BASHE AMJIBU RAIS SAMIA ISHU YA SUKARI NA MPUNGA MBELE YA HADHARA "NALISIMAMIA MWENYEWE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 64

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 Місяць тому +2

    Kwa ulinganishi ulioufanya hapo wa bei ya mpunga kiukweli hio bei nadhani itakuwa rafiki jitihada ziwepo tu kwenye ruzuku za pembejeo na kwani hata mlaji hataathirika kwani kinachoumiza bei ya vyakula ni madalali na kufanya wananchi waone maisha magumu Ahsante sana Bashe Binafsi niko pamoja nawe kwenye hilo kama vile kwenye sukari ulivyoshusha bei

  • @HalimaFarahnuru-nj1ei
    @HalimaFarahnuru-nj1ei Місяць тому

    upo vizuri kaka achana nao hao

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 Місяць тому +2

    Mna viwanda vingapi vya kutengeneza nguo. Vertical integration hapo inahitajika. Msisafirishe raw materials ya pamba. Establish viwanda vya kutengeneza nguo

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie Місяць тому +1

    Serikali haiwezi kamwe kuwa na suluhisho la kudumu la maswala ya mazao kama hawataweka bei permanent za mazao. Zaidi tunajua ni migogoro isiyoisha. Mkulima anajitoa mhanga kulima, kangalia shamba, then serikali inampangia bei isiyo rafiki kwa ke, sasa hii sio maendeleo ni kurudisha nyuma wakulima.

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Місяць тому +5

    Tumekusubili dodoma uje utujibu ufisadi wako kwenye sukari.

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Місяць тому +2

    Bashe wewe ni genge la mafisadi,acha kumdadanganya huyo mama

  • @RichardIbrahim-bl8kd
    @RichardIbrahim-bl8kd Місяць тому +2

    Kama mtafanya hivyo mtatusaidia sana

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 Місяць тому

    Hamna jipya ufisadi tuu umewajaa.hakuna chochote mnacho fanya kwa Watanzania.ila shukuruni Watanzania wengi mazwazwa hawana akili kichwani ndiyo mnachukulia advantage hiyo.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Kwani hiyo mbolea unanunua kwa pesa ya CCM? Ni pesa ya serikali kwahiyo hata vyama vingine vinaweza kutumia hizo pesa kufanya vizuri zaidi kuliko ninyi mafisadi

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Kuruhusu kuingiza sukari holela si itafanya mashamba ya sukari kufa? Mashamba yakifa hao wakulima wa miwa na wao watakufa au watasimama

  • @shabaniathumani1789
    @shabaniathumani1789 Місяць тому +2

    Ila jamaa jasho linamtoka mcheki kifuani shati linalowa

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 Місяць тому

    Pia tuongeze nguvu kukuza soko la inje la mchere ili huo mpunga utakao nunuliwa kwa bei ya 900 usilundikane na kubaki kwenye maghara hili lita sababisha bei ya mchere mwakani kushuka sana bei pia sekita binafusi inayo nunua mpunga itambuliwe ijengewe uwezo hasa wamiliki wa mashine za kukoboa mpunga kwa sababu ndoo wahanga pale watakapo kosa mpunga wa kuendesha viwanda vyao serikari iangalie uwezekano wa kufanya nao kazi ili kubolesha siyo sekta binafusi wote wezi tuki endelea kuwaita wezi wataikimbia sekta badaye sekta ya kilimo ita kosa wadau

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Mbona huongelei kusuhu kuingiza sukari holela?

  • @pueblo148
    @pueblo148 Місяць тому +2

    Mahakamani nenda

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Місяць тому

    . Bashe acha kudanganya. Kesi ya sukari kuwapa tenda kampuni ziszokuwa na uwezo kuagiza sukari . Bashe aa ujanja wa udangayifu.Mpina asikiizwe,asipuuzwe

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Wewe huna nia nzuri na wakulima hata kidogo. Umeisha pewa chako na wafanya biashara ili wajaze sukari kila kona ili mashamba ya miwa ife hapo ni sawa? Tatizo kubwa ni sukari mbona huongei?

  • @aloyceassenga6817
    @aloyceassenga6817 Місяць тому

    Umwagiliaji unaumiza wakulima wadogo na hakuna mkakati wowote wa kuhakikisha kuna miundo mbinu ya umwagiliaji kwa wakulima wadogo. Wekezeni kwenye kuwainua wakulima wadogo na punguzeni siasa nyingi kwenye kilimo.

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl Місяць тому +1

    Bodi ya sukari ni ndio tatizo

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 29 днів тому

    BASHE wanaokutukana ni wivu na uhasidi tu!!achana nao chapa kazi!!

  • @user-jl6uj4lf6q
    @user-jl6uj4lf6q Місяць тому +1

    Mbona tanapa wanawafukuza wakulima wa mpunga.mbona hamsei hilo?

  • @user-xw1dv3gr8s
    @user-xw1dv3gr8s Місяць тому +1

    Vipi kuhusu mbaaz mbona unatulazimisha tuuze ghalani kunanini

  • @CletusMmbaga-ik5sv
    @CletusMmbaga-ik5sv Місяць тому

    Mbarali hamnunui

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому +2

    Usijisahaulishe mpina anaandaa kesi ufisadii kwenye sukari

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s Місяць тому

      Mpina kama ni mtu wa haki kweli angelianza kuandaa ile hela nyingi ilioibwa na Magu ikulu trillioni 1 na nusu CAG ASAAD aliweka wazi hili mbona alibaki kimya au kwa sababu wakati ule Magu alimchagua waziri?Tuache unafiki na kujizima data.

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 Місяць тому +2

    Uyo maneno tu akuna kitu boa

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Місяць тому +1

    Bashe ana kesi ya kujibu.Hapo ana presha tele.Namuona akifedheheka mahakamani.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Місяць тому +1

    Mahindi 650 kwa 700 ni vichekesho na ufisadi na

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

      Afadhali nyie 650 sisi 500

    • @ksmally1985
      @ksmally1985 Місяць тому

      Mtihani mkubwa Bei ya mahindi

    • @ksmally1985
      @ksmally1985 Місяць тому

      Gharama kubwa ukivuna Bei mbovu kweli 650-500?

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

    Wanatupiana mpira mara huyu anasema Rais umeruhusu sekta binafsi zinunue mahindi wanawalazimisha ahhhhh

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Місяць тому +2

    Huyu bashe🎉fukuza ni genge la mafisadi,

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz Місяць тому +1

    Ila huyu jamaa ni jembe sna hongera kuwasaidia wakulima wa nyumban wazir wetu mkubwa mnaenda enda sana huko hiyo wilaya itakuwa Kwa Kasi sana

  • @hantiayman3994
    @hantiayman3994 Місяць тому

    Bashe 20 tena

  • @user-qf1ls8rb4o
    @user-qf1ls8rb4o Місяць тому

    Waangalie na ushuru ni mkubwa sana nadio sababu ya mkulima kukandamizwa

  • @emmanuelmsang3949
    @emmanuelmsang3949 Місяць тому

    Huyu jamaa nikiongozi kweli

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 Місяць тому

    Magufuri alianzisha program hizi kwa ngùu sana , leo mnasuasua

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s Місяць тому

      ACHA UNAFIKI Magu aliidharau kabusa sekta ya kilimo mpaka ikafika mbaazi kuile kusini kuuzwa kilo sh 100 leo maazi kilo sh 2500 kwa kilo.Akawatia umasikini watu wa kusini wote mpaka wengine wakajinyonga kwa hasara walizozipata akazichukua korosho zao kwa nguvu ya jeshi na mpaka leo watu korosho zao hawakulipwa ushenzi ulioje.

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 Місяць тому

    Hahahhahahahahahahahahahhahajajahahajajajajajhahahhahahajajaj naseka gete gete

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 Місяць тому

    Tsh 900/= kwa kilo utanunua ulio Lima wewe...

  • @abdulnuru3332
    @abdulnuru3332 Місяць тому +2

    Hili waziri mzigo.. makerere mengi vitendo hamna kitu

    • @BraxedaDomina-xn4zc
      @BraxedaDomina-xn4zc Місяць тому

      Huyo muongeaji mzuri lkn c mtendaji magufuli alimchagua sbb ya kupiga kelele bungeni but nothing

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 Місяць тому +1

      ​@@BraxedaDomina-xn4zcItabid tukupeleke Wewe

  • @user-qf1ls8rb4o
    @user-qf1ls8rb4o Місяць тому

    .

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Місяць тому +2

    rudi kwenu somaria wewe usitualibie nchi.

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Місяць тому

      Wew ni kati ya wajinga walioko Tanzania

    • @nassorshaaban7295
      @nassorshaaban7295 Місяць тому

      Futa hii comment yako mbona km ni kibaguzi kabla hujatuma ujumbe wko jaribu kufikilia hata kutumia Makalio yako km si kichwa chako ndo uweke Kwa Media

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 Місяць тому

      Kijana ulikuwa mzuri sana mwanzoni , ulipo sasa hivi umejaa usanifu wa lugha ikiwa na KA-ENGLISH kidogo lakini mstari wa UKWELI umeuweka PEMBENI , kwa nini ?

    • @user-fl3fb5gh6b
      @user-fl3fb5gh6b Місяць тому

      Wewe unakujua asili wa Babu yako kizaa Baba yoko ametokea wapi

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 Місяць тому

      Na wewe rudi kwenu Burundi kwenu nyoko wewe.

  • @user-qf1ls8rb4o
    @user-qf1ls8rb4o Місяць тому

    Waangalie na ushuru ni mkubwa sana nadio sababu ya mkulima kukandamizwa