CHEKECHE || Mkutano wa 78 wa Umoja wa Mataifa || Urusi, Afrika "gumzo kuu"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Viongozi wa nchi mbalimbali duniani wamekutana kwenye mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa nchini Marekani huku vita vya Urusi na Ukraine vikichukua nafasi ya mjadala sambamba na viongozi wa Afrika kupaza sauti kuhusu mwenendo wa hali ya mambo ikiwemo "ukoloni mamboleo".
    Ungana na Raymond Nyamwihula akiwa na Ibrahim Rahbi kwenye CHEKECHE.

КОМЕНТАРІ • 47

  • @user-jg7zh1ck3u
    @user-jg7zh1ck3u 11 місяців тому +2

    Kuusu Congo umoja wa mataifa wanatakiwa kuondoka Mimi ni muzaliwa wa mahali ambapo hizo tatizo zipo, na vikosi vingi vya wa asi vinaundwa na umoja wa mataifa monisco sisi wakaaji wa uvira Goma tunajuwa muzuri sana kazi ya umoja wa mataifa monisco kwamba haikuja kuleta Amani inchini Congo ,..

    • @malikdogo5009
      @malikdogo5009 10 місяців тому

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @HamisiGatuso
    @HamisiGatuso 2 місяці тому +1

    Upo sawa unajua sana

  • @massoudsultan8484
    @massoudsultan8484 11 місяців тому +4

    😀Libya Gaddafi alingia kwa mapinduzi na nchi ikaendelea

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 11 місяців тому +3

    Africa ss tukiona rais nikibaraka wa marekani na ulaya nikumpindua tu ndio democrosia yetu

  • @user-wi9et9yl1v
    @user-wi9et9yl1v 11 місяців тому +2

    Namuelewa sana bwana lab mchaz balaa nataman kumsikia

  • @user-ni9gx1ho6c
    @user-ni9gx1ho6c 11 місяців тому

    Bg up Azam tv + Rabi u are giniac

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 11 місяців тому

    Rab naww mtangazaji nawapenda sn ila tuache unafki na sabit mlangi nduguyenu pia nampenda yamkini mwenyezimngu awazidishie umri mlefu

  • @MauaLucas-st6be
    @MauaLucas-st6be 5 місяців тому +1

    Chiseked anataka kusain mkataba wakijeshi na urus

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 11 місяців тому

    Hatutaki democracy haisaidii kitu Africa

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 11 місяців тому

    Nawapenda wew naibraimu Rabi ilove

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 11 місяців тому

    Muheshimiwa Rahbi umepotea siku nyingi hatuoni uchambuzi wako mollah akupe afya njema

  • @asingizibwejacobkalokola7351
    @asingizibwejacobkalokola7351 11 місяців тому

    Naona kharkive na Odesa zitwaliwe hili Mambo yakae sawa.

  • @reubenhizza
    @reubenhizza Місяць тому +1

    Libya ya Muamar Gadaf haikuendelea!? Na walisema inatawaliwa ki ducteta

  • @OmarOmar-vf9dv
    @OmarOmar-vf9dv 11 місяців тому

    Asanteen tumehabarika vyakutoshaa

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 10 місяців тому

    mchambuzi nae kachagua Urusi

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 10 місяців тому

    Lazima kwanza ulegezwe ndio ukubali kuzungumza nchi nyingi baada yaa vita na maadhara ndio zikakubali kuongea

  • @Amirmgunya-pt2zm
    @Amirmgunya-pt2zm 11 місяців тому

    Pamoja sana

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 11 місяців тому +1

    Marekani ndio wanaendeeza hik vita marekani na umoja wa ulaya ndio hawataki mazungumzo

  • @kingdavid3708
    @kingdavid3708 10 місяців тому

    Nime kupinga saanaa mwana abari kwaiyo neni kusema atiii wawo wasingekua uko mambo yangekua hatari !!!!?. Mwana abari waho ndo wanaho sapoti wa hasi kitu inayo fanya wanainji wa fanye mahandamano ili wanajeshi wao waki magaribi watoke nii mambo mingi saana kama kuna siku wali shika gari la wale majeshi wa magaribi wakipekekea wale wahasi mipanga na silaha zingine na majanga yawale mahasikari ni mengi saanaaaa

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 11 місяців тому

    Mchambuz unajuwa Munisco kweli!

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 11 місяців тому

    Mchambuzi saa mbovu ila siku sio nyingi itaanza kusema kweli muda tu

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 11 місяців тому +1

    Demoklasia imefeli africa😢

  • @jumatophili
    @jumatophili 11 місяців тому

    Nakukubal mchambuzi

  • @user-pi4et2cc7s
    @user-pi4et2cc7s 3 місяці тому

    MBONA MAREKANI WANAWAKANDAMIZA NA KUWA KALIA KIMABAVU WAPALESTINA JE HILO NI HALALA???

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 2 місяці тому

    Kama kunawachambuzi wasisa huyu niwakwanza kusema ukweli

  • @user-wu2ns5zq7q
    @user-wu2ns5zq7q 10 місяців тому

    Abo bajama habahdu takiye amani

  • @ibrahimmbilizi1726
    @ibrahimmbilizi1726 10 місяців тому

    Ivi uyu mchambuzi anajielewa ama

  • @mashirimathias6006
    @mashirimathias6006 11 місяців тому

    Mpumbavu hapo ni Huyo popo bawa wa Marekani

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 11 місяців тому +2

    Sisi watanzania kwenye umoja wa mataifa nani anatuwekea Kinga

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 11 місяців тому +2

    Tupo pamoja, Mrusi bado hajatangaza vita zidi ya Ukraine

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      Atangaze ipitena wakati anapigana urusi alichobakiza nikutumia nyuklia tu kwenye vita vyakawaida imeshakua ngumu

    • @godfreydavid6267
      @godfreydavid6267 10 місяців тому

      duh kwa nini?

    • @godfreydavid6267
      @godfreydavid6267 10 місяців тому

      @@robertphilip385 mzee unajua saaana...Urusi kabakiza nyuklia tu....unajielewa saaaaaaaana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 місяців тому

      @@godfreydavid6267 najua huwezi amini lkn ndoukweli

    • @hassansingano1150
      @hassansingano1150 10 місяців тому

      Nyuklia ni silaha za kimkakati tuu pindi unapo pambana na adui mwenye nazo

  • @omariathumanchigwe5776
    @omariathumanchigwe5776 11 місяців тому

    Walinda amanindio waporaji wannchizetu naulizahivi miaka25 amani imepatikana Congo naombajibu kamahaijapatikana walinzihao wanafaidagani?

  • @user-wh9ml5vc7x
    @user-wh9ml5vc7x 11 місяців тому

    kaka haya mombo mpe sabit

  • @babakalunde4949
    @babakalunde4949 11 місяців тому

    Anaongea ukweli mtupu

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 11 місяців тому

    Mtangazaji kiamkweli je? Nihalali urusi kuchukua arthi ya inchi ingine? Acheni ujinga semeni ukweli

    • @ibrahimabdullah1887
      @ibrahimabdullah1887 11 місяців тому

      Kajambe huko

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 місяців тому

      @@ibrahimabdullah1887 wapi huko?

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 10 місяців тому

      Ukraine ilikua mkoa wa Urus.. baadae wakaomba iwe nchi.. ila kuna mashart wakakubaliana.. kwamba wote hawatojiunga nato