Henrick Mruma X Regina Makombe - Amiri Jeshi Mkuu (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #HenrickMruma #AmiriJeshiMkuu #PrayerHopeDeclaration
Kumbukumbu la Torati 20:4
kwa maana BWANA, Mungu wenu, ndiye awaandamaye kwenda kuwapigania juu ya adui zenu, ili kuwaokoa ninyi.
#AmiriJeshiMkuu ni wimbo uletao tumaini katika zile nyakati ngumu na za kutisha ambapo adui anakuwa amekuonea, amekutesa na kukupiga vita. Tunakiri maneno ya wimbo huu kama ishara ya kuamini kwamba Yesu ambae ndiye #AmiriJeshiMkuu anapigana vita zote za kiroho na kimwili kwa ajili yetu. Katika nyakati zote ngumu, kitu pekee tunachopaswa kufanya ni Kuomba, kuweka Tumaini na Kukiri kwamba Yesu ndiye Jemedari wa Vita.
#AmiriJeshiMkuu is a sound that brings hope in those tough and scary moments where the the enemy has been bullying, torturing and fighting against us. We declare the words of this song as part of trusting that Jesus is the #CommanderInChief fighting all the spiritual and physical battles for our sake. The only thing that we have to do in these tough times is to Pray, Hope and Declare that Jesus is the General of War.
Songwriter: Henrick Mruma
Singer: Henrick Mruma & Regina Makombe
Video Director: Ambah Pixels
Audio Producer: Gideon James (G Musics)
Instrumentalist: Gideon James (G Music)
Vocal Arranger: Henrick Mruma
Back Vocals: Soprano - Regina Makombe | Alto - Faraja Kaywanga & Sophia Kalinga | Tenor - Adam Kingo | Bass - Roland Robert
Video Cast: Agreth Makombe, Sophia Kalinga, Faraja Kaywanga, Joel Bandeke, Max Mussa & Roland Robert.
Special thanks to;
Albert & Roseline Mruma and Family.
All my friends who participated in this.
Amiri jeshi mkuu. .......huyu ndie alie mpigania DAVID kwa GOLIATI
Hakika
Amiri jeshi mkuu wapigana kwajili yangu 🖐🖐🖐
Amiri Jeshi ni ww Mungu.... Kazi nzuri my beloved brother keep it up
All the glory to God. I learn from you a lot. Keep on inspiring.
Hongera snaa Mtumishi
Amen
Hakika Mungu Ni mwenye nguvu
Amiri jeshi mkuu YESU.....Ubarikiwe sana kaka Mruma
Amen Amen
Bwana wa Majeshi akubariki, Nasi tunabarikiwa na huu wimbo.
Keep it up.
JEHOVA AONAYE SIRINI AKUTUNZE
Utukufu una Mungu. Ubarikiwe sana..
Aminaa
Kazi nzuri Mungu aendelee kukupigania
Utukufu kwa Mungu. Amen
God directed me here Amen 🙏
Yes Amiri Jeshi,sitanyoosha mkono kupigana najua wewe wapigana kwaajili yng
Ubarikiweee sana mtumishi ,Mungu alitubariki moshy na huu wimbo
Utukufu wote ni wa Mungu. Zidi kubarikiwa siku zote.
Mungu aendelee kukupandisha viwango vya juu.
Amen. Napokea kwa Jina la Yesu
Powerful song brother
Glory to God
Hongera sana Henrick mrumah...#TupigeKazi
Salute to you Mr. Producer.
Hallelujah
Amen
🔥🔥🔥 ukiri wa vita 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥❤️❤️
Hakika. God bless you Woman of God.
Deep worshipping😍Mungu akuinue zaidi mpendwa
Amen. I recieve in the name of Jesus.
For the Lord your God is the one who goes with you to fight for you against your enemies to give you victory.”
Deuteronomy 20:4
Aaaaaaaaah 🙌 Mungu aendelee kukutumia....ila usije ukabadilika
Niombee tu.
Ubarikiwe sana
Ameeenii
Dah henrick🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Yaani daaah
Glory to God
Amili jeshi mkuu Mungu wangu
Yes
@@henrickmruma nyimbo hii inaujumbe mzito sana
Kaka ni kwa neema ya Mungu tu.
@@henrickmruma amina bro Mungu aendelee kukupa mambo mazur zaidi Mungu azidi kutoa huduma ndani yako
A declaration for wars.... 🔥🔥🔥
Yes Sir Mentor.
The song that always have meaning in my heart n soul.......Thank You for this blessing
Hii wimbo imenisogeza mahali mpk nimelia brother this song is powerful Sana kaka hii ibada kamili MUNGU akutunze Sana kaka kaz njema na nzuri nimebarikiwa Sana kaka ....
Najifunza
Oooooh Jesus Christ. May the Almighty God keep uplifting us from level to level. I appreciate you Sir.
🔥🔥🔥🔥🔥Barikiwe kaka
Amen
Congratulation my dear brother may God continue to use you 🙌🙌🙌 nice song
Thanks Sis. Keep on praying for your brother out here.
@@henrickmruma don't worry brother we will always be behind you with our prayers just stay strong 💪💪💪
Thanks God! Congratulation brother 👏🏻👏🏻👏🏻❤️❤️
Amen
Ukiri wenye tija ya Ukiri I just love the song!!!!! The song itself has got personal meaning to my life
Woooow.. This comment gives me another reason to glorify God. May the Almighty God bless you.
Hongera sana sana mungu akubariki sana
Amiri Jeshi Mkuu wapigana vita kwa ajili yangu😭🙏🙏all glory belong to Jesus...... Keep it up broo🙌
Utukufu kwa Mungu
Keep on praying for me
Ubarikiwe mtumishii
Amen
aiseeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Utukufu kwa Mungu
Akiwa upande wangu nani awejuu yangu.
Hakuna anaeweza kuwa juu yako.
Yeeeewsir Das it Das it
Amen
Feeling blessed 🙏🙏
Amen
So powerful
Very nice and powerfull song
Glory to God
My brother🙌🙌🙌 Kazi nzur sana
AMIRI JESHI MKUU🙌🙌🙌🙌🙌
Glory to God Almighty.
Glory to God,nice songs
Nimejikuta nimepata nguvu za kuingia kwny maombi ghafla,na kinywa changu kimejazwa maneno nimejikuta naflow
Be blessed my brother
May the Almighty God bless you Abundantly.
HONGERA MKUUU KAZ NZURI SANAA IMENIHUDUMIA SANA
Mungu azidi kukupandisha viwango
Powerful Enough to Lift. God may use you more
Hakika, Anazo nguvu kupigana Vita kwaajili yetu, anaweza kututetea kwenye kila Hali. Mungu akubariki Sana brother
Yeye ni #AmiriJeshiMkuu ndiye Jemedari wa vita.
👏👏👏👏👏am blessed 👐
Amen
Kazi nzurii Sana mtumishi wa Mungu, Hakika Yeye ni Jemadari mkuu. Touching song indeed.
Amen. Ubarikiwe sana kaka kwa support yako. I appreciate.
Waooooh congratulation my lovely brother and sister this song🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
All the glory to God
Regina 😘😘😘
Motooo
Very powerful work brother!! may it impact millions of lives in Jesus name 🙏🏾🙏🏾
Amen
amen .amen.be blessed all
Amen
Nmeongezwa imani kupitia mwimbo huu
Barikiwa sanaaa rafik ang 😍
Mungu akuzidishie zaid😊
Mungu akuze imani yako maradufu.
Touch Song
it blessed song yani utukufu kwa Mungu
Amen
Yesuuuu Do it..Do it Do it...Do it ...Do it for Me plz😭.... Uwiiii 🙌
He will do it indeed. Kumbukumbu la Torati 20
I am blessed. Where is Steve? you guys mlitubariki sana. God is still using you😊😊 I am inspired by the powerful message. Be blessed brother.
All the glory to God. Be blessed
Be blessed Man of God
Amem
Powerful song.... Regina ametisha sanaaaaa
Mnoooo
"Wapigana kwa ajili yangu...."
What a powerful song.....
Bless you sana Henrick...
All the glory to God Almighty
absolute minister
Powerful song bro
For the glory of God
this song speak alot to me. Mungu aendelee kukutumia rafkiangu. Nakupenda kaka
Glory to God. Thank you so much best friend.
You are a part of this and more.
Halleluyah, Amen........
Be blessed the servant of God
Powerful
Glory to God
I thank God for Yu Henrick..uendelee kufanyika Baraka.God bless you🙏
Utukufu kwa Mungu. Amen
Blessing son, amen
Amiri Jeshi mkuu......thank you for this
Amen
Congratulations.. God bless you in abundance this is just the beginning the best are yet to come..trust God trust on urself....
Amen Amen. God bless you
Amina blood be blessed
Amen Amen
Finally ..., hongera sana Mtumishi wa Mungu Henrick Mruma.. Glory to God Almighty
Amen
Thank you so much Sir.
It's such a blessing to have anointed, talented and worshipper like you bro, you bless me honestly.
For the glory of Jesus. Amen
Amen 🙏.
🙏🙏🙏🙏🙌
Mrumaaaa🙌
Glory to God
Glorious
Amen
😭😭😭😭🙇🙇🙇🙇 Nakosa neno Brother wangu! Hongera sana kaka
Kaka sema neno kaka. Ila Utukufu una Mungu.
It's a very powerful Song.Be blessed Kaka
Amen. All the glory to God Almighty.
Kaka nimebarikiwa sana na uu wimbo i manifest it in my life....🙌🙌🙌🙌
Ubarikiwe zaidi na zaidi
You sang this song in Dodoma, it was powerful
Brother you're blessed.... I like maanguko yako katika utunzi...🔥💕
Glory to God. Thank you for also writing beautiful songs for the kingdom of God.
Blessing
Amen
❤️❤️❤️❤️with love
Amen
Nice
Still powerful
Kazi nzuri Sana, wimbo unagusa mno, Ila hapo mwisho kwanini uliamua kuvuruga nywele Kama rasi?
Mungu akubariki na kuzid kukuinua
Amen. Utukufu kwa Mungu. Ubarikiwe sana na kuhudumiwa kupitia wimbo huu
Waoooooh God bless you
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wawooooh fantastic Bro, Mungu azidi kukutetea zaidi upande viwango vingine zaidi ya hapo.
Amen. Napokea kwa jina la Yesu
Twin... you never disappoint. 😍
Beautiful song powerful indeed.
Ubarikiwe sana.
Mungu akuzidishe pacha
My twin. You are a blessing to my ministry. God bless you, I appreciate you.
Powerful song congratulations Henrick my friend 🔥🔥
Niombee pia. Utukufu una Mungu
So proud of you my people.
My brother. God bless you so much. I learn a lot from you.
Atarrrriiii 🔥🔥 amazing voice on it
Mungu akuhudumie kupitia wimbo huu
Powerful song ,God bless you
Amen
am blessed with one of your song "nikikusubiri"... and i think this i your next best, i would advice you to do this kind of songs, as they show the best part of you...
All rests in God's hands. Keep on praying for me.
🔥
Wow! Powerful
For God's glory.
🙌🙌
I am so blessed bro 🙌🙌. May God continue to use you more and more
Keep on praying for me and supporting me.
Powerful song. . .
Let God receive all the glory.
Very powerful 🙌
Glory to God
Amen
Amen
yes thats so powerful..a comforting song blessed broh
Amen Amen
Love it ❤️
Me too. God bless you