiwa

  • @skar3106
    @skar3106 2 місяці тому

    Be blessed servant of God

  • @SophiaNyongesa
    @SophiaNyongesa 3 місяці тому

    Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana pamoja na familiar yako amen 🙏🙏

  • @45GOONSOFFICIAL
    @45GOONSOFFICIAL 5 місяців тому

    More Grace man of God 🙏

  • @NancyShisia-g4s
    @NancyShisia-g4s 6 місяців тому

    😭😭😭😭😭😭 mungu azidi kukuinuwa nalia machozi ya kiu kwa mungu

  • @JosephMutinda-bt1sc
    @JosephMutinda-bt1sc 4 місяці тому

    Pst. Daniel Mungu andelee na kukubariki

  • @mukanoherimedius9436
    @mukanoherimedius9436 3 місяці тому

    Naomba Mungu akupe mke mzuri asiyeweza kukuachisha kazi ya mungu

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 6 місяців тому

    Nabarikiwa nikiwa na shuhuli ❤ niliko mbali ila nikiwa nasikiza hizi nyimbo nahisi niko paradiso tulio Gulf tujipe moyo

  • @CelestineChimasia
    @CelestineChimasia Місяць тому

    Nyimbo zako za nifariji sana 🙌🙌💔🙏🙏

  • @jolyn3526
    @jolyn3526 5 місяців тому

    Aki mungu akubariki sana mtumish wa mungu aki, unamsha wingi roho nikiwa one for them

  • @IreneMuseve
    @IreneMuseve 4 місяці тому

    Irine mutumishi wa mungu mm nnapenda nyimbo sako snanitulisa roho yangu uparikiwe sana amen😅😮

  • @sylviaomwenga8740
    @sylviaomwenga8740 5 місяців тому

    Kwa kweli napata kubarikiwa tu hii nyimbo nzuri sana Mungu akubariki pia prst ❤❤❤❤

  • @RebaNanjila
    @RebaNanjila 4 місяці тому

    Nyimbo zako hunitia moyo sana ubarikiwe mutumishi wa Mungu

  • @kathleendalitsu6025
    @kathleendalitsu6025 Місяць тому +1

    When am down when I listen to this songs roho hutulia

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c 5 місяців тому

    Be blessed man of God 🙏

  • @MbisseKundaeli
    @MbisseKundaeli 5 місяців тому

    Ongra sana mtumish nymbo nzuri nimezipend

  • @DamarisMulae
    @DamarisMulae 6 місяців тому

    Am blessed alot mutumishi nikijitazama tu nashaga sana roho yangu yakusifu tu ww mungu❤

  • @solomonsang5504
    @solomonsang5504 Місяць тому

    thanks for your blessing song. I love your way of singing. May our lord God bless you

  • @BenardKaikai-o5m
    @BenardKaikai-o5m 25 днів тому

    Haki kweli nakupenda sna unanifaya nihutumu kwa machozi ya furaha

  • @morwabefaith6534
    @morwabefaith6534 6 місяців тому

    Mungu awe nawe mtumishi...mimi hapa nyimbo huniubiria na kujaza roho yangu..

  • @EstherElius-xh4yr
    @EstherElius-xh4yr 5 місяців тому

    Eeeee...mangu.akulinde

  • @christineamukoye3920
    @christineamukoye3920 5 місяців тому

    AMEN AMEN much BLESSINGS

  • @Justinenafula-ov9mn
    @Justinenafula-ov9mn 5 місяців тому +1

    Just love yours songs ,May God lift you More, but church yako iko api

  • @45GOONSOFFICIAL
    @45GOONSOFFICIAL 5 місяців тому

    More Grace man of God 🙏
    😅

  • @winbentnyongesa979
    @winbentnyongesa979 6 місяців тому

    Be blessed man of God

  • @metrinenamalwa736
    @metrinenamalwa736 4 місяці тому

    Mungu azidi kukupa kibali uzidi kufariji nyoyo za wengi.😭😭😭😭

  • @JescahAbuyeka
    @JescahAbuyeka 2 місяці тому

    Am so blessed with your songs pastor Daniel be blessed pastor