Haleluya Nyakati Zote - Henrick Mruma ft. Paul Clement (Official Live Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • #SeedOfFaith #HaleluyaNyakatiZote #NitaimbaHaleluya #Haleluya
    Yako mazingira mengi sana ambayo tunayapitia kwenye maisha yetu mengine mazuri na mengine magumu. Kitu pekee ambacho tunapaswa kufanya ni kumsifu bila kuangalia mazingira ambayo tunapitia sababu Mungu wetu Anapenda sifa zetu.
    Haijalishi tutapitia mazingira gani kwenye maisha yetu lakini tumechagua kuimba Halleluya nyakati zote kama ishara ya kumsifu Mungu kwenye nyakati ngumu ama nzuri sababu yeye ni Mungu na Anabaki kuwa Mungu licha ya mazingira yoyote tutakayopitia.
    IN GOOD TIMES AND IN BAD TIMES, HALLELUYA IS THE SONG WE SHOULD ALWAYS SING TO GOD.
    Song writer: Henrick Mruma
    Music arranger: James Godfrey (Jay G Pro)
    Musicians: BAND OF CHRIST
    Back Vocals: SEED OF FAITH
    Sound System: Sound Solution International
    Sound Engineer: Balisidya
    Audio Capturing: Sam Mboya
    Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes)
    Video Production: SP Visuals
    Lights: Nyakalo Lights
    Stage Design: Winfred Palmena
    Stage Decor: Gatty Events
    Venue: City Harvest Church
    Outfits: Dar Suit and Kuya Creations
    Special Appreciations:
    Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.

КОМЕНТАРІ • 273

  • @paulclement25
    @paulclement25 Рік тому +53

    Uuuuuuuuh! GLORY TO GOD 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @rtlusungu
      @rtlusungu Рік тому

      Kaka Paul, Mungu akubariki Sana. Nakukubali na nakupenda since day 1... Mungu azidi kukutumia

    • @madlynenyambu9698
      @madlynenyambu9698 Рік тому

      Paul wewe ni zaidi ya muimbaji... Nimefuatilia Yale masomo ya in spirit and truth. God bless you man of God. Ushirika wenu katika huduma ya uimbaji nyinyi watumishi wa tz inatia moyo sana.

    • @MrBeats26
      @MrBeats26 Рік тому +1

      Barikiwe sana kaka

    • @naomipraiseofficial3192
      @naomipraiseofficial3192 Рік тому

      I love That Stanza about Tujitwike Kwa Yesu..

  • @merveilleajabu
    @merveilleajabu Рік тому +5

    Sababu najua yeye ni Mungu sitaacha kumsifu
    Anasema tushukuru kwa kila jambo hata kwa yale ambao yana kasoro
    Anasema tumsifu kwa kila hali hata kwa wakati wa kupita jangwani
    Sasa nimetambua anachotaka Mungu
    Anachotaka sisi tumsifu tu
    Anasema tumtwike fadhaa zetu
    Maana yeye hushugulika na mambo yetu
    Na sisi tunashugulikia la kwake
    Na la kwake ni moja tu KUMSIFU.
    Kwenye majira yote Tutamsifu.

    • @eliumbanambowe722
      @eliumbanambowe722 8 місяців тому

      Mdg wangu upo wapi nikumwagie baraka zako hakika ndicho anachotaka na ukifanikiwa hapo kumsifu imeisha iyoo ,sifuu kila mahala Mungu ndicho anachotaka,anatafuta wamuabudio na kumsifu katika roho na kweli

  • @naomipraiseofficial3192
    @naomipraiseofficial3192 Рік тому +13

    That Stanza Sang By Paul Clement is weighty💥💥💥...I have replayed severally

  • @MarryEmail
    @MarryEmail Місяць тому

    All the way from Kenya I was once a big sinner but God visited me once and knock on my door I'm not going back to sin, I feel free like a bird thanks for the your wonderful songs

  • @nyutwaclassic
    @nyutwaclassic Рік тому +1

    4:14 ~ 5:15 🎉🎉🎉🎉 Umetenda Bwana Kwa kijana Huyu
    Voice 💯
    Music 💯
    Ubunifu 💯

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 Рік тому +7

    Hakika hallelujah majira yote nitaimba hallelujah ,huu wimbo wa miaka yote mpka wakati ambao tutaitwa na Mungu Kila mmoja Kwa nafasi yake na tukifika Bado tutaimba hallelujah Kwa Mwana Kondoo tukiungana na makerubi,Maserafi na jeshi la malaika ....hakika ni wimbo wa majira na nyakati zote ubarikiwe bro

  • @sammyekiru9907
    @sammyekiru9907 25 днів тому +1

    May the Lord of the received the Glory

  • @ministermusa9955
    @ministermusa9955 Рік тому +24

    Mungu awabariki Sana Watu wa Mungu. Mnatubariki saaaana saaana Kwa nyimbo zenye kutupa nguvu Mpya kila leo🙏🙏

  • @ANGEJEMUMU024
    @ANGEJEMUMU024 18 днів тому

    Na mimi nitaimba "Hallelujah"🙏🙏🙏 kwa nyakati zote
    Thank you my brother's Mruma 🎉🎉🎉

  • @rachaelmichael345
    @rachaelmichael345 Рік тому +10

    Halleluya ni wimbo wa milele.wimbo huu umebeba ujumbe mkubwa sana ktk maisha yangu na nimekutana nao ktk wakati sahihi.Mungu awabariki xana watumish wa Mungu🙏💕💕💕💕

  • @christopherdavid8635
    @christopherdavid8635 Рік тому +7

    Nyinyi ni watu wamaaana sana Mungu awatunze sana tuzidi kubarikiwa na hizi ibada kila siku kila wakati. Mbarikiwe sana.

  • @lydiamunuve3927
    @lydiamunuve3927 Рік тому +7

    Huu wimbo ni mtamu jamani. Huku Kenya tunawapenda🇰🇪

  • @RobertKichembu-bi7eu
    @RobertKichembu-bi7eu Рік тому +1

    Kuna namna mbingu zimepokea sifa za moyo. Henrik unacheka😂 enewei Paul ameimba kibingwa Sana.

  • @joshuamwakatobe3988
    @joshuamwakatobe3988 Рік тому +2

    Alooo this is so annoiting

  • @kipkiruigillie4332
    @kipkiruigillie4332 Рік тому +4

    Asante sana kwa kuitikia kufuata mtindo huu wa live music mungu atakuinua ndugu yangu.... 🇰🇪🇰🇪💟

  • @mutituthuo2967
    @mutituthuo2967 Рік тому +6

    Hallelujah 🙌ni wimbo wa nyakati zote 💃👯🕺

  • @Gracidmoroj950
    @Gracidmoroj950 Рік тому +5

    Wonderful wonderful song , hallelujah to the most hig

  • @madlynenyambu9698
    @madlynenyambu9698 Рік тому +4

    When talents & good practice meets with the anointing of the Holy spirit....guys the spirit of excellence is upon all of you...
    The way Paul sings the Haleluya part....and the way Henrick you are admiring Paul..such a harmony.... Drummer anacheza drums kutoka moyoni... Vocals are on point.
    Really God bless all of you. Much❤❤ from Kenya .

  • @sammyekiru9907
    @sammyekiru9907 25 днів тому

    Hallelujah ndio wimbo wa nyakati zote

  • @lydiawanjiru2452
    @lydiawanjiru2452 Рік тому +19

    Hallelujah at all times.
    When I sing hallelujah,let the heaven open for me.🇰🇪

  • @essahsaimonmwalwega6097
    @essahsaimonmwalwega6097 Рік тому +2

    Haleluya!

  • @ivyodero6881
    @ivyodero6881 Рік тому +1

    Nitaimba hallelujah Kwa Hali zote Kwa majira zote nitakusifu uliye mkamilifu

  • @MartinaKabukoba
    @MartinaKabukoba 8 місяців тому

    Nitaimba hallelujah nyakati zote to maneuver my seasons

  • @blessmugemuzibaraka4437
    @blessmugemuzibaraka4437 Рік тому +5

    Que mon Dieu vous bénisse ! Peu importe les circonstances, je louerai le nom de l'Eternel.

  • @josephs8885
    @josephs8885 Рік тому +5

    Hallelujah Nyakati Zote❤❤

  • @dennyhope6122
    @dennyhope6122 Місяць тому

    Kwani watu husikiza nini? If hii ngoma haijafika 1M views. My daily dose

  • @neemaomary9744
    @neemaomary9744 Рік тому +1

    Tanzania Tanzania Tanzania🥰🥰 Tumebarikiwa mnoo 🥰🥰🙏🏻🙏🏻

  • @cyrusboniface100
    @cyrusboniface100 Рік тому +2

    Hallelujah The song smart

  • @EliyaJames-fn3dz
    @EliyaJames-fn3dz 11 місяців тому

    Umetisha sana mruma kwa wimbo unaogusa moyo wangu

  • @jacklinejonathan7194
    @jacklinejonathan7194 9 місяців тому

    HALLELUJAH HALLELUJAH 🎉🎉 HALLELUJAH 🎉🎉🎉

  • @makandajr469
    @makandajr469 Рік тому +5

    Commenting from Athens Greece...this song is 🔥🔥

  • @aminimgheni8968
    @aminimgheni8968 8 місяців тому +2

    Huu kwangu ni wimbo wa wakati wote,sijawahi kuuzoeaa

  • @olivewanjiru7956
    @olivewanjiru7956 Рік тому +2

    Hallelujah kwa majira yote

  • @nurukeys2821
    @nurukeys2821 5 місяців тому

    Nitaimba Hallelujah wakati wote

  • @loyceyahya2622
    @loyceyahya2622 7 місяців тому +1

    Nitaimba Hallelujah Hallelujah nyakati zote .....my all time song God bless brother Henrick

  • @robsononesmo
    @robsononesmo Рік тому +3

    Haleluya nyakati zote... Can't wait another seed

  • @anzazikiti7299
    @anzazikiti7299 Рік тому +11

    Hallelujah! The highest praise.

  • @ambrose_vevo137
    @ambrose_vevo137 Рік тому +1

    Kila aliyenamwana anao ushuhuda.....Amina sana.

  • @cikujudy
    @cikujudy 7 місяців тому

    Hallelujah ni wimbo wa majira yote.

  • @aminimgheni8968
    @aminimgheni8968 8 місяців тому

    Huu wimbo wa taifa kila sikuuuuu

  • @victormwakipesile6990
    @victormwakipesile6990 Рік тому +1

    Mmeuaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @blessedazariahmusic
    @blessedazariahmusic Рік тому +16

    Nitaimba hallelujah 🙌 katika majira yote. Much ❤️ from 🇰🇪.

  • @ministerjeremyjeradi254
    @ministerjeremyjeradi254 Рік тому +10

    More Grace my brother! This is so powerful. Love the music , vocals , instrumentalists , Keep up the good work. Umenibariki .

  • @el-roiambassadorchannel9896
    @el-roiambassadorchannel9896 Рік тому +5

    Very good message , Hongera sana Henrick. Mungu anashuhulikia yetu na sisi tunashuhulikia la kwake na la kwake ni Moja KUMSIFU🔥🔥🔥

  • @juliusjohnii7823
    @juliusjohnii7823 6 місяців тому +1

    Henreck unibariki sana kwa Uimbaji,,
    Mungu akubariki ndugu, aendeleee Kukuwezesha kwa kila namna awe nawe,,amen.

  • @MariaMgimba-xn6qi
    @MariaMgimba-xn6qi Рік тому

    Wabarikiwe jaman duuu nimebarikiwa sana

  • @MercyAtieno-kd2ds
    @MercyAtieno-kd2ds Рік тому +6

    You guys make us stick on the word of God in all situations.indeed you are God sent ❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @estherkiula234
    @estherkiula234 Рік тому

    Wow nice 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @evansbaraka3255
    @evansbaraka3255 Рік тому +1

    Tam sana hii

  • @AntoniaFabian-r5p
    @AntoniaFabian-r5p Рік тому

    Mbarikiwe sana vijana wa mungu love u guy

  • @mussalabani2624
    @mussalabani2624 Рік тому

    Mungu Awabariki Sana Watu Wa Mungu

  • @MercyQurux
    @MercyQurux Рік тому +1

    Wooow. Just wowww❤🎉
    Likes from Kenya.

  • @lilianwanje9185
    @lilianwanje9185 Рік тому +4

    Hallelujah ❤

  • @rembocontractors8754
    @rembocontractors8754 Рік тому

    The drumist Ako 🔥🔥🔥🔥

  • @ClaudeMathieu-pl9xo
    @ClaudeMathieu-pl9xo Рік тому

    Good song 🎵 with Ms Paul clement

  • @maryakinyi62
    @maryakinyi62 Рік тому +5

    I will praise Him in good times and bad times. Hallelujah is my song in all seasons. All praise unto you Almighty God

  • @NeemaMatemu
    @NeemaMatemu 6 місяців тому

    Be blessed saana unatubariki saana kwa kweli may God give moree🎉

  • @elmessilas3780
    @elmessilas3780 Рік тому +5

    Hallelujah...Congratulations brother kwa wimbo wenye nguvu....

  • @leakeymawira
    @leakeymawira Рік тому +3

    Hallelujah. Huu ni wimbo wa majira yote. Kenya twawapenda.

  • @user.m-o5w
    @user.m-o5w 6 місяців тому

    Paul clement I love your songs your my fav you and llwaga

  • @fedinandjames7262
    @fedinandjames7262 Рік тому +1

    Nimependa wimbu huu

  • @kwizeravainqueur624
    @kwizeravainqueur624 Рік тому

    Bwana asifiwe

  • @risperkarambu1697
    @risperkarambu1697 4 місяці тому +1

    This song kept me going a month ago when nothing seemed to be working. I could play it whole day without tiring dance to the rhythm. God came through I'm still playing it . God Bless the author

  • @Psychologist_001
    @Psychologist_001 Рік тому +3

    Mungu awabariki sana watumishi. Powerful in deed.

  • @kenusochola1241
    @kenusochola1241 11 місяців тому

    It's celebrations no matter the season.

  • @janeymhando
    @janeymhando Рік тому

    Asanteni sana,,tushukuru kwa Kila jambo, hata ktk kipindi nipitacho jangwani. NITAMSIFU🙏

  • @veronicaemmanuelmapalala6533
    @veronicaemmanuelmapalala6533 Рік тому +2

    Hallelujah hallelujah 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @gloriousthomas3817
    @gloriousthomas3817 Рік тому

    Hello,Kaka yangu ,unanibariki,uho nenzo,

  • @manuelpoldoskitv
    @manuelpoldoskitv Рік тому +5

    Paul Clement is so incredibly anointed this is deep Good music keep sowing my people

  • @rtlusungu
    @rtlusungu Рік тому +6

    Wow.. Hongera Sana kaka Henrick, what a song 🔥🔥🔥 Hallelujah kwenye shida na kwenye Raha

  • @stellamakweta2182
    @stellamakweta2182 Рік тому

    Siku zote nitashukuru kwa yote

  • @RichMotherr
    @RichMotherr Рік тому +3

    ❤❤Glory Glory Glory to God
    Trust the Lord hata pale usipojua unapitaje

  • @ashelympenda6869
    @ashelympenda6869 Рік тому +1

    😮😮 Wow hongera et Bro Paul Clement and Henrick Mruma

  • @husseinerasto1789
    @husseinerasto1789 Рік тому

    Nitaimba hallelujah

  • @NkathaP
    @NkathaP Рік тому +4

    Swahili takes worship in other levels.. ❤❤❤ much love from Nairobi

  • @judithmaeba5022
    @judithmaeba5022 Рік тому +3

    I normally envy people who attend such events❤❤yoooh #Masterpiece💯

  • @anneodongo7966
    @anneodongo7966 Рік тому +4

    Woooooow. Such a powerful song great musical arrangement

  • @daktarikiganjani4031
    @daktarikiganjani4031 Рік тому +3

    Glady kuwa sehem ya production hii..... ninaimba halleluya nyakati zote.... Cant wait for more....

  • @mwamernestmusic
    @mwamernestmusic Рік тому +1

    Nitaimba Halleluyah 🙌🏼

  • @joshygeorgee
    @joshygeorgee Рік тому +3

    Wimbo mzuri na baraka sana🙌🏻💪🏻

  • @PraizKimz
    @PraizKimz Рік тому +4

    Just wow… Hallelujah everyday 🥂

  • @marymusyoka6936
    @marymusyoka6936 Рік тому +1

    Hallelujah all the way

  • @sampianist1303
    @sampianist1303 Рік тому +1

    Paul ana jua kwakwel

    • @gloriousnp
      @gloriousnp Рік тому

      Habahatishi 🙌🏾🙌🏾

  • @salomebahati8824
    @salomebahati8824 Рік тому

    Jaman kwa Yesu rahaaaa... Aaaaahh

  • @DanielKweka-o1h
    @DanielKweka-o1h Рік тому

    My best en favorite song from tz❤

  • @steylinewambo2741
    @steylinewambo2741 Рік тому +1

    ❤ Amen

  • @mercyhamis5807
    @mercyhamis5807 Рік тому

    My God bless the man of God

  • @joeshaka9856
    @joeshaka9856 Рік тому

    Ahsanteni sana kwa kunibariki.

  • @anngracious2010
    @anngracious2010 Рік тому +2

    Nitaimba hallelujah katika majira yote for He deserve our praises Abba father

  • @Kukubalikaesther
    @Kukubalikaesther Рік тому +9

    Halleluyah hallelujah rejoice in the Lord Always and again I say rejoice🙌You are singing good God bless the whole crew🙏

  • @justinemwadime289
    @justinemwadime289 Рік тому +4

    My favorite brothers singing the favorite song of hallelujah. I love it

  • @brobrandtz
    @brobrandtz Рік тому +1

    4:35 🙌🏼

    • @gloriousnp
      @gloriousnp Рік тому

      Ikr 🙌🏾🙌🏾🙌🏾, wow! just wow

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 Рік тому

    Amen KUBWA

  • @khantronics
    @khantronics Рік тому +5

    Glory to Jesus

  • @ameulmontan6753
    @ameulmontan6753 11 місяців тому

    I love this song unanibariki sana

  • @eliateacher3241
    @eliateacher3241 Рік тому

    Nzuri

  • @Jonathankaghese
    @Jonathankaghese Рік тому

    Amina ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LeahMwaipwisi
    @LeahMwaipwisi 2 місяці тому

    Bwana akubariki

  • @theotv6751
    @theotv6751 8 місяців тому

    Mubarikiw tena natena

  • @gracemurianki2455
    @gracemurianki2455 Рік тому

    Watanzania...huu ni upako wa kipekee...Mungu azidi kuwainua mkimtumikia kulihudumia kanisa lake ulimwenguni🎉 💯Hapa🇰🇪tunawabariki!!!