DIAMOND : MZEE ABDUL SIO BABA YANGU/ UKWELI WOTE KUHUSU FAMILIA YA NYANGE NINAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2021
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @mamumiyaskitchenvlogs5858
    @mamumiyaskitchenvlogs5858 3 роки тому +26

    Wale maskini unao wasaidia kamwe hawawezi fanana na fadhla za mzee Abdul lkn Mungu ndie muamuzi Haki ya mtu haizami yaolea,Na Mungu ni azeezun hakeem

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Eleweni basi nyie kwamba mond alitengwa na mzee abduly kitambo na ukweli sku zote haufchk

    • @daxmedia9115
      @daxmedia9115 3 роки тому

      @@gosbertmuta5421 Yah nilizani ninaejua hilo ni peke yangu I dont know watu wana akili gani

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 роки тому

      @@gosbertmuta5421 lakini maelezo yake yanaonyesha aliyewatenganisha ni mama ake hivyo mama ake ndo Ana hatia

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 3 роки тому

      Mama umetoa laana kama umepewa mamlaka ya kuhukumu vile au kama wewe ni msafi vile kweli dunia hii ina mambo

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Pole yako maana haujui ulisemalo

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 3 роки тому +34

    Kuishi kwingi kuona mengi nakusikia mengi. Haya Allah atupe mwisho mwema..

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому +2

    Sinior Nazeeb,kiukweli zidi kupenda mzee abdul Kama baba yako tu,cz atabaki baba yako wa kufikia.Bado sawa pia zidi kumpa chochote anachokiitaji hata akidai ubadilishe jina na kutolitumia kwani hii ni safari ya papa hapa duniani tu.Mungu awe nawe kila siku na kwa kila hatua utakayo pitia🔥🔥🔥👏👏👏❤️🌞🙏🇰🇪.

  • @chikotosammy3891
    @chikotosammy3891 3 роки тому +60

    "What goes around comes around"
    Tenda wema uende zako, Hakuna mtu mwenye anaweza lipa Fadhila

  • @millicentnyaboke5415
    @millicentnyaboke5415 3 роки тому +64

    Money 🤔🤔😥😥the mother confused his son totally....God is watching

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 3 роки тому +38

    Njia za waongo zinakuaga fupiii Sana'a,,,wakumbuke lkn

  • @fredytarimo9107
    @fredytarimo9107 3 роки тому +1

    Kwa maelezo yako dogo hata Kama ambaye hajasomea sheria akikusikiliza tu anajua wazi Abdul ni baba yako lakini humpendi sababu yeye hakukupenda utotoni,naomba umshukuru mungu Sana,naamini Kama mzee Abdul angekupenda unavyotaka wewe huenda kwa Sasa usingekua hivyo kimaisha,sababu ungebweteka)amini Ni mungu pekee alieyejua maisha yako na siyo mzee abdul.huenda mzee Abdul alitumiwa na mungu ili akuchukie ili upate hakili ya kupambana.bora ungekaa kimya kabisaaa mdogo wangu Kama zamani kwa maneno hayo ukweli umekosa mvuto kabisa kwa mashabiki zako.tegemea soko lako kushuka kimziki.

  • @nabilbinjuma3280
    @nabilbinjuma3280 3 роки тому +11

    Diamond kumbuka ya kwamba kuna mungu broo una mzalilisha mzee wa watu kisa utajiri wa duniani Sina cha kuongezea ila elewa ya kwamba mungu anakuona 😢😢😢

  • @amoswankara3863
    @amoswankara3863 3 роки тому +71

    hapo mlaumu mamako ambae alikuchanganyia mafaili

    • @jacquesmoninga9245
      @jacquesmoninga9245 3 роки тому +2

      MAMA yake alikuwa Mbwa malaya 🤣

    • @sakinahkenia9426
      @sakinahkenia9426 3 роки тому +4

      Ww muongo mama yako ameshakulisha kumbe ulimjuwa babako muda na ni kwann uliendelea kutumia ubini wa abduli mamayako andaa majibu ya kumjibu allah ww ni mtt wa haramu na ni kwann mamayako alimsingizia mimba mzee Abdul lipa fadhila pumzi zisikudanganye

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 3 роки тому

      @@sakinahkenia9426 si sawa kumuita mtoto wa haramu maana nae kazaliwa tu uharamu wamefanya wazazi wake na wa kumlaumu ni mama yake kwa kutokumwambia ukweli maana mwenywe anasema miez 4 ilopita ndo kaongea na mama ake kuhusu baba ake ila uliposema akupe Fashola ni sawa kabisa hata kama c baba yake lakin bdo katumia jina lake

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 3 роки тому +1

      @@ummuhkhalfan5542 hakuna cha miez 4 wala nn Hawa wanajua wanachokifanya pumbavuuuu Hawa wanatupotezea mda

    • @dasilvajunior3016
      @dasilvajunior3016 3 роки тому

      😁😁😁😁

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 3 роки тому +6

    ila mond unaikumbuka nyimbo yako ya binadamu wabaya kuna kipande uliimba kwamba (upendo popote kwa baba yangu japo alinikataa) iyo ilikua mwaka 2011 sasa cjajua apo aliekukataa ni mzee nyange au mzee abdul....mana nimejaribu kuchambua apa baadhi ya matukio ya nyuma na sasa naona bado kuna kuna vitu havijakaasawa...nakukubali sana ila leo umeniangusha kabisaaa sana

  • @vickydarling7922
    @vickydarling7922 3 роки тому +18

    ata mimi najua babangu lakini namtambua babangu mlezi jamani mpe mzee abdul heshima yake

  • @andreakulisha5144
    @andreakulisha5144 3 роки тому +25

    Platnumz sikulaum kk, wazaz huwa na siri nzito sana but mkumbuke Mzee Abdul ktk mafanikio yako.
    Mzee Abdul usimsahau

    • @abdallahsalum4788
      @abdallahsalum4788 3 роки тому +2

      Unamkumbukaj bab alokuw hakujal nandug wanakunyanyapaa

    • @kibayakibaya7776
      @kibayakibaya7776 3 роки тому +2

      Amini mzee tangu anaanza game anajiita naseeb abdul

    • @awatifsaid3913
      @awatifsaid3913 3 роки тому +1

      Kwel umeogea point sana kaka

    • @allisonmadii7620
      @allisonmadii7620 3 роки тому

      Nataka hivo usemavo mzee.

    • @lucyhussein7126
      @lucyhussein7126 3 роки тому

      Ila inauma kama mtu hajakujal chochote hakakusomesha umehangaaika mwenyewe anakufukuza fukuza ukiwa mdogo unajikomba lakin hakupend aende zake hakuna chalaana naasibu wakiache bahn

  • @revocatusrubaba4416
    @revocatusrubaba4416 3 роки тому +28

    Umejieleza saana uhakika ni DNA

  • @mauthamani
    @mauthamani 3 роки тому +11

    Hapo diamond una kengeuka, czan kama ni vzuri kumuongelea baba mlezi katika vyombo vya habari kama hivi na kila siku kua mada. Una mambo mengi ya kufanya na ukimya ni jibu tosha kabisa(kufanya hivyo ni kama kuchoresha familia) na ukifatilia vizuri hakuna mtu alielewa vzuri kama yai au kupendwa sana na walezi, misukosuko lazima uipate tu. Mpe respect yake

  • @ramadyzo5587
    @ramadyzo5587 3 роки тому +4

    Ewe mama yangu mzazi nakuombea kwamwenyez mungu usinibadilishie baba nkaja nkapa zambi hata kama kuna silizako jinsi ulivo ulivo vumilia kuanzia mimba yangu hadi Leo najielewa huyo ninae mtambua awe baba huyohuyo

  • @sirlugikonteminyanda3702
    @sirlugikonteminyanda3702 3 роки тому +17

    We muongo usingeimba colabo ya kigoma all stars

  • @mtumwajuma4607
    @mtumwajuma4607 3 роки тому +12

    Kuanzia leo sikusupport tn mbwa ww nimehamia konde gang na team kiba

    • @yazidu_tz
      @yazidu_tz 3 роки тому +1

      @Yusuph Iddy sasa kwani kakutukana wewe mbona kama akili yako haina akili

    • @wasalimie11
      @wasalimie11 3 роки тому

      weweni nugu mbwamwitu kondoo mzee wivu ndio itawamaliza mpumbavu sana nyongo nyekundu shm

    • @abrahmanbalozi9064
      @abrahmanbalozi9064 3 роки тому

      @@yazidu_tz kwa nn amtukane diamond akihama yy wasafi habari ya mjini

    • @mtumwajuma4607
      @mtumwajuma4607 3 роки тому +1

      @@wasalimie11 acha kumsupport mtu asielewa anachokiongea DNA ndio sollution yak lkn ckumkana

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 3 роки тому

      @Yusuph Iddy huu mchezo hautaki hasira

  • @debiesalma5311
    @debiesalma5311 3 роки тому +7

    Nani mwingine anasoma tu comments

  • @masala8099
    @masala8099 3 роки тому +18

    Mwandawazimu diamond akili hana hata kidogo choko huyu

    • @ambrosiamlinga8402
      @ambrosiamlinga8402 3 роки тому

      You have so much hate in your heart

    • @elishakalengo6368
      @elishakalengo6368 3 роки тому

      Jamaa anauchukia ukweli hahaha Sasa mwenye familia yake kasema Ivo

    • @fatmadarweesh4754
      @fatmadarweesh4754 3 роки тому +1

      Ukitaka kumjuwa mtu muongo mtizame mdomo wake na macho yake Yani apo Modi kaongopa Kira kitu tena kinaonekana Nandio maana arikataa siku ire arivyo urizwa swari na waandishi arijuwa maswari yake asinge yaweza kujibu ss Reo eti kaja apo Ofsini kwake akijuwa akuna atae mtandika maswari akutane na waandishi wa abari aone kama ajalimbia maswari msenge sana uyo

  • @kelvintajiri8982
    @kelvintajiri8982 3 роки тому +86

    Kwa kweli pesa mbaya😢😢😢😢

    • @prosperkullaya4529
      @prosperkullaya4529 3 роки тому +7

      Masharti sio yeye

    • @kisansamoshi4363
      @kisansamoshi4363 3 роки тому +3

      Nothing to say brother, just do you

    • @rehemamakwendo7743
      @rehemamakwendo7743 3 роки тому

      @@prosperkullaya4529 nilikuwa naiyafuta hiiii

    • @desiremigezo1816
      @desiremigezo1816 3 роки тому +5

      Surprisingly no journalist asked Diamond if he's ready or willing to take a DNA PATERNITY TEST. WASAFI journalists don't forget the basics of journalism. Don't lick your boss ass

    • @kimwerionlinetv5574
      @kimwerionlinetv5574 3 роки тому

      @@prosperkullaya4529 sahihi sana

  • @philipojmwaipopo949
    @philipojmwaipopo949 3 роки тому +7

    Uchokoraa tuu mungu atawalipa ninyi kwa haya mnayomfanyia mzee Abdul

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 3 роки тому +7

    Back sound is too much big....!
    Mtangazaji unaogopa kumuuliza maswali ya muhimu na ya msingi boss wako, ukumbuke hili jambo ni kubwa sana amefanyiwa mzee Abdul sasa interview km hii ni muhimu sana ili mashabiki wa Diamond(nikiwemo mm) na watanzania kwa ujumla tufahamu ili tujiridhishe na huu udhalimu.kwa mf; Je, kwa nn Mzee Nyange (Bubu)hakumlea Diamond? Lkn pili, km mzee Abdul sio baba yake mzazi, Je,ni kwa nn ulipewa ubini wake!? Yn Nasibu Abdul na sio Nasibu Nyange(Bubu). Lkn pia ni kwa nn mama yako alikuficha kuhs mzee Abdul sio baba yako mzazi tangu zamani, sasa hivi ndio anaweka wazi tena public!

  • @irenemoraa8818
    @irenemoraa8818 3 роки тому +6

    Hapo sawa modi kwa kuweka wazi big up diamond nyange

  • @ummali7942
    @ummali7942 3 роки тому +11

    Diamond anaeleza stry kama movie mjinga sanaa huyu

  • @rodgermusa6845
    @rodgermusa6845 3 роки тому +33

    Mwisho wa siku wote tutakufa tu mnachomfanyia mzee abduli siyo vzur

  • @elishakalengo6368
    @elishakalengo6368 3 роки тому +40

    Tuliopitia maisha ya wazaz kutengana ndio tunaojua haya mambo

    • @gabriellamabele9138
      @gabriellamabele9138 3 роки тому +1

      Kabsaaa inauma sana

    • @gladnesskombe1288
      @gladnesskombe1288 3 роки тому +2

      Kiukweli diamond amepitia mengi ndio maaana anajua kuishi na walimwengu

    • @jumannekhalifa7761
      @jumannekhalifa7761 3 роки тому +2

      Msijazane ujinga nyie kwani kupitia maisha ya kutengana ndo usitambue mzazi?

    • @hidayakasambwa3713
      @hidayakasambwa3713 3 роки тому +2

      @@jumannekhalifa7761 Anayejua ukweli huwa ni mama.

    • @jumannekhalifa7761
      @jumannekhalifa7761 3 роки тому +2

      @@hidayakasambwa3713 mama nae akiwa mgawaji inawezakua ikamchanganya kutambua nani mwenye uhakika!

  • @73chengosaro4
    @73chengosaro4 3 роки тому +6

    NYANGE ALIKUWA WAPIMAMAKO AKIENDA KWA MZEE ABDUL ??----Kilichompeleka mamako kwa mzee abdul ni nini ???-------- mpaka mda wote ukisoma hadi kumaliza hadi ukubwani uktumia jinalamzee Abdil -- Nyange alikwa wapi??-------------- wewe namamako mumemdhulu huyu
    mzee sana

    • @felisteredward6319
      @felisteredward6319 3 роки тому

      Ndio maana akaitwa Nasib Abdul

    • @samxx411
      @samxx411 3 роки тому

      Ndo maana huyu diamond na mambo yk km uhuni uhuni tu

  • @allymsuya4596
    @allymsuya4596 3 роки тому +10

    Namshukuru Mungu kwakupata wazazi wanaojielewa tumezaliwa watoto kumi lakini wote wa baba mmoja

    • @phanuelmtango504
      @phanuelmtango504 3 роки тому +2

      Unajuaje kama na ww una baba yako?

    • @omarmasuke2768
      @omarmasuke2768 3 роки тому +1

      @@phanuelmtango504 mtoto wa ndani ya ndoa hawezi kuwa na baba mwingne zaidi ya yule baba yake wa ndoa, hata ikitokea mama akatoka nje ya ndoa na mtoto akazaliwa mfanano wa yule aliechepuka nae, mtoto atabaki kuwa wa yule baba wa ndoa, ndio maana kuna msemo wa kitanda hakizai haramu.

    • @ahmadjuma7420
      @ahmadjuma7420 2 роки тому

      @@omarmasuke2768 umemjibu vzr sna

  • @cutenaa6984
    @cutenaa6984 3 роки тому +17

    Mtume (saw) kasema "Mtoto ni wa mama na Mzinifu lake ni jiwe" kwahio wote sio baba zake....mama yake hajaolewa.

  • @buja6350
    @buja6350 3 роки тому +11

    Bro wew Allah mwenyewe ndiye atakuhukumu

  • @graceamadi2141
    @graceamadi2141 3 роки тому +15

    Nasasa kama huo wakati ulikuwa na ukaribu mzee Abdul mbona usishukuru Mungu kwa ule muda alikulea? Msaidie kimatibabu na Mungu atakubariki zaidi

  • @maryberege3093
    @maryberege3093 2 роки тому +1

    Ila diamond unafanana sana na mzee Abdul shauri yako

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +50

    Diamond na mama ako machoko sana kumbukeni fadhila za mzee abdul

    • @valeriaally4770
      @valeriaally4770 3 роки тому +8

      We ndo unaijua familia yake sana kuliko yeye au? Mtakufa mapema na roho mbaya. Roho mbaya inapunguza siku za kuishi

    • @msendabakarially3499
      @msendabakarially3499 3 роки тому +5

      So sawa kuzungumzia family ya watu kana kwamba unaijua vyema kuwazid...watachosema sklza nyamaza...au we ndo mamake mdogo???!!!...

    • @moodychanday9220
      @moodychanday9220 3 роки тому +4

      Asa ww unazijua hizo fadhila za Mzee Abdul kuma la Mama yako

    • @pascalmsuyajr.7980
      @pascalmsuyajr.7980 3 роки тому

      @@moodychanday9220 duuh

    • @msendabakarially3499
      @msendabakarially3499 3 роки тому

      @@moodychanday9220 unazjua wewe shoga ake...ndo maana mnafirwa nowadays so kila kitu unazungumzia...ya familia yao yaache...

  • @pauljohn3500
    @pauljohn3500 3 роки тому +42

    Wew hakuna k2 niupuuz2

  • @jontezdiamond670
    @jontezdiamond670 2 роки тому +1

    Diamond platnumz still number one wapende wasipende #Inama100 million views.

  • @homchanel6934
    @homchanel6934 3 роки тому +37

    We hujui chochote unaambiwa nakufata utapotea

    • @yunyun799
      @yunyun799 3 роки тому

      😭😭😭

    • @mwakirudena1645
      @mwakirudena1645 3 роки тому +1

      Sis enye tulpitia maisha kama diamond ndo tu naelewa vile anasema,,,,

    • @iansavage95
      @iansavage95 3 роки тому +1

      @@mwakirudena1645 kweli wengine hawa ni kelele tu

    • @benedofilipe7064
      @benedofilipe7064 3 роки тому +1

      Mshenzi sana wewe mpuuzi aujielewi ndondocha

    • @pereraabdi8096
      @pereraabdi8096 3 роки тому

      a

  • @judithkaishe9091
    @judithkaishe9091 3 роки тому +8

    MUNGU Atakuchapa mdogoangu.. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

    • @deborajonathan6182
      @deborajonathan6182 3 роки тому

      Eti kumpa baba ako ela hadi uwambiwe na mama ako kweli jmn 😭 mondi hauko sawa kwa hilo

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 роки тому

      @@deborajonathan6182 half anajion mjanj kuongea hivy public

  • @mudybandie2166
    @mudybandie2166 3 роки тому +3

    Mtoto na mama lenu 1 apo umezingu broo usingeongelea Hilo.......😚😚😚

  • @azizaakaposa6167
    @azizaakaposa6167 3 роки тому

    tatizoo wanaumee naoo wanajisaau kwenye malezii ya watoto waoo ikitokeaa mmeachanaa basii mama unakuwaa single mama unaleaa mtoto mwenyewee ikitokeaa umepata baba wa andia anamlea mtoto wakoo vizurii na mtoto anapataa mapenzii yotee ya baba mtoto anajua yule ndo baba yakee mbele ukoo mungu akimjalia kapataa heraa maarufuu tajirii mungu kamubarikii baba ake mzazi ndo anakurupukaa ukoo anapotokaa ndo anasemaa huyuu mwananguu mudaa wotee ulikuwaa wapii kwa sababu tuu unatumiaa jina lakee

  • @ally1702
    @ally1702 3 роки тому

    Wakati mamaako hakuelewa na yoyote katika hao Hakuna babaako ata mmoja apo ata kinasab huwezi chukua upande wao kikwetu zanazibar ungeitwa nasibu Abdallah ata ao kina tifa na wenziwe sio wanao wakati hukuoa huwezi kuozesha wala kurithiana nao ingekuwa na mkristo sijui sheria zao zinasemaje lakini kiislamu ipo ivo tuacheni zinaa Jamani na hii ndo miongoni mwa athar zake Allah atujaalie mwisho mwema

  • @danielsamson1013
    @danielsamson1013 3 роки тому +22

    Sasa jina la naseeb abdul unalitumiaga la nn sasa 😥😥

    • @bwanabrainex433
      @bwanabrainex433 3 роки тому

      Asant✌️✌️✌️✌️

    • @prosperkullaya4529
      @prosperkullaya4529 3 роки тому

      Lol!

    • @danielsamson1013
      @danielsamson1013 3 роки тому +2

      @@prosperkullaya4529 toka zaman anajiita naseeb abdul leo anatuambia ujinga ujinga apa

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 3 роки тому

      Si ma kenge tu hawa. Kila siku wana mapya

    • @williammkenda3062
      @williammkenda3062 3 роки тому

      Eeeee jina walitumia la nini wakati ulijua sio Baba???? Acha kudanganya watu wazima bwana, ulilofanya sio sawa

  • @kzonetz9048
    @kzonetz9048 3 роки тому +23

    Ili nililijua toka kitambo diamond lazima afate akili ya mama yake ndo maana imekuwa shida ata kuishi na wanawake

  • @upendourio2847
    @upendourio2847 3 роки тому +1

    Mueshim tu kama alikulea mpaka miaka 11 alikusaidia sana maisha yaende mama alikosa wakulea mimba akaamua kumpakazia hivyo huna budi kumlaum baba wakambo hawezi kuana mapenz yakina ila alikulea ata tumboni kwa mama yako sisi wanawake huwa tunasahau mazuri tunakumbuka maovu,, sasa uko unakojipeleka mbona nao hawakukule pili waume wa mama yako waeshim wote ni baba zako wamekulea kwa namna fulani

  • @samuelmwilongo7299
    @samuelmwilongo7299 3 роки тому +25

    Mimi kuanzia Leo najitoa kukushabikia siwezi kushabikia ujinga Tafadhali niungeni mkono jamani huyu dogo anaongea ujinga mtupu siwezi kushabikia ujinga

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +18

    Sasa kama alikuwa hai kakupa mchele na miambili kwann hukumwambia mxee Abdul mapema ndomana mlikuwa mkimnyanyasaa ilakumbuka aliejuu mgoje chini

  • @naseershiner6738
    @naseershiner6738 3 роки тому +5

    Mnajua ninyi huwa mnaa kaa mna hukumu ovyoo tu wakati hata Abdul mwenyewe ukimsikiliza tu tayali anawenge na ndo alie anzia hata kumkana hata kwa mitandaoo kuwa Mimi diamond simhesabu Kama mwanagu harafu Leo mnamuona diamond mpumbafu na huku Abdul hakumuweka karibu diamond tangu yupo chali acheni Mimi sipendagi upendeleo mwenyewe haya yapo tunaishi nayo

    • @benji3196
      @benji3196 3 роки тому +4

      Sasa huyo Nyange aliye talekeza mimba ndiye anayeonekana ali tenda wema sana?Aliye leya mimba pamoja na mtoto akaoneka hafai kupewa eshima yake kama baba.

    • @halimasalum9701
      @halimasalum9701 3 роки тому +2

      Kweli kaka tusiangalie upande mmoja

    • @amourkhamis8259
      @amourkhamis8259 3 роки тому +1

      Ni kweli unayoyasema na hapa tumepewa funzo tujifunze.usibague mtoto.wanaume tabia hizo mnazo Sana

    • @naseershiner6738
      @naseershiner6738 3 роки тому +1

      Unafikili alicho kisema diamond labda kakosea hapana ni mtazamo tu Mara nyingi ukikuta mtu aliye na uwezo frani Kama kuna mtoto yuko nae harafu mimba labda haihesabu Kama yake ni vigumu saana kumjali mtoto sasa Mara nyingi watoto wa hivyo huwa Wanakuja kufanikiwa balaaa inabaki majuto ni mjukuu hamjui maisha akiyokuwa anayaishi Nasibu pengine ungekuwa wewe wala usingekoloma ila ni Siri za family piah mama zetu wanapitia magumu Sana kutukuza sisi naongea hivi Mimi piah melelewa na mama Yangu baba was left longtime from two thousand up now I live with mom even though mom Geted marriage and I have a daddy we are not litle friend like the Lily Dady so make sure you show love for Evey body you live with you don't know the next seasons thank for reading

  • @irenekerubo9791
    @irenekerubo9791 3 роки тому

    Baba mzazi na baba mlezi wote waeshimiwe

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 роки тому +6

    Mwachieni tuu laana ya mzee wetu ishamvaa huyu

    • @chikundayaula9684
      @chikundayaula9684 3 роки тому

      We unasema km sio mwnamke?hujui mama pekee ndo anajua mtoto wa nan?

  • @jerushanyawera4964
    @jerushanyawera4964 3 роки тому +11

    🤐Aki sina lakusema,ila Sooner very soon Sir God will answer🇰🇪🇰🇪

    • @waenikasanzu2546
      @waenikasanzu2546 3 роки тому +1

      Asikize wimbo wa Richie spice "the world is a circle"

  • @priscaphedrick2396
    @priscaphedrick2396 2 роки тому +4

    Diamond ni mtoto wa mzee Abdul mama daimond amefanya mambo ambayo wanawake wengi hufanya japo si woote tabia ya kuwanyima wanaume haki za kuwa karibu na watoto hasa pale wanapo kosana hakutaka kumpa nyange wa la Abdul sasa ameona nyange kafa ndio anampa moto nakama mzee nyange angekuwrpo mtoto angebakia wa mzee Abdul nakama mzee Abdul ndiye angekuwa marehemu natolea mfano halafu mzee nyange angesema daimond ni mwanae angeambiwa moto ni wamzee wa Abduli halafu na wewe diamond kwani unasaidia wangapi? msaidie huyo mzee kwafadhila zile zile alizo kufadhili kama hutaki kumuita baba basi kumbuka fadhila zake mlipo toka na huyo mzee nyie mnajua

  • @bogyboypiechez6240
    @bogyboypiechez6240 3 роки тому +1

    Tuned in Nairobi kenya

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 3 роки тому +2

    Sikia Mondi mdogo wng km ww kweli Muislamu hauna baba hapo huwarithi wala hao unasema ni wanao hauna mtt hawakirithi jua hilo kuna kufa tu

  • @kivuyohalalmeatsupply9215
    @kivuyohalalmeatsupply9215 3 роки тому +22

    Wewe hela za dawa alafu uzingua

    • @philimonmgina997
      @philimonmgina997 3 роки тому +2

      Na wewe katafute za dawa ,,, roho ya kimaskini hiyo

  • @isikesamike
    @isikesamike 3 роки тому +40

    If I would be Diamond, I would keep my mouth shut about this scenario. Why you waited to say this until you're well-of?
    Pesa mwanaharamu kabisa! 😭

  • @nurumohammed1133
    @nurumohammed1133 3 роки тому

    Poooleee weee subhana llah mungu tupe mwisho mwema na watoto wetu

  • @yl_sports_af1994
    @yl_sports_af1994 3 роки тому

    Diamond peponi moja kwa moja

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 3 роки тому +21

    ""2010 sijui,,,, 2000 "" hapa ninahis kuna jambo hapa.🤣🤣🤣🤣

  • @Wennsleymusic
    @Wennsleymusic 3 роки тому +3

    Rekado anasema mlikuwa mnaishi from 4years wewe hapa unasema miaka 10... Confused element

  • @justingeorge8276
    @justingeorge8276 3 роки тому +4

    Hahahaaaaaaaaaa mchele umemnyima mtoto mzee abdul
    Hiy nd nguv ya ubwabwa mm diamond bhn

  • @ZanLeisureTours
    @ZanLeisureTours 3 роки тому

    Hapa ndio tulipofikia waislamu
    Mtu anakaa na kufurahia eti yeye ni mtoto wa zinaa
    Duh Allah atunusuru
    Me Naomba tufute mahali tumjuwe na kumtaka msamaha mwenyezi mungu na sio kujisifia kama wewe ni mtoto wa zinaa na kujisifia kwa kuzaa watoto wa zinaa
    Allah atuelimishe na atuongeze kwenye njia iliyonyooka na atusamehe makosa yetu😭😭😭

  • @hajmohammed7399
    @hajmohammed7399 3 роки тому +15

    Diamond ww muhongo kwanza wala aujui kujielezea ktk hilo maana unajitafunatafuna2

  • @Aamours
    @Aamours 3 роки тому +37

    It's embarrassing taking about family affairs in public. #ThinkBeforeYouAct

    • @rashidsaid2741
      @rashidsaid2741 3 роки тому +1

      huyu kaka hana busara hata kidogo, lakini kuskiza hii interview nimemuelewa sana tabia zake ni sababu ya kuwa na mama asie na nidhamu na kukosa role model wa kiume. kama yeye ndo amezaa watoto hivyo hivyo.

    • @telespholybrasio8396
      @telespholybrasio8396 3 роки тому

      Diamond was rich but think about yuo father please learn about relation and function in you daily life

    • @herrysedward3591
      @herrysedward3591 3 роки тому

      You're right abundantly

  • @ashamuhammed3685
    @ashamuhammed3685 3 роки тому +1

    Mond ingekuwa mzee abduli ana mapesa ingekuwa baba yako

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 3 роки тому

    Shortly, Diamond, haukutakiwa kuongelea Family Affairs ktk social media, ungekuwa quit kwa hili. Kiislam hao wote hakuna baba yako, unabaki kwa mama yako. Kibinadam msaidie mzee Abdul kwa vile aliipokea mimba na alikulea kwa maelezo ya mama yako. Ulikuwa mtoto inawezekana kuna mengi haukuyajua. Muombe radhi mzee Abdul maisha yaendelee.

  • @nabilbinjuma3280
    @nabilbinjuma3280 3 роки тому +11

    Diamond iyo kauli unayo iongea ni ya uongo kama ulikuwa unajuwa mzee Abdul sio baba ako kwanini kila kitu umesajili kwa jina lake na kwanini usimueke mzee nyange kama baba ako kuwa na akili kaka na kaa ukijuwa nini unaenda kumjibu Allah pesa isikupe kiburi broo kaa na kufikiria kaka mm ni mdogo wako kiumri ila unavyo fanya sivo broo

    • @ototek8037
      @ototek8037 3 роки тому

      Mtoto akiambiwa na mama yake Kuwa wewe sio babaake hilo ni tatizo .. Mchawi ni mama yake

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 3 роки тому

      @@ototek8037 Huyo diamond si mtoto tena, akili zake na za mamake zinalingana. Hii si familia ya kuikumbatia.

  • @livvn6697
    @livvn6697 3 роки тому +4

    You can make a difference with your kid's and let them know who there father was growing up

  • @salehjuma5242
    @salehjuma5242 2 роки тому

    Pua ya mzee abdul iyo imeinama wamama mnatia sumu watoto mpaka noma

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 3 роки тому +1

    Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake, Sio kila jambo lizungumzwe katika mitandao, Mama Nasibu na Mwanao Kiukweli Mmechemka, mkae mliangalie/mlifikirie Hilo, Na Mwenyezi Mungu Atawabariki, Aamina.

  • @davidsonstevenson2653
    @davidsonstevenson2653 3 роки тому +4

    hata mzee abdul mwenyew anajua km mondi sio mwanae

  • @kesslycompanyltd
    @kesslycompanyltd 3 роки тому +3

    Nilikuwa na kuona kama mtu shezi wee 🙌 pumbavu kweli

    • @rahmaally5419
      @rahmaally5419 3 роки тому

      Mamaake alikuwa mdangaji Mara kila mwanaume anajitokeza yule wamwanza wanafanana Sana na mond

    • @shambiraghasi2777
      @shambiraghasi2777 3 роки тому

      Pumbavu wewe mwenyewe.yako yanakushinda ya d utayaweza kweli

  • @ibrahimdavid1088
    @ibrahimdavid1088 3 роки тому

    Nilikuona upo kimya nikajuwa umekuwa na busara but umeongea umeingia kweny raana kubwa kesho utafanana na mwingine mama atasema ndugu zako utakubali God atakuelekeza

  • @joycelulu8743
    @joycelulu8743 2 роки тому

    Pole sana mond kwa yote yaliyo kupata juu ya baba yako mzee Abdul kwa kukufukuza

  • @btsanime6138
    @btsanime6138 3 роки тому +5

    Kumbe pesa iko hivo mpaka mtoto anamkana aliemulea tangu utotoni ?Diamond kwa kitendo alichokifanya mamaako kwa mzee Abdul Mungu atamuadhibu as soon as possible.

  • @ndikumanasebastian8531
    @ndikumanasebastian8531 3 роки тому +4

    Unachekesha sana kabisa na huyo umaarufu yoteeee kumbe hakili huna kabisa ,dishangai hata nyimbo zako xinaachilia moja kwa moja kwamba huna maadhili na hakili bcz hakili yako kashikiliwa na mama yako,Narendra kufuta nyimbo ,zako zote zenye ziko ndani ya simu yangu.

  • @user-jf7dn4st2s
    @user-jf7dn4st2s 8 місяців тому

    Ukweli nikwamba haounaojua ninduguzako kumbuka wamekupokea kwasababu unakipato, ingekuwa huna kipa wasinge kupokea mana wangeisi utaisabiwa kwenyemali za mzee wao, ungeonekana kama takataka, pole sana rud kwamzeeabduli ndio mshauri wako uyoo

  • @Salumbishiartist
    @Salumbishiartist 3 роки тому +2

    Mia mbili ya karume imeanza kutumika 2002 sasa iyo mbili ya karume mwaka 2000 ilipatakan wap duuuh kweli uongo wenu mnashindwa kuupangilia

  • @mwasilemboanthony3771
    @mwasilemboanthony3771 3 роки тому +18

    By the way Mungu ndiye anajua. Halafu it's not a matter of speaks high like, easy easy

    • @hassanandnabil7243
      @hassanandnabil7243 3 роки тому

      You kid shut up and talk something else. Stop create myth story. We are not fool or stupid,, you should feel shame to yourself.. Do you real think, this is previledge of you try to humiliated some one who has been there from the day of your mum pregnancy of you... You are disgrace.

  • @miumanchannel197
    @miumanchannel197 3 роки тому +7

    Ama kweli dunia ina mambo,hivi skuizi mtoto ndiye anae chagua babake kweli pesa.....

  • @elibarikinkya7929
    @elibarikinkya7929 3 роки тому +12

    DIAMOND UNAKWAMA WAPI?? INAMAANA MAMA YAKO ASINGESEMA WW HAYA YOTE UNGENYAMAZIA?? NA KAMA ULIKUWA UNAYAJUA KWANINI HUKUSEMA KABLA YA MAMA YAKO??

  • @wreshamodido2417
    @wreshamodido2417 2 роки тому +4

    This is the best thing I love about SIMBA💪❤️

  • @hamissaid788
    @hamissaid788 3 роки тому +9

    ua nakukubali xna lkn apo nimekuona bonge la msenge kbx bola ungekaa kmya

    • @fatmandege9768
      @fatmandege9768 3 роки тому

      Alikiba ndio star ⭐ wa bongo

    • @athumanialy9085
      @athumanialy9085 3 роки тому +1

      Hahahaha 😂😂😂😂😂 wejamaa. Umenivunja mbavu harafu kweli buana. Niheri angekaa kimyatu maana Wanajizalilisha Yeye na Mamayake akilizinafanana

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 3 роки тому

      🤣🤣🤣

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 роки тому +11

    Duh yangu macho tuu 🙏🙏🇰🇪

  • @swalehmwamazola7100
    @swalehmwamazola7100 3 роки тому

    Mjuae baba mtoto mama sisi wa baba twalea . Kesho kwa mungu c mbali

  • @papynakashinga9970
    @papynakashinga9970 3 роки тому +1

    Uyo diamond umbwa kweli

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому +25

    Mondi usisahau kuwa "anayelala na mamaako, huyo ni babaako"

    • @nyiringoma2585
      @nyiringoma2585 3 роки тому

      Acheni kuongeya ushateni mnachezeya maisha ya Abdul Sababu yapesa ambayo mutaicha kesho

    • @dennismwakilembe5800
      @dennismwakilembe5800 3 роки тому

      Nimecheka sana😄😄

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 роки тому

      @@dennismwakilembe5800 kaka huo ndio ukweli!!

  • @sibonilenjela3524
    @sibonilenjela3524 3 роки тому +15

    Better you supppse to stay quite and not speaking about this issue bro you make a bigest mistake of your life..FAME VANISHES QUICK ask Hellen de generez..Diamond reputation is the most important in life..Bro Tanzanian and the rest of the world will stone you..you fame is gona bcz of this ..
    Avoid the family cases in your family no one has a stable mariage...check your life people start hating you..your family never supose to be having drama remember you are a public figure..discipline your mother to not speak on media..your reputation is going in water..do you know how many people will hate your music bcz of this your family drama..get organise be a man take responsability..even if he was not your father dont speak about him as such ...billionaires goes broke if they have no good reputation trust me..apologize to the public will gain your respect back.. plz watch Maurry show.on youtube you will understand bra..but trust me you messed up ..you need to clean up.. check your kids all over that not being a star that is family case for not having a stable mariage..

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 3 роки тому

      Fact bro... He did a big mistake to publicize family issue

    • @sibonilenjela3524
      @sibonilenjela3524 3 роки тому +1

      You need to apologize to your father Mr Abdul my guy that is your really father you can't talk like that in midia about to said y someone tell you go to the market you'll find your father day no no diamond know you can't find your father in market but be careful maybe this issue is going to make you to fall for

    • @ldyiahkemuntosamwel1920
      @ldyiahkemuntosamwel1920 3 роки тому

      Yaani i wish ningekua yy baba mwenye nimegrow naye atakama kulikua na wakunizaa kando mm hayo siwesani amefanya vibaya Sana Ata nilikua na penda nyimbo zake Sana bt I hate him so much wherever he is Ana stahili kuomba musamaha kwa baba abdull na aja mungu amuonekanie baba akue na nafuu, Sasa kamuona maskini amtaki mbinguni ajakataliwa

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 роки тому

    Lakin ungemsaidia Tu kiukweli mumemdhalikisha mze wawatu by mkumbuke malipo nihapa dunia were mtoto wskslam unasahau fadhila pesa zina mwisho Una nini chakumlipa mze hata kama alitoa shilingi moja mambo yake na mamako usingeyaingilia were ungemsaidia ukijua Tu nimzazi kama vile mamako bt Mimi sina pesa nitasema nitamsadia mze bt dua zangu Inshallah Nina Imanmumemfungulia baraka Yani atabarkiwa mpka mshangae Inshallah Inshallah

  • @nuurinkluge3263
    @nuurinkluge3263 3 роки тому +1

    No no diamond he speak the true things 💖💖💖🙏

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 3 роки тому +24

    Unakaa mtandao I unaongeya matope mjinga hauna maneno YA kuongeya wewe liki

    • @prosperkullaya4529
      @prosperkullaya4529 3 роки тому +2

      Sikutegemea anacho ongea anatumia kilevi?

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 роки тому

      Anafata nyayo za mama yake maan anamsikiliza mama kila kitu hajui kuw ukitak pepo wanyenyekee wazazi waote 2 iwapo wapo hai na kam hayupo hai mojawapo bc hata yule aliepo mjali sasa ww wapo wote lkn unamjali 1 je hapo ulivyokuw mdg kwan ww si ulimuon mzee Abdully ulivyokuw mdg kwann unaambiw huyu si baba yako ukubali?

  • @zalkiabendera7238
    @zalkiabendera7238 3 роки тому +7

    Maelezo tako hayako sawa unarudiarudia maneno jmn ila hebu kuwa nakili yakiutuzima

    • @yusudtarick680
      @yusudtarick680 3 роки тому

      Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Bora alikiba

  • @zinazotrend
    @zinazotrend 3 роки тому +2

    Nikiona diamond anaongea namuona mzee abdul

  • @rukiamwinyi2415
    @rukiamwinyi2415 3 роки тому

    Sawa dunia mduwara..my friend..kumbuka uko na watoto....utalipwa hapa tu..

  • @worldwide_254
    @worldwide_254 3 роки тому +8

    Dah kama pesa itanifanya kua zuzu namna hii acha nikae na umaskini wangu

  • @saidibrahim5931
    @saidibrahim5931 3 роки тому +3

    Hakuna mtu anafanana na diamond kuliko saleh abdul, wacha ricardo mombo, uyo kijana saleh abdul ni sura ya diamond 100% ukweli usemwe

  • @nassorhilali120
    @nassorhilali120 3 роки тому +1

    Duh mungu anakuona

  • @zulfahamiduni5312
    @zulfahamiduni5312 3 роки тому

    Sijui ni kiki sijui ni madrama au mauzauza ipo kazi hapo haya bhana Diamond nyange

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 3 роки тому +26

    Stay to know whats goes around comes around, don't forget mzee Abdul

    • @Beingme2024
      @Beingme2024 3 роки тому +3

      Ana that what comes to mzee Abdul when he has money he dint care the little did he know diamond will be successful

    • @yassinm69
      @yassinm69 3 роки тому +2

      @@Beingme2024 na huyo babake mbona kamkimbia

    • @gobar5118
      @gobar5118 3 роки тому

      @@Beingme2024 1​89​Madam

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 3 роки тому

      @@Beingme2024 even if why he decided to use abdul's if so...

    • @rehemakitara9978
      @rehemakitara9978 6 місяців тому

      @@depaolo3461Alishaanza kutumia hilo jina akiwa mdogo yy ana kosa gani!!!! Acheni chuki zenu mbn mzee alikuwa na uwezo na akamtelekeza!!! Wacha avune alichopanda hyo Mzee Abdul 😢

  • @frankwarembosaloon5316
    @frankwarembosaloon5316 3 роки тому +13

    lakini ukaeukijuwa utakuja kujuta ibilisi mpimtu mpakamwisho

    • @hadijasalum6373
      @hadijasalum6373 3 роки тому +1

      @@kibindankoi9824 la kustaajabisha zaidi kwa nn wameleta mitandaoni?lingebaki kifamily wa tz wasingelijua...

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 3 роки тому

    Chibu Dangote..unafanana Sana na mzee Abdul

  • @sumaidgasto4721
    @sumaidgasto4721 2 роки тому

    Mzazi huku na huku ndio unamjua daaaah dogo unazingua sana