Aliedai Kutapeliwa Kimapenzi na Goodluck Gozbert Atoa ya Moyoni | Aomba Awe Mumewe | Ampa Pole

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2021
  • Ilianza kimasihara kwa mwanadada kusema ametapeliwa kimapenzi na Goodluck na hatimaye amekutanishwa nae kutoa ya moyoni baada ya kugundua kuwa aliekuwa akiwasiliana nae ni Goodluck Gozbert feki.
    #WazeeWambanga #PressRelease
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 2,3 тис.

  • @irenepm3023
    @irenepm3023 3 роки тому +76

    Pole sana subira, godluck Nimependa ulivyo na hekima

    • @goldenfoot1102
      @goldenfoot1102 3 роки тому +2

      Subira anakiherehere jamani kutoka lindi Hadi mwanza dohhhh

    • @irenepm3023
      @irenepm3023 3 роки тому

      @@goldenfoot1102 haibu, akirudi shule j,3 cjui ataiweka wapi sura yake kwa walim wenzako, na kama ingekua ni mapenzi ya Mungu kama anavyosema mwanaume angemfuata mwenyew.

    • @azizamohamed5349
      @azizamohamed5349 3 роки тому +1

      Huyu Dada kakutana na Goodluck tapeli wa mitandaoni na atalaaniwa Ila Dada was watu mkweli Sana!!nimeumia Sana kwa kweli,mapenzi yanauma jamani daaah

    • @mckadosimon6184
      @mckadosimon6184 3 роки тому

      Hiiiiii nipo

    • @mcheshcomedy5809
      @mcheshcomedy5809 3 роки тому

      @@irenepm3023 daah!! Hawezi kuwa na mood kabisa!!!!!🙄

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 2 роки тому +17

    Mungu akupatie mume wako kutoka kwa Bwana... Aibu uliyoipata Mungu akupatie Heshima kubwa itakayo funika na kufuta kabisa aibu uliyoipata ✝️

    • @maggiendeto6570
      @maggiendeto6570 2 роки тому

      Ameen

    • @jeniphermyingajeniphermyin8029
      @jeniphermyingajeniphermyin8029 2 роки тому

      Haa anamoyo Sana kwakweli huyu dada

    • @jolemerci2155
      @jolemerci2155 Рік тому

      Basi ametamani isio nyota yake masikinii !!! Ya Mungu nasikia huruma sana mungu amupe mumewake kwa kweli binti huyu sasa kwanini wa namuuliza maneno mengi ? Inatosha

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 6 місяців тому

      Amen!!🙏🏿

    • @HANGU315
      @HANGU315 3 місяці тому

      www.youtube.com/@QwenJohn

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 роки тому +67

    Ooh my God, Umejitahidi sana Kukeep your tears, You're the Strong woman, Pole sana Sweetheart😢 #ThisHasEnd

  • @chebby7351
    @chebby7351 3 роки тому +20

    Goodluck you are a man of integrity.The way you have handled the insistence with much respect.

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 роки тому +42

    Pole Dada Mungu atakupa mume you look very humble lady, Goodluck thanks for being open

    • @laurentraphael5470
      @laurentraphael5470 3 роки тому +3

      She's so desperate.

    • @kelvinaudax8287
      @kelvinaudax8287 3 роки тому

      So mwanaume akiwa anamkosea anaenda kwa vyombo vya habari ndo mwanamke unaemtaka wewe😂😂😂

    • @glorymutalemwa296
      @glorymutalemwa296 3 роки тому +1

      Exactly walimu hayujawai kufeli kwanza anajiamin alafu tutambue mapenz hisiaa

    • @evaemmauel8726
      @evaemmauel8726 3 роки тому +1

      Usipende kibubusa penda lakin akilikichwani usiingie mikono yote ndivyo ulivyofanya na ni upendo gani Wa kupenda post pole lakin usilusidie

  • @simphoslyvia2570
    @simphoslyvia2570 3 роки тому +6

    😭😭too bady for me,pole Subira Mapenzi ni hisia Mungu mwema natambua unavyojisikia.Mungu akujalie Mume mwenye hekima .

    • @valentineshembilu1256
      @valentineshembilu1256 3 роки тому

      Wanaume tuko wengi tatizo yeye anataka handsome boy sisi wafupi na masura mabaya hatutaki

  • @ivyglycian4256
    @ivyglycian4256 3 роки тому +7

    Number one fan,,,your wisdom is just on another level Goodluck

  • @leonemomanyi6848
    @leonemomanyi6848 2 роки тому +4

    Am so sorry for this lady maana ata pesa ashatuma za matanga ya mama kwa watapeli hao. Goodluck you are also so humble and protective of her and her dignity.

  • @frankzacharia4526
    @frankzacharia4526 3 роки тому +34

    Dah! Kudadadeki nyie ni Noma, nimewavulia kofia. Respect🙏🙏

    • @jeovangisc7957
      @jeovangisc7957 3 роки тому

      Jamaa wanatisha

    • @wilsonishengoma4788
      @wilsonishengoma4788 3 роки тому

      Kuna mtu amesema amewazalilisha wanyakyusa sasa sijajua amewazalilishaje, embe tuonyeshe namna alivyowazalilisha

  • @happyalbert5089
    @happyalbert5089 3 роки тому +113

    Nimemuelewa sana Good luck!!Hekima kubwa sana hiyo.

  • @judysarasara550
    @judysarasara550 3 роки тому +8

    😂😂😂😂😂😂 Yani nimechoka yangu yote watching from Saudi Arabia navile na penda nyimbo za goodluck kijana muogopa mungu janani mungu akupe nguvu

    • @starcell5555
      @starcell5555 2 роки тому

      Usijali niko apa all the way from Asia

  • @gacheribetty8655
    @gacheribetty8655 3 роки тому +4

    Na feel huyu dada... Good luck is a man of wisdom and respectful, God bless you

  • @theresiandasuya1849
    @theresiandasuya1849 3 роки тому +4

    Hongera kaka Goodluck kwa busara zako, kweli ukiwa na Yesu nilazima uheshimu kila mtu

  • @anneliesejohns1763
    @anneliesejohns1763 3 роки тому +19

    Big up sister utapata mume muombe mungu Sana

  • @salmaissa6217
    @salmaissa6217 3 роки тому +4

    Nmekuelewa goodluck ..love you so much interview nzur sana with much respect

  • @nusuranusura4688
    @nusuranusura4688 3 роки тому +2

    Mtihani wallahi. Imekuwaje mwalimu? Mpaka mitandaonu? Pole.sana ila tuliza sana kichwa ,kuwa mwenye subira

  • @louisejean5846
    @louisejean5846 3 роки тому +35

    Mwacheni dada wawatu msimchoshe bwana! 😥😥ila dada yangu jipe moyo tu mungu atakupa mwengine utakayempenda sana

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +8

    Goodluck Barikiwa Sana, Umeongea Vizuri Sana, Umeeleweka Mkarimu Sana Kijana Wa Watu. Mwalimu Subira Kuwa Makini Acha Kujipendea Ovyo.Pole Jikaze,

  • @desangekahindo6745
    @desangekahindo6745 3 роки тому +3

    Pole sana dada ulikuwa umemchaguwa mume ila ana mtu 🤔endeleya ku amini Mungu. Piya ongora sana Goodluck kwakutumiya hekima Kama Solomon 🙏

  • @thobiethalibutu1465
    @thobiethalibutu1465 3 роки тому +4

    Aseee watangazaji kwa mambo na lugha za ushawishi 😂🤣🤣😄, duuuh kikubwa Godruck kazi unayoo mungu akutie nguvu.😍

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 роки тому +19

    Goodluck barikiwa kaka kwa heshima ulomuonyesha...Ila mmh!jamani Teacher.....

  • @MaryMary-iw3jh
    @MaryMary-iw3jh 3 роки тому +30

    Goodluck una hekima sana Mungu azidi kukuongoza

  • @charlesemidy2615
    @charlesemidy2615 3 роки тому +22

    Mungu akufanyie hitaji la Moyo wako
    Mungu akutendee mema ameen.

  • @glorykarim1570
    @glorykarim1570 3 роки тому +8

    Nimekupenda Sana wewe dada unaupendo wa kweli na mwisho wa interview umeongea kwa hisiaaa sanaaa pole dia haina jinsi kabisaa ila umeumia duu👌♥️♥️

  • @gracendaki4515
    @gracendaki4515 3 роки тому +6

    Goodluck,Asante sana kwa hekima zako

  • @bestmedia_tz
    @bestmedia_tz 3 роки тому +5

    Kweli brother goodluck uko vizuli una imani sana pia hauna ubinafsi unatumia hekima sana mungu akupe maisha maref

  • @damaricygeofrey2444
    @damaricygeofrey2444 3 роки тому +2

    Nataman vijana wote wangekuwa na hekima kama huyu kaka, na pia wanawake tusisite kuweka wazi hisia zetu hasa pale moyo wako unapokusukuma kwenda ila katika mawili moja lazima litokee liw baya au zuri inabidi ukubali na ushukuru mungu kwa kilichotokea, usichoke dada angu kumuomba mungu atakupa hitaji la moyo wako.

  • @visentkiswaga151
    @visentkiswaga151 3 роки тому +10

    Dada I love mwaaaaaaa najua unaupendo wadhat unajiamin jaman mwaaaaaaaaa mwijaku naomba nambayake

  • @fedambudzi957
    @fedambudzi957 3 роки тому +3

    Shilawadu hongereni Sana kwa kazi nzuri mnayoifanya👏👏👏

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 3 роки тому +2

    Good luck hayo huwa yanatokea yalimtokea mbosso na binti mmoja kutoka Kenya Mombasa alimtafuta mbosso Tzd.

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 роки тому +29

    Ubarikiwe sana Godluck hakika umekuwa na hekima sana. Na pia napenda kukupongeza sana Dada kwa kufunguka toka moyoni kutoa hisia zako ila sasa kuna watu watakudharau sana wataona kama umejiaibisha .Macho ya walimu wenzako na wanafunzi wako.

  • @fraviusmanyika7521
    @fraviusmanyika7521 3 роки тому +12

    It's really that she love him so much so hakuna shida kuzielezea hisia zako pale inapopaswa kuwa free haina haja yakujifunga ivyo wakati unapenda.

  • @eliasbanka8292
    @eliasbanka8292 3 роки тому +59

    Mbona watu mnakosa ya kusema.""Hisia za mtu ziheshimiwe huyo dada nimempenda sana kwani nilipi la ajabu kalifanya,,."??

    • @presseg.6362
      @presseg.6362 3 роки тому +1

      Hahahahahahahahaha, jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiiii

    • @semwandambaza2184
      @semwandambaza2184 3 роки тому

      Kweli jamani...

    • @ClaireHappy
      @ClaireHappy 3 роки тому

      Kwel jaman..

    • @anjunurdin2392
      @anjunurdin2392 3 роки тому

      Mh mwanamke mwwnyewe mchafu nguo ile tangu siku ile hajabadili ingine

    • @amoselias5813
      @amoselias5813 3 роки тому +1

      Asee hao hawajapata bahati ya kupenda kama kupenda kutoka moyoni.....aseee nyie acheni tu kama hujui hujui tu...Subira mungu ndie mpaji kama amewapa wengine bas ridhiki yako ipo wakati wako unakuja endelea kuwa humble girl, unafanya kaz nzur pambana....when the right time reaches u'll be surprised Godbless u.
      wenye midomo waache tu waongee ni yao watachoka wata lala na bongo zao zinazo mis mis kama gari iliyoisha mafuta barabarani.

  • @Stayawayfromislam2
    @Stayawayfromislam2 3 роки тому +6

    God bless u goodluck u are a brave man.

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 роки тому +5

    Nimejikuta nairudia Mara 3 kuisikiliza,Mungu atusaidie saaana Ila Sasa ingekuwa private Sana,Sasa mitandaoni humu kuchoreshana tyuuu

  • @victorchuma2114
    @victorchuma2114 3 роки тому +32

    Pole subira,Mungu akupe hitaji la moyo wako

    • @joycebetram3948
      @joycebetram3948 3 роки тому +1

      Mh pole mdada mwenzangu

    • @reymaabintabdillah3727
      @reymaabintabdillah3727 3 роки тому +1

      Hitaji LA moyo wake ndo Goodluck sema ampe anayemfaa

    • @luciasimeo2170
      @luciasimeo2170 3 роки тому +1

      Kwa sasa unaweza kuwadanganya watu, ila iko siku utakapo kutana na aliye kupa neema ya kuishi hapo ndo utajua, waimbaji wengi wanatukanisha jina la Yrsu.

    • @officialrhodakazungu9334
      @officialrhodakazungu9334 3 роки тому

      Jaman pole subira jaman 💔Ila Goodluck anabusara jamaniiiiiii 🙏

    • @hekimakihaliye3455
      @hekimakihaliye3455 3 роки тому

      Unampaje pole asiyejielewa?yeye ni mwalimu aangalie wa size yake mastaa wanatafutana apo hata angekubaliwa angeteseka mpaka kufa kwake si kila muimba injiri anamanishi injiri

  • @andrewkibwata974
    @andrewkibwata974 3 роки тому +12

    Brother #Goodluck Gozbet keep it up songa mbele Mungu yupo nawe .

  • @jadalovedagold3149
    @jadalovedagold3149 3 роки тому +4

    Good luck wewe ni mwema sana na pia mama ako ni mpole

  • @ruthmusyoki8278
    @ruthmusyoki8278 3 роки тому +10

    my sister God will answer your prayers keep praying

    • @esaumwavika6905
      @esaumwavika6905 3 роки тому

      Mtumishi wa mungu kukutwa na haya nikawaida hiningaz yako yakupanda mungu akuepushe na mabaya

  • @bestmedia_tz
    @bestmedia_tz 3 роки тому +4

    Imani ni dawa goodluck big up sana watakuja sana kemea

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +43

    Woyooooooooooo nilitamani kuona muendelezo🤣🤣🤣🤣🤣yani naona aibu mmi jamani

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 роки тому +1

      Umeona jaman wanawake mnafeli wapi?

    • @moyomussa9548
      @moyomussa9548 3 роки тому +1

      🤣

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 роки тому

      @@sifatiiman kwanza katuzalilisha wanawake pili kazallisha waalimu mwalimu gani mpumbavu huyu mpka ajiachiiiiia anaropka Yoote kupenda kupo ila kwanni amejianika hivi

    • @albuscalion354
      @albuscalion354 3 роки тому +1

      Wengine mnashangaa wengne mcheka...kama vile hamjawahi kukutana nayo wakat baadhi yenu imeshatokea mpaka hapa unakumbuka yule uliwai kumtamikia hvo na ukawa nae mwisho wa siku akakucht....au kwa sababu huyu kaingia mtandaon ndo mnajifanya kama vile hamjui kama hamujayaona hayo mamboooo.mwchen mdada wa watu bhn..

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 роки тому

      @@albuscalion354 tumia akili hakuna anaeshangaa ila yye kwanini ajianike na ukizingatia yye ni mwalim hivi wakubwa wake wanmchukuluaje😠😠😠😠😏😏

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 роки тому +2

    Good luck ! Mungu akubaliki sanaaa

  • @juliananasari2526
    @juliananasari2526 3 роки тому +2

    Poleni sana gudluk na dada subira Mungu awape wenza wazuri

  • @margaretcharlton1960
    @margaretcharlton1960 3 роки тому +50

    Goodluck God loves you. There’ a lot of temptation in this world. Keep on praying.

  • @antonmbwile8412
    @antonmbwile8412 3 роки тому +54

    Lakini jamani kwa mtu maarufu kawaida kupakwa matope gonga laiki

    • @mwantumkombo172
      @mwantumkombo172 3 роки тому

      Amejikaza sn uyo dada kulia! Duuh! akifikilia kapoteza sn gharama zake kwa ajili y Mapenzi...pole yake

    • @fridamshana9265
      @fridamshana9265 3 роки тому +1

      Ppopppppo

    • @user-og8fc7mg5i
      @user-og8fc7mg5i 8 місяців тому

      😂😂😂 sema

  • @thyline254
    @thyline254 5 місяців тому

    The self control in this man Goodluck,keep it up bro

  • @marietaamiri889
    @marietaamiri889 10 днів тому +1

    Amen kaka godluck❤❤❤

  • @elizabethvicent9372
    @elizabethvicent9372 3 роки тому +9

    Jaman wadada wengine ila amshukuru mtu alieenda kukutana nae mtumishi wa Mungu mwenye hekima

  • @gracemaiko9066
    @gracemaiko9066 3 роки тому +8

    mungu anipe Nini Mimi et good luck wewe ni mtu moja ambaye sijawahi kuona kwenye hii dunia

  • @paskalinaammi440
    @paskalinaammi440 3 роки тому +6

    I feel it huyo dada ameumia sana😢😢

  • @stellahedson3958
    @stellahedson3958 3 роки тому

    Pole Subira Mungu akujaalie upate mume bora na mwema, nakuombea heri kipenzi.

  • @novatusmwamba4037
    @novatusmwamba4037 3 роки тому +34

    Sawa,umeeleza hisia zako and God will give you a nice husband,

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 3 роки тому +143

    Kama umeikubali hii epsd gonga like

  • @lightnessmgonja180
    @lightnessmgonja180 3 роки тому +2

    Sikuwahi fikiria kama goodluck ana busara hivi daaah mungu akubariki kakaa

  • @williaellymarawiti4937
    @williaellymarawiti4937 3 роки тому

    She is not okay upstairs, God have mercy! Stand firm Goodluck and God help you

  • @happyalbert5089
    @happyalbert5089 3 роки тому +17

    Mungu amsaidie huyu dada ampate tu mume wake.

  • @alicebanele1196
    @alicebanele1196 3 роки тому +8

    Goodluck una hekima sana jamaniii,hongera sanaa,umeonyesha utofauti sana na wengine

  • @christinahjustine4170
    @christinahjustine4170 3 роки тому +2

    Tafadhali wazazi msiwaonyeshe watoto ni aibu kwakweli, hongera dada unajua kupenda, Mungu akubariki m2mishi unahekima sn

  • @kenedykibona3243
    @kenedykibona3243 3 роки тому +8

    Pole Sana Dada endelea kumuomba myngu akupatie mme Bora 🙏🙏

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +22

    Mungu amsadie huyu dada apate mume halafu najiombea mwenyewe kumtongoza mwanaume kwakweli hapana mungu anisadie maana juju ni kudhalilika

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 роки тому +18

    Katika siku uyu jamaaa ka ongea kwa hekima moja wapo ni hii hongera sana mtumishi wa Mungu

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 3 роки тому +12

    Halo! Huyu dogo ana hekima, pia hii chanel nimewakubali.

  • @priscaezekiel4544
    @priscaezekiel4544 3 роки тому +3

    Aaaah godluck anahekima jmn

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 3 роки тому +6

    Poleeee Sana Bro Polee Sana Dadaa Mwalimu Umetaperiwa Dear

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 3 роки тому +22

    Hahahaaaa alifiwa na mamaake nikamtumia efu 40 uwiii rudi lindi Dada kaandae maandalio na saiv wanafunzi wapo likizo wanachezea cm za wazazi wamekuona uwiiiii

  • @berthamringo5706
    @berthamringo5706 3 роки тому

    Pole sana dada Mungu akupe mume wako, kweli moyo ukipenda hauzuiliw na aibu wala haujal hasara

  • @fredrickphilomena1784
    @fredrickphilomena1784 3 роки тому +13

    Teacher kashapoteza pesa nyingi sana mpaka aelewi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @guitarcaleb5817
    @guitarcaleb5817 3 роки тому +15

    issue ya video call haijakaa vzr hapo ni vipi m2 anaweza kuongopa kwa video call...!!

    • @hyungtae318
      @hyungtae318 3 роки тому

      Shangaa na Wewe! Mimi naamini ni kweli walikua wanawasiliana! Sema tu mtumishi ameona jamii imejua kaamua kumtema.

  • @gloryprotas1999
    @gloryprotas1999 3 роки тому +20

    Unamajibu ya hekima sana goodluck

  • @dottonkinga8522
    @dottonkinga8522 3 роки тому

    Good nakupenda sana unahekima namuomba mungu ampe hekima good luck wangu awe Kama wewe

  • @jastonelazaro5944
    @jastonelazaro5944 3 роки тому +5

    Mimi nawazaga sana kuhus hisia za mtu kwa mtu anaempenda me cion cha ajabu lkn Subira never give up one day Goodluck anaweza badilisha mawazo yake

  • @itNeza
    @itNeza 3 роки тому +4

    Kazuri ka Subira 🤣 : Kamenochekesha eti kanataka Kuwa Mchumba, Tena Kazuri sana.😍

  • @patricknanyaro6391
    @patricknanyaro6391 3 роки тому +3

    Dada zetu mnakosa kazi !Mungu akusaidie .

  • @magrethmwalongo2983
    @magrethmwalongo2983 3 роки тому +1

    Jamani pole mwalimu,Goodraki MUNGU aitunze hekima yako

  • @sonicaghendewa9886
    @sonicaghendewa9886 3 роки тому +2

    Nakupenda Sana Goodluck 💕💕💕

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 3 роки тому +13

    Duuh kweli mungu wetu wa mbinguni ulituumbia kupenda Tena kwa dhati kabisa lakini mungu tunakuomba uwe unatupelekea kwenye type zetu Jamani ,, asante ameen

  • @graceedson5133
    @graceedson5133 3 роки тому +5

    Yani sijui ofisini atakaaje na atawaangaliaje walim wenzie na wanakijiji, ndugu jamaa namarafiki daaaaaa aibu ya mwaka mpya 2021.

  • @hellenakinyi2912
    @hellenakinyi2912 3 роки тому

    😭😭Pole Dada naelewa both of you mungu akufanikishe maishani

  • @druthjohn7622
    @druthjohn7622 3 роки тому +10

    wisdom detected....

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 3 роки тому +7

    She real need to shout-out very loud

  • @humphreybilly3258
    @humphreybilly3258 3 роки тому

    Barikiwa sana pacha wangu.kwa hekima yako ulio itumia

  • @nkwabijoseph9974
    @nkwabijoseph9974 3 роки тому

    Dada hongera umeosha hisia zako, mlilie mungu atakupa mume mwema, jitulize tu.

  • @alicebyabusha7450
    @alicebyabusha7450 3 роки тому +30

    Oh my God yaani na hizi aibu zangu Mimi naona aibu Kama vile Mimi ndo subira ,😆😆

  • @niwemugenimediatrice5640
    @niwemugenimediatrice5640 3 роки тому +20

    Bora si mengine !Bravo brother inaonekana una malezi kabisa ,angesema mliwahi kukutana hotelini huko ingekuwa balaaa

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 роки тому

    Barikiwa Goodluck kwa kazi nzuri

  • @machibuladeus9075
    @machibuladeus9075 3 роки тому

    Duh goodluck very kindfully blessup kk

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 3 роки тому +5

    Wewe ndiye uliyemdhalilisha Gwajima!! Ipo siku tuu

  • @Twila_Rebeka
    @Twila_Rebeka 3 роки тому +4

    Finally mwendelezo😂😂😂😂😂

  • @naaabanka8145
    @naaabanka8145 3 роки тому +2

    Mungu wangu ni aibu kiasi gani hii😓 pole sana mwalimu subira

  • @rachelkelembu5651
    @rachelkelembu5651 3 роки тому

    Duuh! Pole sana my brother ucjali MUNGU yup pamoja na ww hayo ni majaribu tu

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 роки тому +3

    Basi hapo kichwani anatamani Good luck OG atafakari amsaidie kukubari tu wawe wamoja

  • @ashamzuzuri5720
    @ashamzuzuri5720 3 роки тому +18

    siamin uyu subira et haongei khaaa..yn kaganda kama kachorwaa😂😂

  • @mwajabuhamis6234
    @mwajabuhamis6234 3 роки тому

    Umejibu vizuri sana, Godluck

  • @tinamakacha1897
    @tinamakacha1897 3 роки тому +2

    Masikini wa Mungu jamani Yesu wangu hakika Mungu upo atakupatia dada mume natabiri

  • @susandaud3544
    @susandaud3544 3 роки тому +5

    Hill remba ndilo limemuchanganya godlucky

  • @andrewjulius6796
    @andrewjulius6796 3 роки тому +13

    Sasa huyo mwalimu anaeulizwa anaona aibu je,,,???, WANAFUNZI anawafundishaje,,au Ndio season za kutupiga MB.

  • @merrybernad8707
    @merrybernad8707 3 роки тому

    Jmn pole Dada Mungu akupe maisha na mume mzuri

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 3 роки тому

    Jamani mwalimu pole sana,Mungu atakupa wa kwako

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 3 роки тому +4

    Na kukubali sana brother

  • @safiauwimana2355
    @safiauwimana2355 3 роки тому +46

    Jamani nilikuwa na subiri mwendelezo 😂😂😂😂😂