Wanasheria Wajitosa Sakata la Ngorongoro, Mwabukusi Aelezea Hatua Zinazofuata.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 165

  • @almasisalehe8164
    @almasisalehe8164 5 місяців тому +19

    TLS kimbilio la wanyonge. Hongereni sana. Mungu aendelee kuwaangazia

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 5 місяців тому +10

    Mungu amekuchagua tutetee wanyonge wa Tanganyika. Tunakuombea afya njema, maisha marefu na amani. Shujaa wa kisheria, Sheria onaokoa pia roho za watu zisipotee motoni. Mungu alulinde na akubariki sana mh. Mwambukisi.

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 5 місяців тому +12

    Hongera na Uhogozi Mpya wenye kishindo chapa kazi

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 5 місяців тому +7

    Mungu akulinde mh mwambukusi watanzania tupo pamoja na wewe

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 5 місяців тому +9

    Big up mzee wa section 4.

  • @thomaslali705
    @thomaslali705 5 місяців тому +7

    Well. A nice beginning

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene 5 місяців тому +7

    Mungu akuzidishie uhai, hekima na busara

  • @nmatuja2191
    @nmatuja2191 5 місяців тому +7

    Hongera sana Mr president Mwabukusi kwa kusimama na watanzania.Mungu akubariki na akulinde.

  • @NeyesuMarko
    @NeyesuMarko 5 місяців тому +4

    Barikiwa sana baba mungu aongeze miaka yako kama ya ezekia

  • @stevenmanzi8
    @stevenmanzi8 5 місяців тому +6

    Hongera rais wa wanasheria

  • @Mussa-w4p
    @Mussa-w4p 5 місяців тому +6

    Mzee mwenyezi mungu akupe umri akuepushe namabaya yote mimi nakuombea sana nanimenuia kukutolea sadaka kwaajili yauhai wako

    • @faza4023
      @faza4023 5 місяців тому +1

      Mungu akuzidishie

  • @YAHAYA-xr8pu
    @YAHAYA-xr8pu 5 місяців тому +11

    Huyu huwa hatishiki istoshe ni mwanasheria msomi na anatembelea kwenye haki kuzingatia katiba, sera na Sheria

  • @MichaelKibona-p9m
    @MichaelKibona-p9m 5 місяців тому +3

    Hongera sana mungu akulinde❤

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 5 місяців тому +3

    Mungu akubariki sana kama utawatendea haki Hili chimbuko letu la wamasai wanaonyanyaswa kinyume na utaratibu,,

  • @DanielSilanga
    @DanielSilanga 5 місяців тому +2

    Tls mungu awabariki tunanyanyazwa sana wanangorongiro

  • @ElizaMolle
    @ElizaMolle 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana kwakuteteya watu wangorongoro

  • @noeltabejo3043
    @noeltabejo3043 5 місяців тому +1

    Jitahidini sana kutetea haki za watu Mungu awabariki

  • @JoyceKisenga-mq8tt
    @JoyceKisenga-mq8tt 5 місяців тому +2

    Mungu amekuinua kwa ajili ya wanyonge fanya kazi ya MUNGU na Mungu akubariki mtumishi

  • @erickselei3426
    @erickselei3426 5 місяців тому +1

    Wakati sahihi wa Mungu umefika Mungu tulinde wote na rasilimali zetu

  • @loningoletayo8453
    @loningoletayo8453 5 місяців тому +15

    Mnafutaje ngorongo kwenye Ramani ya Tanzania na mnapeleka kwenye Ramani ya mwarabu

  • @eliusandrew3762
    @eliusandrew3762 5 місяців тому +1

    Unakabia kwa juu sana

  • @OltinaEdward
    @OltinaEdward 5 місяців тому +8

    Mungu akubariki sana Mr President, uishi sana ututete baba.
    Tunaumizwa sana

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi 5 місяців тому +9

    Mwabukusi the coming president of republic of Tanganyika.Viva Mwabukusi , I watching from Chirorwe emajita Tanzania

    • @elizabethmwamdanga7377
      @elizabethmwamdanga7377 5 місяців тому

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 5 місяців тому

      Kutiki mkaruka

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @LUKASMREFU
    @LUKASMREFU 5 місяців тому +1

    Hongera baba kwa kusema ukweli kuhusu swala la ngorongoro.

  • @asmaraentertainment668
    @asmaraentertainment668 5 місяців тому

    Safi sana kamanda chapa kazi mkuu haki itendeke

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 5 місяців тому

    Amina

  • @rizikmrema7243
    @rizikmrema7243 5 місяців тому +4

    Mimi nalikubali sana Tls

  • @andrewdenismabala8712
    @andrewdenismabala8712 5 місяців тому +7

    TLS imepata kiongozi. Hongereni mawakili wasomi kwa kufanya maamuzi yaliyopelekea kupatikana kwa Rai Mpya.

  • @Stephano-sy4ou
    @Stephano-sy4ou 5 місяців тому +2

    Piga kazi baba ndio maana mungu amekupa kiti hiyo bless you more papaaaaaaa

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 5 місяців тому +4

    Nchi imekuwa ya kuteka watu tu kha! Hatari sana

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @jeremiaholesingooi3940
    @jeremiaholesingooi3940 5 місяців тому +5

    Mfano wa kuingwa kwa Tanzania na kimataifa kwa kuwatetea watanzania wanyonge

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 5 місяців тому

    Uyu Bwana nimetokea kumpenda sana.Mzalendo wa kweli kweli

  • @mwajumaShabani-u3i
    @mwajumaShabani-u3i 5 місяців тому

    Mungu akulinde sana kaka

  • @KlugarNguvila
    @KlugarNguvila 5 місяців тому +1

    Nakubr br

  • @juliasmusangamusanga
    @juliasmusangamusanga 5 місяців тому

    Mungu hawabariki sana kibilio la wanyonge hongereni sana 🙏🦁

  • @PauloJosephSiria
    @PauloJosephSiria 5 місяців тому

    Hongera sana TLS mungu wabariki san

  • @johnkona496
    @johnkona496 5 місяців тому

    Safi sana na hongereni sana mnatimiza kusudi la Mungu

  • @KamiliusMsilu
    @KamiliusMsilu 5 місяців тому +1

    Tunashuru sana nimekuewa.

  • @cosmasjohn3086
    @cosmasjohn3086 5 місяців тому +2

    hongelen

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 5 місяців тому

    Mungu ukupe nguvu kiongoz wetu mpenda haki ❤

  • @mangimosha95
    @mangimosha95 5 місяців тому +1

    MUNGU akujalie afya njema na uhai,, maadui wafe wao🙏🙏

  • @alfredmtundu9558
    @alfredmtundu9558 5 місяців тому +4

    Naona TLS ipo kazini, pongezi kwenu wote

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 5 місяців тому +3

    Asante Mwabukusi

  • @sifamwakaniemba443
    @sifamwakaniemba443 5 місяців тому

    Achukuliwe na yy hatua kwa sbabu amevunja sheria sasa God stand be fore Us

  • @SamweliLMbukiLaizerLaizer
    @SamweliLMbukiLaizerLaizer 5 місяців тому +1

    TLS Kimbilio letu Wanyonge, Hongeni Xana Kwa Tamko leni Mungu Awaongezee juhudi ya kutupigani Xisi Walala hoi😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤

  • @PereKawaga
    @PereKawaga 5 місяців тому

    Mungu azdi kuwa mwema kwako mwabukusi

  • @NaomiSamson-wc9cl
    @NaomiSamson-wc9cl 5 місяців тому +6

    Mwabukusi anafaa kuongoza taifa la Tanzania, ni mtetezi wa raia

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 5 місяців тому +2

      Huyu na wengine wa Aina yake ndio wangefaa kuwa viongozi wa nchi na sio hawa wachumia matumbo tulio nao

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 5 місяців тому

      Nani aongozwe na Mgonjwa wa Akili huyu! LAbda akaongoze Ukoo wenu

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 5 місяців тому

      @@tanzanite9944 Afadhali yeye maana ulivyoandika inaelekea ukoo wenu nyote ni mbulala wasioelewa lolote linaloendelea duniani

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 5 місяців тому

      @@tanzanite9944 wewe mwendawazimu tupishe

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 5 місяців тому

      @@tanzanite9944 Afadhali ukoo wake maana wenu una mbulala tu

  • @MnmTv255
    @MnmTv255 5 місяців тому

    Asante

  • @PeternKone
    @PeternKone 5 місяців тому

    Kweli kabisa

  • @LosekuSindiyo
    @LosekuSindiyo 5 місяців тому

    Very good ❤❤❤❤❤

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 5 місяців тому +4

    Kwenye hiki wanachofanyiwa Watanzania wenzetu hata kama sio mwanasheria haiwezekani Jamani wanateswa kisaiklojia wakiwa ndani ya nchi yao.

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 5 місяців тому

    Kwel mungu anajibu kwa wakati

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 5 місяців тому +4

    Hii ndio TLS , yenye meno, yenye kucha, na yenye kichwa ambayo tuliihitaji .
    Tumepata panya wa kulivika kengele "paka jike" hili!!

  • @hubertrevelian8488
    @hubertrevelian8488 5 місяців тому

    Hongera sana TLS mtatusaidia sana Kwani uonevu umeidi

  • @danieloltwati
    @danieloltwati 5 місяців тому +3

    ss wamasai sio kwa tunaomb msaad ni kwamb ni lazim tupew hak yet

  • @gwejonoah1900
    @gwejonoah1900 5 місяців тому

    unafaa kuwa raisi wa tz❤

  • @JuhudyMachete
    @JuhudyMachete 5 місяців тому

    Mwabukusi unamwabudu mungu ktk roho wewe mtumishi wa mungu

  • @YAHAYA-xr8pu
    @YAHAYA-xr8pu 5 місяців тому +3

    Huyu mwamba alipandia ngazi au cheo kupitia bandari alipinga uwekezaji na kushughulikiwa na akashinda mahakamani na akabakia na msimamo wake na Dunia ikajua rasmi

  • @davidsaul67
    @davidsaul67 5 місяців тому

    MUNGU awajua watu wake Mr President Mwabukusi Simamia haki na elimu kwa Umma,Mungu ndo mwamuzi tunakupomgeza TANGANYIKA inawezekana TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @NaomiSamson-wc9cl
    @NaomiSamson-wc9cl 5 місяців тому +1

  • @gastonmodestkaziri2566
    @gastonmodestkaziri2566 5 місяців тому +1

    Hongera sana Mhe. Kiongozi wa TLS katika hili unalozungumzia la Wananchi wa Ngorongoro! Naomba nikuulize kwa nia njema kabisa: Hivi nani au ni Mamlaka ipi yenye Mamlaka juu ya Ardhi ya Tanzania? Au niulize hivi, Serikali iliyopo Madarakani haina Mamlaka ya kusimamia masuala ya Ardhi na makazi ya watu?

  • @MafonyeMakhanje
    @MafonyeMakhanje 5 місяців тому

    Naomba kuuliza Mimi mtazania nitaipataje katiba, au kopi ya katiba,niweze kuisoma,na kuielewa,

  • @mollellominis2267
    @mollellominis2267 5 місяців тому

    ❤❤❤

  • @StanleyMwaipopo
    @StanleyMwaipopo 5 місяців тому

    HIVI ILA INAKERA AU BASI 😢😢😢😢😢😢😢

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 місяців тому +2

    HAKI za binadamu mbn hawaongei kumbe ni wasenge tu.😊

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      Wanatetea MALAYA WANAOZALISHWA NA KURUDI MASHULENI

  • @Stephenmangera
    @Stephenmangera 4 місяці тому

    Huyu ndo kasimamia haki hadi kurundishwa huduma muhimu kwa wanangorongoro

  • @barakaArmunai-mz4jb
    @barakaArmunai-mz4jb 5 місяців тому

    Jaman tendeni haki kama sheria inavyosema

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari 5 місяців тому +1

    Yaani raisi wa TLS Ana matamko kama rais wa nchi. Raisi wetu ni chura kiziwi

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 5 місяців тому

    Njee ya mashariki mwa Tz kuna viongozi wazuri sana. hongera sana Mwana wa kyala

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      Kandahar ya Ziwa Victoria inaongoza….Nyerere, Magufuli, Jenerali Mabeyo

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      JAJI Warioba,

  • @menaurukivuyo6796
    @menaurukivuyo6796 5 місяців тому +1

    Wilaya ya Handeni kata ya kwamatuku nayo kumeoza kama mtaona ujumbe huu naomba myafanyie kazi watu wanachomewa manyumba zao kwa mda huu unaongea wewe ebu jamani mtuzaidieni

  • @PeterKisiongo
    @PeterKisiongo 5 місяців тому +2

    Ya Nini munatuteza Sana sisi Wana ngorongoro jamani tumekosea Nini hi serekali ya Samia

    • @shedrackclever7423
      @shedrackclever7423 5 місяців тому

      Polen lkn muarobaini wa ngorongoro ni mwabukusi tuu c vinginevyo

  • @sifamwakaniemba443
    @sifamwakaniemba443 5 місяців тому

    Mwabukus sijui tukufiche wapi ili wabaya wanaokwamishwa shughuli zao za kinn wasikutende mabaya nakukabidhi mikononi mwa Mungu ktk mbawa zake

  • @MaikomasettoMaseetomasai
    @MaikomasettoMaseetomasai 5 місяців тому

    Kweli baba kuusu ngorongoro

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 5 місяців тому

    Huyu ndo mtetezi wa kweli siyo hao akina bashite

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 5 місяців тому +1

    Unawahamishe watu kwenye eneo lao la asili kisa mwekezaji wa kiarabu.

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 5 місяців тому

    Hv tls ilikuaga haina kiongozi zamani

  • @godiusmghase8146
    @godiusmghase8146 5 місяців тому

    Leo ffu je

  • @55goodmen
    @55goodmen 5 місяців тому +1

    TUNAHITAJI HAWA VIONGOZI WEE ACHA TU MWAKABUSI IS A BRAVE AND A HERO FOR HIS PEOPLE FUTURE PRESIDENT ?? WHY NOT

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @PartySekemi
    @PartySekemi 5 місяців тому

    Hakika Kipele kimepata mkunaji

  • @HernyMonyo
    @HernyMonyo 5 місяців тому

    Brooo.chakula.unachokula.na.ulinzi.wako.ujilinde.mdogo.wangu.maisha.haya.sio

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 5 місяців тому

    Wao wanaona raha kuwaondoa watu kwalazima. Wanaonaje na wao wakaondoka kule maeneo ya MBWENI,MASAKI, MIKOCHENI na UNUNIO walikojenga majumba yakifahari maana maeneo hayo pia ni Hifadhi ya Bahari au kwakuwa niwakubwa

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 5 місяців тому +2

    Huyu ndo rais wa Tanzania ajaye kamateni maneno yangu

  • @DaudiSanga-m5o
    @DaudiSanga-m5o 5 місяців тому +1

    Nakuamini mweshimiwa mwabukusi chapa kazi hiyo serkali yetu inahitaji mtu kama wewe

  • @CremenceKavishe-rv1xg
    @CremenceKavishe-rv1xg 5 місяців тому

    Hawa mawaziri wanao vunja sheria tuwaburuze mahakaman kama wananchi wengine nafurahi kumpata rais wa Tls ambae anaielewa vizuri nchi yetu Mungu akulinde bonfasi mwabukusi.

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @raphaelmadiya3462
    @raphaelmadiya3462 5 місяців тому

    Sheria inatumika vibaya ndani ya Taifa hili, ikumbukwe tangu Kabla ya uhuru, Wamasai walikuwa maeneo Yale.

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 5 місяців тому +1

    TLS toeni namba za simu pale watanzania wanapo kutana na kadhia za police na selikali yake hili raia tupate msahada wenu wakishelia

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @zakariapaulowiliamuwiliamu1840
    @zakariapaulowiliamuwiliamu1840 5 місяців тому

    Tunashukuru mwabukusi rais wa TLS MUNGU azidi kuwa nanyi katka harakat za kulipigania taifa letu😅

  • @FLORENCEYUDAMKAMA-xl7jl
    @FLORENCEYUDAMKAMA-xl7jl 5 місяців тому +1

    Wamasai Wana HAKI wasikilizwe TLS SIMAMIENI HILO KUFA NA KUPONA MSIRUHUSU RUSHWA ITAWALE NCHI

  • @MungayaLaitayok-mr1gs
    @MungayaLaitayok-mr1gs 5 місяців тому

    Uongozi wote Samia haija waikufanya chochote Ngorongoro hata kurepea

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 5 місяців тому +1

    Tangu niijuwe TLS sijawahi kuona Rais wake akiwa kama Rais huyu, je? Wengine mliopita hamkuyaona haya? Haya tuzidi kumuomba Allah. Tutasikia na kuona mengi.

  • @loningoletayo8453
    @loningoletayo8453 5 місяців тому +2

    Ngorongo wanataka kufanyia nini na je hili pato la Ngorongo huwa linaenda kwa mamlaka gani?au ni mfuko wa Rais?

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 5 місяців тому +3

      Mfuko wa mama abdullahaman

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 5 місяців тому +1

      @@helencyprian8745MAPAROKO WACHENI CHUKI NA NJAA NDIO MNAKUFA MAPEMA😢😢

  • @HansChuma
    @HansChuma 5 місяців тому

    Mkiwa na wanasiasa wa roho bas hamtoweza fika mm nasemaga kilasiku hatutoweza songa mbele kama huyu mdudu mtu aitwae ccm bado yupo madarakan nasemaga tena wananch sisi tunayoyataka nimendeleo kulinda haki zawananchi na uzarendo nakupigania nchi yetu kwakuiilinda ila viongozi wetu asilimia90 niwadhaifu waroho na wasiokua na uzarendo na nchi yetu ya tanzania dah noma sana

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 5 місяців тому

    Kaza Uzi Vizuri Msomi Mwabukusi. Nchi inahitaji watu kama wewe, na sio wachumia matumbo

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 5 місяців тому +2

    Kwani amasai Simba,nyumbu,chui,twiga n.k Nani alianza kukaa ngorongoro? MAANA Mimi naona Mungu aliwaweka pamoja,tangu enzi. Sasa kwa Nini mwanadanu atolewe ,wabaki wanyama..? Kwa Nini wanyama wapendelewe? Hii sio haji kabisaaaa

    • @OleSumaay
      @OleSumaay 5 місяців тому

      Waarabu wamenunua ardhi yetu

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 5 місяців тому

      CHAWA wasemao FULANI MPENDA HAKI WAKO WAPIIIII,
      CHAWA WANAOMTUKANA MAGUFULI WAKO WAPI,
      HII NDIYO TAFSIRI YA KAULI - NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA
      ATC WAZALENDO MUKO WAPIIIIII….MULIMSAKAMA SANA MAGUFULI
      WANASHERIA MASHANGAZI MUKO WAPIIIII….MULIMUITA MAGUFULI DIKITETA
      “NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI.
      “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE

  • @MhojaJohn
    @MhojaJohn 5 місяців тому +1

    Tusikubari tisaidieni tls

  • @LucySangu-w9y
    @LucySangu-w9y 5 місяців тому

    Tuko pamoja kuatetea wa masai

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 5 місяців тому +1

    Mwabukusi na makonda wanafaa kua raisi wa tz

  • @isackmichael-pd2is
    @isackmichael-pd2is 5 місяців тому

    Mwabukusi oyeeeeee 100&

  • @GaradiGaradi-zq1wf
    @GaradiGaradi-zq1wf 5 місяців тому

    Hakika kwa kauli hii tuimbe mungu bado kitambo kidogo tutafika mwabukusi ni mwamba mwendo wa troure

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 5 місяців тому

    Mwanaume wa shoka Mwabukusi, tunakuamini