- 27
- 6 569 239
Henrick Mruma
Tanzania
Приєднався 26 лип 2013
This is a channel that stores all the Gospel Musical contents of Henrick Mruma.
We warmly welcome you to this family as it is the platform that reach lives and connect people with God through Worship.
Please don't forget to subscribe, share and leaving your comment.
We warmly welcome you to this family as it is the platform that reach lives and connect people with God through Worship.
Please don't forget to subscribe, share and leaving your comment.
Umenipendelea - Henrick Mruma ft. Eliya Mwantondo (Official Live Video)
#Umenipendelea #VyoteNilivyonavyo #Gospel #New #Shukrani #2025
Huu wimbo unaelezea jinsi gani Mungu Amekuwa mwema kwetu hadi kwa zile nyakati ambazo hatukustahili kabisa. Sio sababu ya chochote ambacho tunamfanyia ama kufanya kwa usahihi bali ni kwa sababu ya Neema yake tu ndo maana tunavyo vingi vya kumshukuru.
Song writer: Henrick Mruma
Music arranger/Producer: James Godfrey (Jay G PRO)
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH
Video director : Director Danny (Faithward Films Co)
Mixing and Mastering: Sadock Elias (B&W Productions)
Lights: Faithward Films Co
Sound Engineer: Mitchell Mike Jr.
Audio Capturing: Samuel Mboya (Chosen Records)
Sound System: TAG VCCT & Sound Solution Intl.
Venue: TAG Victory Christian Centre Tarbenacle (Mbezi Beach)
Outfits: Henrick Mruma - The Wardrobe Tz | The Whole Team - Kantana Brand
MakeUp Artist for Ladies: Shatafrika Beauty Store
Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Irene Albert, Seed Of Faith, Seed of Faith Management Team, Band of Christ, Kepha Mndeme, Daniel Malle, Anitha Kiliba, Haddy Pro Co. Ltd, Ivan Kimaro & Wilfred Mchome.
Huu wimbo unaelezea jinsi gani Mungu Amekuwa mwema kwetu hadi kwa zile nyakati ambazo hatukustahili kabisa. Sio sababu ya chochote ambacho tunamfanyia ama kufanya kwa usahihi bali ni kwa sababu ya Neema yake tu ndo maana tunavyo vingi vya kumshukuru.
Song writer: Henrick Mruma
Music arranger/Producer: James Godfrey (Jay G PRO)
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH
Video director : Director Danny (Faithward Films Co)
Mixing and Mastering: Sadock Elias (B&W Productions)
Lights: Faithward Films Co
Sound Engineer: Mitchell Mike Jr.
Audio Capturing: Samuel Mboya (Chosen Records)
Sound System: TAG VCCT & Sound Solution Intl.
Venue: TAG Victory Christian Centre Tarbenacle (Mbezi Beach)
Outfits: Henrick Mruma - The Wardrobe Tz | The Whole Team - Kantana Brand
MakeUp Artist for Ladies: Shatafrika Beauty Store
Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Irene Albert, Seed Of Faith, Seed of Faith Management Team, Band of Christ, Kepha Mndeme, Daniel Malle, Anitha Kiliba, Haddy Pro Co. Ltd, Ivan Kimaro & Wilfred Mchome.
Переглядів: 499 204
Відео
Yesu Nakupenda - Henrick Mruma (Official Live Video)
Переглядів 448 тис.8 місяців тому
#YesuNakupenda #YaleUmetenda #SijawezaKuhesabu #NakupendaYesu #MwambaWangu #New #Gospel Song writer: Henrick Mruma Music arranger: Kepha Mndeme Musicians: BAND OF CHRIST Back Vocals: SEED OF FAITH Sound Engineer: P.A - GADI | MONITOR - BALISIDYA Audio Capturing: GADI Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes) Sound System: KB Music & Balisidya Video Production: Live Events Africa Venue: K...
Ujasiri Wangu Kama Simba - Henrick Mruma ft. Herry Joshua
Переглядів 216 тис.10 місяців тому
#MimiNiMshindi #NinaeYesu #UjasiriWanguKamaSimba #Gospel #Tanzania Song writer: Henrick Mruma Music arranger: James Godfrey (Jay G PRO) Musicians: BAND OF CHRIST Back Vocals: SEED OF FAITH Sound Engineer: P.A - GADI | MONITOR - BALISIDYA Audio Capturing: GADI Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes) Sound System: KB Music & Balisidya Video Production: Live Events Africa Venue: Kilimanja...
Unikumbuke Na Mimi - Henrick Mruma ft. Geofrey Maunde (Official Live Video)
Переглядів 213 тис.Рік тому
#Unikumbuke #UnikumbukeNaMimi #HayaNiMaombiYangu #Yesu Song writer: Henrick Mruma Music arranger: James Godfrey (Jay G PRO) Musicians: BAND OF CHRIST Back Vocals: SEED OF FAITH Sound Engineer: P.A - GADI | MONITOR - BALISIDYA Audio Capturing: GADI Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes) Sound System: KB Music & Balisidya Video Production: Live Events Africa Venue: Kilimanjaro Revival T...
Nimeona Wema Wako - Henrick Mruma & Seed Of Faith (Official Live Video)
Переглядів 183 тис.Рік тому
#NimeonaWemaWako #WemaNaFadhili #NiMungu Song writer: Henrick Mruma Music arranger: Kepha Mndeme Musicians: BAND OF CHRIST Back Vocals: SEED OF FAITH Sound Engineer: P.A - GADI | MONITOR - BALISIDYA Audio Capturing: GADI Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes) Sound System: KB Music & Balisidya Video Production: Live Events Africa Venue: Kilimanjaro Revival Temple Outfits: Wekisha, Kuy...
Henrick Mruma & Seed Of Faith - Usiogope (Official Lyric Video)
Переглядів 4,9 тис.Рік тому
Kuna nyakati katika maisha unawaza utapenya vipi, utapita na utavuka vipi... Ulishatamani kusikia sauti ya Mungu ikikuaminisha usiogope maana Niko pamoja nawe? Basi wimbo huu unakujia katika maudhui hayo. Tunamuamini Mungu kwamba Ameleta ujumbe huu katika majira haya kwa kusudi la kuvusha mtu fulani mahali. Song Writer: Henrick Mruma Singers: SEED OF FAITH Music Production, Mixing & Mastering: ...
Henrick Mruma - Waweza (Official Live Video)
Переглядів 48 тис.Рік тому
#SeedOfFaith #Waweza #Praise #ASeasonOfHarvest “Yesu akasema, Mtu alinigusa, maana naona ya kuwa nguvu zimenitoka. Akamwambia Binti, imani yako imekuponya; enenda zako na amani.” Lk 8:46, 48 SUV Bibilia inatupa mifano na story nyingi za uweza na ukuu wa Yesu, inatufundisha uponyaji wake, nguvu zake na kazi zake. Kiri pamoja nasi kwenye jambo lolote unalomuamini atafanya kwako leo, a...
Maserafi Wanaimba - Henrick Mruma ft. Nickson Kanyelele (Official Live Video)
Переглядів 217 тис.Рік тому
Huko Mbinguni, Kiti cha enzi kimezungukwa na Maserafi na Makerubi huku sauti zao wakiwa maelfu na maelfu zinasikika zikimsifu Mungu usiku na mchana bila kuacha wala kukoma. Yeye Mungu Anaestahili heshima na enzi anatukuzwa na kuambiwa Haleluya, Umestahili wewe Mungu Wa Ajabu. Song writer: Henrick Mruma Music arranger: James Godfrey (Jay G Pro) Musicians: BAND OF CHRIST Back Vocals: SEED OF FAIT...
Nakutegemea - Henrick Mruma ft. Zoravo (Official Live Video)
Переглядів 149 тис.Рік тому
#SeedOfFaith #Nakutegemea #NimeliaAsubuhi #Gospel Zaburi 71:1-3Nimekukimbilia Wewe, Bwana, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye, uniopoe, Unitegee sikio lako, uniokoe. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, Nitakakokwenda sikuzote. Umeamuru niokolewe, Ndiwe genge langu na ngome yangu. Singer/Song writer: Zoravo X Henrick Mruma Music arranger: James Godfrey (Jay G Pro) Musicians: BAND OF CHRIST...
Nataka Nitulie - Henrick Mruma (Official Live Video)
Переглядів 70 тис.Рік тому
#SeedOfFaith #NatakaNitulie #Nikikuamini #Nikikusubiri #UnipeMajibu Nataka Nitulie ni wimbo wa maombi kwa Mungu, Maombi katika nyakati ambazo tunakuwa na maswali mengi ambayo hatuna majibu yake na tunasubiri mambo ambayo tunayahitaji kwenye maisha huku tukiwa hatujui itatuchukua muda gani hadi tuyapate na kama ni kweli yataleta furaha na upenyo kwenye maisha yetu. Katika wimbo huu tunakiri kumu...
Haleluya Nyakati Zote - Henrick Mruma ft. Paul Clement (Official Live Video)
Переглядів 303 тис.Рік тому
#SeedOfFaith #HaleluyaNyakatiZote #NitaimbaHaleluya #Haleluya Yako mazingira mengi sana ambayo tunayapitia kwenye maisha yetu mengine mazuri na mengine magumu. Kitu pekee ambacho tunapaswa kufanya ni kumsifu bila kuangalia mazingira ambayo tunapitia sababu Mungu wetu Anapenda sifa zetu. Haijalishi tutapitia mazingira gani kwenye maisha yetu lakini tumechagua kuimba Halleluya nyakati zote kama i...
Mvua Imekuja - Henrick Mruma (Official Live Video)
Переглядів 117 тис.Рік тому
#SeedOfFaith #ASeasonOfHarvest #MvuaImekuja #Mvua #Imekuja Isaya 30:23 Naye atatoa mvua juu ya mbegu zako, upate kuipanda nchi hii; na mkate wa mazao ya nchi, nayo itasitawi na kuzaa tele; katika siku hiyo ng'ombe zako watakula katika malisho mapana. It’s a Season of Harvest na Mungu Alemeta Mvua ya baraka, mavuno ya kile tulichopanda na majibu ya maswali yetu. Kulingana na tutakavyokiri maneno...
Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe - Henrick Mruma ft. Clara Minja (Official Live Video)
Переглядів 532 тис.Рік тому
#SeedOfFaith #ZaidiYaFahamu #UkoMwenyewe #ASeasonOfHarvest Mungu wetu ni wa ajabu na Anafanya maajabu. Pale ambapo fahamu, mawazo, akili na upeo wetu vinaishia ama kushindwa Anafanya yeye mwenyewe. Tafakari kule ambako unakwenda katika siku za usoni na fikiria kule ulikotoka utatambua kuwa ni Mungu pekee Aliyeweza na Anayeweza fanya mambo makuu kwenye maisha yako. Kuna mambo kwa akili ya kibina...
Ukae Nami - Henrick Mruma (Official Live Video)
Переглядів 3,4 млн2 роки тому
#SeedOfFaith #UkaeNami #KaaNami #ASeasonOfHarvest Zaburi 121:5-8 “BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume. Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.” 🌱 Ni shauku yetu kwamba wimbo huu ukawe maombi yako unapousikiliza na Mungu Akae nawe maishani ...
Henrick Mruma - Mvua Imekuja (Official Music Video)
Переглядів 20 тис.2 роки тому
Kumb Torati 11:14 inatuambia, “ndipo nitakapowapa mvua ya nchi yenu kwa wakati wake, mvua ya masika, na mvua ya vuli, upate kuvuna nafaka yako, na divai yako, na mafuta yako.” Hii ni mvua iletayo majibu na baraka kwenye maisha yetu. Studio: ALBEROSE MUSIC HOUSE Producer: BAND OF CHRIST Mixing and Mastering: Kepha Mdeme (Smart Tunes) Music Arranger/Instrumentalist: James Godfrey @jay_g_prod...
Henrick Mruma - Nikilinganisha (Official Audio) ft. Nelly Music
Переглядів 4,2 тис.2 роки тому
Henrick Mruma - Nikilinganisha (Official Audio) ft. Nelly Music
Henrick Mruma - Maserafi (Official Audio)
Переглядів 10 тис.2 роки тому
Henrick Mruma - Maserafi (Official Audio)
Henrick Mruma & Bella Kombo - Nitashinda (Official Audio)
Переглядів 3,3 тис.3 роки тому
Henrick Mruma & Bella Kombo - Nitashinda (Official Audio)
Henrick Mruma & Zoravo - Nakutegemea (Official Audio)
Переглядів 7 тис.3 роки тому
Henrick Mruma & Zoravo - Nakutegemea (Official Audio)
Henrick Mruma - Jehova Ni Wewe (Official Audio)
Переглядів 2,2 тис.3 роки тому
Henrick Mruma - Jehova Ni Wewe (Official Audio)
Henrick Mruma - Yesu (Official Audio)
Переглядів 3,5 тис.3 роки тому
Henrick Mruma - Yesu (Official Audio)
Henrick Mruma - Waweza (Official Audio)
Переглядів 3,8 тис.3 роки тому
Henrick Mruma - Waweza (Official Audio)
Henrick Mruma X Regina Makombe - Amiri Jeshi Mkuu (Official Music Video)
Переглядів 13 тис.4 роки тому
Henrick Mruma X Regina Makombe - Amiri Jeshi Mkuu (Official Music Video)
Henrick Mruma - Wewe ni Bwana (Official Lyric Video)
Переглядів 9 тис.4 роки тому
Henrick Mruma - Wewe ni Bwana (Official Lyric Video)
Henrick Mruma - Nakushukuru (Official Music Video)
Переглядів 32 тис.4 роки тому
Henrick Mruma - Nakushukuru (Official Music Video)
Henrick Mruma - Nataka Nitulie (Official Music Video)
Переглядів 84 тис.4 роки тому
Henrick Mruma - Nataka Nitulie (Official Music Video)
Henrick Mruma - Ushuhuda Wa Uhuru (Official Lyric Video)
Переглядів 9 тис.5 років тому
Henrick Mruma - Ushuhuda Wa Uhuru (Official Lyric Video)
Speaking 🔊 of God's greatness and faithfulness in my life!
Hakika mungu amenipendelea ...kuona mwezi wa februali .ni mungu amenipendelea
Asant mung
Thank you Jesus for your Favour Umenipendelea kwa Hali Zote ,bado ni Neema Yako , Ila Umenipendelea Baba, Asante, Nizidishie Neema Yako Leo na kila siku
Oooh God asante umenipendelea 🫂🫂🫂🫂🫂🫂
Umenipendelea uhai huuu
Healthy, highly favoured
Amen,this is the Best song. God bless u
Uhakika mungu umenipendelea
nipo home kila nikisiliza huu wimbo nashindwa jizua kububujika thank you my lord
Huu wimbo unanikumbusha nilipotoka na hapa nilipo hakika Mungu ni mtetezi wetu anafanya ambayo hatukutarajia.Ubarikiwe sasa kaka Mruma pamoja na team nzima❤😊
😭😭😭 Hata sijui ni nini nimekufanyia Mungu Umenipendelea hivi😭....Bwana Umenipendelea🙌
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Umenipendelea 😭😭😭
31st January 2025 Celebrating 23 years of existence and Immese grace as i welcome my 24th year.😍 Happy birthday to Me. Hakika Mungu umenipendelea 👏🏽🙏🏽
2025 imekua mwaka wa upendeleo, afya, uhai, neema, opportunities, amani, furaha, familia, kibali, familia, hekima, kazi...nashukuru umenipendelea
I imagine how worst a sinner I am, and He still loves me anyway, enyewe amenipendelea. This is true worship, God bless.
ua-cam.com/video/AGrs0qNFkCg/v-deo.htmlsi=g1Vc3wtLAFDYdDAo
Hakika Mungu amenipendelea,mwanaume ambae nilizaa nae alikataa mtoto mwaka 2020 lakini MUNGU ameamua kunipendelea,hatimae tarehe ya leo 30/1/2025 amekuja kumuona mtoto wake,hakika Mungu nakushukuru kwakuwa umenipendelea
Asante Jehovanisi
YESU ASANTE SANE , KWASABABU NIPO HIVI NILVYO KWASABABU UMENIPENDELEA NA MIMI KUWA MZIMA , AFYA JEMA, KAZI NZURI ,CHUO KIZURI YESU UMENIPENDELEA ASANTE YESU
Link imefika tuh saii lakini mshajaa uku😂 Congratulations Kenya for supporting our own Thanks Onjula this is powerful 🥹🎊👏
This song is a blessing. Love all the way from Kenya
Nilikua natamani kuingia studio niimbe Mungu ukaniwezesha😢😢😢,nina channel yangu sasaa, UMENIPENDELEA
Kuna aliyepedelewa zaidi yangu?? Nilipokuwa theater kwa upasuaji mashine zilizima zikimaanisha hakuna uhai tena ndani yangu. Mungu aliniamsha tena, akanipa zawadi ya uhai, madaktari hawana maelezo wananiuliza ilikuwaje nawajibu Jehova El Gibbor amenitengenezea ushuhuda. Look at me today, I am alive, grateful, healthy and happy KAMA SI UPENDELEO NI NINI. 😢😢
Amen!!!
We thank God
@@leahtitiha2445 Amen
@@zakiamseka9698 Amen
Mapendeleo ya hali ya juu hii ... bwana upewe sifa
My every morning declaration...I have to listen to it everdsy🎉🎉🎉🎉
Uhai huu umenipendelea❤
Ule wamwanzo siupati
Huuwimbo nilikua nausikiliza kila saa lakini sipenda ulivyo ubadilisha umeuwaribu sana sijapenda😢
🙏 Amen
🙌👏👏
Aaaaaise I'm in love with this song such beautiful words of thanks giving to our Lord and Savior.
My degree ni Kua umenipendelea tu sistahili ,family ,job ohh God umenipendelea ingekua mwanadamu ningelipia
🙌🏽🙌🏽
Thank You LORD❤ am Greatful Yahweh 🙌
God Help me..lm overwhelmed 😢😢😢😢
👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
From tiktok
🙌🙌🙌🤲
This year Lord you have really favoured me...umenipendelea
Huu wimbo unanifanya ni ungane na makerubi masereki na wazee ishirini na nne
Sijivuni kwa chochote,hakika umenipendelea.
Am touched by this great song,❤for sure amenipendelea,nkifikiria maisha yenye nlikua nayo😢 without job but kwa upendeleo wake here i am to testify....🙏 naomba mwaka huu azidi kunipendelea zaidi na zaidi 🙏 be blessed alot the servant of God.
Very powerful I can repeat a million times it's such blessing
Umenipendelea
Wangapi wanatumaini Mungu amewapendelea kwa pumzi hii
I can’t stop reasonating with this song. Nakupenda Yesu❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mwambu wangu Imara.
Tiktok to here
Kweli kabisa sikustahili kusima mbele zako Kwani mi ni mdhambili ila umenipendelea
@Asante YESU 🎉❤😍🙏🏻
Mungu nitetee kwenye maisha yangu