Amen Amen Amen, mtumishi wa mungu, niko saudi Arabia, uwa nasikza nyimbo zako sana,zimenisimamisha na kunijenga ki imani wakati nimekata tamaa, najipata mungu amenitia ngufu mpia,umbarikiwe sana
Hakika my brother ni mungu tu,,,,I remember tumepitia those hard challenges tumeishi kusumbuliwa cnah na one of our family members,,,,kuonekana nyuma cnah bt I always trust dht ipo cku,,,just keep remembering our family kasolo on prayers coz tumepitia magumu,,,,,
Bwana Yesu Asifiwe daima katika maisha yetu. Ni nyimbo za zamani zilizopendwa sana ambazo zingali na upako wako. Barikiwa katita Bwana daima. Siku moja tuimbe mbinguni kama ilivyo tumaini letu.
The Lord bless you alot. Since I started listening to your channel especially Old songs, I'm indeed blessed. They are nothing but Sermons. May the Almighty Bless you for blessings us too.
Asante sana kwa nyimbo hizi zinanigusa sana, Naomba nami Mungu baba aniongoze kupitya roho wake ili nimufate bila masito namuomba piya kwa wema wake kwani habaguni wema na wabaya, asipo tazama mabaya ninayo yatenda anipatiye kazi. Ninajuta zambi zangu. Nanyi wapendwa wa bwana muniombeye.😂😂😂😂😂
Among these songs one is reminding me the year nineteen seventy eight when l was five year. So l'm blessing the God for the song kila mtu atauchukuwa mzigo wake.
Mungu Mtakatifu afumbue fahamu na akili zetu tunapomwimbia ili tukaweze kuimba kwa Roho tuimbe zinazostahili kwa Ibaada Takatifu. Mungu akuinue. Mtumishi.
Indeed I have hope God will answer my prayers for long period I have suffered with my family and I child because he is the in my family and father to my child
Mtumishi wa. Mungu Daniel endelea kuwafariji wana wa. Mungu kupitia nyimbo hizi na. Mungu akuhifadhi na damu yake. Unapoendelea kumtumikia Amen❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akubariki tena sana kwa hizi nyimbo. Kila mara nikiomba , naweka hizi nyimbo zikipiga na nikonaomba. Zinakuwa zinanibeba ki Roho 👍🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕❤️❤️💕❤️💕❤️
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi ubarikiwe sana
Amen lam blessed with your song's be bless
I enjoy the song and God bless msiniache bila likes
Amen Amen Amen, mtumishi wa mungu, niko saudi Arabia, uwa nasikza nyimbo zako sana,zimenisimamisha na kunijenga ki imani wakati nimekata tamaa, najipata mungu amenitia ngufu mpia,umbarikiwe sana
Amen mtumishi wa mungu nyimbo zako zinanibairiki sana
Hakika my brother ni mungu tu,,,,I remember tumepitia those hard challenges tumeishi kusumbuliwa cnah na one of our family members,,,,kuonekana nyuma cnah bt I always trust dht ipo cku,,,just keep remembering our family kasolo on prayers coz tumepitia magumu,,,,,
Amen 🙏 barikiwa sana mtumishi wa Mungu napenda sana kusikiza nyimbo zako nikiwa kwa nyumba hakika kila mtu atabeba mzigo yake mwenyewe Halellujah ,,
Aaamen❤❤❤❤❤
😮😮😮@@danielsifuna7377
AMEN🙏 umenitia nguvu Sunday hii ya tare 27 Oct 2024 ❤
Amen,, Yesu Anakuja Kumlipa kila mmoja kulingana na matendo yake
Nyimbo zilizojaa ujumbe wa kiroho barikiwa sana Mtumishi.
Amen 🙏🙏🙏Very nice mixture I'm soo blessed ❤❤👌
Bwana azidi kukuinua
Amen nyimbo zako zanibarki sana
Amen and amen hizi nyimbo zinanibariki sana mtumishi mungu akubariki sana na good health 🙏🙏
Aaaamen❤❤❤❤
Man of God keep on going,yaani nilikuwa nimeshushwa lkn niliposikiza hizi nyimbo nimepata tumaini .be blessed man of God
Aaaaaaamen❤❤❤
Imani na maombi yote yatosha
Amen .Kila goti litapigwa mbele Za Kristo Yesu wakati wasiku ya hukumu.
Amen❤❤❤❤
Hakika nyimbo hizi zinaniweka karibu na Mungu
Nabarikiwa sana Nairobi song
Barikiwa sana mtumishi wa mungu❤❤❤❤ameniiii
Nice songs amen pastor 🙏🙏🙏
Nyimbo zako zinabariki sana keep going mchungaji kutubariki ju ziko na mafunzo poa and it is the way of preaching
Aamen amen❤❤❤❤
mungu akutia nguvu ya kutuimbia nyimbo za kuabudu na kutiineno LA bwana mungu Amen 🙏
Asante nyimbo zenye utulivu barikiwa Amen
Mungu akujazi vipaji zaidi na zaidi. Nyimbo hizi Zina tubariki sana.
Que notre dieu qu'il soit loue à jamais 🙏 🙏🙏
Bwana Yesu Asifiwe daima katika maisha yetu. Ni nyimbo za zamani zilizopendwa sana ambazo zingali na upako wako. Barikiwa katita Bwana daima. Siku moja tuimbe mbinguni kama ilivyo tumaini letu.
Najiona nikama nimesha Toka duniani sasa nipo mbinguni amani niliyonayo moyoni mwangu,
Barikiwa sana mtumishi wa mungu🙏🙏🙏
My heaven father this is how we used to come before you ❤
Nabariwa Sana ninapoona sikiliza nyimbo zako mtumishi.
Amen🙏🙌🙏neema ya Mungu ikujaze mtumishi🤲🙏🙏
Hzr
Aaaaamen
Barikiwa sana
Via the power of our Almighty Christ you're heading far continue blessing us with your nice songs 🎵
hello kuna wimbo yako nataka ntapata aje
AMEN...MUNGU BADILI MAISHA YANGU NIPATE NDOA NIONDOLEE KILA LAANA
The Lord bless you alot. Since I started listening to your channel especially Old songs, I'm indeed blessed. They are nothing but Sermons. May the Almighty Bless you for blessings us too.
Amen amen 🙏🙏
Asante sana kwa nyimbo hizi zinanigusa sana, Naomba nami Mungu baba aniongoze kupitya roho wake ili nimufate bila masito namuomba piya kwa wema wake kwani habaguni wema na wabaya, asipo tazama mabaya ninayo yatenda anipatiye kazi. Ninajuta zambi zangu. Nanyi wapendwa wa bwana muniombeye.😂😂😂😂😂
Nyimbo zenye utuliza roho watu umepungukiwa na imani sinakuliwaza
Amen,,,much blessing kwangu ktk kenya
Asante mchungaji napenda nyimbo zako❤
Amen amen my brother ❤❤
Amen 🙏 I'm blessed with your songs glory be to God
Amen am so blessed through your songs keep pressing on by God's grace 🙏🙏
Amen amen 🙏🙏 more blessings to you post nyimbo zako sanibariki sana
Aamen 🙏❤️
Daigne l'Éternel notre Dieu reçoive toute gloire par le Seigneur Jésus-Christ
Ameeeen brother God bless you more 👌👌👌♥️♥️♥️♥️👍
Amen amen Nelly❤
You are so blessed brother 🎉🎉🎉❤❤
Hallelujah, Amen 🙏🙏
Aaamen❤❤❤❤❤
@@danielsifuna7377habariyako
Very powerful worshipping songs for a man of God Sifuna be blessed
Amen Amen kweli mwisho wa Raha ni jehannum.❤❤
Amen hizonyimbo zikosawa mchungaji
Nabarikiwa sana na nyimbo zako.. God bless you 🙏🙏
Aamen❤❤
Kazi nzuri mtumishi,mungu azidi kukupa kibali
Among these songs one is reminding me the year nineteen seventy eight when l was five year. So l'm blessing the God for the song kila mtu atauchukuwa mzigo wake.
Shalom shalom shalom 🙏 Asante sana kwa hii mix MUNGU awe nanyi daima🙏
Man of God be blessed your song's is touching our hearts ❤❤❤❤
Thanks. Love all the praise, worshipping and prayers songs. Be blessed
Mungu Mtakatifu afumbue fahamu na akili zetu tunapomwimbia ili tukaweze kuimba kwa Roho tuimbe zinazostahili kwa Ibaada Takatifu. Mungu akuinue. Mtumishi.
Amen finally l got the song may God bless your ministry 🙏🙏🙏
Amen amen ESTHER ❤❤❤
This has taken me back to my youth , thanks mchungaji
❤barikiwa sana bratha nyimbo zako zanitia nguvu nazinaniweka karibu na mungu
Dan ur songs are just like a pain and stress reliever
Aaaaamen 🙏♥️
Amen Kila mtu hatauchukua mzigo wake mwenyewe
Kwa nini unakataa kwamba hataubeba mzigo, ni ukweli kabisa kila mtu atabeba mzigo wake!!!
Amen bro God bless you so much 🙏🙏🙏🙏🙏
God bless with many more years you are a blessing to me
Amen amen my brother Antoh
Amen may the Lord bless 🙏🙏🙏🙏
Amen Amen 🙏 Amen glory to God
Amen amen❤❤❤
Hizi ndizo nyimbo zenye ujumbe na uhalisia wa sauti,achana na hizi za Gen-Z za boom!boom! Unashindwa ni gospel ama bongo,Be blessed mtumishi
Nimebalikiwa na wimbo un kabisa
Amen amen amen pastor may The Lord Bless you , hakika Ni Mungu tu daima
Zile nyimbo zilizotifanya tukamjua mungu,thank u Daniel.#nyimboza zama❤
Asante sana Mtumishi wa Mungu. Kwa nyimbo nzuri. Ubarikiwe sana
Indeed I have hope God will answer my prayers for long period I have suffered with my family and I child because he is the in my family and father to my child
Amen amen Amen ♥️🙏🙏🙏
Be blessed 🙏🙏 tbt songs ziko na powerful message
The songs reminds me early 80s b4 i join nursery,mathee used 2 play them kwa kinanda,the songs r blessings
Amen 🙏 be blessed with you songs ❤ keep it up God Whit you always ❤️
Continue producing new old gospel songs it's has a good massage
🎉🎉🎉sweet song nimejipata nikilia tu kw worship 🥳💯%best
Mungu azidi kukubariki sana 🙏🙏nyimbo zako zimefanya nimeyaacha yote ya dunia nimerudi kwa Yesu 🙏🙏
Tunashukulu kwa kutupa nyimbo asili za dini zenye ujumbe mzuri balikiwa sana
Amen 🙏🙏🙏🙏 be blessed brother
Nyimbo zako hunitia moyo sana barikiwa
mambo
I love this music. Barikiwa saana
Amen na Mungu Akuzindishie hio Neema na Kipawa cha Kumtumikia
Mtumishi wa. Mungu Daniel endelea kuwafariji wana wa. Mungu kupitia nyimbo hizi na. Mungu akuhifadhi na damu yake. Unapoendelea kumtumikia Amen❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Man of God thank u very much God bless u,
Nabarikiwa sana mtumishi na nyimbo zako, bwana akubariki sana,
Amen❤❤
Barikiwa Sana ndugu yangu mungu akutie nguvu unapoendelea kufanya Kasi yake 🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Amen nyimbo za zamani Zina ubako
For real old is gold ..You cant compare this songs na za sai..Ifeel blessed
May our God be praised forever 🙏
God bless you servant of God
Asante sana brother mungu akuwe pamoja nawe,this songs is Soo powerful 🙏🏿🙏🏿
Aaamen my siz Celestine
Actually we need to be faithful in our salvation by knowingly that judgement is waiting for us on the last days
Aaamen❤❤❤❤
Mungu akubariki tena sana kwa hizi nyimbo. Kila mara nikiomba , naweka hizi nyimbo zikipiga na nikonaomba. Zinakuwa zinanibeba ki Roho 👍🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕❤️❤️💕❤️💕❤️
Napenda nymbo zako n poa uko sw xn
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, nimebarikiwa sa
na
Barikiwa san mtumishi
Nyimbo za kujenga imani,, tafadhali utoe wimbo wa 'nitasimama kwenye mnara' ikiwa peke yake 🙏🙏
Amen Amen may God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen 🙏🙏🙏
God bless you 🙏🙏🙏🙏
Amen, neema na kibali iongezeke kwa jina la Yesu kristo ❤
Aaamen amen Mtu WA Mungu ♥️♥️
Nyimbo zoko Zina nibariki barikiwa mtumishi wa mungu
Ni ukwel
Aman