CHEKECHE || Urusi kujitangazia majimbo manne ya Ukraine kuwa ni sehemu yake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Baada ya vita vya zaidi ya miezi sita kati ya Urusi na Ukraine hatimaye Urusi imetangaza majimbo manne yaliyokuwa chini ya Ukraine kujiunga na taifa hilo.
    Je, hii inaashiria nini katika mgogoro huo wa siasa?

КОМЕНТАРІ • 36

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Рік тому

    Hichi kipindi nimekisubiria kwa muda mrefu sana 🤝,Hao wachambuzi ni balaa wanatufanya tuelewe mwelekeo wa vita inaendaje.. much love Rahbi unachambuzi wako uko vzr sana

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 Рік тому +1

    Wewe mwenye miwani sio mchambuzi ni mbwa wa magharibi tena msimpe tena nafasi hiyo hana upeo wa kufikiri wala hajui history za kimataifa anachukua kutoka kwa wachambuzi wa magharibi anatuletea hapa someni maoni yetu akachambue siasa za Ndani tu

  • @kukujogooooo
    @kukujogooooo Рік тому +1

    Ulovaa miwani hakuna kitu we we! Ulitaka kura zisimamiwe nanani?! Wakati dunia ime tekwa na NATO yote mpaka mnalazimishwa kudungwa sindano za corona,

  • @ahmadsalim6782
    @ahmadsalim6782 Рік тому

    Ww uliovaa miwan hujui lolote kuusu mipango ya urusi kasome vzr

  • @barakashaban9698
    @barakashaban9698 Рік тому +1

    Mchambuzi alievaa miwani kibaraka uyo wa marekani

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому

    Chekeche Marekani na Ulaya wanachochea vita huku wakijua ni kosa kama kulikuwa mkataba wa MINSINKY kwanini ulivunjwa wakati Ufaransa na Ujerumani walisimamia ndo ujue Marekani, EU, na NATO ni wanafiki palipo masilahi yao

  • @ahmadsalim6782
    @ahmadsalim6782 Рік тому

    Uyu alovaa miwani hamna mchambuzi apa

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 Рік тому

    Hongera sana Vladimir Putin endelea kuikomboa Dunia dhidi ya ushetani wa Marekani

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 2 місяці тому

    Wakati wakadafi akuna aliyekaa mezani wandishi wote wamagaribi wanatetea haki Yao sisi wa afrika niwashenzi mno

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 Рік тому

    Pona ya Putin nikurudi nyumbani kwake jeshi lake litamalizwa Hana sapoti yeye tu watamuumiza sana

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 2 місяці тому

    Huyu wamiwakuma kbs wewe ungehenda kuchambua phonographie tu hapa hamnakitu

  • @gidiongreygory18
    @gidiongreygory18 Рік тому

    Ongera putin mashetani awawezi kutawala

  • @salehejumaa5392
    @salehejumaa5392 Рік тому +1

    Mrus hajui anachopigania ad sasa je Ukraine isiingie NATO au ku extend ardh ya urus ama kuonesha kuwa yy ni mkubwa yaan prestige

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Рік тому

      Nikweli kabisa Putin amebanwa kwenyekona mbaya mwishoye atanyang'anywa mpaka kremea

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому +1

      URUSI WANAJUWA WEWE NDIE USIYEJUWA.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Рік тому

      @@robertphilip385 UNAOTA NDOTO ZA MCHANA HIZO US NA EU MAVI DEBE KWISHA HABARI YAO.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Рік тому

      @@salimmalaka256 wewe akiliyako nikama ya I s na alshababu wanaota eti sikumoja wa wataitawala dinia Nato nikitukingine kk urusi hanauwezo wakushinda Nato

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Рік тому

      @@salimmalaka256 Ukraine tu anamtoa jasho

  • @DonDallas
    @DonDallas Рік тому

    Urusi ni dubwana kubwa zito

  • @shijamarco2662
    @shijamarco2662 Рік тому

    Mwamba ninyoshee ha watu