MAMBO YOTE HADHARANI MAMA DANGOTE AVUNJA UKIMYA HUYU NDIO BABA HALISI WA DIAMOND PLATNUMZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2021
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1,9 тис.

  • @ayoubvegula1763
    @ayoubvegula1763 3 роки тому +55

    Jaman jaman pesa hiz ni mapito,laana zitawaandama nawaoneeni huruma Sana mzee Abdul wew tulia Vita si yako acha mungu akupiganie 😭😭

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 роки тому

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO.
      ua-cam.com/video/sr1oqlNs5Io/v-deo.html

    • @siznic9115
      @siznic9115 3 роки тому +1

      Kabisa mola atampigania haswaa Yani mitihan tu yakawaida duniani mapito

    • @jurassicparkmovies8805
      @jurassicparkmovies8805 3 роки тому

      *Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini*
      ua-cam.com/video/LMMcOLVk4rs/v-deo.html
      Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel

    • @gregorysangah2798
      @gregorysangah2798 2 роки тому

      Ooooo

  • @allymagasagospelsingerfrom6496
    @allymagasagospelsingerfrom6496 3 роки тому +49

    Nikwamba ukiangalia mwanzo wa interview ilivyoanza niwazi ilipaniwa A-z watangazaj wameambia kila kitu...
    Amin Mungu FUNDI malipo ni hapa hapa.mzee abdull atalipiwa

    • @Legends_Interviews
      @Legends_Interviews 3 роки тому

      Amin ..so sad

    • @salmaomar6178
      @salmaomar6178 3 роки тому

      Kweli watangazaji walikuwa washajua

    • @alicedavido1330
      @alicedavido1330 3 роки тому

      Hii inajulilana muda mrefu labda ww nimgeni wamitandao

    • @khalifawapili1799
      @khalifawapili1799 3 роки тому

      Ni kweli kabisa jamaa kamezeshwa maneno

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 роки тому

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO.
      ua-cam.com/video/sr1oqlNs5Io/v-deo.html

  • @lolanimals7206
    @lolanimals7206 3 роки тому +144

    *NAKUKUMBUSHA* : _Hii Yote Ni Kwasababu Leo Hii Diamond Ni Tajiri. Angekua Masikini Yote Haya Yasinge Tokea!_

    • @sniperbogo6210
      @sniperbogo6210 3 роки тому +7

      Hata mzee mwenyewe ameanza kujitapa mwanangu baada ya mafanikio ya diamond wakat hajafanikiw alikua hana time nae ko wala lisikuumize hilo

    • @sharshkan6034
      @sharshkan6034 3 роки тому +1

      Cul

    • @jackilinram1083
      @jackilinram1083 3 роки тому +3

      Fact

    • @chamakhsaeedy20
      @chamakhsaeedy20 3 роки тому +2

      Yah n kwl

    • @omakywazamani6696
      @omakywazamani6696 3 роки тому +6

      @@sniperbogo6210 Sana lakini chaajabu huyu Ricardo mwenyewe anashuhudia zina ambao hajakuwepo kuwa huyu Diamond ni kweli kabisa kwamba mdogo wake na hayo yote kwa sababu kapata hela ila hawa watu nijaa tu tumeambiwa ukizini ni dhambi kubwa usikubaliane nalo kama kweli ulizi leo huyu Ricardo mwenyewe anashuhudia zina ambao hajakuwepo

  • @evetemmy8966
    @evetemmy8966 3 роки тому +3

    Waaaaa ile patience niko nayo cant allow me to watch till end mnaboo sana kelele mingi and its clear mlipanga God is watching

  • @zakayojeremiha9661
    @zakayojeremiha9661 3 роки тому +74

    Mama Asitufanye cc watoto kwann Diamond Aitwe Nasibu Abdul.Pumbavuuu.

    • @kenyandamu
      @kenyandamu 3 роки тому +4

      Inaonekana Mama Dangote ako na shida na Mzee Abdul ... Machozi mafuriko 😭😭😭

    • @msafirisalum8436
      @msafirisalum8436 3 роки тому +2

      Vita ya kuangamiza kizazi cha yule mzee abdul

    • @lemsimkwama4114
      @lemsimkwama4114 3 роки тому +1

      Mzee anashida na hela za diamond

    • @bamuucmba92
      @bamuucmba92 3 роки тому

      C bb wa kumlea Mana alichkua akiwa na mmba ety

    • @fuadabubakar5126
      @fuadabubakar5126 3 роки тому +2

      Kumanisha alimuendea mumuwe kinyume akiwa mke wake halali, Mama ajiaibisha hadharani

  • @makamekhamis3759
    @makamekhamis3759 3 роки тому +38

    Mzee akinuna hapana linalotendeka amesha ongeya mzee abduli daimodi siyo mwanawe ila mzee abduli hajafurahi mungu atamlipiya mzee abduli

  • @sunrishmussan6958
    @sunrishmussan6958 3 роки тому

    WALLAH kuanzia leo hii mimi kila siku ntakesha msikitini na kansani kuomba mungu kupitia kitendo hiki mungu awalipize ubaya mama Mond na mond mwenyewe waione dunia chungu, mali zao zote ziyeyuke, mikosi izidi na huyo mzee ainuliwe juu juu zaidi umaharufu wao ote opotee Tz na ulmwenguni kote. Amen

  • @egidiusmutabuzi4176
    @egidiusmutabuzi4176 3 роки тому +3

    Watu wanalitaja tuu jina la mungu Kama anavomuita said, John au juma....Tena wamevalia na mavazi ya ibada kabisa kwenye maswala ya kipuuzi dah! Inasikitisha Sana.....all in all baba Ni baba awe mzazi au mlezi....in short wasafi kwa Ujumla hamjafanya kitu kizuri, hakina heshima, hekima, Wala maadali kwa jamii inayowazunguka ....je mnafundisha nn watoto wa kike au sisi wanaume.....kwa mwendo huu idadi ya single mothers na watoto kukosa malezi itazidi kuwa juu.....haipendezi maswala ya kifamilia kuyazungumza Kama vile unatangaza show ya wasafi festival ivo vitu Ni very sensitive na empact yake Ni kuwa kwa jamii...I fill so bad.😔😔

  • @IMMAAUG
    @IMMAAUG 3 роки тому +122

    *Wangapi mnataka tumsapoti mzee kwa kuchangia kwenye biashara zake? hii platform inaweza mpa pesa nzuri akawa na maisha mazuri, let's support mzee Abdul watanzania wenzangu* FOLLOW HİS İNSTAGRAM PAGE AND SUPPORT HİS BUSİNESS

    • @archienguzza6585
      @archienguzza6585 3 роки тому +6

      Tufanye ivyo kk tumsaidie yule mzee

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 роки тому +2

      Nipo tayari

    • @akamwizafrankie6096
      @akamwizafrankie6096 3 роки тому +3

      Na mimi Nipo tayari tumcangiye mzee abdul 🤗Wallahi Iyi familia ya Diamond Mwenyezimungu anawaona

    • @beatussimon4873
      @beatussimon4873 3 роки тому +4

      Wapo wengi anaowazidi uwezo wote utawachangia? Au Abdul kawaje sasa

    • @kenyandamu
      @kenyandamu 3 роки тому +4

      Tupo hapa 👍🏼👍🏼👍🏼

  • @fatunam7721
    @fatunam7721 3 роки тому +6

    Na Diamond is about time to be a really MAN! Wewe ni kioo cha jamii mpaka huku nchi za nje. Lakini all this bs hazikusaidii!! Help this man! Don't take judgement & punish Mzee Abdul Naseeb, only God can punish him. We all travelling in this world! Mark my word, the tears of Mzee Abdul will go down with you & your mom. PLEASE SAVE YOUR FAMILY BY DOING RIGHT HATA KAMA SIO BABA YAKO.🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @kessly291
      @kessly291 3 роки тому

      Umezugumza ukweli leo upo juu1kesho upo chini ila ivi sasa ana pesa haoni.karibu sana Zanzibar

  • @fadhilarajabu903
    @fadhilarajabu903 3 роки тому +5

    Mmh mtihani ninmshindwa kuelewa sasa huyo mzee Abdul kamleaje diamond wakati hapo nyuma alikua anasema hajawai kumlea mmh dunia inaenda mwishoni kweli🙌

  • @Marsemo
    @Marsemo 3 роки тому +3

    Nawalaumu wasafi media team na hosts Hawa kwa kuuliza hili swali...

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump254 3 роки тому +43

    Diamond anafanana na mzee Abdul, hafanani na huyu jamaa .. Cinema tuu

    • @esterchomete6802
      @esterchomete6802 3 роки тому

      Kabisaa

    • @yasrsele4445
      @yasrsele4445 3 роки тому +2

      Alf kwann wasema alikataa mimba alf mara ni baba mlenz .hyo mama dangote hajielew

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 роки тому +1

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO.
      ua-cam.com/video/sr1oqlNs5Io/v-deo.html

    • @skyskaters2299
      @skyskaters2299 3 роки тому +1

      Hata sauti yao ni same

    • @ramadhanirama6636
      @ramadhanirama6636 3 роки тому +1

      Sawa mamaake dai

  • @swedish_james
    @swedish_james 3 роки тому +40

    Konde Boy Jeshi tengeneza paybill namba sote kama Wana Africa mashariki tumchangie Mzee Abdul 🇰🇪

  • @WesOnline255
    @WesOnline255 3 роки тому +3

    Reecado mimi naona umefanya vyema Chibu kuifahamu familia yake kwa undani zaidi coz jamaa alikuwa akitambua yeye ni wa KIGOMA, nimekukubali mkuu hongera sana

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 2 місяці тому

      Huyo Licado siyo ndugu diamond baba yake ni lazalo Malyeto huyu mama aseme ukweli

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 роки тому +84

    Sasa km mzee abdul ni baba mlezi mmeshindwaje kumlipa fadhila ya ulezi?mamae zenu umbwa nyie

    • @saidingelemange3465
      @saidingelemange3465 3 роки тому +3

      Huyo mama diamond na diamond mwenyew wote hawajielew hao washamba wapesa hao

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 3 роки тому +2

      @@saidingelemange3465 wanajiona km tayar wameiona pepo

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 3 роки тому +2

      kujazia nyama😁😁

    • @muhidinihuud6764
      @muhidinihuud6764 3 роки тому +2

      Kama alikataa mimba !na huku alimpa jina la Babu yake na ubin wake?we mama unajielewa?

    • @irenemoraa8818
      @irenemoraa8818 3 роки тому +1

      Hapo sasa

  • @shijamakenzi3051
    @shijamakenzi3051 3 роки тому +50

    Heti wasafi kumbe wachafu momo siku zote ulikuwa wap bro? diamond unafanana na baba yako kila kitu hadi ujanja mama anazinguwa

    • @vanessajohn6046
      @vanessajohn6046 3 роки тому +1

      Kwwli kabisa hasimtoto wa hamissa anafanana na babu yake ila hawa wataona aibu sikuyake mh😭😭😭😭😭😭😭mungu amsimamie mzee amdlli na Allaa ampe wepesi jana nimelia sana kwauchungu kama nikiwa mama😭😭😭😭😭😭🙏

    • @kipimochamajimyddmwiru8824
      @kipimochamajimyddmwiru8824 3 роки тому +1

      Huyo mm ajizalilishe mara ngap, mama hajieshim kitambo sn akumbuki hata aliko toka kuwa ametoka kwenye maisha gan na leo yupo wap, hata ndoa anyo ishi nayo sasa mpaka sasa uli wake hana heshima kutwa kwenye mitandao, ni mtu mzima asiye jiheshim hafai kuigwa hata kido

    • @aliclauclau4208
      @aliclauclau4208 3 роки тому

      UKWELI UWUMA.POLENI

    • @zennahazeezy3363
      @zennahazeezy3363 3 роки тому

      Kweli dunia hadaa kila la kher mzee Abdull

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 3 роки тому +71

    Mungu atupe mwisho mwema, hii familia wana laana sio bure😭😭

    • @ShSh-my8cw
      @ShSh-my8cw 3 роки тому

      Mungu atuongoze

    • @inacabdhullahi7536
      @inacabdhullahi7536 3 роки тому

      Kweli laana tupu

    • @biebaraka3258
      @biebaraka3258 3 роки тому

      True

    • @raymondshirima1777
      @raymondshirima1777 3 роки тому

      Kwani mkiambiwa ukweli hamtaki

    • @ramadhanirama6636
      @ramadhanirama6636 3 роки тому

      Unapo msema mwenzako kua analaana Kuna kuwa na mambo mawili laana atakuwa nayo ulie msonta au wew ulie sonta. Kwahy mwenye laana anaweza kuwa wew au wao mjuz ni mwenyez mungu.

  • @blingbling298
    @blingbling298 3 роки тому +4

    Konde boy tumchangie hyu msee tafadhali ,,kama tuko pamoja gonga like

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 3 роки тому +6

    Unaweza ukawa na hela lakini akili azipo kabisa mama anajizalilisha sana inaonekana kabisa mama alikuwa mtu wa haina gani mungu atuepushe

  • @adelajaksoni466
    @adelajaksoni466 3 роки тому +73

    Wasoma comment kama mm kwa uchungu WA kutaka kuzulumiwa mtu damu yake dah wanawake tuweni na huruma bc 😥😥😥😥😥😥

    • @sharonkagai1943
      @sharonkagai1943 3 роки тому +3

      this is just the begining of diamond platinumz downfall

    • @aliymajala5678
      @aliymajala5678 3 роки тому

      💕🙏🙏

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 роки тому

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO.
      ua-cam.com/video/sr1oqlNs5Io/v-deo.html

    • @Emmamusiccmb
      @Emmamusiccmb 3 роки тому

      *TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZE KUMONITIZE CHANNEL YANGU*
      🎶🎶🎶🎶🎶

    • @jurassicparkmovies8805
      @jurassicparkmovies8805 3 роки тому

      *Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini*
      ua-cam.com/video/LMMcOLVk4rs/v-deo.html
      Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel

  • @evasaimon6764
    @evasaimon6764 3 роки тому +104

    Huyu mama anajizaririsha sana, nmemshusha vyeo

    • @afrogirlradhiamusic2268
      @afrogirlradhiamusic2268 3 роки тому +3

      Hahahaha jaman wababa wanakataa watoto zen wakipata mafanikio wanawafata ivi kama ww mtu kakataa mimb anaibuka kwenyerah kwann wann uyo

    • @nishasalim2880
      @nishasalim2880 3 роки тому +1

      Yaani!

    • @nishasalim2880
      @nishasalim2880 3 роки тому +1

      Inatia uchungu!

    • @nishasalim2880
      @nishasalim2880 3 роки тому +4

      Mama Diamond atalipa hapa,hapa duniani.

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +3

      @@afrogirlradhiamusic2268 acha ushabiki wa kupumbavu...wewe ni mshenzi nini pia...unaunga mkono ushenzi mwanaharamu mkubwa wewe kuwa na adabu kbs unajua uchungu wa mzazi wewe???kwa pesa gani hasa walizokua nazo mpk wanyenyekewe???uchaw mtupu..
      Pumbavu kbs kbs...hv kwa wanavyomchukia yule mzee ingekua sio mwanae si muda tu yangejulikana???khaaaa Aibuuuu...hauna akili kbs

  • @depabloescobar9265
    @depabloescobar9265 3 роки тому

    Mama diamond ni mshamba sana.pesa makaratasi asifanye kiburi kisa pesa amejisahau sana. Ila ss tunamuombea mzee abdul mungu amjalie subra na afya aje aone mwisho wao

  • @alexsalum7824
    @alexsalum7824 3 роки тому +1

    Mtt anamiliki bilioni kadhaa wkt baba anaishi maisha ya kulaumu kwnn imekua leo,Diamond Mungu anakuona,Chozi la baba Mungu atamlipia.

  • @stargirlstargirl8837
    @stargirlstargirl8837 3 роки тому +11

    😥😥😥😥😥mbn mnamfanyia ivo mzeeh abdul mzee mpole hana neno na mtu jamani diamond kumbuka n babako jamani mama nawe acha za ovyo

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 2 місяці тому

      Huyo mzee abdul na licado momo siyo ndugu wa diamond diamond anababa yake

  • @siznic9115
    @siznic9115 3 роки тому +107

    Hizi hapari nimezipokea kwamasikitiko kama nilivyo pokea hapari za msiba wa malehemu kanumba😥😔🤦

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 роки тому +2

      Me too

    • @kenyandamu
      @kenyandamu 3 роки тому +1

      Mimi pia 😭😭😭

    • @halimanasihu1200
      @halimanasihu1200 3 роки тому +1

      Kweli my yani mtihani

    • @dambwelahiphop
      @dambwelahiphop 3 роки тому

      Hapari zinasikitisha eeeh

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 роки тому

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO.
      ua-cam.com/video/sr1oqlNs5Io/v-deo.html

  • @ibrahimmvogogo849
    @ibrahimmvogogo849 3 роки тому

    mm nakuambia wallah mungu ampe maisha malefu mzee abduli pesa hizi azitupereki popote ila utu ndio kila kituu sijapenda atakidogo nishabiki wa wasafi lakini kwa hichi bola niwe konde boy tuu

  • @msonocollo9551
    @msonocollo9551 3 роки тому +20

    Why force someone to talk issue ya family hivyo I didn't like the way other reporter were forcing the guy heshima muhimu

    • @elipidiussimon1091
      @elipidiussimon1091 3 роки тому

      Kwanini aseme kwa Sasa mama anakosea sana

    • @msonocollo9551
      @msonocollo9551 3 роки тому

      @@elipidiussimon1091 hizi hela ubadilishi akili tu na kuforget pale umetoka

    • @maryamgeva3300
      @maryamgeva3300 3 роки тому

      huu ni mchezo wa kuigiza waliouandaa kama Momo alikubali walipomuuliza kuwa baba yao ni mzee Abdul kwa nn walikataa ina maana wanajua kila kitu iweje kwa muda huohuo wamuandae mama diamond kwa jambo hilohilo na mama kajibu bila kusita wala kutafakari wala kushangaa walijipanga kumdhalilisha mzee Abdul

    • @antonyhunajamboweunalikakw4731
      @antonyhunajamboweunalikakw4731 3 роки тому

      Unaxema babamlez halafu unasema hajamleachochote

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 роки тому

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO.
      ua-cam.com/video/sr1oqlNs5Io/v-deo.html

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 3 роки тому +13

    Mimi nasema baba ake Diamond ni Mzee Abudul......acheni upuuzi

  • @evasaimon6764
    @evasaimon6764 3 роки тому +48

    Huyu mama n mkatili sijapata kuona dooh! anaweza hata kuua, pesa tu ndo zinamfanya anakua hvyo, hilo nalo litapita hii dunia ni ya Mungu bana sio ya diamond platinum

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 роки тому

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO.
      ua-cam.com/video/sr1oqlNs5Io/v-deo.html

    • @alexkilamlya1563
      @alexkilamlya1563 3 роки тому +1

      Shida iko kwa wlio muuliza mama sio diamond wala mama naamini wamesomea kazi hiyo miiko ya kazi nmesoma kidogo journalism wanasema seek the truth and minimize ham nyie mmeshindwa hanamna ya kupunguza ukali wa maneno ?

  • @nimoshe0423
    @nimoshe0423 3 роки тому +1

    Good job to that guy,is so humble

  • @darcieniyongere8982
    @darcieniyongere8982 3 роки тому +5

    It's soooooo sad for really😞😞😞. Mama Dangote muongo😩😩🤯.

  • @twalib09
    @twalib09 3 роки тому +13

    THE BOLD AND THE BEAUTIFUL ...........to be continued 😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nobertnichoraus6681
    @nobertnichoraus6681 3 роки тому +69

    Kuanzia Leo mimi sio shabiki wake diamond, wamenikera saanaa

    • @Bmben1995
      @Bmben1995 3 роки тому +4

      Nenda zako mwenyewe

    • @salamakitsao5555
      @salamakitsao5555 3 роки тому +5

      Diamond anamakosa gani hapo Hadi unamchukia? Kwendaa zako. Hivi unamjua babako ww

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 3 роки тому +3

      @@salamakitsao5555 😂😂😂😂😂😂

    • @zennahazeezy3363
      @zennahazeezy3363 3 роки тому +2

      @@salamakitsao5555 hilo nalo neno tukianza kufukua makabur hapa yakumjua baba itakua hapatoshi

    • @zennahazeezy3363
      @zennahazeezy3363 3 роки тому +3

      @@Bmben1995 tena aende mbio nying mnafki tuu huyu

  • @kilomanje
    @kilomanje 3 роки тому +6

    Just do DNA for all of them..Simples😘

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 3 роки тому +1

    Hongera sn Ricardo Momo (Mohamed) Pa1 na Mama Diamond kwa kusema Ukwl kuhusu Diamond,,,,Ricardo,,,Esma na Queen darling Ukwl kuhusu Undugu wao uko Vp.. hilo jambo jema sn

  • @magicsound-beats6075
    @magicsound-beats6075 3 роки тому +154

    Ivi mnasoma comment kweri? Watanzania atujalipenda ili swala hata kidogo mnamnyang'anya mzee kisa hana pesa? Malipo ni duniani apa apa

    • @truthnafact9081
      @truthnafact9081 3 роки тому +5

      Acha umama wewe alieliwa ni mama diamond we inakuhusu nini au uliliwa nae?

    • @muhsinmichenje9826
      @muhsinmichenje9826 3 роки тому +5

      Duh uyu mama mkatili sanaaaa

    • @omakywazamani6696
      @omakywazamani6696 3 роки тому +6

      Hawa watu wanazo laana

    • @cktamunga2356
      @cktamunga2356 3 роки тому +8

      Uyu jama sindugu wa diamond hatasura ayikaribiani diamond platnumz ni mutoto wa abuli kabisa awepanga jama yakuharibu Jina lamuze

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 3 роки тому +5

      @@cktamunga2356 Jamaa mbona kweli wanafanana?

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 3 роки тому +18

    Waliogundua sauti ya Momo na Mond zinafanana gonga like mingi sana.

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 3 роки тому +1

      Sauti,na mwonekano vyote vinatengenezwa na kuigizwa

  • @sifaa7354
    @sifaa7354 3 роки тому

    mzee abdul anafanana na Nassibu na isitoshe natumia jina la abdul ambae nibaba yake hakika diamond utafeli maisha hatakama nibaba mlezi kama mnavyodai ungempa heshima yake na ukumbuke dunia tunapita tu hizo hela unazogawa mitaani ungemsaidia baba yako mlezi mungu angekuongezea siku zakuishi sina mengi ila ushauli wa mwana mke siku zote jiongeze nawewe

  • @chidtec4485
    @chidtec4485 3 роки тому +6

    Hii game mbona ya kawaida, me mwenyewe nipo nalea mimba ya mtu, maisha mchakamchaka

  • @nassorohosseni5223
    @nassorohosseni5223 3 роки тому +14

    Inalilaah wainalilaah rajiun diamond kumbuka mwenyez mungu ndie atakae kua hakim sk ya mwisho mwisho wa umaaruf ni kabri chunga nafs yko

  • @michaelnzunda7347
    @michaelnzunda7347 3 роки тому +19

    Kwa nn cku zooote ajawai kuitwa nasibu salumu,hababaabhahahahh..bongo sinema lila kitu

  • @rogerrogers6991
    @rogerrogers6991 3 роки тому +5

    Yan aikatae Mimba tangu ikiwa ndogo alafu mtoto azaliwe aitwe Nasibu abdul😂, dadeki au nn ndo cjaelewa vzr hapo, au mama Nasibu kaongea kingereza Jmn 🤣🙌🏼, Yan kama nicngezaliwa Tanzania mm aki ya Mungu ningeomba ulaia tu🤣, Bongo kutamu nyinyiii😂😂😂

  • @josephinekalwa8171
    @josephinekalwa8171 3 роки тому +4

    Their voices resemble a lot

    • @kemmytega8982
      @kemmytega8982 3 роки тому

      Even me I was ask my self why there voices are resemble? Mwanzo nilijua diamond anatangaza kipindi Cha michezo nikaambiwa sio yeye.

  • @aminapeter6177
    @aminapeter6177 3 роки тому +6

    Usiombe ufilusike we daimond wa tanzania watakuangalia kama mavi maana kupat a kidogo tu jeur mpaka kwa mashabiki mmbwa wasaf wote

  • @youngxurejr4353
    @youngxurejr4353 3 роки тому +10

    Hakika mzee Wang Abdul jipe moyo haya nimapito tu achana nao malipo nihapa hapa dunian

  • @ephraimkabeya2406
    @ephraimkabeya2406 3 роки тому

    Mzee Abdul asisikitike, Amshukuru Mungu maana huko mbele kuna sadaka zitahitajika kutolewa, yeye hatahusika

  • @mwenyembiozakenyingisana4105
    @mwenyembiozakenyingisana4105 3 роки тому +159

    Sijaona Familia ya watu wajinga duniani kama hawa watu

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 3 роки тому +4

      Sawa kabisaaaa

    • @rashidimohamedi8438
      @rashidimohamedi8438 3 роки тому +4

      Nikwer kabisa hii familia nimachizi kabisa

    • @pahpahwilliam9586
      @pahpahwilliam9586 3 роки тому +1

      Kabisaaa

    • @truthnafact9081
      @truthnafact9081 3 роки тому +5

      Alafu hawakujui kbs

    • @nehemiahbudi5753
      @nehemiahbudi5753 3 роки тому +3

      Ni tabia tu ya kimanyema, akipata inakuwa shida, fuatilieni familia nyingine za wanaojiita wamanyema ni shida tupu, wanawakana hata ndugu zao, ni kawaida tu.

  • @saidpazi6620
    @saidpazi6620 3 роки тому +21

    PICHA limepangwa vibaya sana

  • @user-pz8cb9cj3i
    @user-pz8cb9cj3i 3 роки тому

    haki wala hamfanyi vizur mm pia nimelelewa na baba wakambo ila nilimpa heshima yake nikamthamin mpaka mwisho wa maisha yake nmpaka leo namkumbuka nakumuombea dua na sikuona mamangu kumdharau hata siku moja allah awarahamu wote wawili mama dagote ufanyavyo sivyo na mungu atakuhukumu kwakumvua nguo mzee alokukarimu ukiwa na mimba leo wamrudishia maovu allah anakuona ujue na je yule pacha wa mwanao nae tusemeje amezalia baba mumoja na dayamond pia basi ulikua kicheche kumbe pole sana mama mkosa haya ww

  • @lucykanyopa5350
    @lucykanyopa5350 3 роки тому +5

    Mama Naseeb, acha kumnadi mtoto wako kiasi hicho, dunia in duara dada

  • @jacobngonyan8787
    @jacobngonyan8787 3 роки тому +15

    Mzee wa kudele umezingua mbona ww una potosha watu pesa haiziki m2

  • @denisdeusdedith5849
    @denisdeusdedith5849 3 роки тому +25

    Kwahiyo kama alikataa mimba na hakuilea kwanini aliitwa naseeb Abdul? All in all itoshe kusema sandra ni Malaysia

  • @Mindanaowarriorvlog
    @Mindanaowarriorvlog 3 роки тому

    Nice content 👍

  • @sadickhoza6416
    @sadickhoza6416 3 роки тому

    Pole mzee Abdul wanawake sio watu

  • @neymardekutele8452
    @neymardekutele8452 3 роки тому +22

    DNA ipo, lakini yote tisa, Diamond inabidi a-apreciate malezi ya baba mlezi

    • @anwaryatako940
      @anwaryatako940 3 роки тому

      DNA ipo pesa pia zipo... kaka docta c pia ni binadamu atahongwa na mondi achukuliwe,mzee nasibu aachia mola tu

    • @rachelmukazayire8293
      @rachelmukazayire8293 3 роки тому

      Ama kasema mzee abdul kakana mimba kwamba ule sio mtoto wake na hakumsaidia kitu tangu nursery paka secondary, sasa atakubali malezi ipi?

    • @jaxyoungsjaxyoungs5377
      @jaxyoungsjaxyoungs5377 3 роки тому

      Bro Hata kama Hujuw kusoma picha Huon Hugo Diamond ni mtoto wa mzee Abdul

    • @neymardekutele8452
      @neymardekutele8452 3 роки тому

      Mi tamko langu nitalitoa baada ya DNA, kwa sasa ni nikiongea ni sawa na kusimulia movie ambayo sijawahi kuitazama

    • @jurassicparkmovies8805
      @jurassicparkmovies8805 3 роки тому

      *Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini*
      ua-cam.com/video/LMMcOLVk4rs/v-deo.html
      Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 3 роки тому +27

    Diamond platnumz muda wake wa kuwa on top unafika mwisho. Familia yake inamshusha muda sio mwingi.
    Mama yake na dada yake wana tatizo

    • @fx-farm6888
      @fx-farm6888 3 роки тому

      Haki ya Mungu nimemchukia diamond na mama yake Wote mbwa tu

    • @ericklaura7511
      @ericklaura7511 3 роки тому +1

      Sahau hilo , dua LA kuku halimfikii mwewe

    • @jacquelinemrosso8543
      @jacquelinemrosso8543 3 роки тому

      Mwisho wa ubaya ni aibu wataumbuka kweupeee

    • @ericklaura7511
      @ericklaura7511 3 роки тому

      Who are to say who can drop and who will elevate? Your not God chill it , wew sio Mungu.

    • @aminaakombo2710
      @aminaakombo2710 3 роки тому

      Kwendraaa

  • @kevinodongo9213
    @kevinodongo9213 3 роки тому

    Nare bin nare mzee Abdhul..Allah give hukmu

  • @agnessksr2941
    @agnessksr2941 3 роки тому

    Wasafi washamba sana huu ubaba wa kununua duuh kisa asiwazalilishe tu duuh mungu yupo

  • @venerandamasunga6789
    @venerandamasunga6789 3 роки тому +36

    kwanzia leo mm sio shabiki wa diamond siwezi tena kushabikia uchafu na udharirishaji

    • @kaburaakbar4838
      @kaburaakbar4838 3 роки тому +1

      Tangu lini ukawa shabik wa diamond platnumz? Kwani umempenda diamond platnumz juu ya familia ao juu ya kazi yake mijutu mingine bana

    • @vangraphixvan8320
      @vangraphixvan8320 3 роки тому +1

      Kwendaaaa

    • @MJB-Africa
      @MJB-Africa 3 роки тому

      Aanazingua

    • @ShSh-my8cw
      @ShSh-my8cw 3 роки тому

      @@vangraphixvan8320 🤣

    • @stanslauselias9002
      @stanslauselias9002 3 роки тому

      Tuachie simba wetu ukute leo ndio umeweka bado

  • @mariangittu7418
    @mariangittu7418 3 роки тому +18

    Huyu mama simwelewi tyuu

  • @zuwenamakame9963
    @zuwenamakame9963 3 роки тому

    Subhanallah muogopeni mungu uongo ni dhambi ila alaisallahu biahkami -lhakmeen, Allah ndie hakimu kuliko mahakimu wote .

  • @ismailfidelalinoti
    @ismailfidelalinoti 3 роки тому

    SUBHANALLAH!!!
    Jaman Watanzania tusiilaumu Wasafi Media na Watangazaji hawa walio rusha kipindi hiki, wala Diamond mwenyewe kwanamna yoyote maana sizani kama yeye mwenyewe Diamond anazifurahia Skendo hizi isipokuwa anshindwa afanye nn kwa kuwa ni mama yake na ile heshima ya mama tu!! Wakulaumiwa ni Mama Diamond kwa kile anachoendelea kukifanya akijua yuko sawa lakin pia akiamin kuwa labda baba halali wa Diamond hayuko hai na lakin pia akasahau kauli ya Mwenyezi Mungu kwa wanawake wale watakao wanasibisha watoto wao kwa wanaume ambao si baba zao...!! Lakin Mungu ana kusudi lake na hili linaloendelea nikusudi lake ili kile kilichofichika basi kiwe wazi!!!
    Watanzania ukweli ni kwamba mzee Abdul ni kweli kabisa siyo baba mzazi wa Diamond na hata huyo mzee Salum Nyange anaye tajwa leo kuwa ndiye baba Diamond, wala siye baba mzazi wa Diamond..!! Ukweli wa baba mzazi halali wa Diamond anaujua huyo mama lakin kaufanya kuwa siri kwa mwanae na watanzani lakini sasa kile kilifichika ni hiki:
    "Baba mzazi na halali wa Diamond ni Mmanyema mwenye asili ya Burundi na anaitwa mzee MAKAME MRISHO MAKAME....
    Huyu mzee yuko hai na anaishi Masumbwe Mkoani Geita na hizi skendo zote za Diamond kuhusishwa na mzee Abdul anazifahamu na kila kinacho jiri lakin ameamua kukaa kimya kwa kile alichodai kuwa angeweza kufanyiwa ukatili na mama Diamond kutokana na historia yao ya nyuma!!!

  • @ibrahim10chimah64
    @ibrahim10chimah64 3 роки тому +3

    Naamini mungu atalipa katika hili, pole sana mzee wetu

  • @janethrodgers8666
    @janethrodgers8666 3 роки тому +28

    Mnayoyafanya hayaendan na nyie, pesa zina mwsho wke but mzazi n mzazi tu

    • @rashidimohamedi8438
      @rashidimohamedi8438 3 роки тому

      Kwer kabisa acha wajichetue wanajifanya wanaswali

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 роки тому

      Hakuna hiyo km mzazi sio wake hakuna kitu km hicho

    • @edwinpaul9258
      @edwinpaul9258 3 роки тому +1

      Angekua sio. Tajiri wasingemnganga'nia huyo mama pumbavuuuuu

  • @fleythevoiceofficall5314
    @fleythevoiceofficall5314 3 роки тому +1

    Mungu mpe moyo wa subra Mzee Abduli kwa mapito anayopitia

  • @oscarkeneth9476
    @oscarkeneth9476 3 роки тому

    Interview bora kabisa 2021

  • @ItsLeonel
    @ItsLeonel 3 роки тому +15

    Yule mzee Abdul namhurumia sana

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 роки тому +39

    Kwahyo kilichofanya abadilishe jina nnn

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +1

      Hana akili kbs kbs

    • @swamaduidrisa1757
      @swamaduidrisa1757 3 роки тому +6

      Anakuwaje baba mlezi alafu alikataa mimba huyumama anahakili kweli jamani

    • @paulalphonce5848
      @paulalphonce5848 3 роки тому +1

      Hahahahaaaa..... Yajayo yanafurahishaaa...

    • @barynaron3718
      @barynaron3718 3 роки тому +1

      Kube mna asli ya uwenda wzimu polni

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 роки тому +1

      @@barynaron3718 dole la kati linakufaa kuondoka nalo kibabe

  • @ernestchomola6583
    @ernestchomola6583 3 роки тому

    daah inauma sana pole sana mzee abd

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 3 роки тому

    Ricardo is very clever!!! Anajuwa kufanya interview. Hataki kupindishwa

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 3 роки тому +40

    Umalaya huu jmn mnatuchanganya jmn.

  • @jamesmgimba7403
    @jamesmgimba7403 3 роки тому +51

    Mama aliandaliwa mbona anaonyesha kabisa anaangalia wasafi

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 роки тому +4

    Naipenda Sauti ya Ricardo Momo😍

  • @navanjkiba2439
    @navanjkiba2439 3 роки тому +3

    Mama Domo na mwanao wote wasenge tu mnapenda kiki sana

  • @bernadphilipo1013
    @bernadphilipo1013 3 роки тому +7

    Yaaan mnajidanganyaa mko Kama watt,kwann aliitwa nassibu abduli

  • @njmahn3262
    @njmahn3262 3 роки тому +11

    Mwachekesha nyie aki hahaaa yaani mlezi hadi jina akatumia la mlezi aki ndugu zangu hehee

  • @chrispinsinkala6205
    @chrispinsinkala6205 3 роки тому

    Sure

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 3 роки тому

    Mh! 🤔Haya mengine hayanihusu. Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe🤗🤗. Mimi nitabaki kuwa shabiki wa Chibu na kuwa shabiki wa mziki mzuri kutoka kwa #WCB tu. #WCBFORINTELLIGENTMAN

  • @salamisindimwo303
    @salamisindimwo303 3 роки тому +24

    Yaani kuna kitu nimeshindwa elewa : mzee Abdoul sio baba mzazi wa diamond ni Baba mlezi,mzee Abdoul hajamsaidia cocote diamond toka mimba,primary hd secondary,mbona km kauli zinagongana: alikuaje mlezi wkt hakumsaidia cocote? Ao alikua Baba mtazamaji...?

    • @bahariawalk
      @bahariawalk 3 роки тому +1

      Hapo ndoo wanajizalilisha wenyewe. Mama Dangote mnafiki kabisa

    • @jamilaingu7922
      @jamilaingu7922 3 роки тому

      Yani mlezi ,nikama shahid tuapo

    • @aliceches
      @aliceches 3 роки тому

      Amekua naye mpaka 15years

    • @beatussimon4873
      @beatussimon4873 3 роки тому

      Utakuwa hujui maana ya neno baba mlezi kwa hiyo usituchoshe

    • @salamisindimwo303
      @salamisindimwo303 3 роки тому

      @@beatussimon4873 Mimi ndo sielewi ao wewe ndo huelewi mkuu?

  • @diti4899
    @diti4899 3 роки тому +30

    Upumbavu wenu unaenda kuharibu vizazi vya watanzania. Pesa azipatikani kwa ushetani huu

    • @glorysaimon8238
      @glorysaimon8238 3 роки тому

      Hahahahaha pesa zipi nakati pesa wanazo tayari

    • @CyimSky
      @CyimSky 3 роки тому

      NILIFANYA MAPENZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI Sehemu ya 19: ZAKIA MWENDELEZO.
      ua-cam.com/video/sr1oqlNs5Io/v-deo.html

  • @fleythevoiceofficall5314
    @fleythevoiceofficall5314 3 роки тому +6

    Kama umelia Kama nilivyo lia mimi kupitia ili gonga like

  • @matagitheboss3521
    @matagitheboss3521 3 роки тому

    Mama anasema !!asingeikataa mimba , asingemkosa mtoto!!naomba muitafakary vzr hyo kauli ya mama mond!!!iDaa !maisha haya!!!

  • @MJB-Africa
    @MJB-Africa 3 роки тому +14

    LAANA Tv

    • @shukuruwiliamu1357
      @shukuruwiliamu1357 3 роки тому +1

      Mama mond kazingua wakati mondi anafanana namuzee mpaka sauti kuongea ujanja

  • @yolamshaban4387
    @yolamshaban4387 3 роки тому +29

    Duh.....
    Mwananke sio kiumbe wa kuaminiwa.....

  • @africayetutv329
    @africayetutv329 3 роки тому

    Kama mkisoma hii komenti naomba mzingatie hili hasa Brother yangu Diamond, Ujue Mungu kajali umepata ila kwa kupitia Watanzania hawa hawa, Sasa mama alikulea na ametoa mchango mkubwa kwa mafanikio yako ila tu tahadhari anaweza pia toa mchango mwingine kukuangamiza kwa tukio kama hili maana tayari Diam. unaheshima kubwa Tanzania na nje sasa ujue watu wataanza kukudharau kwa vitu kama hivi, halafu jamani watangazaji hembu angalieni vitu vingine vya kuweka hewan ujue hii hali inawezo ikasababisha watu kuuana, kisa tu mnatangaza vitu sio mahara pake jirekebisheni jamani.

  • @dunna1663
    @dunna1663 3 роки тому +1

    Diamond hapa uko na brother wa dhati👍👍🙏🙏

  • @alphageorge5563
    @alphageorge5563 3 роки тому +33

    Mzee aende mahakamani kudai haki miliki ya jina lake, limetumiwa kimakosa, kiupotoshaji kwa miaka 30.

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 3 роки тому +5

    Mnatumia media kumchafua mtu!!
    Mnatumia media kuongea machafu ya familia yenu!!!
    Huyu mama anawafundisha nini mabinti zetu kwa zinaa aliokua akisambaza kwa kipindi hicho!!?
    TCRA wakumbusheni hawa watu pia na huku kwenye radio kuhusu maudhui,vinginevyo hichi chombo kitaipotosha sana jamii yetu.

    • @catherinemajala3212
      @catherinemajala3212 3 роки тому +1

      Wewe Mama dangote u Malaya na ulimbukeni ndio unakusumbua wewe mjinga mkubwa huna akili hata chembe na yatakutokea puani panya wewe

    • @sairismahundi2399
      @sairismahundi2399 3 роки тому

      Mwenyezi Mungu anawaona nyie!

  • @janetcharo1543
    @janetcharo1543 3 роки тому +2

    The guy resembles Diamond,even their voices,and the way they talk.....blood is thicker than water

  • @infinitywaylaurent9525
    @infinitywaylaurent9525 3 роки тому

    Nice

  • @mariangittu7418
    @mariangittu7418 3 роки тому +16

    Huyo mama ana lahana ya mwenyezi mungu miaka yoteeeeeeeeee iyo msiseme ukweli kisa pesa? pesa mbaya zinabadilisha na wazaz

  • @nestor384
    @nestor384 3 роки тому +21

    Is like wote hawa they are pre informed and prepared to tell this scene!

  • @jafreezhasheem6376
    @jafreezhasheem6376 3 роки тому +2

    Watanzania fungeni midomo yenu, mwawatukania nn familia ya Diamond, siku zote siri ya mimba aijuae Mama wala si baba. Kuweni makini hapo Diamond hawezi kuwasaidia watu Baki na wakati baba yake mzazi anateseka... Mze Abdul mlezi tu, na Ndio Maana kashindwa matumizi. Muoneni tu mze mwenyewe anavyo onekana bishoo kwenye Picha. Sasa ukweli chukuweni huo.

    • @abdulazizahmed5499
      @abdulazizahmed5499 3 роки тому

      Bas diamond misaada anayo toa nibure kabsa sababu dini inasema ukiwanamali jalindugu zako nauishinao kwa wema hatakama ni baba mlezi hakupaswa kumtupa mama diamond pesa inamchanganya huyo amakweli masikini akipata matako ulia mbwataa ameona akisaidiwa atafaid sana kaona bora avunje udugu kabsa ila olewao wavunjao udugu azabukubwa Siku yakiama

  • @markvisualprongt3722
    @markvisualprongt3722 3 роки тому

    Mnazinguwa bwana tunajuwa pesa ndo zinawachanganya mmeoanga wenyewe iyo bana juwa ule mzee mme mzalilisha sana tena sana mmepanga yenu wishasikia wapi alie kataa mimba alafu awe baba mlezi Acheni kuzinguwa bana kiliyo kuwa namwanzo lazima kiwe namwisho #markthedon peace

  • @naomimarisa6858
    @naomimarisa6858 3 роки тому +30

    hiyo ni game imepagwa kabisa,,

    • @mashaabuu463
      @mashaabuu463 3 роки тому

      Wasizengue watu rikaldo hajafanana na diamond...ni game ya kumuumiza mzee abdull. Ati kisa kapata pesa.

  • @angelolemista8063
    @angelolemista8063 3 роки тому +10

    Sasa mzee Aboul ni baba mlezi vipi, na hakumsaidia mondi kitu?

  • @husseinomary7267
    @husseinomary7267 3 роки тому +7

    Bongo noma san Maelezo yao hayatoshelez ata therusi ya kumuaminsha mtu mwwny akil timamu.

  • @khalfanibobewe4278
    @khalfanibobewe4278 3 роки тому +6

    Wamuachie mungu kwani diamond nani hapa dunia si kenge tu kama kenge wengine

  • @abunaderali6251
    @abunaderali6251 3 роки тому +37

    Akapimwe DNA ndio kata ubishi Mzee Abdul na Nasib