BABA YANGU ANA MALI NYINGI NYIMBO ZA WOKOVU No.178 by DANIEL SIFUNA. (NI MWANA WA MFALME.)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Baba Yangu Ana Mali Nyingi
    V1
    Baba yangu ana mali nyingi,
    Hushika hazina zote mkononi;
    Fedha zote na mawe thamani,
    Na dhahabu zote ulimwenguni.
    chorus
    Ni mwana wa Mfalme,
    Mwana wa Mfalme;
    Pamoja na Yesu,
    Ni mwana wa Mfalme.
    V2
    Mwana wa Baba, Mwokozi wangu,
    Alitembea humu ulimwengu;
    Bali anatuombea sasa,
    Ili tuwe watu wake kabisa.
    V3
    Nilitupwa mbali duniani,
    Nikakubali kuwa mwenye dhambi;
    Bali sasa nimeokolewa,
    Kweli, jina langu limeandikwa.
    V4
    Hema au nyumba, sioni shaka,
    Makao mazuri nitayapata;
    Nikihamishwa na watu wangu,
    Nitafurahi na Mwokozi wangu.
    #swahili
    #gospel
    #viral
    #trending
    #old
    #kwaya
    #Tenzi za roho
    #Nyimbo za wokovu
    #swahili worship songs 2024

КОМЕНТАРІ • 101

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 5 місяців тому +3

    More blessings. Asante Yesu Amen

  • @rosemary3235
    @rosemary3235 5 місяців тому +1

    napenda sana nyimbo zako mungu akubariki sana❤

  • @coxg7299
    @coxg7299 5 місяців тому +1

    Yesu ndio kila kitu🙏🙏🙏

  • @jacquie329
    @jacquie329 27 днів тому

    Hallelujah, Hallelujah ,Hallelujah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @mwirigimbabu6384
    @mwirigimbabu6384 2 місяці тому

    Nyimbo zina baridi saana.

  • @judithokwako7663
    @judithokwako7663 5 місяців тому +3

    Amen🙏🙏.Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @denismwathi8124
    @denismwathi8124 5 місяців тому +3

  • @pastoreigon9612
    @pastoreigon9612 5 місяців тому +2

    Amen 🙏🙏

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 5 місяців тому +2

    Ameeeeeeen Glory to Jesus

  • @EZIBONYUSUPH
    @EZIBONYUSUPH 5 місяців тому

    Amina sana mtumishi nyimbo zako hakika zanibaliki

  • @GetrudeMinyoso
    @GetrudeMinyoso 5 місяців тому +7

    Barikiwa Sana mtumishi

  • @user-fv8nd5pw8w
    @user-fv8nd5pw8w 5 місяців тому +3

    Amen mungu akuongeze bidii yakuimba bro

  • @janety3266
    @janety3266 5 місяців тому

    Amen brother be blessed nice song with a powerful massage

  • @user-lt6sl5tw9g
    @user-lt6sl5tw9g 5 місяців тому +3

    Amen amen 🙏🙏Kwa nyimbo zako za upako huwa zinanibariki Sana mungu awe nawe

  • @الااتاتاا
    @الااتاتاا 5 місяців тому

    Hallelujah Hallelujah ❤

  • @JacklineAgade
    @JacklineAgade 4 місяці тому +2

    Nyinbo zako nzuri Mungu akubariki sna mtumishi

  • @jacquie329
    @jacquie329 Місяць тому

    Hallelujah. Our God owns everything. He is a King of Kings 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @EstherSimiyu-sr3dp
    @EstherSimiyu-sr3dp 5 місяців тому

    Mungu wetu yuapenda sifa hushuka upesi

  • @amudavasteward364
    @amudavasteward364 5 місяців тому

    Bwana azidi kutawala huduma hii sifa zimrudie bwana wetu yesu Cristo

  • @jacquie329
    @jacquie329 5 місяців тому +1

    Thank you Jesus. Am really blessed.

  • @jacquie329
    @jacquie329 4 місяці тому

    Wealth and Riches belongs to you Lord. Amen.

  • @user-dz4he8su4e
    @user-dz4he8su4e 5 місяців тому

    Amina Amina Bwana akubariki sana mtumishi nyimbo zako zanibariki sana

  • @MilkaKhavere
    @MilkaKhavere 5 місяців тому +1

    Nice songs good job👍👍👍

  • @agnesmwanthi3937
    @agnesmwanthi3937 5 місяців тому +2

    May God bless you more for touching many souls through your songs

  • @LydiaLydia-iw6qt
    @LydiaLydia-iw6qt 5 місяців тому +2

    Amen I'm a princess and I fear less! Thenkyou Jesus❤❤❤ for your unfailing Love Amen

  • @user-kx9kn6bk2p
    @user-kx9kn6bk2p 3 місяці тому

    Amen barikiwa sana

  • @Pauline-mw7ob
    @Pauline-mw7ob 5 місяців тому

    Be blessed your songs has more teachings

  • @jacquie329
    @jacquie329 Місяць тому

    Wealthy and Riches belongs to God ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JacintaMueni-l9k
    @JacintaMueni-l9k 5 місяців тому

    Amen

  • @mourineakhwivisa
    @mourineakhwivisa Місяць тому

    I am blessed because of yr good song

  • @shaddy1987
    @shaddy1987 4 місяці тому

    Well done. Glory for the powerful worship

  • @ShakalaKabangala
    @ShakalaKabangala 4 місяці тому +1

    Amen auncle ❤❤

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 5 місяців тому +2

    Asante sana kanisani singekosa kuimba huu wimbo hallelujah

  • @AugustineMunyoki
    @AugustineMunyoki 5 місяців тому +1

    Nyimbo zako huninjenga sana kiongonzi

  • @shelmithjedema7790
    @shelmithjedema7790 2 місяці тому

    Eeish this song is on fire🔥🔥🔥

  • @Pauline-mw7ob
    @Pauline-mw7ob 5 місяців тому

    Wimbo huu wanikumbusha mbali،ubarikiwe sana

  • @MetrineAkinyi-ju5kf
    @MetrineAkinyi-ju5kf 5 місяців тому

    Ameeeen, Glory be to God

  • @catherinemoses8975
    @catherinemoses8975 5 місяців тому +1

    Mimi ni mwana wa mfalmeeeeeee

  • @AugustineMunyoki
    @AugustineMunyoki 5 місяців тому

    Mbarikiwa sana kiongozi Nyimbo zako huninjenga sana mungu hakuzindishie roho ya uimbanji na njina lako lihesambike mbinguni

  • @nancyjalega2588
    @nancyjalega2588 5 місяців тому

    Nyimbo zako zimenijenga Sana ndugu ,popote nitembeapo najihisi kuwa dhambizangu zimeondolewa,,,,,, jinalangu limekubalikaaaaa,ubarikiwe zaidi wazaidi

  • @phanicekhaleji7587
    @phanicekhaleji7587 5 місяців тому +2

    Glory be to God ❤❤❤❤❤

  • @Christine-t7r
    @Christine-t7r 5 місяців тому

    God bless you man of God

  • @josphatwerimo138
    @josphatwerimo138 5 місяців тому +1

    Mimi ni Pst Josphat vyema saana mhuduma Nyimbo zako zina ufunuo Mungu akutie nguvu

  • @GLADYSNASIMIYU-di4tj
    @GLADYSNASIMIYU-di4tj 10 днів тому

    Nice song i used to sing my own things,thanks pastor

  • @jacquie329
    @jacquie329 Місяць тому

    More blessings bro 🙏 🙌❤. Keep moving

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 5 місяців тому +1

    Amen mtumishi wa Mungu unanibariki sana.

  • @StliaSalmi
    @StliaSalmi 5 місяців тому

    🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 5 місяців тому

    Nyimbo itakika ndio hizi sasa

  • @shemondiekiministry
    @shemondiekiministry 5 місяців тому +1

    Blessings brother ❤

  • @Ever0238
    @Ever0238 5 місяців тому +1

    Be blessed too bro, aky nyimbo zako zote zinanijenga tu, big up Ur talent🙏🙏🙏🙏

  • @wolfordshimonyo9674
    @wolfordshimonyo9674 Місяць тому

    God bless you

  • @nancynzinah8290
    @nancynzinah8290 5 місяців тому

    AMINA AMINA AMINA nashukuru sana kusikia hizi nyimbo, next utuletee ule unasema kwamba,Enyi wanadamu msifadhaike mioyo amini mungu pia amini nami nyumbani kwa mna makao mengi.Barikiwa sana 🙏🙏

  • @AllanMondi
    @AllanMondi Місяць тому

    Be blessed

  • @lucasadagi8759
    @lucasadagi8759 5 місяців тому

    Umenikumbisha mbali brother...nazidi kubarikiwa Kwa nyimbo zako,may you God bless you,live long and gain more holy spirit power in this ministry

  • @Edith-bk3wy
    @Edith-bk3wy 5 місяців тому

    God bless u so much

  • @brianlikuyi9589
    @brianlikuyi9589 5 місяців тому +1

    Be blessed 🙏🙏🙏

  • @Jacqueline-y2l
    @Jacqueline-y2l 4 місяці тому

    Stay blessed

  • @AlfredMutua-on6bh
    @AlfredMutua-on6bh 5 місяців тому

    May God bless you

  • @Eglay-u5z
    @Eglay-u5z 5 місяців тому

    Amen,,mimi nyimbo zako hunibariki sana... barikiwa sana brother❤❤

  • @BettyOmulima
    @BettyOmulima 5 місяців тому

    Umenikumbusha nikiimba choir nikiwa mdogo barikiwa sana

  • @mirriammwanzi2372
    @mirriammwanzi2372 5 місяців тому +1

    Thank you 🙏 God bless you dearly

  • @BrianAlex-g5m
    @BrianAlex-g5m 4 місяці тому +1

    Napenda sana nyimbo zako

  • @joycepatofondo
    @joycepatofondo 4 місяці тому

    Aky hzi nyimbo zilikua zikiimbiwa nikiwa mdogo sasa zimepotea kbsa Mungu azidi kukusaidia uzirudishe tena aky zisiishe kabsa

  • @mtumishi_kizumbandaga
    @mtumishi_kizumbandaga 5 місяців тому

    Amina mtumishi barikiwa sana kwa huduma naomba utuletee nyimbo ya wokovu 277 "Nitaogopa nini" nitashukuru huwa inanibariki sana

  • @AwadhIdha
    @AwadhIdha 2 місяці тому

    May God bless you... already to repent 😢

  • @hagaimwaikenda5696
    @hagaimwaikenda5696 5 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe na barikiwa na nyimbo zako naomba na nyimbo ya BWANA YESU ANAKUJA VUMILIA IPO KWENYE TENZI NUMBER 127 UBARIKIWE

  • @alphonsinemasika1542
    @alphonsinemasika1542 2 місяці тому

    Mimi ninakitabu cha Nyimbo za wokovu. Lakini N. 178 ni tafauti na iyi ambae unayaimba. Tatizo ni nini?

  • @Evangelistkithome
    @Evangelistkithome 3 місяці тому +1

    Amen❤

  • @agnesrabera7375
    @agnesrabera7375 4 місяці тому

    Amen

  • @esthermachengo9347
    @esthermachengo9347 5 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @NANCYNYACHAMA
    @NANCYNYACHAMA 5 місяців тому +3

    Amen ❤