Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

UPDATES: Sirro aongea kuhusu Askari aliyefyatua risasi mbele ya Waziri wa zamani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 тра 2017
  • May 15, 2017 kwenye mitandao ya kijamii kulisambaa video iliyokuwa inamuonyesha Askari Polisi akijibizana kwa maneno na Naibu Waziri wa zamani wa Fedha Adam Malima kabla ya Askari huyo kufyatua risasi hewani.
    Sasa leo May 16, 2017 Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro ameelezea kuhusu tukio zima na aliko mwanasiasa huyo kwa sasa.

КОМЕНТАРІ • 315

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 7 років тому +3

    safi Sana ,,,sheria ni msumeno lazima yeyote awajibishwe,,,angekua mwananchi wa kawaida apo wala bunduki isingetolewa ,angebebwa tu jujuu ,,gari linge sombwa sombwa na breakdown kaz imeisha,,,ila uyu mueshimiwa isingewezekana kubebwa Kama mbuz ,,ndio mana risas imepigwa juu,,,,sijaona kitu cha ajabu kabisa,,,,,,,mnaosena siraa imetumika vibaya ,wooote amjielewi. ,,,sheeennzzy

  • @bazilimikoma7208
    @bazilimikoma7208 5 років тому +1

    Safi sana kamanda siro.Nimefrahi sana porisi kueshimika siku moja natamanii na mm nijiunge na jeshi la porisi%salute kwako kamanda wetu%%

  • @chacha-255
    @chacha-255 7 років тому +11

    Ndivyo inavyotakiwa, Unamtisha polisi eti najuana na viongozi wa juu unategemea nini??, Alichofanya polisi ni kutekeleza jukumu la kumfanya mheshimiwa na dereva wake waende polisi

  • @twahirmikidad6739
    @twahirmikidad6739 7 років тому +7

    Hongera sana kamanda Siro kwa kuwasimamia vijana wako ni muhim tuka waheshim askar wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kazi kwan wao ndio wasimamizi wa kuu wa aman wa taifa, big up kamanda Siro.

    • @mgimwaprince4302
      @mgimwaprince4302 7 років тому +3

      Kwa askari kutumia silaha kumtoa mtu ka Maalima kafanya kazi nzuri na silaha yake kaitumia vizuri viongozi wengi wakivunja sheria akitokea askari polis huwa wanawadharau sana askari fanyeni kazi nzuri hiyooo kila mtu atii sheria

  • @mikebright6692
    @mikebright6692 7 років тому +2

    kamanda Siro unafanya kazi nzuri asante mkuu

  • @braysonmajani8129
    @braysonmajani8129 5 років тому +2

    Umenifurahisha Sana mkuu

  • @jodeinjmj7843
    @jodeinjmj7843 7 років тому +2

    👏👏👏👏👏👏 pongezi kwa police na hongera kubwa kwa kamanda Sirro kwakumlaza mahabusu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eti unanijua mimi ni nani haihusu kujulikana kwako

  • @mteulemayeu
    @mteulemayeu 4 дні тому

    Hongela sana

  • @wesakaphilimon9578
    @wesakaphilimon9578 7 років тому

    Kazi nzuri

  • @mushxwaggz5258
    @mushxwaggz5258 7 років тому +1

    apo safiiii

  • @eliyanyamaruri9893
    @eliyanyamaruri9893 7 років тому

    Saaaaafiiii🙇🙇🙇🙇🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Yaani ni Jambo jema Sana Ahsante polisi kumuonyesha kuwa Hii Tanzania sio ya Kwamba unanijua Me ni Nani khaaaaaaaa hiyo ishapita Acha askari afanye kazi yake

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 7 років тому +1

    Asante Sana sirro umetenda haki mimi nilikuepo mwanzo mwisho wa tukio, waziri alikuja baada ya tukio dreva akiwa tayari anabishana nao

  • @alhajjibeysal1662
    @alhajjibeysal1662 5 років тому

    tii sheria bila shuruti. kazi nzuri afande

  • @habibafeithal4014
    @habibafeithal4014 7 років тому

    safi sana

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 7 років тому +7

    basi wapeni na traffic silaha pia

  • @jamilaismail5227
    @jamilaismail5227 7 років тому +3

    kwani hao wrongparking awana zile cheni za kuzuia gari isiondoke? mm ninavyoelewa ukikutwa uko wrong parking wanafunga tairi na ile cheni inakuwa uwezi ondoa gari mpaka ulipe faini yao, haya yote yasingetokea hao wrong parking pia wanamakosa ,umekuta gari sehemu airuhusiwi weka cheni Alf mambo mengine badae,hata mambo ya risasi yasingetokea..

    • @ABC_Da_Holly
      @ABC_Da_Holly 7 років тому

      Jamila Ismail kwajinsi unavyo elewa wewe lakini sio kwa mujibu wa sheria

  • @ibrahimusalome102
    @ibrahimusalome102 5 років тому

    safi sana siro

  • @blaqtz8946
    @blaqtz8946 7 років тому +2

    safi sana siro pigeni kazi😊

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 7 років тому

    Safi sana siro

  • @francisbuya8357
    @francisbuya8357 5 років тому

    Ahsante sana afande IGP good job hapana MTU kuchezea jeshi

  • @irenbrown1868
    @irenbrown1868 7 років тому +5

    ndo ivo sasa hamtaki mkajambe mlalee😂😂😂😂😂mnaleta ulimbukeni Wa vyeo mi mwnyw nlikuwa kilanja...... TII sheria bila shuruti nyooooo

  • @ayubupapi2649
    @ayubupapi2649 5 років тому

    umeeleza vizuri kamanda“

  • @Mkrist
    @Mkrist 7 років тому

    Yaani hawa polisi sijuwi niwape nini!! Hongereni sana tena sana. Pengekuwa hapa Marekani hakika huyo jama leo angekuwa chumba cha maiti au hospitalini.
    Kumbe Africa baado ndipo kuna polisi wazalendo.
    Hivi mnajuwa wangapi wanauwawa na polisi bila hata kufanya ubishi wowote?

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 7 років тому +1

    hii sio serikali ya kuleana eti kisa ulikuwa Mh. fulani ndo uvunje sheria wakati na ww umewai kuwa mtunga sheria, na pia ulihamasisha wananchi kutii sheria bila shuruti leo hii una kataa kutii unategemea nini kama si shuruti maana sheria ni msumeno
    pongezi kwa wale polisi

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому +1

    Movie znaendelea

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 3 дні тому

    Sirro nakukubali sana Hawa wengine wanafikiria wako juu ya sheria anafikiri silaha za polisi hazina risasi

  • @simonequintine9355
    @simonequintine9355 4 роки тому +1

    Nakusikiliza Mara nyingi kamanda sirro upo vizuri saaana kama wangu

  • @shagembemarco4298
    @shagembemarco4298 7 років тому +4

    haiwezekaniii tukawa tunateteana kwa mambo ya ajabu kama haya

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 7 років тому +6

    maneno ya Lema yanatimia kaanza nape kafwata malima😂😂😂😂😂😂😂kodi inakusanywa kwa mabundi only in Africa Ndiyo maana wazee wakazi wakiwapatiaga wanawauwa km kuku shame on you

  • @umranim5854
    @umranim5854 7 років тому +1

    hiyo sio haki

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 років тому +1

    ongera sana jeshi la polisi

  • @mlokozimpesha1448
    @mlokozimpesha1448 7 років тому

    sio kweli mkuu

  • @gracemalema6377
    @gracemalema6377 7 років тому +1

    kweli kibisa kamanda umeongea vizuri sana malima hakutakiwa kutumia cheo chake ni makosa askari walitakiwa kumuelewesha tu vizuri, kibaya zaidi kinachotutishia ni askari wako kutumia mamlaka zaidi ya kutumia chombo cha moto kusema ukweli hata kama alikuwa anajiprotect sio kwa kupiga risasai namna hiyo haipendezi jamani kumbuka kuwa mnawapa kiburi askari wetu na ndio maana wanamajibu mabaya sana kwa raia tafadhali isijirudie tena kama kamanda tunakuomba hekima zaidi itumike na mungu akusaidie katika uongozi

  • @mosesmashishanga285
    @mosesmashishanga285 5 років тому +1

    hongera police hawajangalia yeye ninani wa nchi hongera dogo uko vizur tena nimeipenda dogo

  • @mohamedjuma423
    @mohamedjuma423 5 років тому

    Safi kamanda

  • @morefireministrychurch177
    @morefireministrychurch177 5 років тому +1

    Sukuma ndani wataacha ujinga nchi Ni yetu wote c kwa vile alikua waziri asarau asikari

  • @humphreybilly3258
    @humphreybilly3258 5 років тому

    lakini jua Mungu anawaona.

  • @salimmalundila7032
    @salimmalundila7032 7 років тому +1

    Sawasawa baada ya miez 3 hii nchi itageuka korea

  • @saladaniel907
    @saladaniel907 7 років тому +3

    Safi sana jeshi la police, kamanda tumekuelewa vzr sana

    • @caritasmuhairwa2506
      @caritasmuhairwa2506 7 років тому

      Sala Daniel siro umenyoosha maelezo acha arnde alikoeanda atapata haki

    • @said2linyi946
      @said2linyi946 5 років тому

      Aya bana tanzania.yetu

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 5 років тому

    Hmn lolote kazi yenu kuuwa tu hulai maisha hapo walikuwepo wangapi

  • @venture_rafael
    @venture_rafael 7 років тому

    ni tar 15-05-2016??

  • @youngmeku5159
    @youngmeku5159 7 років тому

    safi sana.. askari waheshimiwe bana!! Malima hajatumia busara, awekwe ndani kwanza ashike adabu.

  • @shakilasaid5473
    @shakilasaid5473 7 років тому

    hatari sana

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 3 місяці тому

    Hv hapa Sirro anapongezwa kwaajili ya nn?Duh!!hii nchi ,Mrema aliiona wengi ni bendera fuata upepo

  • @ezramhegele9460
    @ezramhegele9460 7 років тому +1

    nawaunga mkono askari kwa kutimiza majukumu yao ya kazi bila kupindisha sheria kwa kuangalia nani ni nani

  • @abeidhamdan5990
    @abeidhamdan5990 7 років тому +7

    hivi mie nashangaa watu wanaobishana humu mpaka kufikia kutukanana mbona trafik polisi hawana siraha wanakamata magari yenye makosa na wenye magari wanalipa faini ukichelewa kulipa faini inaongezeka ukipita kwenye camera maalum za trafik wanakukamata hata kama mwaka umepita kwani ile GARI haina namba na Dereva alikuwa hana leseni.ilikuwa kazi ndogo tuchukua namba za GARI na leseni ya Dereva kwisha .sasa kupoteza risasi ambazo zinalipwa na kodi ya mwananc hi na kushtua ubalozi wa nje Canada ingekua karibu na ubalozi wa USA Leo tungeongea mengine

    • @winnievesso116
      @winnievesso116 7 років тому

      Abeid Hamdan bora useme wewe

    • @abdulrahmansalim1809
      @abdulrahmansalim1809 5 років тому

      Police kutumia nguvu sio kwa silaha na sababu haina msingi kutowa silaha .Hujuwi kuzungumza umefeli ukiwa ndio kiongozi .

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 роки тому

    "Yadogosheni Mambo
    ya Viongozi Wenu "
    Haya ni Maneno ya hekima yaliyosema
    Na Mtume Muhammad SAW

  • @beatusmtui507
    @beatusmtui507 2 роки тому

    Sawasawa kabisaaa

  • @TheTemba1
    @TheTemba1 7 років тому +1

    ufafanuzi na tukio vitu tofauti cjaelwa

    • @josephmagele2861
      @josephmagele2861 5 років тому

      Novatus Tanzania mwalimu wako alikuwa na kaz kichwa chako kigumu

  • @peternansio5305
    @peternansio5305 7 років тому

    Safi kamanda sirro maelezo yako mazuri kabia, tunataka Asakri jasiri kama hao safi..malima anatakiwa kutii sheria bila shuruti....NALIPONGEZA JESHI LA POLISI.

  • @piusimnanka8140
    @piusimnanka8140 4 роки тому

    Acha kutetea upande wako...mbona yule askari alianza kupiga risasi kabla hata Malima hajagoma kupanda kwenye gari...!

  • @omarykatunzi645
    @omarykatunzi645 7 років тому +2

    inchi inaelekea wap?

  • @yusuphumohammed5833
    @yusuphumohammed5833 5 років тому

    asikari kafanya vizuri kawajibika safi sana

  • @djkidoxl8060
    @djkidoxl8060 7 років тому

    makosa hapo yamefanywa na Mh Malima na Polisi pia wamefanya makosa. .Kosa la Mheshimiwa Malima ni kujibizana na watumishi waserikali yeye asingepaswa kutumia wadhifa wake angetii sheria wala pasingetokea haya yote. . Kosa la Polisi ni kufyatua risasi ovyo na aliefyatuliwa hakuwa na silaha wala hakua tishio kwa Chombo cha dora..huu ni mtazamo wangu

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 5 років тому

    Mnatutisha jamani

  • @george27103
    @george27103 7 років тому

    dah

    • @raheelally8131
      @raheelally8131 7 років тому +1

      Hasira na matumizi mabaya ya silaha sio mazuri kwa vyombo vya dola

  • @lugayilajohn6269
    @lugayilajohn6269 5 років тому

    Siro salute kwako baba

  • @amedemasumbuko9276
    @amedemasumbuko9276 7 років тому +1

    Diana petzold sorry nyie mumelevya na amani yatanzania hebu ingekuwa niburundi au rwanda au Uganda Adam Malima wangemushuulikiya vibaya chumusingi muheshimu polisi

  • @omarysilimu4176
    @omarysilimu4176 7 років тому +1

    SAFII KABISA MAELEZO AFANDE SIRRO

  • @hassanmganyizi586
    @hassanmganyizi586 7 років тому

    Duh!!!!!

    • @sylvanusfelix6998
      @sylvanusfelix6998 7 років тому

      Xaf xana

    • @zossynguya5898
      @zossynguya5898 7 років тому

      uyu akari mchunguzen vizuri ayko sawa

    • @idrissaramadhani2872
      @idrissaramadhani2872 7 років тому +1

      unajua lazima tuamke mwanzo ilianza clouds, ikaja nape, ikafuatia mtu wa bodaboda kuuawa na askari, na sasa malima halafu unasema yule askari alikuwa sahihi. mnajenga mahusiano mabaya na wananchi and people are watching. watanzania tuna tabia hatukemei jambo mpaka likukute wewe mwenyewe au ndugu yako. siro amkamate na yule askari aliyekuwa anamsihi mwenzake asifyatue risasi. nilidhani pengine hatu hitaji askari wa aina hii, ni kweli achunguzwe. malima angeenda wapi ? bado angeweza kukumatwa wakati wowote bila ku-attract attention ya watu. ama kuhusu kumatwa, ana haki ya kuhoji, hebu jiulize, ukishaondoa gari sehemu uliyopaki na kwenda kwenye yard yao-utawezaje kudhibitisha kwamba hukuwa wrong packing. tutumie akili ya kawaida mbona ajali huondoi gari mpaka traffic aje apime na wewe uone mchoro na usaini. sisi ni raia tunajua traffic wanavyobambikia watu makosa (anakuomba leseni anakuandia), kadhalika na hawa wa packing system. lakini kibaya hawataki kutoa vitambulisho wanaombwa kufanya hivyo ilihali wamevaa kiraia. ni kweli askari wana haki zao lakini nilazima wafuate sheria za ukamataji. busara ilihitajika, ile ni gari ungechulikua namba ingeweza kukamtwa sehemu yoyote, kama alivyo malima.

  • @hhmanyamba2871
    @hhmanyamba2871 7 років тому +1

    nyinyi mnaong'angania malima wazili niwazili wawizalagani?

  • @aikadonath812
    @aikadonath812 7 років тому +2

    Subscribe kwene UA-cam Channel yangu ya Aika Donath, Kupata fursa mpya za Elimu na Ujasiriamali kila Wiki.

  • @zzzzzzzz2350
    @zzzzzzzz2350 7 років тому

    Discipline inahtajka popote, haijalx ulkua kiongoz mkuu.
    Kwann hawaeshimu Serikali.
    hapa kazi tu...

  • @kimenyakimario5047
    @kimenyakimario5047 5 років тому

    upo sawa mkuu kama unaongea nahakuna mtu wakuku pinga utaisi upo sahihi nakupenda sana mueshimiwa

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 роки тому

    Hili kuu la police zero tupu, yaani linaona sawa police kufyatua risasi kea huu ujinga, ukiangalia vizuri police mwingine alikuwa anamzuia mwenzake asilete fujo, Sirro ningekuwa mkuu ningekutumbua vibaya sana

  • @msafirikiria4604
    @msafirikiria4604 7 років тому

    Jamani, hata kama polisi wana nguvu ya silaha ni lazima tuheshimu viongozi wetu!! Siungi mkono ya walichokifanya hawa askari kwa waziri mstaafu

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 7 років тому +17

    Lkn Sasa Hivi siraha zinatumika vibaya mno,lzm mkubali hilo,Watu wengi wanatishiwa bastola hicho Siyo kitu kizuri,mtu hana siraha bastola inatumika ya nn,mm sielewi bado

    • @nelsonedward4377
      @nelsonedward4377 7 років тому +1

      Diana Petzold tii sheria gari iyende mahali usika nayeye alitakiwa kufikishwa kituoni angetakiwa akubali aseme sawatwende sasa anabisha nini akati nimkosaji so nguvu imetumika kutawanya raiya wenye ushabiki na police kama kazi in yake lazim mtuhumiawa afikishwe kituoni

    • @ksmally1985
      @ksmally1985 7 років тому

      Diana Petzold .silaha ya nini

    • @ksmally1985
      @ksmally1985 7 років тому

      Diana Petzold .mimi naina nchi imefika sehemu mbaya ya kutishia usalama wa raia.kweli.ndio maana na mafuriko yanatukumba,hii ni adhabu kwa dhulma zinazofanywa kwa raia

    • @andrewnyambega5590
      @andrewnyambega5590 7 років тому +2

      serikali lzm ieshimiwe...kua uyaone

    • @casmirmsofu6106
      @casmirmsofu6106 7 років тому +2

      najua kama unataka kumkamata mhalifu waweza kutumia nguvu endapo mtuhumiwa anagoma ,sasa kwanini polisi atumie silaha kwa kuarest mtu ambaye kwa maelezo ya kamanda hana kosa huyo mtuhumiwa ukichukulia alikuwa ndani ya ubalozi ambayo ni sehemu aliyopo mie ningeona busara kama angeambiwa apaki hilo ari lake vema na sio kufyatua risasi hewani ambayo kama mimi nijuavyo wengi hapa tz wanamiliki siraha nisinge shanfaa sana endapo angetokea mwingine wenye siraha na wakaweza uana pale busara ambayo angetumia huyo polis nikuchukua namba ya gari na kumpeleka mahakamani na sio kushitua kwa risasi sijaona mantiki huyo askari kwa kitendo hicho afukuzwe kazi pamoja na siro aliye mxapoti ccm haitaki matisho nichama cha amani hakika huyo askari na siro kazi wameshindwa.

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 7 років тому +1

    kamanda siro tunakuheshimu sana na kukupenda pia ila kwa maelezo uliyotoa leo umeniacha hoi.

    • @tinopascal4903
      @tinopascal4903 7 років тому

      jazba hasira na siraha noma sana......risasi zanini juu...sibora virungu au pingu tu......kwani jambazi uyo

  • @radhiasalum833
    @radhiasalum833 7 років тому +6

    umeleweka mkuu.alifanya tanzania kaitawala hajui kama kila secta ina wadhifa wake.hahah kalala mabusu bureeeee.kweli akili ni mali

  • @j_gh812
    @j_gh812 5 років тому

    Je gari lilipaki bila kua na dereva au dereva alikwemo???maana matukio ya kunyanyasa ni mengi kwa wakusanya kodi za parking..hata mtu ukiwa umeegesha kidogo na dereva hajashuka lakini unalazimishwa kulipa fine....

  • @oceantv5382
    @oceantv5382 7 років тому

    watanzania wanazarau sana sheria haswaaaa waliokuwepo kwenye sheria wao ndowalitakiwa kuwa fundisho lkn sio kuchochea

  • @abdulshija3715
    @abdulshija3715 7 років тому +2

    safi mkuu askari yupo sahihi mh hakutumia busara

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 7 років тому

    sawa anakataa kwajili dakika 60 hazijafika

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 7 років тому

    alafu tunashangaa kwanini wazungu wanatuita nyani, yani in any way shape and form hauwezi kuita huu ujinga ni ujasiri hapa tunasifia upuuzi tu siku mtu atapigwa risasi na polisi na watachekelea wakiita ujasiri.

  • @osianjaphet9861
    @osianjaphet9861 7 років тому +2

    acha upuuz siro yupo sahh mnaweka mazoea na askar bas hakuna haja ya kuitwa yu askar

  • @michaelmtono9360
    @michaelmtono9360 7 років тому +2

    du tanzagiza

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 7 років тому +4

      Watanzania hivi amjifunzi kupia malema jinsi anavyo mkejeli zuma kwa kuvunja sheria siro kafanya kitu kinacho takiwa kimataifa sasa hapa ndio naiona Tanzania inayokwenda kufanana kisheria na nchi zilizo endelea

  • @mohamedshabani2263
    @mohamedshabani2263 5 років тому

    mh. hatukatai sisi kutii sheriya swali uliloulizwa bado hujajibu vizuri kwa mjibu wa sheriya gari gari ambalo limeparck sehemu ambayo hairuhusiwi linatakiwa kuegesha ndani ya dakika ngapi liwe limeondoka?

  • @davido8089
    @davido8089 7 років тому

    Mmmmh

  • @issacsentkinda8866
    @issacsentkinda8866 7 років тому

    Hivi,unapotumia nguvu ya risasi na ikatokea umeua wewe askari polisi kwenye tukio kama la malima,je huyo mpongezaji,atakupongeza? Huyu siro anaepongeza matukio ya hivi anamaanisha nini,?
    Ila zomeazomea hio inauhusiano gani na risasi? Au hao raia walikua wamebeba silaha? Tunapata shida kidogo hapa kwakua wakuu wa hao washika silaha wanawapongeza na pongeza hio itazaa mauaji na hio siku hatuijui na itakuaje,itakua polisi dhidi ya nani! Ushauri wangu tu nikwamba tusipongezane kwa matukio ya hivi maana iko siku tutatakiwa tupongezane mbele ya maiti za watanzania kadhaa,watakao kua wametolewa uhai na hao wenye mamlaka ya kushika silaha.kwa kauli ya kamanda ni ukweli usiopingika kua iko siko huo mdomo wa bunduki hautaelekezwa angani tena,bali utaelekezwa kwenye halaiki ya watu👥👥👥👈 halafu kamanda atajitokeza atoe pongezi,kweli? Inatisha na kuogopesha sana!

  • @georgebarongo4174
    @georgebarongo4174 5 років тому

    Watu wasome sheria na kuzielewa.long parking unapiga risasi hovyo .gharama ya risasi na mambo yasiyofaa mini busara.

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 7 років тому

    Amesema tarehe 15/5/16.?

  • @festomushi940
    @festomushi940 7 років тому

    tatizo watazania wengi niwabishi Sana awajui kueshim sheria inamana apo mwenye kosa niraia c police make angetii wala isingetokea yote ayo kwn police wetu wanazaraulika Sana wakati ndiyo wanao tulinda kwnn amjui ilo

  • @BON357
    @BON357 Рік тому

    Kwanni Askari mwingine alikua anamzuwia mwezake,siraha kapewa chiz ngoja awwe ndiyo mtajua

  • @Nkaranga3
    @Nkaranga3 7 років тому

    ishu hapa kumbe ni kukusanya kodi

  • @adamkawili6913
    @adamkawili6913 2 роки тому

    Kwani alikuwa anakata kwenda polisi Mheshimiwa?au mnajitetea

  • @ramambongo4069
    @ramambongo4069 7 років тому

    shango uko sawa kabisa asikari wanakurupuka unavyatua risasi kama malima ni mwizi nahakubishana kwelihawana uzoefu na kazi

  • @adammponzi4371
    @adammponzi4371 5 років тому

    Shida sio kumkamata shida"shida ni utumiaji wa siraha ovyo.pia kwa nn huwa mnatumia nguvu sana kumkamata mtumiwa kwa nini?

  • @nikky4757
    @nikky4757 7 років тому

    na pia hakukuwa na zogo wala fujo za kufyatua risasi kama mtu kagoma tia pingu weka kwenye gari ya polisi the hiyo gari ya mtuhumiwa ambayo nikielelzo inavutwa inapelekwa kituoni sasa kama mkuu unatetea bila hata kutoa exeption yeyote maana unawaahamsisha wafanye hivyo kesho uwezi jua watafanya nini .hasa hawa askari vijana wapya yaani wakipewaga ile SMG naonaga hatari sana maana si wote wanabusara

  • @rolandmwasomola4516
    @rolandmwasomola4516 2 роки тому

    Sure hapo kamanda kanena ukweli mtupu huyo waziri mstafu alitaka kutumia biography Kama weapon ya kuwazaririsha Askari , kiukweli Askari walikuwa sahihi

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 5 років тому

    KWA STAHILI HIZI WENGI WAMEBAMBIKIWA MAKOSA WASIYOYAJUA WALA KUWAHUSU. MBAYA ZAIDI WANANCHI WAMESHAKOSA IMANI NA JESHI LA POLISI NI VYEMA MKALREJESHA IMANI KWANZA ILI WATU WATOE USHIRIKIANO

  • @DmpandujiDmpanduji-tp7np
    @DmpandujiDmpanduji-tp7np Рік тому

    Hakuna kitu hapo unatetea mambo ya hovyo kabisa. Busara ingetumika huyo ni kiongozi polisi mara nyingi mnateteana sana hata kwa mambo ya hovyo.

  • @erasmusnzibonela5151
    @erasmusnzibonela5151 5 років тому

    Kama mabishano2 ya pkn unaruhusu kufyatua lisas kweli ni awamu ya 5

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 4 місяці тому

    Maswal ya dada yalikuwa mazuri sana ila IGP SIRRO aliyakwepa...

  • @user-tt8ew7tf8e
    @user-tt8ew7tf8e 17 днів тому

    Mhhhhhhh

  • @mandelashayo2416
    @mandelashayo2416 7 років тому

    hatari sana Polisi wanafanya kazi kumbee

  • @hunkbernie6556
    @hunkbernie6556 7 років тому

    daah eti kwaajili ya ukamataji kwni hvi hvi asingeweza mmkamata.

  • @unclesamtz6048
    @unclesamtz6048 5 років тому

    Achen ushamba bhana, kupiga piga risasi hovyo c sawa

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 5 років тому

    Kwani walishindwa kumkamata bila kupiga risasi,au anatafuta sifa sisi tunalipa kodi na polisi mnalipwa mishahara

  • @petermando917
    @petermando917 2 роки тому

    Hamn kitu hapo

  • @nkudwanabakejohn7505
    @nkudwanabakejohn7505 7 років тому

    MBONA wa BUNGU wamuwakamati?