One thing am sure of is that God , You exist. When am down doesn't mean everyone is down, when am single others are getting married. When in pain not everyone is in pain. However am grateful for what you have done for me...I pray you complete the good work you alone begun in me , when you allowed me come to this world
I might be the only person who listens to this song more frequently. It is a prophetic song, with an excellent rhythm and full of vivid examples of how God remembered his people. May God bless Henrick and Geofrey, and the whole Seed of Faith team.
Ee!! Bwana unapo gusa watu wengine na mimi uniguse Leo .. Haya ni maombi yangu kwako, Kama ulivyo wakumbuka wenye uhitaji na maumivu ndio hivyo Leo nikumbuke na mimi na ukanitendee.. Haya ni maombi yangu kwako 😭😭🙏🙏🙏
Ee!! Bwana unapo gusa watu wengine na mimi uniguse Leo .. Haya ni maombi yangu kwako, Kama ulivyo wakumbuka wenye uhitaji na maumivu ndio hivyo Leo nikumbuke na mimi na ukanitendee.. Haya ni maombi yangu kwako kumbuka familia yangu pamoja na watu wangu wa karibu, inua watu wakawe ngazi ya mimi kufikia malengo na mafanikio yangu 😭😭😭
Huyu mtumishi wa Mungu, anatumiwa sana na Mungu kuimba na nyimbo zake nzuri sana zilizodownlodiwa mbinguni. Naomba bwana Mruma omba kibali kwa Mungu kwa kutumia kutoka 3:21 na muhubiri 6:4 ili huduma hii iwe na kibali kwa watu wengi. Nimeguswa kusema hivyo sababu nabarikiwa sana na nyimbo zako lakn naona follower/viewer wachache. Ubarikiwe sana
Usinipite eh Yesu Unapogusa wengine unikumbuke eh Bwana nikumbuke na mimi Yesu Nina uhitaji na mimi pia Bwana, wewe uliyewatendea wengine nitendee na mimi Bwana Usinipite Bwana sikia maombi yangu sikia kilio changu Bwana usinipiteee Bwana usinipiteeee😭🙏
Any one from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nipo Mungu aikumbuke 🇰🇪 🇰🇪
❤❤
Yes,may God bless us
Our land Kenya
Forever blessed by our brothers and sisters here
YESU UKANIPE MTOTO WA KIUME JINA SAMWELI.🙏🙏🙏😭
Mungu na akukumbuke. Amina
@Follow_JesusDailyAmen 🙏
@@ireneoduor4171 Amen 🙏
Pokea katika jina la Yesu.
@@Stevenmutula Amen 🙏
One thing am sure of is that God , You exist. When am down doesn't mean everyone is down, when am single others are getting married. When in pain not everyone is in pain. However am grateful for what you have done for me...I pray you complete the good work you alone begun in me , when you allowed me come to this world
Usinipite Yesu
Usinipite familia yangu
Usiwapite wadogo zangu
Usiwapite wazazi wangu
Usiwapite watoto wangu
Unimpite mke wangu
Usinipite Taifa langu
#Utukukumbuke
I might be the only person who listens to this song more frequently. It is a prophetic song, with an excellent rhythm and full of vivid examples of how God remembered his people. May God bless Henrick and Geofrey, and the whole Seed of Faith team.
Ee!! Bwana unapo gusa watu wengine na mimi uniguse Leo .. Haya ni maombi yangu kwako, Kama ulivyo wakumbuka wenye uhitaji na maumivu ndio hivyo Leo nikumbuke na mimi na ukanitendee.. Haya ni maombi yangu kwako 😭😭🙏🙏🙏
Unikumbuke bwana na mimi weka like zote hapaaaa❤❤❤
Ee!! Bwana unapo gusa watu wengine na mimi uniguse Leo .. Haya ni maombi yangu kwako, Kama ulivyo wakumbuka wenye uhitaji na maumivu ndio hivyo Leo nikumbuke na mimi na ukanitendee.. Haya ni maombi yangu kwako
kumbuka familia yangu pamoja na watu wangu wa karibu, inua watu wakawe ngazi ya mimi kufikia malengo na mafanikio yangu 😭😭😭
Natamka baraka HUU MWAKA HUDUMA YAKO NAIONA JUU SANA 🧎🏽♀️🙏🔥🔥🔥
Simfaham sana geofrey maunde ila namuona mbali sana ,,,,kuna kitu kikubwa ndani yake
Ni maombi yangu Bwana nipate kazi🥲😭
Keep the faith burning. God will make a way. Luke 1:37
Atatenda amen.
Mungu aliyenipa mimi akupe na wewe 🙏❤
Huyu mtumishi wa Mungu, anatumiwa sana na Mungu kuimba na nyimbo zake nzuri sana zilizodownlodiwa mbinguni. Naomba bwana Mruma omba kibali kwa Mungu kwa kutumia kutoka 3:21 na muhubiri 6:4 ili huduma hii iwe na kibali kwa watu wengi. Nimeguswa kusema hivyo sababu nabarikiwa sana na nyimbo zako lakn naona follower/viewer wachache. Ubarikiwe sana
Unikumbuke namimi Leo
Hekima kama suleman
Utajiri kama suleman
Watoto wafalme kama wa ibrahimu
Nafasi ya heshima kama yusuph na daudi
While sleeping I heard the name "Henrick , go and listen to the song" as a Nigerian
This is prophetic 🙌🏾 Usinipite Bwana Yesu
Dear lord my prayers that before the end of this month of June 2024 I get a passport and a job amen🙏
My Father as you bless and touch others, please do not pass me by. Unikumbuke na mimi pia
Nikumbuke pia mimi bwana ...grant me the desires and wishes of my heart
Bwana naombe unikumbuke pamoja na familia yangu leo, usnipiye Bwana! Amen..
Unapowagusa wengine uikumbuke familia yangu Bwana, Haya ni maombi yangu kwako ktk vizazi vyangu, Amen.
Kwel Mungu unikumbuke na mm leo,haijalishi muda gani umepita....Niguse,unikumbuke😭🙌
Thank you God kwa kunikumbuka. You are a faithful God. I bless your name God. You are awesome Dad.
Mungu akubariki sana Henrick Mruma 🔥🔥🔥🙌🏼🙌🏼 this song
Ni maombii yanguu munguu wanguu unikumbukee na mimi leooo unipee kazi ambayoo nawezaa kukutumikiaa mudad wowotee ule ambayoo na imilikii mimi mwenyewe hayaa ni maombii yanguu 🙏
Oooh samwel wangu anakujaa😭🙌
Ni maombi mtoto wangu aokoke .
Jesus you are great ❤❤
Powerful Ministration 🙌🙌🙌Haya ni maombi yangu usiku wa Leo Bwana.... Nikumbuke na Mimi.
Ndagha Jesus. Usinipite Bwana unawagusa na kuwabariki watu wengine unikumbuke na mimi Leo usiku wa leo
this is a powerful song,, ,for YAHWE'S DELIGHT🙏🙏🙏
Mungu nikumbuke mm na familia yangu leo nakuomba Amen
Nikumbuke na Mimi leo, Mungu wangu nakuomba😢😢😢😢😢
Unapozuru watu wengine leo baba usinipite😢
Usinipite eh Yesu Unapogusa wengine unikumbuke eh Bwana nikumbuke na mimi Yesu Nina uhitaji na mimi pia Bwana, wewe uliyewatendea wengine nitendee na mimi Bwana Usinipite Bwana sikia maombi yangu sikia kilio changu Bwana usinipiteee Bwana usinipiteeee😭🙏
Eee Yesu haya nimaombi yangu kwako unapogusa watu wengine na unapozuru watu wengine unikumbuke na mie Yesu wangu.....
Remember me dear lord🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
three weeks now since i came across this song and i cant stop coming back to be ministered unto
Tumefundishwa jinsi ya kuomba MBELE za Mungu .Mungu awaongzee maarifa yake mara dufu
Kumbuka watoto wangu Bwana 😭😭😭
Usinipite na Mimi Mungu,🙌🧎gusa na watoto wangu pia🙏🙏
Huu wimbo unanibariki mno ❤️🙏
Nilijua ni Joel Lwaga, wimbo unaleta uwepo wa Mungu sana.
Kweli
Nami bwana anikumbuke siku ya Leo😭😭😭😭
this song is on another level. on repeat mode.
Unikumbuke 🙏🙏
Unikumbuke na mimi bwana this year 2024
Usinipite na mimi Bwana
Unikumbuke Yesu🙏
Nikumbuke nami kwa yale ninayopitia
Unapoguza watu wengine. Unikumbuke na mimi leo 🙏
Hallelujah ni maombi yangu Bwana unikumbuke katika mitihan yangu ya level 5 sem 2 pharmaceutical science
Your sopranos always understand their task very well😌😫🔥🔥🔥😤
Aki Mungu awake kuwaongoza mumutumikie kwanjia sahihi sababu shetani amewagota watu wengi
Ee mungu husinipite,unapogusa wengine anza na mimi Bwana
Unikumbuke na mimi Eeh Yesu 😢😢😢
Heaven shall be a beautiful place. Much love from 🇰🇪
I'm blessed with the song Glory to God Amen❤
Ameen Ameen MUNGU NIKUMBUKE NA MMI KUMBUKA NA FAMILIA YANGU YESU
Hallelujah. Do not pass me by Oh Jesus Christ
This is my playerful kukumbkwa na wewe YESU🙏
Usinipite bwana..🙌
henrick mruma be blessed brother, much love from mto wa mbu arusha
Yesu unikumbuke na mimi leo
Hakika kilochomponya sio vazi la Yesu lakini IMANI ILIPELEKEA UPONYAJI ,,MMMH!NIMEELEWA
unikumbuke na mimi leo ....... yesu
Namimi mungu anikumbuke pamoja family yangu
yes man of god 🙏🏻💪💪🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ata mimi hu wimbo naupenda sana.
Yesu unikumbuke na Mimi Leo🇰🇪
Eeeh Bwana Yesu haya ni maombi yangu leo
🎉hakika huu ndoo wimbo. Wa mwenz wa kwanza
Haya ni maombi yangu kwako, unapogusa watu wengine, Unapozuru watu wengine unikumbuke na mimi leo😭🙏
Unikumbuke na mimi Bwana !!!!
Ujumbe huu ni mzuri saana, nabarikiwa sana
Unikumbuke na mm Bwana
its always my prayer .....am grateful for the massage ..God bless you brother mruma
Buana unikumbuke na mimi leo 😢❤
Hendrick mruma , you have something bro🔥🔥
It's the desire of my heart mungu unikumbuke na mm Leo much love from+254
Nyimbo zako Mruma unazotunga zina mguso wa Roho Mtakatifu
My bestie sent me here❤❤❤
Hata miye naupenda sana nasikilizaka kila siku
nikumbuke baba yangu 😢.....unajua ninacho kitaka unajua maombi yangu.......
Beautiful, amazing Mungu awabariki Sana all is on point🔥🔥🔥🔥🔥
MOJA YA WIMBO NILIOUPENDA SANA😊
Mungu kumbuka afya yangu Leo
Huu wimbo mi naupenda sana aah ,,, sijui😂
God this is my prayer unapozuru watu wengine unikumbuke😭😭😭😭
Very encouraging song it's give me strength always When I listen to it , this my prayer this year 2024 oh Lord 🙏
Unikumbuke Bwana na mimi
Unikumbuke na Mimi bwana 😊
This song is 🔥🔥🔥
Mungu unikumbuke na mimi
Unaikumbuka hata nani🙏 Mungu
🇰🇪🇰🇪
Wow, Ubarikiwe mtumishi wa kristo Yesu
Kazi nzuri snaaa
amen barikiwa sana 🙏🤗
Ooh Yesu unikumbuke 2024 ukawe mwaka wa tofauti kwangu🤲🤲😭😭😭😭 God thank you for this team🙏🏿
Hakika kabisaa MUNGU atukumbuke
this song is powerful
hahahaa et huu mwimbo mm naupenda sana,,,, aaaa sijuii hahaha @hendrick Mruma
Henrick, your songs have been a blessing to my life for the past 1 year. I thank God for using you as a vessel for His glory
Very powerful ministration