#Live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #arisendshinetanzania #2024mwakawambinguzilizofunguka #mwamposalive
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania#dar#tanganyika#ubaloziwambinguni#kawe
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

КОМЕНТАРІ • 35

  • @beatricejohn7569
    @beatricejohn7569 2 місяці тому

    Amen operation ya moto mnoo,maadui zetu wote wameangamizwa ktk jina la Yesu amen

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 2 місяці тому

    Baba nakuomba leo kupitia mkesha usio sahaulika kila maisha yangu na familia yangu yote tufunguliwe kila eneo la maisha yetu yote ktk jina la yesu kristo ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @sk-oe5lq
    @sk-oe5lq Місяць тому

    Naomba ulinzi wa familia yangu na Mme wangu afunguliwe na kesi yangu ya madeni ime Keisha kWa jina la yesu

  • @sk-oe5lq
    @sk-oe5lq Місяць тому

    Naomba Mme wangu anipende na apate ela za kutosha kWa jina la yesu

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 2 місяці тому

    Baba nipokee ubongo sahihi nifahuru kwenye masomo yangu yote na kila eneo la maisha yangu yote ktk jina la yesu kristo ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @SiwemaMrope
    @SiwemaMrope Місяць тому

    Mungu mwema nataka nilipwe pesa zangu zote ninazodai toka halmashauri na kila alikuwa na pesa zangu anilipe haraka sana na nimaliza madeni yote mwezi huu amen

  • @sk-oe5lq
    @sk-oe5lq Місяць тому

    Naomba nipate kibari kazin Naomba ulinzi wa kazi yangu kwa jina la yesu

  • @WinifridaMakuliga
    @WinifridaMakuliga 2 місяці тому

    Baba kawalinde watoto wangu baba na mdog angu griberty wakae vizur Kwa maadil ya mwenyez mungu amen

  • @WinifridaMakuliga
    @WinifridaMakuliga 2 місяці тому

    Baba nakuomba bas mama apate unafuu baba ni wik sasa mama kalala bila kunyenyuka baba ninaiman ucku wa Leo mama atakupa vizur na atapokea upako huu ameen

  • @MwambaBalaa-jt6gh
    @MwambaBalaa-jt6gh 2 місяці тому

    Yesu nisaidie nipate nuru usiku na mchana amina

  • @sk-oe5lq
    @sk-oe5lq Місяць тому

    Naomba familia yangu ifunguliwe kiuchumi na levis afunguliwe kiuchumi na nyumba yetu tunayojenga tumalize haraka na kwa njia rahis kwa jina la yesu

  • @BeatriceBongole
    @BeatriceBongole 2 місяці тому

    Mungu ninakuomba watoto wangu wakafaulu masomo yao

  • @MarinaSingu
    @MarinaSingu 2 місяці тому

    Mungu naomba anisaidie kwenye biashara yangu nikazidiwe na wateja pia watoto wangu wakawe vichwa shulen mume wangu pia akazidi kupata kibal kazin kwake

  • @magdalenannnn
    @magdalenannnn 2 місяці тому

    Naomba unisamehe yesu kristo

  • @sk-oe5lq
    @sk-oe5lq Місяць тому

    Naomba biashara zangu zikuwe na nipate mkopo kwa njia rahis na nilipe kodi ya nyumban kwa njia rahis kwa jina la yesu

  • @JanethJosephat-dm1xz
    @JanethJosephat-dm1xz 2 місяці тому

    Mungu nataka maziwa yangu yakauke kirahisi tu

  • @mulondakamona7823
    @mulondakamona7823 2 місяці тому

    Tumeisha kombolewa. Amen

  • @ImaJohnson-cd5zo
    @ImaJohnson-cd5zo 2 місяці тому

    Mungu mponye mwanangu unifungue na mimi

  • @EspéranceRiziki-d6m
    @EspéranceRiziki-d6m 2 місяці тому

    Mungu atufunguwe nasiye ki uchumi mumewangu ba mu ite mukazi atoke mukazi ya ulizi

  • @BeatriceBongole
    @BeatriceBongole 2 місяці тому

    Mungu nina omba yumba yangu ika funguliwe

  • @BeatriceBongole
    @BeatriceBongole 2 місяці тому

    Mungu ninaomba mtoto wangu wapate wake wema

  • @WinifridaMakuliga
    @WinifridaMakuliga 2 місяці тому

    Mungu ninaomba mamaangu apone haraka kama Kuna njia za Giza baba kazivunjevunje baba kanyooshe mkono wa kiume baba kamsimamie kama Kuna dhambi ambayo alikukosea baba msamehe baba ninaamin baba utatenda amen

  • @sk-oe5lq
    @sk-oe5lq Місяць тому

    Naomba levis afunguliwe kWa jina la yesu na awe mtoto baraka na aelew darasan na afanye kazi kwa za darasan na amuelew mwalimu na ian afunguliwe awez kufaulu na awe wa kwanza

  • @EspéranceRiziki-d6m
    @EspéranceRiziki-d6m 2 місяці тому

    Namba mungu afanyie mume waku upesi kikazi miaka nane ana kazi

  • @LilyWeitz
    @LilyWeitz 2 місяці тому

    Kabda ya tarehe 1 mwezi wa 8 naami nitakutana na mzungu sahii atanipenda njisi nilivyo na ulemavu wangu 😢🙏🙏🥲

  • @LilyWeitz
    @LilyWeitz 2 місяці тому

    Bwana nimechoka masimago na zarau nimechoka baba aibu nimechoka bwana nipe mwanaume atakae nipenda ulemavu wangu

  • @MpajiRutunda
    @MpajiRutunda 2 місяці тому

    Amen🙏

  • @sk-oe5lq
    @sk-oe5lq Місяць тому

    Beka aniletee friji langu kwa jina la yesu aşırılır mpaka anipe asitulie

  • @RestutaFaustin
    @RestutaFaustin 2 місяці тому

    Najiungamanisha leo kwenye upalesheni nikapokee uponaji kwenye ngozi yangu

  • @RestutaFaustin
    @RestutaFaustin 2 місяці тому

    Najiungamanisha nipokee biashala

  • @sk-oe5lq
    @sk-oe5lq Місяць тому

    Levis awe wa kwanza darasan

  • @Latifa-ck9hi
    @Latifa-ck9hi 2 місяці тому

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @LucasGomes-bx5uc
    @LucasGomes-bx5uc 2 місяці тому

    Maiomba biazara yangu itoke Shana nanifanhikeve na nipate pesa watu waje Shana na naiombeia.

  • @Merry1980Meme
    @Merry1980Meme 2 місяці тому

    Mtumishi naomba umuombee baba yangu amepararas Ana mwaka sasa yupo kitandani ..nikmbee na mwanangu apate kazi ..Nami naomba uniombee nipo nchini Oman na sumbuliwa na mgongo na week sasa mgongo una choma

  • @JonasMtambo
    @JonasMtambo 2 місяці тому

    Naomba nipone mangonjwa yote na uchumi wangu ufunguke kwa jina la yesu