US, CHINA na URUSI nani KIONGOZI Teknolojia ya ANGA? Mtanzania aliyeunda SATELLITE amaliza ubishi!

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 181

  • @mwajomberobert
    @mwajomberobert 3 місяці тому +5

    Safi sana
    Kumbe tunao akina Musk wa Tanzania
    Big up kwake

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 3 місяці тому +3

    Uyu jama iko vizuri anaeleweka na anaonekana ana madini 🎉 big up

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 3 місяці тому +12

    Napenda sana mambo ya anga.. natamani umkalishe huyu mwamba pamoja na masubi wajadili kwa upana hii kitu kaka sky.. story iko interesting aisee!! 🫡

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 3 місяці тому +1

      Ukishindwa kurusha satellite kuwa mchawi uruke we mwenyewe utafaidi zaidi

    • @faridhamad3678
      @faridhamad3678 3 місяці тому

      ​@@alzawahirabdallah2299Dah aisee akili zako unazijua mwenyewe😂😂

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 3 місяці тому +2

    Aaiiiseee very impressive

  • @linusrichard4450
    @linusrichard4450 3 місяці тому +3

    Jamaa analijua anga kisawasawa 👍👍

  • @Moseskoome-l1t
    @Moseskoome-l1t 3 місяці тому +12

    yaan huyu jamaa ni another level big love from🇰🇪🇰🇪

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 3 місяці тому +4

    Kijana wa Physics, well done 👍

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 3 місяці тому +5

    SNS mpo juu sana

  • @mohammeddabwara6220
    @mohammeddabwara6220 3 місяці тому +2

    Mungu. Akulinde. Kea. Juhudi

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 3 місяці тому +6

    Jamaa anajua sana,,inabid awe anaudhuria ofisini kwe2 #SNS kuja ku sign

  • @rashidyunus1835
    @rashidyunus1835 3 місяці тому +14

    Brother Sky nina ombi anda interview ya huyu jamaa pamoja na Benjami mzee wa "NALA" TAFADHALI ANDAA HYO INTERVIEW

  • @inogelapixels
    @inogelapixels 3 місяці тому +32

    Siti ya mbele kabsa Leo na Mimi nipeni like

  • @directortwicep3028
    @directortwicep3028 3 місяці тому +29

    Huyu jamaa yuko poa sana nchi yetu itoe sapoti basi

    • @AhmedHamed-r5i
      @AhmedHamed-r5i 2 місяці тому

      Wako busy na mambo chaguzi! Hawana muda!!

  • @husseinbunu8581
    @husseinbunu8581 3 місяці тому +8

    Wa kwanza kuangalia like

  • @star_wizard2792
    @star_wizard2792 3 місяці тому +15

    Brother sky chukua hi sns NI kisima cha maarifa hyuu Jamaa mpe kipindi awe anaelezea mambo ya masatelite na Habar za mambo ya Angani Huko kwa lugha yetu ya Kiswahili itakuwa nzuri Sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 місяці тому +6

    Kweli kabisa Africa ipo ktk ya sayari ukiwa juu unaona Africa vizuri tofauti ya nchi zingine hazionekani

  • @kelvinmboya5846
    @kelvinmboya5846 3 місяці тому +2

    Bro sky huyo bro anatufaa sana kwenye kuelezea mambo ya kisayanisi. Hata za kivita tulete mezani

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 3 місяці тому +1

    Good Idea Bro, Nakuombea Sana Iwe Ivyo

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 3 місяці тому +5

    Daah aisee nmefrah sana

  • @DavidThadeo
    @DavidThadeo 3 місяці тому +1

    Mwamba yupo vizuri sana🙌🙌🙌🙌💯💯💯💯

  • @BimkubwaMohd-ef6hr
    @BimkubwaMohd-ef6hr 3 місяці тому +1

    Revolution

  • @officiallugano8991
    @officiallugano8991 3 місяці тому +4

    marekani Baba wa TECNOLOGY

  • @eliudkazoba5170
    @eliudkazoba5170 3 місяці тому +1

    Safi sana Ndugu yetu, pambana ndoto yako itimie.

  • @markoandrea-c2x
    @markoandrea-c2x 2 місяці тому +3

    Kaka mimi niko Namibia 🇳🇦 karibu saana nitakua mwenyeji wako

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 3 місяці тому +2

    Mama Samia chukua huyu mtu....turushe satellite yetu

  • @MahmudHakizimana
    @MahmudHakizimana 3 місяці тому +6

    Uyo jamaa aalikwe sana ALLAH azidi kumfulia iyo elimu

  • @ELVISCHACHA
    @ELVISCHACHA 3 місяці тому +1

    Je Rocket, inawezaje kukaa juu mda mrefu? Namaanisha inachajiwa au?

  • @mwajomberobert
    @mwajomberobert 3 місяці тому +3

    Mwana Anga mzuri sana kutoka Tanzania
    Na pia ni mwalimu mzuri sana

  • @JustineWangi-j2t
    @JustineWangi-j2t 3 місяці тому +4

    Dah!uyu mwamba yupo vzr namfatiliaga sana.

  • @noahkamendu9081
    @noahkamendu9081 3 місяці тому +3

    Kweli kaka ilo jiwe (KIMONDO) liko mkoa wa SONGWE , wilaya ya MBOZI , Kijiji Cha NDOLEZI

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 3 місяці тому +4

    M/Mungu atupe wepesi nimependa kiswahili kwenda sayasi nimependa Alaahu akbar

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 3 місяці тому +4

    Urusi kinachomuangusha ni uchumi

  • @Mtumishi755
    @Mtumishi755 3 місяці тому +6

    Naiomba Serikali ya Tanzania mumuangalie huyu Kijana Leonard Shayo kwa jicho la pekee kwa kumsupport kufikia malengo yake kwa Taifa. Mama Samia nakuomba umuite na kuongea nae yale anayohitaji ili kufikisha malengo yake kwa Taifa.

    • @ce-08
      @ce-08 3 місяці тому

      Umeongea vizur sana ila serikali yetu Bado upo nyuma kusuport wazawa

  • @RichWise671
    @RichWise671 3 місяці тому +2

    #Chief_Godlove
    Mwezeshe Huyu Jamaa
    Aikombowe Africa kupitia
    #Tanzania🇹🇿

    • @luganomunuwavanu9369
      @luganomunuwavanu9369 3 місяці тому

      😅😅😅

    • @emaneez
      @emaneez 3 місяці тому

      Huyo jamaaa. Yupo chini ya azam . Na ndio fundi mkuu mitambo ya azam media . So hayupo kinyonge hata robo . Nenda azam utamuona .

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 3 місяці тому +13

    Dah story ua huyu mwamba ni nzuri yaani haichoshi inazid kukolea

  • @danvannyzawad6452
    @danvannyzawad6452 3 місяці тому +7

    Nasema huyu jamaaa ndio mkombozi wetu

  • @40kstore
    @40kstore 3 місяці тому +3

    Majamaa kama haya ndo usalama wa taifa wanatakiwa wawatafute na kuwapeleka mbele huko wakaibe tech

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 3 місяці тому +12

    Huyu mangi ana uthubutu sanaa... inabid mawazo yake yafanyiwe kazi Ata kwa faida ya kizqzi kijacho

  • @alexanderhaule7667
    @alexanderhaule7667 3 місяці тому +4

    Marekani kwenye space hana mpinzani.
    1. Project Mercury.
    2. Project Gemini.
    3. Apollo program.
    4. International space station.
    5. Space shuttle program.
    Manuva yote ya orbital mechanics aligundua mmarekani kupitia hizo program.
    They learned how to live , eat , fly and longer stays in space .
    Dangerous mission zote za space kafanya mmarekani ( Apollo 13 nk )
    HAKUNA NCHI IMEFANYA MANNED MISSION TO THE MOON ZAIDI YA MAREKANI .
    Na sasa wako na ARTEMIS PROGRAM with ARTEMIS II incoming.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 3 місяці тому

      Jaribu kufanya utafit kwanza kabla hujataja majina hebu nenda google tuone nchi ya kwanza kurusha chombo cha mawasiliano angani ni ipi

    • @danieltelesphory
      @danieltelesphory 3 місяці тому

      Nchi za ujamaa hazina tabia ya kufanya matangazo mengi nakijisifia sana kuwa wao ndio wanaweza,tumeshuhudia sana mengi waliyokuwa wakijitapa kuwa wako juu kumbe Russia anawapita kitambo

    • @alexanderhaule7667
      @alexanderhaule7667 3 місяці тому

      @@magorymara5515 hujaelewa swali nenda kajielimishe kwanza bwana mdogo.

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 3 місяці тому +4

    Hiyo telescope inaitwa james web telescope

  • @Del_busi5
    @Del_busi5 3 місяці тому +6

    Tanzania 🇹🇿 inawatu muhim sana, serikali iwalinde kwa gharama yeyote ile

  • @ManusuraWalumona
    @ManusuraWalumona 3 місяці тому +5

    Kilicho nifurahisha zaidi kwa ndugu yetu kuto kutumia so!so!na viingereza vingi vingi ktk maelezo yake tunamuomba atueleze kidogo kuhusu hao viumbe wenye vichwa na miili ya ajabu eti (alliens)wapo kweli na km wapo wapo wapi?nk

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 3 місяці тому +3

    Sky bn acha uwongo hujawai skia kimondo mbeya 😊

  • @danielsostenes1640
    @danielsostenes1640 3 місяці тому +2

    Marekan ajawai peleka mtu mwezin. But mambo ya anga mrusi alkuaga hatua mbele kwa marekan alkuaga mbali sema mpasuko tu

  • @athumanramadhan4042
    @athumanramadhan4042 3 місяці тому +3

    Uyu jamaa awe gps tuh yuko vizur kk

  • @Mtumishi755
    @Mtumishi755 3 місяці тому +4

    Serikali ya Tanzania huyu Leonard Shayo ni Mzalendo wa kweli ninawaomba apewe support yoyote anayohitaji ili kufikia malengo yake kwa Taifa.

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 3 місяці тому +2

    Utashangaa huyu jamaa hataitwa hata itv😢

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 3 місяці тому +4

    Alieanza kaanza tu

  • @StanleyJohn-c1u
    @StanleyJohn-c1u 3 місяці тому +6

    Waislam wamekwazika kusikia Marekani ni balaa kwa anga ila ukweli utabaki kuwa huo na Mungu awajalie wasitoke hapo

    • @AlexNswila-g1q
      @AlexNswila-g1q 2 місяці тому

      Ukija kuelewa kuusu ao wamarekani bc utaacha kuwashadadia

  • @RAMAMOHA-vn9xv
    @RAMAMOHA-vn9xv 3 місяці тому +2

    huo uchambuzi mnaanza saa ngapi tafadhali naomba kujua

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 3 місяці тому +3

    Nilimsikia Benjamin Netanyahu,Warusi wako vizuri na mbali zaidi anga za juu kuliko wamarekani.
    Kuna wkt wamarekani walishawahi kufake wamefika mwezini kumbe sio.warusi na wachina wasiri sana wamarekani wawazi zaidi na hawachi kujisifu kuliko warusi na wachina zaidi

    • @essaongongolowo2400
      @essaongongolowo2400 3 місяці тому

      Simuamini anavyosema kuwa wamarekani wapo mbali sana lakini hana facts, vita pale Ukrein imetawaliwa na tech za anga lakini U.S anakubali kushindwa how comes anasema U.S IPO juu?

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 3 місяці тому +3

    Next time aje pia atoe mawazo yake kuhusu uwepo wa aliens

  • @PaulMasega-yy3sz
    @PaulMasega-yy3sz 3 місяці тому +2

    Kama universe Ina expand kwanini Dunia isemekane inajaa.

  • @DjskillsTboiyprincess
    @DjskillsTboiyprincess 3 місяці тому +2

    Gps mnaweza kumuongeza jama apo

  • @ajsmainde5138
    @ajsmainde5138 3 місяці тому +2

    sky unawatoa wapi hawa watalaamu 🎉🎉🎉

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 3 місяці тому +2

    Sacred Geometry.
    US,get high tech Israel and Russia then China. So that Israel continues to lead in technology.

  • @ce-08
    @ce-08 3 місяці тому +2

    Bundara kwenye mahojiano wewe ni level nyingine kabisa🎉🎉🎉

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 3 місяці тому +2

    Kama waafrika tumeanza kufikiria ant gravity technologies tunapoelekea ni pazuri sana ila kijana angalia hiyo technologies imepeleka watu pabaya maana unazuia ugali wa watu

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx 3 місяці тому +5

    America wakipata mtu Kama huyu ni dili..

  • @JoesB-i5i
    @JoesB-i5i 3 місяці тому +2

    Wachina wanacopy balaa shida yao ni ranks za quality za bidhaa zao tu.

  • @viootanzania9080
    @viootanzania9080 3 місяці тому +2

    Yusuph from dodoma

  • @greyuhagile5051
    @greyuhagile5051 3 місяці тому +1

    Jamaa hachoshi kumskiliza ...arudi tena

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 3 місяці тому +3

    Akipata nafasi ya kwenda mambele bora asaini mkataba na NASA au kitivo chochote Sayansi nchi yeyote ile bongo watamchukulia poa tu na kumpa masifa ya uongo au hata kumuondoa kwenye sayari ya dunia kisa tu anakipaji.

  • @EmmanuelKibaja
    @EmmanuelKibaja 3 місяці тому +2

    unafaida kubwa kwangu na kwa familia yangu tutainuka kwa faida zaidi

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 3 місяці тому

    Yes

  • @mazindehashimu4430
    @mazindehashimu4430 3 місяці тому +3

    Ni kweli kwenye teknolojia ya anga Sasahivi anayeongoza ni marekani. Urusi kwa Sasa kawekeza zaidi kwenye silaha, mambo ya anga aliachana nayo kwasababu aliona hayana umuhimu nayo kwasababu alishawekeza hapo mwanzo.

    • @allykwaya
      @allykwaya 3 місяці тому

      Kabisa. Waende warudi Urusi mbele ya Muda kitambo

    • @georgekimasa7393
      @georgekimasa7393 3 місяці тому

      Yaani nyie bhana 😂😂😂 lakini tunajuwa mnavyosema hivyo mnamaana Gani kulingana na majina yenu pia mnacho takiwa kujuwa hata hizo Silaa za kivita zinategemea teknorojia ya anga na Marekani ndiyo anamiliki hiyo anga Kwa kuwa na teknorojia ya hali ya juu hivyo hata kwenye mambo ya utengenezaji wa vifaa vya kivita Bado Marekani Yuko juu na huwezi kumfananisha na huyo mrusi.

    • @essaongongolowo2400
      @essaongongolowo2400 3 місяці тому

      Anga ndo kila kitu Urusi hawezi achana na mpango Huo.

  • @eliasaNgahehwa-l2f
    @eliasaNgahehwa-l2f 3 місяці тому +2

    Mi ni urusi bana

  • @mussamkanga3329
    @mussamkanga3329 3 місяці тому +1

    Sky kaka Wewe unajuwa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 місяці тому +7

    Kiufupi kaka sky sayansi yote ipo kwenye Quran..ukisoma kitabu Cha Quran inakwambia Kila kitu...na mwanasayansi wakwanza dunian na wamwisho ni mtume wetu Muhammad s.w..ukisoma kitabu Cha mungu Quran ndo itakwambia Kila kitu

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 3 місяці тому +4

      Muhammad aligundua nini mzee😂😂

    • @FrankKashamakula-xb1pc
      @FrankKashamakula-xb1pc 3 місяці тому +1

      Uongo tuu

    • @Aladeide
      @Aladeide 3 місяці тому +2

      😂😂😂😂😂😂 Mohammad alifanya nini katika sayansi?

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 3 місяці тому +2

      ​​@@DodomaTanzania-r5z hata mfuasi wake ajawai gundua kitu..wafuasi wake ndo watu wakwanza kugundua Biriani..izo bla blaah za kuran mbona hawajawai kugundua hata kufuli

    • @yusuphkidoto6766
      @yusuphkidoto6766 3 місяці тому

      😂😂😂😂eti wafuasi wake waligundua bilian duuu​@@FreeGod368

  • @mtoramazani9641
    @mtoramazani9641 3 місяці тому +1

    Mwambie huyo jamaha vitu vyote vyaku peleka vyombo vyote ewani vinatoka urusi huyo asome vizuri mwenyewe Elon aja fanakiwa pamoja na kampuni yake kupeleka chombo angani nipo marekani mimi sihitaji kudanganywa na mtu kuwadanganya wengine!

  • @lourykibudu
    @lourykibudu 3 місяці тому +2

    Sky tunaomba muengeze huyu jamaa akipata mda kwenye GPS tafadhali tunajua Yuko busy but akipata mda

  • @mkulimatanzania
    @mkulimatanzania 3 місяці тому +2

    Nimewahi mapema kaka Sky tupe elimu hii inatusaidia kujua dunia na wenzetu walioendelea

  • @danvannyzawad6452
    @danvannyzawad6452 3 місяці тому +2

    Mwite huyu na benjamin wa nala

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 місяці тому +2

    HILO JIWE LA MBEYA SIUTARI MZURI KWETU TANZANIA NDUGU YANGU???? AWATAKUJA KULICHUKUA WAZUNGU HILO JIWE ????

  • @MussaRobart-w2y
    @MussaRobart-w2y 3 місяці тому +1

    Amerca mjanja wengine watakuja

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 3 місяці тому +1

    Hio rocket ya Tanzania mbona sjawahi iona

  • @JamesIbrahim-el4zw
    @JamesIbrahim-el4zw 3 місяці тому +2

    Tata,nipo tarime,tata soma bibilia ivi Mungu ni muongo,hakuna mtu anaeweza kutoka inche ya dunia,ukiitaji nikupe vifungu vya bibilia,wanasayasi ni waongo,kama wanasema mtu alitokana na nyani,je?hilo nalo unalikubali,nakwambia ikijikita kwenye bibilia utaelewa,ila kwenye sayasi utajidangana,na kudanganya,shetan ni muongo na ataendela kundanganya,

  • @salumyussuf2140
    @salumyussuf2140 3 місяці тому +4

    Katika uislam imeelezwa Kwa kina hiyo habar kuwa chuma kilishushwa kutoka juu hakikuumbwa pamoja na ardhi Kwa hiyo Hilo ni jambo limeshazungumzwa na uislam

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 3 місяці тому

      Hakka hizo galaxy na vitu vyote hivyo vishatajwa ktk Quraan

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 3 місяці тому

      Binaadam wa mwanzo ni nabii Adam, vitabu vyote Quraan na Taurat na vitabu vingine vinakubali hivyo

  • @mtoramazani9641
    @mtoramazani9641 3 місяці тому +1

    Hajui chochote huyo mpumbafu!

  • @Olaiserriomunyak1059
    @Olaiserriomunyak1059 3 місяці тому +1

    Jiwe la chuma? Kwa hiyo kule Mars kila kitu ni chuma? Mimi sielewi?

  • @duasaidi6676
    @duasaidi6676 3 місяці тому

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 3 місяці тому +5

    Sasa hao roboti wa marekani wanafanya kazi kwenye sayari ya mars usiku na mchana wanafanya kazi gani huko??

    • @Olaiserriomunyak1059
      @Olaiserriomunyak1059 3 місяці тому

      Swali zuri sana hili? ...
      Au wanalima?😂😂

    • @benedictinelusambo069
      @benedictinelusambo069 3 місяці тому

      @@Olaiserriomunyak1059 ilibidi mtangazaji aelezeee hicho kipengele wanafaje huko

  • @JohnLyakurwa-v8y
    @JohnLyakurwa-v8y 3 місяці тому +1

    Mangi mangi

  • @AlexNswila-g1q
    @AlexNswila-g1q 2 місяці тому

    Kipo mpaka leo

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 3 місяці тому +2

    Sisi tukisomesha wanafunzi nje wakirudi wanakuja kutuchapa kuingia mikataba mibovu ya matumbo yao kuongeza kodi kwa masikini na matajiri kusamehewa kodi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 місяці тому +2

    Kweli kabisa wachina wamesambaa kote wapo kama siafu Sisi waafrica wavivu Sanaa kufikili na kujaribu.sisi tunakimbia pesa Tu hii ndio akili yetu watu wenye kufikili hawasaidiwi na jamii wala serikali wanaangalia tu serikali inaangalia udalali kuuza Mali za nchi mikataba mwisho baadae hao wanakuja kudai mabilioni wananchi tupo tunaangalia akili za kinyama

  • @DM_15
    @DM_15 3 місяці тому +1

    Kama wameanza ku mong'onyoa hiomiamba huko angani tumekwisha kunasiku tutashuhudia juatuu usiku na mchana haitakuwepo tutachomwatuuu na jua

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 3 місяці тому +2

    Ila Russia iko juu sana, usije ukajaribu kumpuuza huyu jamaa. Yuko mbaliii sana!!

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 3 місяці тому +2

    Science haijaanzia Misri. Science imeanza na viumbe Wa Kwanza kuumbwa. Mbingu ni viumbe, sayari ni viumbe, watu ni viumbe. Kwahio ndani mwetu ndo kuna science.

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 3 місяці тому

      Hilo nalikubali, viumbe wa mwanzo jamii, BIN, MIN, NA MAJINI walkuwa na sayansi ya hali ya juu kanisa

  • @goodluckmsoka3660
    @goodluckmsoka3660 3 місяці тому +1

    Ilo swali kamuulize Dj pia tuone naye atajibu nn

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 3 місяці тому +1

    Kichwa sana uyu jamaa

  • @zigzag4487
    @zigzag4487 3 місяці тому

    Kweli quran ipo sahihi kabisa

  • @lumeaaniceth6391
    @lumeaaniceth6391 3 місяці тому

    Wakwanza leo

  • @krisantmwaipungu1434
    @krisantmwaipungu1434 3 місяці тому

    Ungesema ni south Africa kwa sababu uraia wa Elon musk ni wa nchi mbili. South Africa and USA

  • @TomFelix-s9t
    @TomFelix-s9t 3 місяці тому

    hiyo nyimbo hapo mwishoni inaitwaje, hiyo outro sound track

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 3 місяці тому +1

    Kwa tecnolojia ya anga na kijeshi Russia yuko mbele milele daima. Bado hamjasema meusi amewekeza angani katika engle muhimu tu hivyo mrusi anaweza kulitawala anga tofauti na marekani soon mtajuwa Putin aliposema anaweza kushusha fatalities za marekani zote alikuwa anamaanisha nini. Russia Ndio dola kubwa zaidi kuwahi kutokea dunia. Bado hamjasema vizuli

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j 3 місяці тому +1

    Angani hawatumii kilometa wanatumia light-year

  • @OsamSaleh-k3v
    @OsamSaleh-k3v 3 місяці тому +4

    🇷🇺

  • @iam_sami
    @iam_sami 3 місяці тому +2

    Kama jiwe aliligundua mwanakijiji kwa mgunduzi awekwe mzungu …???

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 3 місяці тому +1

    Wapi jamaa zangu Facebook group ya ulimwengu wa sayansi, huyu atatufaa sana