Uzuri WA Eliudi ni ana Uwezo WA kueleweka na Watu WA MJINI na Vijijini pia. Anatumia Visa halisia kwenye jamii kuwachekesha Watu. Such a wonderful talent. Walionielewa TUJUANE
Uzuri wa huyu jamaa anachekeaha bila kutumia nguvu afu story zake zimejipanga kwa mtiririko mzuri na vichekesho vyake havina matusi wala matamshi mabaya pia hana uchama wala utimu big up tunakupenda sana🙏🇹🇿💪
Uzuri WA Eliudi ni ana Uwezo WA kueleweka na Watu WA MJINI na Vijijini pia. Anatumia Visa halisia kwenye jamii kuwachekesha Watu. Such a wonderful talent. Walionielewa TUJUANE
Uzuri wa huyu jamaa anachekeaha bila kutumia nguvu afu story zake zimejipanga kwa mtiririko mzuri na vichekesho vyake havina matusi wala matamshi mabaya pia hana uchama wala utimu big up tunakupenda sana🙏🇹🇿💪
Wa kwanza kutoka Dr Congo, jamani naomba likes zenu
𝕎𝕒𝕥𝕦 𝕨𝕒 𝕝𝕦𝕓𝕦𝕞𝕓𝕒𝕤𝕙 𝕥𝕦𝕛𝕦𝕒𝕟𝕖
Huyu mtu anakitu sana na Kama hatumii nguvu sana 😂😂😂😂😂 I do appreciate him
Huwez muelewa Eliud kama hujaishi kusini mwa Tz🎉😂😂jmaa anajua saana🙌🏾🙌🏾
namshukur Mungu kwa ajili yako hakuna kitu rahis Mungu asikuache aongoze hatua zako
Jamaa umenikumbusha kaka yangu akiachiwa kutuangalia anajikuta Baba mwenye nyumba 🤣🤣🤣
😂😂
😂😂😂😂 comedy yako nzuri sana mtu unainjoiiii unarelax
😂😂😂 nimecheka mpaka nimelia, af nipo karib na watu wameanza kunishangaa tu. Mungu akuinue Zaid ka Eliud, akuketishe na wakuu
Mungu akupandishe Viwango vingine kaka angu ❤
Nakuombeya Eliud mungu akuzidishiye nemaa sana tena sana
😂😂😂Eliud mungu akubariki kwakweli, sijawahi kuangalia Crip yako na nisicheke ❤ congratulation brother
😂😂😂😂sema huyu jamaa ndo maan harudiagi maana anatunga story kutokana na watu hapohapo
Eliud jamani unajitahidi sana.
Ila eliud mungu akuzidishie sanaaaaaaaaaa
Ndagha wakukaja ❤❤❤❤
Mungu akupe maisha mlf🎉🎉🎉
Yuko vzr ata ukiwa na familia unaangalia tu
Upo sawa
❤❤❤ Eliud you are extraordinary , cjaona tena kama Eliud
Mungu akubaliki
Nyieeeee elika wangu umepitia vingi 😂😂😂😂
Lazima ufanikiwe, we kuombewa na watu wote wa mkoani kwenu mchezo, be blessed bro
Akina Lily tumepatikana😂😂😂
Jamaa noma sana😊😊
Kiukweli Tanzania stand up comedian zaidi ya eliud hamna hamna hamna
Eliudi is the best comedian in Tanzania
Huyu jamaa ni namba moja
Kapiga mpaka magoti eliud anatiii mungu akubariki
Good job bruu
😂eliud umeokoka kweli au mbona kama past kweli
Kweli
Jamani eliudi kabla haujaongea me naanza kucheka
🤓🤓🤓
Mngu akubaliki mkuu eliud unyenyekevu wako
😂😂😂😂😂 daaaah very talented..
Mungu awe nawe kaka ...kutoka uyole
Dah w jamaaa unajuaa sanaaa kak
Umetisha sana
Nakubali sana
Yani atumii nguvu ili mtu acheke,ila utachekatu mwenyewe
Eliud sokapu hapaaaa
Ur Kikuyu boy from Kenya
Currently no stand up comedian than eliud and Leonard waliokuwa comedian search ya Wasafi ilimaanishaaa waliokuwa wakweli😊
Umetisha
Mungu aendelee kukubariki kaka
Nacheka 😂😂😂😅😅mpaka naishiwa nguvu
Unajua sana homie
Big up My Brother
Nakubali brother 😂🎉
😂😂😂😂😂😂nlskia kweee 😂😂😂
Slam kutoka kahama Tanzania
Kitendo chakupiga Magoti kuombewa kizuri sana
Kijana mnyenyekevu atafika mbali sana
Amina
Lily tena jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂
My best comedian
Umetisha sana kaka
😂😂😂😂😂😂😂 umetisha
Uko vizur kaka songa mbele.
Fundi sana broooh
😀😁😁 home boy umetisha
Umetisha sana bro.
bless up sana kaka Mungu akutunze
Eliudi ama tukuchoka😂😂😂😂😂
Homeboy bhana 😁😁😁😁
Aminaaa kubwa
Upendo wa hali ya juu kabisaaaa
Huo wimbo wa Matching aisee,Walionizalisha wamenikimbia😂😂😂😂
😅😅😅
Neema mwaipopo❤❤
Good job MC eliud
Nimepunga mkono kwa mbali, nzovwe Moja.
Natamani nicheke kwa sauti ila naishi kwa wenyewe nawanajuwa nimelala😅😅😅😅😅
eti lily😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kubandua siment
Daah we mwamba kwa kweli
Why lily lakini😂😂😂
Amen
Jamaaa arudiag contents ndo ninachomkubal anaangalia audience t anaruk nayo
Amekuja Rose wa mtaani kwao, tayari akaruka na wizi wa kuku kitaa chao. Ni mbunifu sana.
Amen hakika
Upo vizurii kaka
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤😂😂😂😂
anajua
Opo unyama sana kaka
ELIUD MDOGO WANGU UPO VIZURI ENDELEA HIVYO USIJARIBU KUCHANGANYA NA MATUSI KAMA WACHESHAJI WENGINE. BAKI NA YESU TU
Hongera sana..
Tunamshukuru Mungu kwa Vipaw vya kiroho alivyoweka ndani yako.
Mbeya kuna lango la Huduma
Nilikuwepo hapa Mbeya Tughimbe hotel live nilibarikiwa mno
Dah weee mwamba noma et kama ndoto
😂😂😂😂😂😂
Good❤
Eliudi khaa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nliskia kweeee
Jomon mungu ukutunze
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Ndaghaaa fhijhoooo
😂😂😂😂nacheka watu wananishangaa ila eliud watoto wa 90mmeshindikanaa
😂😂😂😂😂😂😂 ase kaka wee
noma
😂😂😂 wabandue cement
Yesu anakupa kibali
❤❤
Big up bro..
Nami nina kitu eliud nipo makambako niokote eliud
Mulifuuuu mkubwaa wewew🤣🤣🤣 eriud nyoooko wewe
Unatisha home boy
Amen!
Kazi nzuri