Yesu Nakupenda - Henrick Mruma (Official Live Video)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #YesuNakupenda #YaleUmetenda #SijawezaKuhesabu #NakupendaYesu #MwambaWangu #New #Gospel
Song writer: Henrick Mruma
Music arranger: Kepha Mndeme
Musicians: BAND OF CHRIST
Back Vocals: SEED OF FAITH
Sound Engineer: P.A - GADI | MONITOR - BALISIDYA
Audio Capturing: GADI
Mixing and Mastering: Kepha Mndeme (Smart Tunes)
Sound System: KB Music & Balisidya
Video Production: Live Events Africa
Venue: Kilimanjaro Revival Temple
Outfits: Wekisha, Kuya Creations & Aniek Fashion
Special Appreciations:
Caroline Henrick Mruma, Mr. & Mrs. Albert Mruma, Mr. & Mrs. Ronald Swai, Seed of Faith, Band of Christ, Tony Mushi, Kepha Mndeme & Anitha Kiliba.
Wapi Likes za wakenya..... 🇰🇪....Wueeeh...this song meeeen
Nitakuja Kenya huko kwa Jina la Yesu. Nitafurahi kukuona rafiki.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi shabiki wako mkubwa sana😊@@henrickmruma
Nimewatch more than 20 times leo
Wageni wa TikTok tumefika. Na WA status za watu😂❤❤
Kazi imekubalikaa🤝🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From having an Ectopic Pregnancy 2020,having A baby on 2021 my baby passed away...
But God was merciful enough,alinifanyia Mengi...
Nakupenda Yesu....am here dancing in praises with my twins ..amenifuta machozi..
Oooooh Glory to God Almighty. Mungu Awalinde na kuwatunza. ❤️
@@henrickmruma amen thank you
Glory to God
Oohwu Glory to the Mighty God in heaven
Amen 🙏
People who listened to hymns you can't miss them ...
Very powerful music
Kwanza niliupenda wimbo wako wa Ukae nami...sasa naupenda huu zaidi😃❤️
Umenipa familia nzuri nakupenda YESU
Nimesikiliza huu wimbo masaa matatu aiseee nimebarikiwa saana aiseee kaka anaimba uyu 🎺🎺🎺🎺🎷🎷🎷🎷🙌🏻💒💒💒💒🎺🎺🎺
Nakupenda Yesu❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪The bass is on top🔥🔥🔥✨👌nakupenda YESU!
Top level
P_base🔥💪🏽
Hallelujah glory to the most high God 🙏😊
HAKIKA YESU😢😢 ni mzuri sana kaniponya Madacktari hawakuweza ila Yesu pekee
Miaka 4 kitandani SI mchezo ninaishi tena yeye ni mwamba kwangu, Ubarikiwe sana Brother Henrick mruma ❤❤❤
glory to God
Glory to you Abba Father. I love you Jesus.
Uweeeh this song has played all night.
Jesus I want to love you more ❤❤❤
And I'm hearing Dr Ipyana.
The song I never get tired of listening, ❤
Nakupenda Yesuuuu
Wewe ni mwamba wangu
Waooh amazing song Amen
My all time fav hit❤❤❤
Nakupenda Yesu,the song is at another level.Big up Henrick💪
Mungu akutie Nguvu mimi ni miongoni mwa ninayependa jumbe za nyimbo zako hata ukishirikishwa tu nabarikiwa sana, Mungu akupe Moyo ulio na unyenyekevu usije ukapotoshwa kwa wimbaji mwingine🙏🙏
Utukufu kwa Mungu. Usiache kuniombea.
Bwana Yesu apewe sifa , naamini huuwimbo hukuu uwandika ww kwa akili yakibinadamu bali ni Roho Mtakatifu aliye ndaniyako ndiye muandishi wa huu wimbo coz jana nilipo usikiliza nakuanza kuuwimba kwa imani nilijazwa na nguvu za Mungu za ajabu yn siwezi kuelezeya ila watu wajuwe huu wimbo wasi usikilize kama wimbo ila wawe nahakika yupo Roho Mtakatifu ndani yahuu wimbo, Ubarikiwe sana Mm kwangu huu nizaidi yawimbo , yn km sinakitu chakuomba nikiimba huu wimbo katika Roho ninahakika navuka pakubwa,
Nimeanza Kusikiliza Nyimbo Zako This Year ! Nabarikiwa Zinanipa NGUVU Na UJASIRI NAKUPENDA YESU ! Barikiwa Mtumishi Love From USA 🇺🇸
Yesu wewe ni Mwamba wangu ulio imara, Nakupenda Yesu +254 tunabarikiwa kweli na Huduma yako Mtumishi Henrick Mruma............................
Kenya inanidai. Nitakuja
The Bassist is breathing out🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
Yesu kipenzi cha roho yangu
Glory to God. Pray for Hin
Kwakwel hyo Bass inaongea
Like from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Such an inspiration God bless you
I can’t stop reasonating with this song. Nakupenda Yesu❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mwambu wangu Imara.
Hallelujah, Amina .
Asante yesu kwajili ya wimbo huu umefanyija baraka kwangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupenda yesu wangu,huu wimbo unanibariki sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Yesu nakupenda.
I love you you JESUS
The soprano ❤❤❤
Amina tunabalikiw sana
This song is 🔥🔥🔥
Powerful
❤❤ nakupenda yesu
Nakupenda Yesu .....❤❤❤
Discovering this song today..in my season of heavy thanksgiving...
Yesu ..Yesu Nakupenda wewe ni Mwamba wangu thabiti..imara ,milelee🎉🎉hongera sana mtumishi
Amen Amen
God bless you minister Henrick,
Much love from Kenya
Amen. Ubarikiwe
Yesu Yesu Yesu nakupenda...
Akhika Yesu ni mzuri Tena anatupenda na nihaki tumpende asante yesu kwa wanao Hawa juu unavyo watumia nimeipenda hii gospel I'm from Kenya 🇰🇪
Yesu nakupenda ..ww ni zaidi ya yote
My prayer is a new brake through this remaining days before 2024 ends
I believe in you 💯
Lord hear my voice
Uuu mwamba wangu Yesu nakupenda sana sana sana sana Yesu tena sanaa sijuwi navyoweza kueleza ila nakupenda sana 😢😢
Amen! Barikiwa sana for this sound Mtumishi wa Mungu.
Amen
Added to my playlist
Mungu ametenda kwangu
Ya kweli nampenda huyu yesu
N mzuri sana
Waa 'Nakupenda Yesu!' Wimbo mzuri sana. Mungu awabariki.
Nyimbo ipo vzur Hongereni SANA
another hit...its God na kwa kweli Nakupenda😍
Usiache
Love this song please provide the full lyrics. Repping my beloved countries Nigeria 🇳🇬 and the United Kingdom 🇬🇧
Since I was waiting for the song aaaah m. God bless the choir and the leader Henrick. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amen
Yesu kwakwel Mimi nakupenda sana,,,,,💖❤️👈
Usiache
Ameeen
Yesu nakupenda 💓
Hakika wewe ni mwamba wangu🙏
Usiache kumpenda
THE ROCK THAT CANNOT BE SHAKEN!!! I LOVE YOU LORD
Amen
May💙 most ❤️High 💛bless💜 everyone💚 always💛 much❤️ love 💙Blessings💜 always ☺️ 🎇 🌈 🌐 💯 ✌️💜💚💛💛❤️❤️❤️💛💚💜💜💜
Mungu mwema ametukomboa. Must Love him.
Peace 💜and💙 Blessings ❤️Too💚 My 💙Brothers 💛May❤️ most 💙High 💛bless❤️ everyone💜 always 💙May❤️ most💚 High💛 bless❤️ everyone💜 richly ❤️with💚 everything 💜they 💙need❤️ always 💚much💛 love❤️ Blessings💙 always ☺️ 🎇 🌈 🌐 💯 ✌️❤️❤️💛💛❤️❤️❤️💛💛💜💙
Mungu wa nguvu kweli
❤❤❤ nakupenda YESU
🙏🙏🙏
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Tupona
Yesu Nakupenda 🙏🥰🔥🔥🔥🔥
Usiache
❤❤
YESU Nakupenda
Mwamba Yesu
Mwamba Yesu
Nakukumbuka sana kaka wakat tupo tumain
🔥 🔥
🙏🙏🙏🥰🥰 barikiwa San mutumish
My love to my God is unmeasured. Asante kwa upendo wa kumtoa mwanao Yesu kwa ajili yangu.
🇲🇼 🇲🇼 🇲🇼
Nakupenda Yeus
We mwamba wangu.
Naa upenda wimbo , yanni kuna upako ina vishwa ndani kaabisa
Lakini siusikiye fasi muna imba ,,,,, ni kwa biti imara ama je
Grab your airpods/ earphones , thank me later ❤️🙏🏿🇹🇿😘
Weee Yesu wee
Bwana kaa nami ,bila wee mimi siwezi🙏
Ubarikiwe kwa utumishi
🔥🔥🔥🔥🔥Yesu Nakupenda 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen
Yesu nakupenda u mwamba wangu
All Musicians🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥
Ila Bassist ....... Bassist...... Bassist❤❤ nakupenda buree❤❤
Muombee
@@henrickmruma Ucjali kaka Mungu wa mbinguni amfanikishie mipango yake yote akumbuke na uzao wakee😇😇💫
@@henrickmruma Mungu akumbuke uzao wako piaa kaka ..... Mungu awavushe kila hatuaa.
watu tuzid kubarikiwa kupitia kile alichokupatia Mungu .
1 Petro 4:10
[10]kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.
As every man hath received the gift, even so minister the same one to another, as good stewards of the manifold grace of God.
God bless youu😇 I love you in Jesus Christ❤️❤️
Very powerful song
Jamani huu wimbo unanibariki sana safi sana kaka
Uinuliwe zaidi mungu muumba wa vyote atubariki wote amina
Amen
HENRICK MRUMA ni mmoja 🔥🔥🔥
Wooow
@@henrickmruma hahaha upo peke yako
jesus is the ONLY WAY
Yesu YESU nakupenda yani huu wimbo nakupenda sana ubarikiwe
Yale umetenda kwangu,
Sijaweza kuhesabu,
Nakupenda Yesus
We Mwamba wangu
Yale umetenda kwangu...siwez kuhesabu...🔥🔥🔥🔥...nimeishi on tht line..GOD BLESS YOU SIR🔥🔥🔥🔥
That’s great
My song 🔥🔥🔥🔥
Yessir
Moto sana Kaka, Weeeee😅😅😅 Hugs from Kenya❤❤
Utukufu una Mungu. Kenya ❤️
Powerful n touching indeed be blessed Man of God
Na vyote vilivyo ndani yangu Nakupenda Yesu 🙌🙌🙌
Glory to God 🙌🙌
Ameen nabarikiwa
Tanzania 🎉🎉
Amen 🔥 Yesu nakupenda this is my love song to my maker barikiwa sana kaka kwa utumishi wako
Amen
Ndakushima mkiza wanje kuvyowankoleye mubhuzima bwanje,vyishi vyukola kubhuzima bwanje nsakushimwa mwami wanje
🎉🎉🎉
Huku 🇰🇪 tunamchezea Yesu,kwa kweli ametutenda mengi mazuri 🙌🏻
God bless you
Nilikuwa Sina amani moyoni but nimesikiliza huu wimbo moyo wangu umetoka machozi nahisi amani kuzaliwa upya
God bless you
Nakupenda sana br
Asante sana. Na mimi
Nakupenda yesu Yale umetenda kwangu
Mpende sana
Asant mtumishi nabalikiwa na nyimbo zako ubalikiwe sana sana
Nakupendaa yesu nakupendaa yes wangu we ndo kila kitu KWANGU
Amina kijana wetu tunajisikia vzr kuona unamtukuza YESU❤
Yale umetenda kwangu sijaweza kuhesabu❤❤❤❤
Ni mengi jamani
Utukufu kwa yesu
Amen