My son was involved in a road accident, he was to go for a head surgery but it never happened, God did his own operation. I join you in this song to praise God that I have seen his goodness..Guys there a living God.
Nliteseka ya kutosha mwaka 2014-2021😢😢😢 but since nliamua nikasurrender my life to god in 2022 amenitendea mengi ya ajaabu mpaka wa leo na bado neandelea kuona wema wako in my life and the entire family😂😂.glory and honor be back to the almighty living god and let his name be praised all over🎉 anyway much love from uganda brother henrick mruma alfu tena nyimbo zako zinatia moyo bana❤❤❤❤😅
Ni wema wa MUNGU .tuu..ndo Ukiri wetuuu.. My brother.... and the whole family....be blessed...sanaaa....huu ni Ukiri wetu Kama Wana wa MUNGU 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿🔥🔥🔥🔥
Ikr 😅 ,the thing is anaimba Kama hataki vile but again ana utulivu.ukisikiliza uimbaji wake unagundua siyo mtu wa kawaida. He is going places Mungu akuinue sana kaka Henrick 👌🏽🇹🇿🙏🏿, binfsi ananibariki sana 😊
Henrik naomba mwenyezi mungu akubariki akuzidishie neema yake , huo wimbo mtamu, bt kwanini Hawaii vigelengele, kwa yesu Cristo, kuna pahali umeimba vingelengele kwa yesu nasijasikikia, anastahili sifa zote, amina wapedwa mwenyezi mungu awabariki sana, amen
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 wapi like nimeona wema wako like zote hapa 🎉🎉🎉🎉🎉❤😂😂
My the Name of Jesus be lifted in the land of Kenya.
Wedding song ishakuja ❤🎉
😂😂😂😂😂😂 I feel you
Awwwwwww🎉😂
Very true and right 👍
My son was involved in a road accident, he was to go for a head surgery but it never happened, God did his own operation. I join you in this song to praise God that I have seen his goodness..Guys there a living God.
2023 Hakika nimeuona wema wako, 2024 na kuendelea, nitazidi kuuona wema wako
Mungu Amekuwa mwema sana
Wow congratulations for this song God bless you, very touching from KENYA
Nilipo upo , unaenda namj Kila mahali Bwana❤
Kaka uyo mpiga bass guitar 🎸 nimemkubali nipe Namba zake nikutane nae online 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
Nimevuka mwaka, nimeingia mwaka mwingine acha niungane na MOG. Mruma tuutangaza wema wa Bwana ❣️
Mungu Akubariki sana sana
Mungu azidi kukupeleka kiwango kingine kwa kupitia uimbaji na pia watu wazidi kuokoka
Naomba namba ya simu ama barua Pepe ,tunaomba tuwakaribishe Kenya
My favourite song of all time.!! Hakika nimeona wema wa Mungu maishani mwangu! I'm the living testimony.
Nliteseka ya kutosha mwaka 2014-2021😢😢😢 but since nliamua nikasurrender my life to god in 2022 amenitendea mengi ya ajaabu mpaka wa leo na bado neandelea kuona wema wako in my life and the entire family😂😂.glory and honor be back to the almighty living god and let his name be praised all over🎉 anyway much love from uganda brother henrick mruma alfu tena nyimbo zako zinatia moyo bana❤❤❤❤😅
Wema na fadhili zako zitanifuata nami nitakaa nyumbani mwa Bwana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika
As a Kenyan i say Henrick Mruma's music is tested and approved ✅️
😭😭😭😭😭💔😭😭😭😭🖐️🙏🙏❤️.Truely I've seen his goodness in my life. Dear Lord🤲🤲 continue doing it again and again🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ayayayaaaaa mwe YESU ni mzuri mwe nampenda sana YESU wangu ❤
Gloryyy
Kuya creations and aniek fashion kazi nzuri Kwa kuwavisha ...Kenya 🇰🇪 mmnapendwa sana God bless
🎉🎉🎉🎉im marking an exit after 10 years campus and cant help 🎉🎉😢😢dance
From kenya 🇰🇪🇰🇪 nimeona wema wako kwa maisha yngu I just say thank you God 🙏
Nilipo upon unaenda nami kila mahali. Nabarikiwa mimi. Baraka za mwaka mpya 2024 hizi. Asante kaka!
Ubarikiwe sana
Wimbo huu umenigusa 🎉🎉❤❤❤
Mungu amefanya mambo makubwa maishani mwangu....Ameen
❤❤❤ MOG MRUMA panch zako znatubaliki kk be blessed tumeona wema wa MUNGU maishan mwetu🎉🎉
Kwa Utukufu wa Bwana
Nilipo upo unaenda nami kila mahali ,nilipo upo unaenda nami kila sehemu ni Mungu👏👏👏
Wema na fadhili zako zitanifuata nami nitakaa nyumbani mwa Bwana. Sitatoka hapo 🙌🙌 God bless you man of God
Kabisa Kabisa
nilipo upo unaenda nami kila mahali
Amen
Yesu umefanya mambo makubwa. Ya ajabu..
Nimeona wema wako maishani mwangu ❤
Umefanya mambo makubwa na ya ajabu🙌🙌🙌🙌🙏
Amefanya kweli mimi niliekosa tumaini alinipa kazi iliofungua kila kitu🎉🎉🎉tumshangilie
Wema na fadhili zake ni kuu mno 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉Yesu ni mwema sana,Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu mzuri.
Amen Amen
The intro is lit🔥🔥🔥
The BGV'S tho🤦🏼♂️🔥🔥🔥🔥😫😫
God has been good indeed.....Ubarikiwe my Brother 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Amen brother
Nimeona wema wako maisha mwangu🎉🎉
Very nice song
Balikiwa san Baba
Wema wa Mungu ni mkuu sana❤
Sana sana
Amen Amen, nmeona wema wa Mungu maishani mwangu
Amefanya makuu
Wema wa Mungu 2023 & 2024. Proud of you my friend
Namshukuru Mungu sana
Kaka Mruma MUNGU akutendee mema.. Hakika nauona wema wake Baba.. Nilipo yupo anaenda nami kila mahali❤
Hongera sana mtumishi wa Mungu...hakika tumeona wema wake
Mungu Amekuwa mwema sana
Hakika nimeuona wema wa Mungu,Glory to God,be blessed my brother Henrick with seed of faith Group nyimbo zenu zinatubariki mno mno ❤❤❤❤🎉🎉❤❤❤
Utukufu kwa Mungu mkuu
Ni wema wa MUNGU .tuu..ndo Ukiri wetuuu..
My brother.... and the whole family....be blessed...sanaaa....huu ni Ukiri wetu Kama Wana wa MUNGU 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿🔥🔥🔥🔥
"nilipooooo upo, unaenda nami kila mahali" Tunapoza engine hapo😂 🙌 tamu sana
🔥🔥🔥🔥
Kaka unajua halfu unajua tena wimbo wangu wa 2024
Nilipo upo, unaenda nami kila mahali❤
Nimeona wema wako maishani mwangu.. Thank you Jesus for your goodness and kindness. Barikiweni sana kwa kaz nzuri🙌🙌
weeeeeuweee
God is everything in our lives
Lets gather here and proclaims his goodness and victory
Hakika nimeona wema wako Maishani mwangu Asante Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri ❤❤❤❤
Hakika nimeona wema wa Mungu maishani mwangu💯💯💯♥️♥️♥️♥️😇😇🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿
Nmeona wema wako maishani mwangu bwana Yesu
Nimeona Wema wake Yesu
Nakuonaga kama Benjamin Dube of South Africa 🇿🇦 Tanzania hoyeee 🇹🇿 👌 ♥️ 💃 🕺 💃 🕺
Ameeen 🙏🙏
🙌🙌
That ka”everybody” in every song🙌🏾🙌🏾
Now we add “vigelegele weweee”🤣🤣
Ah LORD JESUS CHRIST How wonderful are your praises from your servants🙏🙌🏾
Ikr 😅 ,the thing is anaimba Kama hataki vile but again ana utulivu.ukisikiliza uimbaji wake unagundua siyo mtu wa kawaida. He is going places
Mungu akuinue sana kaka Henrick 👌🏽🇹🇿🙏🏿, binfsi ananibariki sana 😊
Haleluyaaaaaaaaaaaaa............. Nasikia kutetewa na Bwana😢😢😢😢
Mungu Akuinue Zaid my brother ❤
Wimbo Umenibariki❤😮😢
Nimeona uzuri maishani mwangu,Hallelujah 🎤🎤
Barikiwa sana mtumishi
aisee🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Glory to God
Amen
Hakika nimeuona wema wa Mungu
Truly I can say that he has done great things in my life and that I have tasted of his goodness..
Awesome song.
God is the greatest
Aloooo weeee ni MUNGU tu🔥🔥🔥
Kaka Henrick 🙌🙌🙌🔒
Mruma mungu aendlee kukuinua zaidi nyimbo zako zinanibariki Sana
Àmen Amen Àmen, nimeona wakooo✋✋
The goodness of the Lord is really, be blessed🤝
Ubarikiwe sana Mtumizi wa Bwana nimebakiwa sana From VA USA
Haiyayaaaaayaaa huyo mdogo wako anakung'uta bass vibaya sana ni moto sana 🔥🔥 big up to all team kazi safi sana mmbarikiwe...more love from Kenya 🇰🇪
Upo upo unaenda Nami kila mahali💃💃💃 ubarikiwe Sana mtumishi
God always good. MUNGU akuinue
I'm so much in love with this song✨💓
Ooh my God !2024 💥💥
🙌🙌🙌
hiii imekaa poa sana nimeona wema aisee maisha mwangu
Umefanya mambo makubwa,, umefanya mambo ya ajabuuu,,💕💕
this guy is highly blessed may GOD elevate you sir,,the guy on base has done a great job
Eti vigelegele wewe 😂😂😂😂
That part had me rolling
Binafsi namtukuza sana Mungu kWa ajili yako.
Kusudi la Mungu juu yako ni kubwa sana . 🙏🏿🙏🏿
Licha ya mengine, nmependa namna mlvyovaa mmewaka🥳🥳
Huduma njema broh mruma
Nilipo upo umeenda nami kila mahari🙌🏻ni MUNGU 🔥🔥
BLESSINGS OVERFLOWING 🙌🙌🙌🙌
Hallelujah glory to Jesus 💗
Amen Amen
I have seen the goodness of God in my life.Thank you Jesus
Sauti yako inamafuta brother 🙌 MUNGU akupake mafuta Zaid ya hayo
Am blessed 🙏
Henrick is doing well and we are really blessed By his ministration.Baraka tell MOG
Henrik naomba mwenyezi mungu akubariki akuzidishie neema yake , huo wimbo mtamu, bt kwanini Hawaii vigelengele, kwa yesu Cristo, kuna pahali umeimba vingelengele kwa yesu nasijasikikia, anastahili sifa zote, amina wapedwa mwenyezi mungu awabariki sana, amen
Amen Amen🙏
From RDcongo 🇨🇩🇨🇩👍❤️
Instrumental 🙌🏻🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Yes Lord
Amen
Thanks be to God 🙏🙏🙏
My brother IBADA HII NJEMA SANA UBARIKIWE SANA AISEEE
Thanks God I have seen your Blessing I Continue demand your Blessing in Might Jesus Christ Ameen
From tiktok...I love the song..be blessed
On repeat mode, what a timely tune❤. Kenya tumeona wema wa bwana
Great one ndugu. You always bless me.
Tamu sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Looking forward meeting this man of God 🙏🏻
From your mouth to Gods hears