Henrick Mruma - Nakushukuru (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #HenrickMruma #Nakushukuru #GospelMusicVideo
Mwishoni mwa mwaka 2018, Kwa kipindi cha miezi mitano nilikuwa najifunza somo gumu sana katika maisha yangu linalohusu KUSIKILIZA, KUTULIA NA KUSUBIRI. Kipindi hiko kilikuwa kigumu kiasi cha kutaka kukata tamaa maana nilifeli kwenye vitu vingi sana kwenye maisha yangu na hapo ndipo wimbo wa #NatakaNitulie ulipokuja moyoni mwangu na ukatumika kama daraja la kuvuka kwenye hicho kipindi kwa uvumilivu mkuu. Baada ya mwaka mmoja kupita, Mungu akaweza kunipa kila kitu ambacho aliona kwangu kinafaa na hata vile nilivofeli niliweza kupata vingine vizuri na vyenye manufaa zaidi siku nikiwa nimekaa natafakari namna ambavyo Mungu alinivusha ndipo wimbo huu #Nakushukuru ukaja moyoni mwangu. Hizi sio hadithi bali ni kweli kabisa ya maisha yangu na huu wimbo ni shukrani ya dhati kutoka kwangu kwa Mungu. Natamani tuungane pamoja kupitia wimbo huu kumshukuru Mungu kutokana na mambo mengi ALIYOTENDA, ANAYOTENDA na ATAKAYOTENDA katika siku za Usoni.
Connect with Henrick Mruma
Instagram: / henrick_mruma
Facebook: / iamhenrickmruma
Singer/Song Writter: HENRICK MRUMA
Audio Production: JUSTIN RIDER (RIDER RECORDS)
Video Director: EINXER (MAXUM VISION)
Lead Guitar: NAHUM GIDEON
Bass Guitar: AMOS BEVIN
Vocal Arranger: HENRICK MRUMA
Back Vocals: Soprano & Alto: GLADNESS SIYAME, PRAISE GAMUYA, DORCAS AUGUSTINE & ESTHER NYANDA. Tenors: HENRICK MRUMA & AMOS BEVIN.
Video Cast: PRISCILLA MBOYA, SOPHIA KALINGA, KABULA MAGANGA, ZIPPORAH MSHANA, ANNA MANASE & TAUSI MUSA.
Makeup Artist: ANNA TRENDS (ANNA GEORGE)
Dancers: ALVIN BEAUTY, ISAKA MAKWAYA, BRIAN KABOGO & RICH MALYA.
Mungu akuinue sana sana kazi yako ni njema
Nimeamua kuirudia kwa mara nyingine na nyingine na nyingine tena.... Wimbo wetu wa Taifa.... wakati Muafaka wa Shukrani kama Taifa na binafsi Yetu.
Mungu azidi kukubariki sana kaka na azidi kubariki kazi yako ya mikono.Nimekufaham muda si mrefu ila umefanyika baraka sana kwetu.... proud of you
WOOOOOW WOOOO DOCTOR. MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA.
Weka no yako kaka.... Tuwasiliane
0693666568
Up to today tunaisikiliza kwa jinsi inavyotubariki na kutufanya tuwe watu wa shuhuda. Zidi kubarikiwa bro, keep it up 💝❤️🔥🔥
Kwenye mazingira niliyokwama ulikuwepo,kwenye mazingira niliyoshindwa nilikuonaaa.Nakushukuruuuuuu
What a powerful song
God bless you
Haya yote ni Mungu ameyafanya. Zidi kubarikiwa.
Barikiwa saaana my Bro bonge la wimbo na ujumbe mzuri saana
Glory to God.
Nan ameona kingalelo AKA Chugga style,
Saf sana
Kuona kijana
Anatumia ujana
Kumsifu bwana.
UBARIKIWE SANA SANA KAKA.
Kama kunamtu hakumshukuru mungu baada yakorona kuisha akisikiliza hii lazma atashukuru....wimbo flani hivi washukurani.. unaujumbe mzuri.....hongera sana kwa Kaz yamungu 😘😘
UTUKUFU NA HESHIMA KWA MUNGU.
Nakushukuru kwa mambo yote. Safiiiiiii sanaaaaaa big up 👊
Maisha mwangu unatenda
Hakikaa
Sasa naniwakuringana???? Ubalikiwe kwa nyimbo nzuri YESU akuinue
Mruma Mungu akubariki sana. Kuwafikia mamilioni ya watu kwa injili. God bless you in advance.
AMEN AMEN KAKA.
Safi brother.... Nimeanza kuelewa
Utukufu kwa Mungu
Hatariiiiii hiiiiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Balaa sanaaaa kwa ajili ya Bwana.
Hongera brother...endelea kutubariki...Mungu azidi kukupandisha viwango
AMEN AMEN
Nan wakulingana,😍 ubarikiwe brother huduma yako ni njema
Utukufu kwa Mungu.
Safiii Mruma,,Yesu azidi kukuinua
Amen
Kaka Mungu akuinue zaidi aseee kazi yako ni njema sanaaa nyimbo kali
Utukufu na heshima kwa Mungu kaka.
Kazi nzuri.
Utukufu kwa Mungu
huu wimbo ni🔥🔥🔥
Utukufu kwaMMungu.
Congrats sana Mr Henrick, wimbo mzuri wa Shukrani.
Rider the Hit maker, audio iko bora sana.
Na wote mlioshiriki kwa Video mko poa sana...
UTUKUFU NI WA MUNGU PEKEE.
Ayeeeee see u guys hongera sana nice song! Quality video 😍
GLORY TO GOD SARAH.
Congrats sana dogo
Bro ubarikiwe..kweli naukumbuka mwaka 2018 Mungu mwema
Amen. Ubarikiwe sana
Kazi Nzuri
Kwa ajili ya Bwana
Such a great song of thanks giving.....🙌🙌🙌🙌
Hongera sana Henrick
GLORY TO GOD MENTOR.
@@janethdaniel6914 Glory to God.
Safi sana ndugu yangu, kazi yako ni nzuri. Mungu akubariki sana na azidi kukupa mafunuo zaidi.
Hongera HM keep it up
AMEN AMEN
Wimbo mzur San aise barikiwa san
Amen Amen
Mungu akutunze na akuinuwe juu Ila wewe usijiinue mdogowangu kazi nzuri na njema Sana ubarikiwe sana
AMEN AMEN AMEN. NIMEELEWA VIZURI.
Good Kka !!
Hongereni mtumishi pia kwa Event 2021 Jan pale RUCU !!
Amiri Jeshi Worship 💪
finally, the wait is over. Kazi imesimama sana kaka. Mungu akubariki sana na aendelee kukupa vitu kwa ajili ya watu wake
Utukufu ubaki kwa Mungu. Amen Amen
Been to one of your performances in Tabora region Tanzania, Brother your an inspiration ✊✊✊keep up the good work and God almighty bless you 🙏🙏🙏
ALL THE GLORY TO GOD. I APPRECIATE A LOT. KEEP ON PRAYING FOR ME.
Brow endelea mtukuza Yesu
AMEN AMEN KAKA
Umenibariki. Hakika Mungu hujawah shindwa
Ubarikiwe sana kaka, endelea kumtumikia Mungu!
Nahum na amos🔥🙌🏾🙌🏾
Waooo kitu kwa hewa
Kazi nzur inaishii bado
Nice song jaman , Mungu aendelee kukubariki
Kazi nzuri kijana wangu
Milango ya mbinguni imefunguka kwa jili yako
Noma mzee 💃🔥
Ubarikiwe Mno Kaka for this Powerful Message Song 🔥🔥🔥🔥
Hii ni Thanks Giving baada ya mapito yote ya Corona Lakni Bwana amefanya
Hakika amefanya sana.
Mruma blood nice song with nice message
Glory to God
absolutely brother touching message bravo
Ubarikiwe sana sana.
kweli kweli acha mungu aitwe mungu
Hakika
Waoooh finally! Hongera sana Mtumishi wa Mungu H. Mruma. This song is fire... Hatari sana
I glorify God for all these.
Barikiwa bro kwa kazi nzuri
Mungu azidi kukuinua ktk karama aliyokupatia,hongera sana
AMEN AMEN. Namshukuru sana Mungu
My brother u did the best am blessed
Kaka Ubarikiwe sanaa
Kaka Amen Kaka
Priscilla 🥰😍😍
Hahahah sweetie ❤❤
Hongera kaka
Utukufu kwa Mungu
Hongera sana
Nice song my friend....nakuona mbali sana🙏🙏
UTUKUFU KWA MUNGU. NAPOKEA KWA JINA LA YESU.
Great song of #Shukrani big up bro
So powerful... 🔥🔥🔥Mungu azidi kukuweka mahali pako pa juu
NAPOKEA KWA JINA LA YESU.
Hongera mdogo wangu! Mungu azidi kukuinua sanaaaa!
Mungu akubariki sanaaa
Amen Sana
Mungu azidi kukuinua ktk viwango vingine vya juu
AMEN AMEN NAPOKEA.
🔥🔥🔥🔥Wimbo mzuri💯💯💯🙌🏼
Utukufu kwa Mungu.
Kazi nzuri sana, hongera sana sana 👏🏾👏🏾👏🏾
UTUKUFU KWA JEHOVA
Safi sana hiyoo
Its lovly song .. Ashukuriwe aliye juu
AMEN AMEN
my brooother i am dancin to this beautiful music of Thanksgiving MAY GOD KEEP ON BLESSIN YOU
Ubarikiwe
Blessed bro
Brother brother brother brother brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka kaka ❤❤❤
.....Healing Song 🔥
well done my son.wimbo ni mzuri sana.
Glory to God Mom. Ubarikiwe sana mama.
wimbo huu unanigusa sana.iko siri katika kumshukuru Mungu..
kwenye mazingira niliyokwama nilikuona.kweli kwenye mapito yote nilimuona Mungu
This gives me hope again...
I learned to thank God for everything
God bless you in abundance..
Keep on thanking God. Stay blessed.
YES HERE WE GO
Mambo ni motooo be blessed brother Mruma
Glory to God.
Aseeeee🙌🙌🙌🙌👏👏👏
G G huyu Mungu ni mkubwa sana.
Kaka you always right keep going 💪🏽💪🏽
ALL THE GLORY TO GOD
beautiful song its actually on my repeat mode big up am ur fan...
Am blessed....BARIKIWA Kaka!!!
Stay blessed Ester.
Wimbo wangu,safi sana bro!
Endelea kumtukuza Mungu kupitia wimbo huu.
Amen be blessed
This is big bro,keep working kakaaa💥💥
I will keep working. Keep on praying.
Waooooo our brother
YES YES YES
Hongera aisee broo
Utukufu kwa Mungu kaka.
This is lit meeen😇
Glory to God Tercy.
Powerful
Nice work brother, keep up the spirit 🤗🤗🤗
AMEN. I RECEIVE
🙌🙌🙌🙌🔥🔥 bless up brother
AMEN SIR.
I appreciate u brother for this song and God bless
Amen Amen. God is faithful
Nice song
God is good.
All the time.
Yah be blessed broo
Amen Amen.
BLESSED
Congrats Hommie, keep the spirit...
Glory to God kaka
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤
My favorite song 🔥🔥🔥🔥🔥
Hongeren sana,nice song!!!
All the glory to God.
🔥🔥
❤❤
Am blessed! Speechless!!!
MUNGU NI MKUBWA SANA.
😍😍😍😍💪
❤❤❤