FULL VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi "alietoa Bastola aje hapa'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 419

  • @petroleumexperts3442
    @petroleumexperts3442 3 роки тому +16

    Nimerudi kumskiliza tena nape baada ya teuzi za mama samia ✊❤

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 3 роки тому +6

    Hapo ndipo Mh Nape Moses Nnauye alipopata umaarufu mkubwa na watanzania kumheshimu sana. Hakika yuko vzr.

  • @mkude
    @mkude 3 роки тому +4

    Nineirudia speech yako baada ya kupewa uwaziri tena nimejufunza mengi sanaa katika hii dunia,subra na uvumilivu.nape umekomaa sanaa kisiasa nakukubaki sanaa my brother.

  • @isiakamfugale3621
    @isiakamfugale3621 2 роки тому +3

    The rise of Nape Nnauye 2022 daah haya maisha yanamambo sana

  • @hamisiseiph2233
    @hamisiseiph2233 7 років тому +6

    Weeee NAPE ndoo kiongoziii wa kuigwaaa nime kuaaa insipired sanaaa u a hero

  • @kareenamuraty5845
    @kareenamuraty5845 7 років тому +2

    kaka nape upo sahihi n.a. ulikuwa makini katika wizara yako .mungu akulinde n.a. akuongoze ktk maisha yako.makonda ni first lady watu wanajifanya hawaelewi tu.

  • @geophreylukanga7148
    @geophreylukanga7148 7 років тому +30

    Hii ndio Tanzania yetu ila sio Tanzania tulio izoea Mungu simama juu yetu Kwa Haya yote. Ameni

    • @Purity493
      @Purity493 7 років тому +4

      geophrey lukanga Ameen Mungu aingilie kati

    • @saidyahaya7700
      @saidyahaya7700 5 років тому +2

      Makaba

    • @ramadhanimam6323
      @ramadhanimam6323 5 років тому +1

      geophrey lukanga

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 4 роки тому +1

      @ ua-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/v-deo.html

    • @rajabkisebengo9406
      @rajabkisebengo9406 4 роки тому +1

      Alafu mijitu inajitokeza et haki Amani na uhuru vipo vyote Tanzania sasaivi anaunga mkono hoja

  • @khayratsaid4364
    @khayratsaid4364 7 років тому +18

    ety rais wawanyonge looh hasbiya allah waniimal wakil

  • @nahayanchimbi8753
    @nahayanchimbi8753 7 років тому +1

    nimeipenda speech yako, japo ni mapema sana ulifanya ili zoezi la kuongea na vyombo vya habari. huo ndio ukomavu wa kisiasa ndg yangu nenda jimboni kwako kawajibika ipasavyo hakika wataiyona kazi yako. Ongera kwa kukabiriana na hili jambo.

  • @nkirwaurassa3390
    @nkirwaurassa3390 7 років тому +3

    Mungu tusaidie pasipo wewe Bwana sisi wanadamu hakuna tunachokiweza zaidi ya kuwezeshwa na wewe.Ibariki nchi yangu ya Tanzania iwe na umoja kusiwe na chuki na Watanzania tupendane kama ulivyotupa amri iliyo kuu kupendana.Nawaombea viongozi wa nchi yangu wapendane ili watuongoze katika misingi ya UPENDO na AMANI pamoja na KWELI ambayo ni Neno lako.Ameni.

  • @elicksisime4905
    @elicksisime4905 5 років тому

    Nape hongera tutakatie.bahna kwa kauri zenu mmezozana ccm. Nape mpekampan tundulisu bahna

  • @mashambomkwizu6588
    @mashambomkwizu6588 4 роки тому

    Mungu sio kigeugeu kama mnavyofikiria, kuna maisha baada........

  • @sifahaahjamanikamamungumtu8919
    @sifahaahjamanikamamungumtu8919 7 років тому +6

    Machozi Yemenitoka hakika

  • @gorethngendelo1195
    @gorethngendelo1195 7 років тому +5

    For really,;We have no thing to fear ,except fear itself. Thanks Nauye.

  • @chachanyawaya9810
    @chachanyawaya9810 4 роки тому +1

    Wangemfyeka, angeenda cdm. Ila kwa kuwa aliachwa yuko kwenye kapu hilohilo.

  • @upeohuru9971
    @upeohuru9971 7 років тому +9

    "Wafadhilaka pundaka"...kaka umeshajionea mwenyewe sababu za 'kelele' za akina Tundu Lissu.Haya kaawambie na wenzio kwamba iwe mwiko kutumia uwingi wenu mjengoni kupitisha maazimio yanayotugharimu sote kwani hata nanyi hamko salama

  • @kallandoking6561
    @kallandoking6561 4 роки тому +1

    Mmmmmhhh!!! Inamaana huyu kahamia CHADEMA AU??? MAANA CHADDEMA NDIO WANATETEA WANDISHI WA HABARI!! HONGERA SANA NAPE MM NI CHADEMA ILA NAKUSIFU KWA HILO

  • @neemajuman5213
    @neemajuman5213 4 роки тому +1

    Asante kumbe raisi alipigiwa debe sio chaguo la Mungu

  • @f.a6043
    @f.a6043 3 роки тому +1

    😆😆😆 watu wachonganishi eti ww ndio mwenyewe inchiii🤣🤣🤣 nasikia eti ww nishujaa siasa ni maji taka kweli 😃😃🤣🤣

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress 5 років тому +2

    Si Bora wewe walikuonyesha Bastola..Lissu walimmiminia risasi kabisa Ila uyu Mungu akamtetea na kumrudishia maisha ili wabaya wajionee aibu

  • @hassanyussuph4407
    @hassanyussuph4407 4 роки тому +1

    Wanasiasa hovyo kabisa leo watu wanafanyiwa vitendo vya hovyo mbona uko kimya?njaa mbaya sanaa

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 7 років тому +10

    Mimi ningekuwa mwakiyembe kwa maneno haya ya Nape nakataa hiyo nafasi kosa la Nape liko wapi hiii haijakaa poa kwa ccm

    • @brucechonjo3417
      @brucechonjo3417 7 років тому

      Joel Joel kesoy awezi kataa hyo nafasi cz n mlaku Wa mdaraka

    • @KASOLEKA
      @KASOLEKA 7 років тому

      Joel, Mwakyembe wa kukataa madara, ngumu sana. Mwakyembe ni msomi asiyekuwa mzalendo. Kama wiki zilizopita tu ametoa kauli tata na raisi akakanusha kesho yake halafu hakujiuzuru wala kushituka, sishangai haya kutokea.

    • @kareenamuraty5845
      @kareenamuraty5845 7 років тому +6

      Alexander Msuha ni kweli mkaka unaongea neno la maana Dana mwakyembe ana uchu wa madaraka

    • @tusamwakibole3994
      @tusamwakibole3994 7 років тому +5

      uyo mwakyembe awezi kukataa madara anapenda Sana uongozi,na huko sijui km ataweza lkn kwakua tunaenda kibabe tutaenda tuu

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 років тому

      Joel Joel kesoy hyo mzee alijichanganya kama unga wa ngano anapinga kila kitu c madawa c nn umesahau alisema atajiuzulu kama soma gazet bro

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 3 роки тому +4

    Wataalamu wa mambo ya mimea tufundisheni. Je, ni kweli kuwa ili mbegu iote, sharti ife kwanza?
    Mimi siamini usemi huo, ambao unatumiwa sana na wanasiasa wengi wa Tanzania, kwa mifano, Nape katika "clip" na Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA, katika hotuba zake nyingi alielezea hisia zake wakati wa misukosuko na Jeshi la Polisi
    Kama kiumbe hai, mbegu ya mmea iliyokufa kamwe haiwezi kuota!
    Mbegu ya mmea ina "necessary information" za kuiwezesha kuota. Na ikikutana na "sufficient information" za unyevu na/au udongo, "necessary information" ina"trigger osmotic reaction" kuanza kutoa mzizi/mizizi na kishina kuvutwa na "photosynthetic reactions" kuelelea angani.

  • @jamesponeca8912
    @jamesponeca8912 3 роки тому

    Huyu Bwana simpendi kabisa,hasa alipozuia Bwawa la Nyerere

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 3 роки тому +1

    Maji na mafuta ujitenga na Mungu siku zote yupo I wish I can meet you nikupe mkono tu.. Ur real strongly Men Mungu aku bariki sana unaongea kwa uchungu mpaka nalia na kuombea sana baba

  • @onesmoakwilini7197
    @onesmoakwilini7197 2 роки тому +1

    Mungu mtu wao hayupo tena, Mning'inize baba

  • @zuweinaalhabsy8046
    @zuweinaalhabsy8046 7 років тому +4

    kwa kweli Tanzania mnatia imani sana maskini nape imani yako ya kutetea wanyonge ndio imekuponza bado wanataka kukuuwa Tanzania mnaenda pabaya sana sana. ila usijali muheshimiwa kila kitu ni heri kwako.

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 3 роки тому

    Kwa mwaka mmoja tu Bunge lilizimwa aise

  • @Purity493
    @Purity493 7 років тому +3

    Mungu yupamoja nawe, kila alie kuendea kinyume Mungu atalipa

  • @avizpaul3086
    @avizpaul3086 4 роки тому +2

    i wached this september 2020

  • @abdallahshekibula3939
    @abdallahshekibula3939 3 роки тому

    Magufuli mungu akuweke panapo stahili

  • @Madangaclassicwear
    @Madangaclassicwear 4 місяці тому

    Yaaani nchi ni huru kwa watu wakubwa ila kwa wananchi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @salamaomary5597
    @salamaomary5597 7 років тому +1

    masikini, Allah akufanyie wepesi kwenye kila jambo nape

    • @josephkisaro1377
      @josephkisaro1377 2 роки тому

      Mungu ashafanya wepesi, hatimaye leo ni waziri wa habari tena...

  • @simonfundi5472
    @simonfundi5472 7 років тому +25

    Rais na alaaniwe

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 2 роки тому

    Mungu amemuadhibu aliyotoa bunduki.

  • @mbachaliletv6548
    @mbachaliletv6548 7 років тому +5

    asante milard kwa taarifa

  • @michaelevarist5518
    @michaelevarist5518 4 роки тому

    Hivii uyuu mtuu wamempotezeaa wapiii maana alikuwa anaelekea kutoboa sirii za wakubwa wanao itafuna nchii kimya kimya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gabansiyomazala
    @gabansiyomazala 4 місяці тому

    daaah kitenge mungu akusimamie kwa kumnusuru mtanzania mwenzio ila jasiri mtu anamanati ya kizungu unamsukuma duuuh

  • @iddykubu8900
    @iddykubu8900 2 роки тому

    Muache mama afanyekazi
    Msimuingirie tupotiari kujitoa kumtetea tunaomba aheshimiwe mama

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 9 місяців тому

    Nape Mungu akulaani maana Wewe ndie ulioutia mpira kwapati Mungu hafichi mnafiki Wizi Ufisadi Uwauji tu hamna lolote labda uongo ufisadi wizi dhuluma mauwaji ndio Sera zenu

  • @Atupali24
    @Atupali24 7 років тому +1

    Ndio Mahana wazungu wanatucheka kila siku kwa sababu ya upuuzi na ujinga kama huu

  • @stephenmasunga373
    @stephenmasunga373 2 роки тому

    Kama unalijua hilo, je! Huo unafiki leo umetoka wp

  • @josephhaule6309
    @josephhaule6309 7 років тому +1

    kweli tutaisoma mamba wote, nape matusi yote yale kwa ukawa leo duh! ccm.

  • @EmmanuelMgaya-w3m
    @EmmanuelMgaya-w3m 5 місяців тому

    Sijaelewa ata kwanza wote na nyinyi wenye kamela wezi wakula za wananchi wa Tanzania

  • @msonzera
    @msonzera 7 років тому +1

    duuu sjaelewa kilichotokea, na cjui knachofanyika juu ya nchi hii

  • @augustinebalthazar7351
    @augustinebalthazar7351 7 років тому

    pole sana mweshimiwa nape kwa Yale yaliyokukuta wanasema Tanzania ya aman dah ndo hv ama kweli Mungu komboa taifa letu.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому

    Sasa Nape kwani yeye ni nani ? Hii nchi inawatu wa hovyo sana .

  • @emmanuelntogwisangu871
    @emmanuelntogwisangu871 7 років тому +1

    Mmmh!!!
    Mauzauza bado yanaendelea.....

  • @mwantumuissa-y7t
    @mwantumuissa-y7t 10 місяців тому +1

    Hao wandishi wambea😂😂😂

  • @laurentbabone7829
    @laurentbabone7829 7 років тому

    jamani mulitucheka sana warundi ila naona munapo elekeya tuta wa karibisha soon kwasababu munapo elekeya

  • @florameza9529
    @florameza9529 7 років тому +2

    na kweli umejitahidi sana kuiweka ccm madarakani nape mkamuzushia lowasa mara mkono unatetemeka leo yamekupata kumbe afadhali mngeacha aliyekuwa amechaguliwa na wananchi apite, makamba, mwigulu na wewe mlituudhi sana wewe ndo umependekeza 2021 waandishi wawe na degree sasa tunaisoma wote

  • @azizijuma7520
    @azizijuma7520 4 роки тому

    Leo unasahau ualiokutokea ukiwa waziri unasemanini sasa ktk kampeni hizi 2020.kumbuka ulidhalilishwa sana.utawakosea wanamtama nawatanzania wote ukimfagilia aliesababisha

  • @hamismbotoni5531
    @hamismbotoni5531 5 років тому +6

    Ukisoma comments za miaka miwili iliyopita na ukilinganisha na za sasa zinaonekana ziko tofaut kabisa mzani umehelemeea kwengine kabisa

  • @kassimloav2402
    @kassimloav2402 3 роки тому

    Namkumbuka mzee mozesi mnawiye hakuwa hivi huyu katumwa namzee mwinamila ilahuyu Mmh

  • @selinaantony4568
    @selinaantony4568 7 років тому

    duuh..ama kweli...mungu ibariki Tanzania...

  • @officialraydizzy5147
    @officialraydizzy5147 4 роки тому +4

    Ndio kaka uko vizuri

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 5 місяців тому

    Mpuuzi tu huyu kama wapuuzi wengine!!!!!😂😂😂

  • @hassanbakari5607
    @hassanbakari5607 7 років тому +1

    inauma sana Tanzania tunaelekea wapi jaman

    • @thobiasmedald7497
      @thobiasmedald7497 7 років тому +2

      wala hakuna shida hapo, anavuna alichopanda kwa bao la mkono

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 6 місяців тому

    Umepigana wapi? Mkuki kwa nguruwe ni sehemu yake ila kwa binadamu....

  • @arrysterlyamchai4119
    @arrysterlyamchai4119 10 місяців тому

    Hayo Hayooo. Walikukosa. Acha unafiki.

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 роки тому

    Hahahaaaa yote uliyouliza hukujibiwa na ulifungwa mdomo na ujanja wako sasa hivi Magufuli kafariki unaanza kuuchonga tena😄

  • @sweetmama3242
    @sweetmama3242 7 років тому +1

    Nape your very handsome. I love you. 💋💋💋

  • @nurayusuph3088
    @nurayusuph3088 7 років тому +2

    Kosa nini mpaka kuvuliwa uwaziri na kutolewa bastola😌😌😌

  • @muhidinihassani520
    @muhidinihassani520 4 роки тому

    Kumbe ukipigania ccm ni heri ungekufa tu. Hakuna mwema ndani ya ccm(Chanzo cha matatizo )

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 роки тому +1

    Kila mtu alipigika miaka mitano ya magufuli.

  • @hassansaid5166
    @hassansaid5166 4 роки тому

    Ndiyo yanayotokea sasa 2020 sumu inawaingia ccm sasa hivi

  • @godfreymwita1808
    @godfreymwita1808 7 років тому +1

    ur the true legendary

  • @hdggu6792
    @hdggu6792 2 роки тому

    Kwani kunanini jamaniii 😂😂 huko

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    Eti amepigana kutafuta kura za CCM,,,,,,,,, dah!!

  • @yohanaadamuyohanaadamu7914
    @yohanaadamuyohanaadamu7914 4 роки тому

    Kweli kabisa sema tumechoka waambie

  • @neemajginene7524
    @neemajginene7524 2 роки тому

    Kazi ipo

  • @angellamwanri8414
    @angellamwanri8414 7 років тому

    Tunakupenda nape

  • @robertkomba8041
    @robertkomba8041 7 років тому

    raisi wetu Fanya kazi yako,mungu akutetee

    • @godfreymwita1808
      @godfreymwita1808 7 років тому

      Robert Komba ur such a dead and buried coward

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 4 місяці тому

    Kumbe napenanaeajua leo limejirudia chadema nchi hii kila mtu kawa mtawala bastila live

  • @mashambomkwizu6588
    @mashambomkwizu6588 4 роки тому

    Big up sana

  • @amriomarymtabazi5419
    @amriomarymtabazi5419 3 роки тому

    Hivi Kamakweli Nape ccm uliitowashimoni,alokuwa anaipeleka shimoni alikuwanani?

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 5 років тому +1

    Ulikiwa na kiburi kumbe sababu ulipigania kura ccm,siku hizi hapa kazi tu ulikichafua chama

  • @hindisaid2413
    @hindisaid2413 2 роки тому

    Video hii ilifichwa 😄😄 sasa muda umefika kuoneshwa

  • @oscarrobben5613
    @oscarrobben5613 7 років тому +2

    we love u nape

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 5 місяців тому +1

    Hii ni 2024 nairudia tena naangalia tena

  • @mrkingfish3592
    @mrkingfish3592 3 роки тому

    Noma Sana.Muda

  • @jumaathumani9732
    @jumaathumani9732 3 роки тому

    Nape miongoni mwa viongoz waliopikwa na kuiva ameonyesha ukomavu wa hali ya juu sanaaa

  • @bhelekiabhelekia6031
    @bhelekiabhelekia6031 4 роки тому

    Nape njoo Chadema Sera hizo ni za vichwa vya cdm

  • @abeidcarrick2211
    @abeidcarrick2211 7 років тому

    pole sana mh, nape lkn Leo ndio nazd kuamin kua zimwi likujualo halikul likakwisha,,,ingekua ishue imetokea upande Wa upnzan jaman magar 50 askar 100 mabom na risas vngetawala na watu wangekufa hii ndio tz yetu wasimamia haki hawatakiw

  • @kipokendirangu2572
    @kipokendirangu2572 2 роки тому

    Visasi visasi kazi iendelee

  • @papafikiri
    @papafikiri 7 років тому +12

    yanapompata yule tusiseme ni yake tuone haya ni yetu wote.Usiiharibu Tanzania ya leo kwa nafasi yako yoyote.kizazi kijacho tunakiweka wapi......tutaimiss hii Tanzania tuliyonayo leo.

    • @sioux.mshana3745
      @sioux.mshana3745 7 років тому +1

      Dawa cjambo

    • @masongaofficial
      @masongaofficial 4 роки тому

      Uzalendo na maana yake katika sanaa hii ua-cam.com/video/zuPzr5WXG5A/v-deo.html

  • @kidegebungalows2750
    @kidegebungalows2750 2 роки тому

    Kuna ndoto Nape kuja kuwa Rais wa Tanzania Mbeleni

  • @azizijuma7520
    @azizijuma7520 4 роки тому +1

    Ulitoa maneno mazuri wakati huo leo unasemaje

  • @ElinamiMsuya-lu8uz
    @ElinamiMsuya-lu8uz 3 місяці тому

    Chadema wanasemaga hivyo hivyo. Inaumaee?

  • @elizagreen8098
    @elizagreen8098 7 років тому +1

    duh! tanzania ya leo sijui tunaipeleka wapi?

  • @matingo-bk1248
    @matingo-bk1248 5 років тому +1

    Huyu jamaa sio mtu mzuri kwenye taifa hili, kuna vitu chini ya carpet vinaendelea kwa huyu mtu na kundi lake.

    • @aniphajulius7508
      @aniphajulius7508 5 років тому

      Wewe ujui chochote bola ukae kmy

    • @mwidiniharuna9618
      @mwidiniharuna9618 5 років тому

      @@aniphajulius7508 naajui kitu kwel yaan kaanza kuskiliza vile viclp vya juz vikamtoa kwa rel bila kujua yamekuja baada ya kusalitiwa na waliyempambania apate madaraka

  • @alexngao9176
    @alexngao9176 7 років тому

    ukweli utajitenga na huongo utajitenga

  • @ElinamiMsuya-lu8uz
    @ElinamiMsuya-lu8uz 3 місяці тому

    Nchi ya amani? 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @simonisrael4746
    @simonisrael4746 5 років тому +1

    Wana Ccm tuwe na umoja ,mshikamano,na tuwe na uzalendo Wa katika nchi yetu

  • @titusrobert5890
    @titusrobert5890 10 місяців тому

    Lowassa, kafa. Mungu yupo

  • @robsonebenedicto2210
    @robsonebenedicto2210 7 років тому

    pole sana inauma but zid kuisaidia nchi ii

  • @josephdimosopantaleomadegh7599
    @josephdimosopantaleomadegh7599 3 місяці тому

    Waandishi wa habali walikuwa wamisha kkata tamaa walikuwa wapo tayali kwa lolote duh

  • @hadijaalhajri2226
    @hadijaalhajri2226 7 років тому

    mm siamini macho yangu ni Tanzania kweli au

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 4 роки тому

    2015 aliwasaidia sana kwenye kampeni? Vipi 2020 mbona huonekani?

  • @manzilijuni1616
    @manzilijuni1616 4 роки тому

    Mbegu inaota