Ukae Nami - Henrick Mruma (Official Live Video)
Вставка
- Опубліковано 5 жов 2024
- #SeedOfFaith #UkaeNami #KaaNami #ASeasonOfHarvest
Zaburi 121:5-8
“BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume. Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.”
🌱 Ni shauku yetu kwamba wimbo huu ukawe maombi yako unapousikiliza na Mungu Akae nawe maishani mwako milele
Song writer: Henrick Mruma
Music arranger: Kepha Mndeme
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH
Sound System: Sound Solution International
Sound Engineer: Balisidya
Audio Capturing: Sam Mboya
Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes)
Video Production: SP Visuals
Lights: Nyakalo Lights
Stage Design: Winfred Palmena
Stage Decor: Gatty Events
Venue: City Harvest Church
Outfits: Dar Suit and Kuya Creations
Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Dr. Twina Suzzette, Geofrey Rutta and Gideon Mlawa.
Mwaka huu bwana sina mwingine ila wewe tu.
TANZANIA IS BLESSED, Tunajifunza kutoka kwenu...Love from Kenya😊❤️🇰🇪
I agree they are really blessed
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
True.. this grace and more will be our potion too🇰🇪
I glorify God for this Grace. ❤
@@sabinagakure6824Bless you
I was Muslim and converted to being a follower of our lLord Jesus Christ..I prayed to God one time with all my heart and asked him to show me if he’s real then Jesus came into my life. The holly spirit is guiding me and I will start preaching in God’s name one day to bring this gift of true love and happiness to less fortunate and lost souls.Amen ❤❤❤❤🙏😇
Be. Blessed
Hallelujah 🙏
Powerful testimony!
May the Holyspirit continue guiding you . Keep praying for the people you left that side,coz now you know the difference,things aren't the same!
Much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
May Our Good Lord Bless you. He's true way and life
Same story of my life 😢
Now am true Christian and I believe that Jesus Christ is real.everyday in my life isee his blessings in my life 🙏🙏
2024, this is my prayer. Who else is with me?
We are together
Me
Powerful indeed
Nlimpokea yesu siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza mwaka wa 2024, na ombi langu ni kwamba Bwana Yesu akae nami. Asiniachilie. Ijapo kuwa mto utafurika, Naomba tu anishikilie Mkono.
Usiogope,hatua yako ya kilikiri Jina la YESU nimpenyo tosha,kikubwa jitenge na dhambi kwa uaminifu,ukiomba utasikilizwa kila uombalo,
Mungu awe pamoja nawe yeye aku ongoze Siku zote
Usitie shaka ameahidi hata kuacha kamwe hata ukamilifu wa dahari yeye ni mwaminifu na amesema mungu si mwanadamu hata aseme uongo, ndiomaana paulo mtume anasema je ni nini kitanitenganish na upendo wa Mungu? Hakika hakuna kitakachokokutenga na yeye hiyo ndiyo hakika ya wokovu umebarikiwa sana Mungu akuonekanie sana uzidi kumjua katika viwango vya juu sana.
The Best Decision 👌🙏
Barikiwa sana mtumishi...Mungu hatakuacha,azitegemeze hatua zako
Huyoo mpiga kinanda anaitwa naniii mbona tumefananaa sanaaa
😂
Aki watanzania si mtugawie hii roho ya🙌🙌🙌🙌🙌 maabudu.soo amazing..... oooh lord😭😭
Pokeen kwajina layesu
Wow so blessed nyimbo nzuri sana
Wimbo huu unaleta uwepo na bubujiko kuu😭😭😭🙌🙌🙌🙌
Oooh God. Keep on praying
Huu wimbo unanibariki sana. I listen to this song.repeatedly. kweli naomba Mungu akae nami
Tanzania artists are so much filled with the Holy Ghost.. much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bwana Yesu 2023 ninaomba ukae nami usiniache hata hatuaa moja😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mruma Yesu akubariki sana sana sana
My brother. Bwana Akae nawe mazima. Ubarikiwe sana.
Thank you so much Kenyans for supporting us Tanzanians,we really appreciate,you are blessed
🙌🙌🙌🙌so powerful
Sisi Wakenya tunapenda kujitolea kwenu kwa muziki.
🇰🇪❤️
Ilaa wewe Bwana kaa nami👏👏👏👏👏
MUNGU AKUBARIKI SAANA MINISTER HENRICK MURUMA,THIS SONG IS SO POWEFUL , KILA MARA NIKIINGIA KUOMBA NI WIMBO UNAONISOGEZA KARIBU NA MUNGU WANGU. MAFUTA HAYA YASIKAUKE. NAKUPENDA WEWE NA TEAM YAKO MMEBARIKIWA SAANA. YESU KAA NAMI
Lyrics
Ee Bwana ukae nami, ukae nami ...milele.
Bwana ni mlinzi wangu- uvuli wa mkono wa kuume
Jua halitanipiga mchana wala mwezi wakati wa usiku
Utanilinda kutoka na mabaya yote, mabaya yote
Utanilinda ntokapo na niingiapo, sasa na milele..
ASANTE YESU KWA Neema hii eti na mimi mwanangu namuona humu utukufu MWAKO hakika umenipa utajiri wako mwingiiiiiiiiiiii saaaaaana sijui Baba naomba ulinzi tu wako🤲
Mtoto wako Amebarikiwa sana Mama. Nitafurahi sana kukuona siku moja. Barikiwa sana.
Usiniache Bwana, usihesabu dhambi zangu, usininyime Roho wako mtakatifu
From +254 Nairobi Kenya~🇰🇪🇰🇪🇰🇪
It's 1am in the morning and the anointing in this music has taken me straight into the presence of God.....
Huu wimbo umenihudumia kwa njia isiyo ya kawaida, umenikumbusha jinsi Yesu alituahidi kwamba hatawahi kutuacha mpaka mwisho wa dahari, Asante wenzangu kwa kujitoa kwa Bwana kutumika naye kwa kuhudumia watu wake kwa njia kuu kama hii.👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥
Lord raise me to be a worshipper in Jesus name!!! Psalms 91 translated for us in Swahili 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏💗💗
God bless you, he will do yuor will in Jesus name 🙏🙏🙏
Tanzanians have the grace of worship,,,much blessed from,🇰🇪
Q
Ebwana ukae nami milele , unibariki nitokapo na niingiapo milele
Bwana ukae nami mwaka huu nilinde na mabaya 2024
Mungu akupe amani ipitayo fahamu zote
🙏 nimebarikiwa sana huuu natamani ck moja nije kuimba na wewe
Kwa nyimbo hii naona jinsi mbegu inavyozidi kukita mizizi, shina linavyozidi kuchipua na matawi kuchanua. Mungu akuinue zaidi na zaidi ndugu yangu Henrik.
Mbegu Imepandwa, Mvua Imekuja na Mavuno yanakuja.
This has been my favourite song offlate,,,as i was reading my bible i came along psalms 121,,,this song is exactly those verses . Praise be to the most high God.....stay blessed y'all.🙏
Wimbo unagusa moyo wangu sana,,,kweli nalindwa na bwana kwa mabaya yote🙏🙏🙏🇰🇪
Ubarikiwe sana kaka
Kaa nami is my best song una history kubwa sana na maisha yangu huu wimbo. Keep it up bro. Umenigusa mno kwa wimbo huu
yupo mtu ambaye ameteuliwa na MUNGU katika kazi yake ni upako ndani ya upako hata kama umekata tamaa utamuona Mungu yu juu yako
Av just watched this song ,nikajipatanaomba nikilia kwa mungu ,for real without Him mimi kabsa siwezi
Eeeh Bwana ukae nami milele my song 2023 Mungu akubari sana henrick
Amen
@@henrickmruma j
Amen 🙏 and Amen 🙏. Ukae nami eeh Bwana
maombi yangu kwa Mungu akae nami 2023,Amen
Amen
Bila wewe bwana kaa nami
Amen
Huu wimbo umenipa faraja sana katika mapito yangu ## barikiwa sana
Mungu Akuvushe hapo ulipo na kukaa na wewe ili uwe salama.
I am Listenin To This and Kwa Kweli nmkosa cha kusema ......Lakini NAOMBA YESU AKAE NA MTUMISHI HUYU KAKA YANGU KABSA YAN🥲🥲🥲NINAFURAHA SANA SANA KUSIKIA HII NYIMBO ...........YESU UKAE NASI HAKIKA HUU MWAKA N WA VIWANGO.......GOD WE NEED YOUR PRESENCE🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏THIS IS OUR PRAYER
My brother. My very own brother. God bless you so much.
MAY WE KEEP GLORIFYING GOD🙌🙌
Amina namimi nme Barikiwa sana na huu wimbo
Be blessed a lot
Huu wimbo mim Kila nikisikiliza nalia umeimba kutoka ndan 😭😭 Mungu wangu akuinue zaid
hii nyimbo nilisikia dpc church kinondoni nimebarikiwa mno.
I can only reward by subscribing keep it up
Stay with me Lord.. Please do not forsake me. Remember me Lord 😢😢
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
TANZANIA is blessed. Aisee Mnatujenga sana wapendwa.
This is not just a song its my sincere prayer 😭😭.. Kaa Nami Bwana
From Saud Arabia 🇸🇦
Ee Bwana ukae nami milele.. nyimbo imenihudumia. Mungu akubariki sana Man of God @Mruma
Amen brother. Barikiwa sana
Av been listening to the second part like the whole day,,,am asking God to stay with my mum,, she is my only left parent after my dad passed on long time ago. She is currently battling a very mysterious disease that doesn't allow her to sleep alone coz she does faint at night when the disease strikes. I cant be with her at the moment coz of work but am asking God to stay with her...
Lord may you see my tears and hear my heart's desire.
Healing upon my mum🙏🙏🙏
It doesn’t matter what your Mama is going through. God is going to heal her completely . What you have to do is pray for her and have maximum faith because without faith thing will be complicated. I am kindly sending you an email hoping that we communicate and we pray for her together. God bless you.
Please check me 0744417141
The Lord is kind dear, Let's trust her for this
God is in control my sister.
Endelea kumuomba na kwa hakika atakaa nawe🙏🙏
I have made her a prayer item ..God is healing that mysterious disease and no trace of it will be left...earnestly praying for her.
Tanzanians you are blessed and we respect you so much for that grace Kenya we are learning from you our beloved friends🎉🎉🙏🙏
Hakika Bwana Yesu akae nasi milele ubarikiwe sana Mtumishi
Amen. Ubarikiwe
I love the song it blesses my soul everything barikiwa sana
Ameen sana Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu uongezeke zaidi kwa utukufu wa Mungu
Amen. Ubarikiwe sana
My prayer this 2024🛐❤️🇰🇪
Wow wow wow Mungu azidi kukuinua mtumishi. Tunabarikiwa
Amen Amen
Amen ila wewe BWANA KAAA NAMI 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Jesus Christ stay with me and my children family forever 🙏🏼🇰🇪🇰🇪
Amen
Kaa nami yesu bila ww mi ni mtu buree
Ee bwana ukae nami milele🔥🔥
Sina mwingine wa kunifaa, ila wewe tu bwana.
Amen
Ubarikiwe wimbo unaujumbe mzur mno Bwana kaa nami niko pekee yangu bwana kaa nami"
Mimi nitaongozwa na Nani Ila wewe Bwana kaa nami🤲🙏.
Be blessed.
Amen
Eh bwana ukae nami pamoja na familia yangu milele🙏
Henrick umebarikiwa..Mungu akutumie na akutunze sana
Amen napokea kwa Jina la Yesu.
Kaa Mami milele Ee Yesu
I lost my small brother who was 14yrs old weeks ago. He passed away in school, and this is the darkest news I ever received. This song has been a blessing. God bless you @Henrick and team
Oooh God. May He comfort you.
Pole sana my Holly spirit comfort you
Oooh Nooo😢, MayLord Jesus abide with you sis🙏🏿😊
Sending prayer hugs from 🇹🇿🙏🏿
May God comfort you.
Take Heart May the Lord God Comfort you and Give you Peace that Surpasses all Human Understanding
In this 2023, Dear Lord I need you more than anything! 🙏🙏🙏
He is right there with you.
Your so power full henrick mruma 🎉🎉🎉
God bless you oooh oooh Lord stay with me 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@@henrickmruma your so power full🎉🎉🎉
Nyimbo inabariki sana. Sauti ziko vizuri. Mungu akuzidishie upako na azidi kukuinua mtumishi Henrick. 2023. 🇰🇪
Ooooh Glory to God Almighty. Thank you so much.
This song is something elsee🙌🏾 God bless you my brother umebarikiwa
Oooh Glory to God Almighty. 🌱💚
A blessing indeed. You are a blessing too Rehema, may God keep you both. Much love from Kenya.
When it comes to songs Tanzanian never disappoint...much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 I can't get enough of this song 🙌🙌
All the glory to God. Let all the nations sing the Name of the Lord Jesus Christ.
Ahasante Bwana kwa kuwa unakaa nami,milele.Being blessed from Nairobi,Kenya.
Hakika Bwana hawezi kukuacha japo kuwa tunamkosea lakini yy ni wa rehema na kila mara anatusamehea dhambi zetu ....naomba hii mwaka ikuwe ya baraka kwetu🙏
Yeye ni mwaminifu sana.
I'll subscribe anything that's proclaimed in the name that's above all names...❤ from 🇰🇪
Powerful 💪 song AMEN 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 receive more love 💖 from +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii ni zaburi ya 91,siwezi kuacha kusikiliza huu mwimbo 🙌🏾 Glory to God
Zaburi 121
Am blessed 🙏🏾 l cried coz napitia machungu yakuondokewa na kaka zangu. Eee Bwana kaa nami peke yangu siwezi baba
Bwana Yuko nawe wakati wote. Futa machozi yako kwa kuwa Bwana Anatamani uwe na tumaini jipya sababu Neema Imefunuliwa kwako.
@@henrickmruma Amen
😮😢😮@@henrickmruma
My 2023 song , Lord I thank you 🙏
mtunzi wa huu wimbo Neema ya MUNGU iwe nawe sana ,jua halitanipiga mchana wala mwezi wakat wa usiku.
My 2023with Jesus 🥰
Tanzania is blessed from 🇰🇪🇰🇪
Dada yangu akinitenga kaa nami
Upako uliopo katika wimbo is on another level,can't get enough.
Love from 🇰🇪
Naomba bwana yesu akea na jamii zetu my uncle is unwell yesu unaweza yote
Kaa nami Bwana. This is my prayer in 2023.
Umenishawishi IBADA INAENDELEA moyoni mwangu ndugu umenibariki sana
Wimbo wa nyakati zote, barikiwa sana mtumishi sichoki kuusikiliza kila saa 🙏🙏🙏🙏
Utukufu kwa Mungu. Neema ya Kristo Ikufunike.
#Mungu ndiyo kila kitu kwangu🙏
Kabisa yaani ibaki hivohivo milele
Eeh bwana ukae nami milele🙏🙏Mungu awabariki sana
Ubarikiwe sana sana.
Hakika Bwana Yesu ukae nami siku zote ❤🙏
A great song..for 2023
For sure.
Haya ni maombi yangu BWANA YESU 2023 ukae nami. Powerful song our brother
Amen Amen
Kaa NAMI Bwana Yesu 2023, Mungu akubariki mtumishi
Amen Amen bro
2023... Ee Bwana ukae nami milele🧎🧎barikiwa mtumishi wa Mungu
Jameni mziki inagusa moyoni .Love this from Kenya 🇰🇪
Stay with me lord
Nikiwa katika uwepo wako kitu gani kingine kinizuie ee bwana ukae nami milele💧
Essence of Worship recommended this on their IG and I'm so glad they did. Huu ni wimbo wa baraka sana, a reminder of God's eternal presence.
Utukufu Apewe Yesu Kristo. Bwana Akae nawe
@@henrickmruma Amina, nawe pia.
You're blessed ..keep it up!
@@henrickmruma iii
@@henrickmruma u
Bwana ni mlinzi wangu . Bwana asifiwe
Psalms 121 - God the help of those who seek Him.
The Lord is your keeper;
The Lord is your shield at your right hand.
The sun shall not strike you by day nor the moon by night
The Lord shall preserve you from all evil;
He shall preserve your soul.
The Lord shall preserve your going out and your coming in, from this time forth even forever more.
They sing in psalms and scriptures! What a blessing to be honest. May the Lord our God be praised!
Amen. You be blessed
Yesu haya ni maombi yangu kwako
Naomba ukae nami 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Wimbo huu ni wa nyakati zote 😭
Dada Angu. Bwana Yesu Akae nawe siku zote. Nakuombea.
Kaa nami bwana sina mwingine wa kunitosheleza... God I Love you. Blessing from kenya 🇰🇪
Woooow. Be blessed
Great, nimebarikiwa God bless you more and more
Amen. Ubarikiwe zaidi
Huu wimbo una mguso mkubwa sana 💪🏼. Neema ya Mungu ikupeleke mbali zaidi
Amen. Tunapokea kwa Jina la Yesu
barikiwa sana Brother, kazi ni njema mno imejaa utukufu wa Mungu, Hiki ndicho kizazi cha wamchao Bwana,kimejaa neema ya Mungu pamoja na nguvu zake, Bwana na akae nasi katika nyakati hizi zilizojaa uharibifu, hakika kwa Bwana tutashinda na zaidi ya kushinda.
Amen. Utukufu wote Apewe Mungu na tuzidi kumsihi kila siku akae nasi.
Umeimba vizuri na Mungu azidi kuwa bariki
Mungu akubariki Sana kwa utumishi huu , mtoto wa Mzee kiongozi wangu. I love you
Amen Amen. Ubarikiwe sana sana.
Kina nani wamemuona paul clement 👏👏👏🔥🔥🔥i love how humble Paul clement is may God bless him
I lost my mam on 26/12/22 and in those last days I kept playing the song Kaa Nami not knowing she was leaving me and I could see the peace in her eyes. It's been a tough couple of months but this song gives me peace.
May the Lord Almighty keep on comforting you as you keep on staying with Him. 🌱💚
Sorry dear,you are not alone .God our Father is with you..May you be comforted.
Sending prayer hugs dear 🇹🇿🙏🏿🙏🏿❤️Bwana Yesu aendelee kukaa nawe till that bright morning when you will get to see mom again , in Jesus name .
Sorry for the loss may God who is the best comforter be with you
Amen keep listening the song
Nimetiwa nguvu sana, kaa nasi usie na mwisho