Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Mwalimu Subira wa Goodluck Gozbert Akutana na Wazee Wambanga Baada ya Kutoka Mahabusu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 сер 2024
  • Wazee Wambanga Mwijaku Soudy Brown wakaamua kumtembelea Mwalimu Subira "Mngindo" kujua hatma yake baada ya kutiwa ndani baada ya kuvamia nyumbani kwa Goodluck Gozbert.

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 3 роки тому +176

    Kama unamfatilia mwalim subila gonga like

  • @rachelmanema9044
    @rachelmanema9044 3 роки тому +4

    Namba alitoa wapi?kuna kitu hakipo sawa hapa huenda goodluck anaficha kitu hapo......pole sana Mwl subira hayo ni mapito wengi wanayapitia na hawana ujasiri km wako big up sana👏👏na hawa watangazaji wanazidi kumtesa dada wa watu jmn😢

  • @hafsaali4423
    @hafsaali4423 3 роки тому +18

    Huyu anashida kwenye kichwa siyo kwa upuuzi huwo anawo fanya mkubwa mzima anadhalalika na mikamera du nimesikitika sana mungu wanusuru watoto wetu wakike

  • @wakalitvonline2790
    @wakalitvonline2790 3 роки тому +13

    Kama umeona lips za mwalimu ni nzurii gonga like

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 роки тому +13

    Jamani asipopata mwanasaikolijia huyu anaweza kufa kwa mawazo sababu hapo hata nguvu ya kuomba Hana.Mungu muumbie moyo Safi dada huyu

    • @angelakway973
      @angelakway973 3 роки тому

      Nguvu ya kuomba nn kwani ,alafu hajaokoka maana anasema yuko tayar kuwa hata mke wa pili wa goodluck

  • @esnathmwakibete9321
    @esnathmwakibete9321 3 роки тому +14

    Pole sana mwanamke mwenzangu ipo cku yataisha

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 роки тому +11

    Dada mzuri mashaallah Mim sikushangai ni mapenz ya dhat Tu aliyo nayo hongera Kwa ujasiri

    • @jacklinekiria6452
      @jacklinekiria6452 3 роки тому +1

      Wew dada kila kona upo

    • @mtitagirloriginal6890
      @mtitagirloriginal6890 3 роки тому +1

      @@jacklinekiria6452 😂😂😂yaan umenichekesha yaan Mim nikam mzurulaji

    • @jacklinekiria6452
      @jacklinekiria6452 3 роки тому

      @@mtitagirloriginal6890 we acha tu nikienda maximum tv ninakukuta global upo yaani kila kona da umenishinda tabia kabisa

  • @annasteven376
    @annasteven376 3 роки тому +3

    Yesu pekee yake ndo aliyekufa mxalaban kwa ajili yako Dada subiri mkabz yesu maisha yako nautapata Aman naixhan mwako

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 роки тому +7

    Subira wangu maskini kapungua saana kwa kweli uhathirika wa mapenzi mbaya Sana,Mungu atakupa tyuuu

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 3 роки тому +14

    Mmh watoto wetu kwa mwalimu huyu somo lake wajitahidi kutembelea maktaba za karibu

  • @raashidibrahim851
    @raashidibrahim851 3 роки тому +1

    Guy's nawapenda sana.. Kiukweli mnaweza. Mwijaku umenifurahisha. Kweli umbeya munauweza

  • @lydiamacmillian1398
    @lydiamacmillian1398 3 роки тому +10

    Duh! Gudluck ulichofanya Cha kumuweka mtu rock up mmh... Mungu atusaidie na pole Sana subira

    • @johnmalila1485
      @johnmalila1485 3 роки тому

      Omba Mungu yasikukute Godluck yupo sahihi mahali salama kwa subira ilikuwa ni lockup tu

    • @gisellebusimesepa3435
      @gisellebusimesepa3435 3 роки тому

      Uyu dada alikatala kutoka kwake njo sababu

    • @elizabethmatalu4719
      @elizabethmatalu4719 2 роки тому

      Goodlack tuliona umetuliaa lakin umebugii

  • @jacksonperfect3710
    @jacksonperfect3710 3 роки тому +6

    Wangindo kama wangindo wangindo oyee🙌🙌🙌

  • @scollapatric8342
    @scollapatric8342 3 роки тому +3

    Dah pole sana

  • @lufufumkudesimba6244
    @lufufumkudesimba6244 3 роки тому +1

    Pole sana

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 3 роки тому +1

    Very supportive masha Allah mwejaku

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 роки тому +3

    Kana unaamini huyu mwijaku anaumwa maradhi furani GONGA like twende sawa

  • @wemasarwat6182
    @wemasarwat6182 3 роки тому +7

    Pole sana mpenzi daaaaah

  • @billimganda22
    @billimganda22 3 роки тому

    Pole sana dada Subira,ila mtumushi wa Mungu good luck huja fanya uungwana kumpeleka uyu dada polisi,hayo mambo yalikuwa yaku malizia nyumbani ,kiukweli ume muaibisha uyu dada ki ukweli

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +6

    Jamani walimwengu tunamamboo raha sana hongera ticha😂😂😂😂😂💃💃💃

  • @elizabethzabron7718
    @elizabethzabron7718 3 роки тому +8

    Pole sana mamy jamni kwa kweli hiyo ni moja ya changamoto kubwa sana tuzidishe maombi sana mbele za mungu umeniuma vibaya mnoooo

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 роки тому

      Huyu nichizi. Naametumwa kumharibia kijana wawatu

  • @salumuandrew6775
    @salumuandrew6775 3 роки тому +13

    Hauwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa😂😂😂😂soudy ww

  • @happybruno1764
    @happybruno1764 3 роки тому

    Pole dada jaman kwer mungu anakuona kwer wew goodluck

  • @glorymutalemwa296
    @glorymutalemwa296 3 роки тому +1

    Mwijaku kwa udaku hahahaha......all in all I love the way you talk

  • @LadyLucille12953
    @LadyLucille12953 3 роки тому +4

    This lady is amazing and quite courageous. May God bless her with a husband of destiny. Goodluck... hmmm polisi jamani? That was not good at all. Anyway God will give her peace.

    • @gisellebusimesepa3435
      @gisellebusimesepa3435 3 роки тому

      Apana siyo kosa ya Godluck nikosa ya uyu dada alikataka kutoka kwake sasa agefanyaje njo akaita police

    • @edwinotiatomarwa.6361
      @edwinotiatomarwa.6361 3 роки тому +1

      Exactly. Imagine you'r the only one who sees it the same way to me. This lady is deeply in love and that happens to all mankind. I really like her courage towards her feelings! How i wish i was still a bachelor....i would bring her to Kenya and love her back.

  • @ukhtynaa1096
    @ukhtynaa1096 3 роки тому +8

    Kazi ipo

  • @Zamb90
    @Zamb90 3 роки тому +4

    Grandiosity dilutions

  • @irenepm3023
    @irenepm3023 3 роки тому +1

    Subira jamanih polee, hata kama unampenda godluck achananae we vumilia, Mungu atakupa mume sahih

  • @tinaminja5500
    @tinaminja5500 3 роки тому +10

    Uyu dada anamoyo wa tofauti Sana mungu akupe mumewako atakae kupenda sana

  • @josengumbi4029
    @josengumbi4029 3 роки тому +3

    Power of Love

  • @jumamaduka4275
    @jumamaduka4275 3 роки тому +2

    Hii Taaluma imevamiwa. Hii itamtesa hii katika kazi yake.

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +2

    Huyu ana matatizo mwalimu mzima kujidhalalisha mitandaoni mwijaku nyi wambea sana maneno yaliisha bado mwayafatilia tu mwataka kuwaribu tu jina la goodluck na mchumba wake wewe mwalimu nenda ukakae chini jifanye mtu mkumbwa hata mzazi mwenzio anakudharau saana .

  • @yolandasira3013
    @yolandasira3013 3 роки тому +22

    Pole Mwaya maumivu ya mapenzi yanaumiza

    • @ashaissa2435
      @ashaissa2435 3 роки тому +2

      Uyu dd mpumbavu na sio mwalimu ivi uwezi ukajifikilia we ni kiooo Cha jamii alafu mwalimu unafanya Mambo ya kijiga kama ayo Yoko we

    • @ashaissa2435
      @ashaissa2435 3 роки тому

      Ss wanafuzi unawafundisha nn hapo nyau we

    • @khadijamussa4364
      @khadijamussa4364 3 роки тому

      Afu xhl zishfunguliw

    • @yolandasira3013
      @yolandasira3013 3 роки тому

      Sijui atawatamazaje walimu wenzake

    • @neemakilango7445
      @neemakilango7445 3 роки тому

      @@ashaissa2435 wanafundishw a ukipenda U nakuwa chiz

  • @sirbinladen786
    @sirbinladen786 3 роки тому +8

    Abar zenu ndugu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2:30 usiku karbuun mjifunze ingia UA-cam andika sir Binladen 786

  • @rosetasuleiman6799
    @rosetasuleiman6799 3 роки тому +1

    Mmenifurahisha sana

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 3 роки тому +2

    So sad 😘

  • @beatricesoka3134
    @beatricesoka3134 3 роки тому +10

    Nyie n watu wabaya mnakuza Jambo pon juen mnazid kumuumiza na mnavuruga had anakosa mwelekeo mwachen bhana

    • @rahamamohd3075
      @rahamamohd3075 3 роки тому +1

      Yan hawa wa2 siwapend wanamchaganya 2

  • @felistergodbless7508
    @felistergodbless7508 3 роки тому +1

    Jamni mwijak🤣🤣🤣 mungu anakuona et najua maumivu unayopitia mwijakuu mungu akupe maisha maref maana kwenye sect hii upo vixur

  • @tusajigwemathias3758
    @tusajigwemathias3758 3 роки тому

    Subira ngwandie bushololo gwa kukhaja!!!! Hahahaaa pole sana Mdogo wangu

  • @mjasiriamalishupavulailamu7163
    @mjasiriamalishupavulailamu7163 3 роки тому +7

    Ila mwijaku nasudi mungu anawaona mwalimu mnamhoji gizani nyote akilimoja namwalimu wenu

  • @masalagulangwa3702
    @masalagulangwa3702 3 роки тому +5

    Goodluck umemwona Delila atatumia kila mbinu ili akunase mwanangu usigeuke nyuma nenda mbele mtumikie Mungu usije ukakubali ulaghai wa huyu dada ni Delila na wewe ni Samsoni utatibolewa macho mwangalie Mungu hilo ni jaribu lako tutakuombea cmama kwa miguu yako

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 3 роки тому

      Hakiri yake ilishaharibika jamani.huyu angekuwa kwa warungu angepatiwa matibabu na Nina uhakika yule mkaka alimudanganya na kutumia hela yake.Namba ,anayo na ni halisi,waliongea kwa vidéo call,na zaidi walisha kutana uso kwa uso.Na kengine bado anaona ni yy tu!

    • @cavoo4get649
      @cavoo4get649 3 роки тому

      Hahaaaaa!!!!! Kawa samsoni siyo,!

  • @jacklineandrew5909
    @jacklineandrew5909 3 роки тому +1

    Mwijako mungu anakuona

  • @aminamambi6816
    @aminamambi6816 3 роки тому +12

    Kupend kzi mtu aso kupend nikz sana km hujayapit hy utasem niupumbav anacho ongea lkn nikweli maumivu kayapt pole my ukhuti

  • @leocadiapetro1455
    @leocadiapetro1455 3 роки тому +16

    Kama ni kweli Basi mapenzi hatari, ila Kama ni Kiki daah😂😂😂

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 3 роки тому +21

    Mwijaku mnafiki kweli
    Et najua maumivu unayo pitia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @queenassenga8033
    @queenassenga8033 3 роки тому

    Jamn pole xn dada, mungu atakusaidia

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +10

    Mamaa Yanguuuu 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Police Siku 7,Na Bado Hujakata Tamaa,Jamani, Hata Kama Ni Mapenzi Wa Mpenda.Akapimwe Akili Mwalimu Subra,Aibu.

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +1

      @@lovvy854 🤣🤣🤣🤣🤣 Kweli Jamani, Ona Sasa King'ang'anizi Kimemlaza Police.

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому +1

      @@mwanahalimamwachili9679 yaani ata haoni aibu kujipendekeza na mtuashamwanbia ako na wife🤣🤣🤣

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +2

      @@lovvy854 Yani Mwalimu Subira Huenda Nut ililegea,Kaambiwa Wazi Kila Kitu. Mke Yupo,Sikufahamu, Sikutaki. Mpaka Police Siku 7,Lakini Subiri Hajaamini.

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому +1

      @@mwanahalimamwachili9679 bwanae nut moja imelegeya alafu ati analiyaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 hanaata haya wala hajui vibaya yaezekana dryspell nyegeee mingi

  • @chauabdalah3311
    @chauabdalah3311 3 роки тому +6

    Duh yataka moyo

  • @happyissa4526
    @happyissa4526 3 роки тому +7

    Duh,Muombe Mungu Dada atakusaidia ,kuna roho inakuandama ...

  • @mwazanmwazan766
    @mwazanmwazan766 3 роки тому +1

    Mmh kazi unayo dada,ivi walim wezako watakuchukuliaje,unajishusha san bna sio kivoo

  • @louisejean5846
    @louisejean5846 3 роки тому

    Pole sana dada

  • @chrizantuspantaleo6928
    @chrizantuspantaleo6928 3 роки тому +4

    Nipeni namba za huyo dada

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 роки тому +3

    Mweshimiwa uyu dada unge tafuta namna yeyote ya kumrudisha kwao sijaona haja ya kumpeleka polici ndugu we ni mtumishi wa Mungu sidhani kama iyo ni busara ulitumia ila sijui ulicho kifikiria kaka ila Mungu akulinde sana ndugu

    • @gisellebusimesepa3435
      @gisellebusimesepa3435 3 роки тому

      Alimupeleka polici kwasababu alikatakala kutoka nyumbani kwake njomana fatiliya interview yake utamuelewa sana

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 3 роки тому +1

      Ilikuwa lazima afanye hivyo Goodluck. Dada anang'ang'ania kwake. Kwa usalama wake na ushuhuda wake polisi ilikuwa mahali salama.

  • @princessringo2879
    @princessringo2879 3 роки тому

    Au mna jambo lenu?

  • @clemencerental8622
    @clemencerental8622 3 роки тому +2

    Kiukweli kama Goodluck gozzbet kama wewe ndiyo umempeleka police utalipa kwa haya so sad kiukweli bora mngemaliza too yaishe police ya nini tena dada wawatu alikupenda umemtapeli bado umemuweka lock app duh huna utu kabisa 😥😥

    • @rachelayo7203
      @rachelayo7203 3 роки тому

      Sasa Good lucky atalipa nn kwani alimtuma aje?mwanamke unashindwa kutulia umwombe Mungu akupe Mme unaswampa tu,wala msimlaumu Gozbert

  • @floramwanuke961
    @floramwanuke961 3 роки тому +3

    Sasa mwijaku kumsikilizisha nyimbo ili azid kuumia jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @estertiffathomas4481
    @estertiffathomas4481 3 роки тому +17

    January hii imekuj na vimbwanga baraaaaa tumetesek na Ada Sasa tunavulugwa na mwl subir na Nyange family

    • @hyasintndimbo2998
      @hyasintndimbo2998 3 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @pinochio5465
      @pinochio5465 3 роки тому

      😂😂😂😂

    • @Aysha-ms3ln
      @Aysha-ms3ln 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania simama nishuke

    • @hopelema3673
      @hopelema3673 3 роки тому

      😂😂😂😂

    • @lucinakweka4972
      @lucinakweka4972 3 роки тому

      Hahhahahhahaha

  • @user-og8fc7mg5i
    @user-og8fc7mg5i 9 місяців тому

    Pole ase

  • @williamelisante7703
    @williamelisante7703 2 роки тому

    Da pole jaman

  • @jacklinejacksone1165
    @jacklinejacksone1165 3 роки тому +9

    Yani subira nakupenda the way ulivyo simile yako mungu anakupitisha kwenye majalibu kunakitu kizur anataka kukupa uyo achana nae sio chaguo lako sahihi kama umempenda ye ajakupenda ataakikukubari ata kusumbua

  • @marthaemmanuel3323
    @marthaemmanuel3323 3 роки тому +8

    Mwijaku mmbea balaaa

  • @aminamambi6816
    @aminamambi6816 3 роки тому

    Pole dada

  • @elizabethvicent9372
    @elizabethvicent9372 3 роки тому

    Kama na ww umesikia maneno ya mwijaku Kama kipikipiki posta aanaleta maneno kwa subira haha kuwa Good hatolala ucku gonga like

  • @latifamedina6005
    @latifamedina6005 3 роки тому +10

    It's so sad jamn 😭kama mwanamke jua kutafuta pesa na ujipange vizur kimaisha kwanza usitangulize hisia that love shit will live u unfocused and broke 🤷

    • @blessofvictory250
      @blessofvictory250 3 роки тому

      Well said,,,, I'm sorry for her na cjui ako na roho gani jamani kufuata mtu mwenye asha mkataa 😢😢

    • @rahamamohd3075
      @rahamamohd3075 3 роки тому

      Pesa ndio kila k2

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 3 роки тому

      Yaaaa! I love that thing wanawake tufanye kazi tujiinue tuache porojo na kupoteza mda kwa wanaume wasio na habari na ss thats stupidity

  • @merycharles2707
    @merycharles2707 3 роки тому +1

    Duh!! Inaskitisha sana

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 3 роки тому +2

    Aje kwangu

  • @tuombesunzuesperance5196
    @tuombesunzuesperance5196 3 роки тому +4

    To sad my dear sister I’m very sorry also why he call police 🙇🏿‍♀️🙇🏿‍♀️ dada kakupenda sana 😁😁 pole sana ndg angu.

  • @gracedaud1087
    @gracedaud1087 3 роки тому +3

    Daah! Ni huzuni kwakweli

  • @mjasiriamalishupavulailamu7163
    @mjasiriamalishupavulailamu7163 3 роки тому

    Pole mwalim

  • @agnessjason9366
    @agnessjason9366 3 роки тому

    jaman Dada yangu pole sana dear

  • @agnestweve7218
    @agnestweve7218 3 роки тому +8

    We we Dada kweli unamoyo Mimi kwaibu iyo ningetulia

    • @Aysha-ms3ln
      @Aysha-ms3ln 3 роки тому

      😂😂😂😂😂yani halafu sijui hajaripoti shule au anatumiwa (kiki)

    • @linaemma7535
      @linaemma7535 3 роки тому

      Si yeye mapenzi anauma

  • @happymfyomy736
    @happymfyomy736 3 роки тому +17

    Huyu mapenzi yanamtesa walai ila sio chizi wala sio katumwa,,,pole mamy

    • @fatyqueen346
      @fatyqueen346 3 роки тому +3

      Hata mimi niliwahi kumpenda mwanaume nikamwambia ila akanikatalia nilijisikia vibaya sana so dada pole sana mapenzi yanaumiza hakuna aso faham ilo

    • @mudyfundikilamlawila7373
      @mudyfundikilamlawila7373 3 роки тому +1

      Mapenzi ujinga mbona hatupendwi sisi walala hoi

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 3 роки тому

      @@fatyqueen346 kweli

    • @hilalikishimbo2010
      @hilalikishimbo2010 3 роки тому

      @@mudyfundikilamlawila7373 ata angependwa mlala hoi kama ni wa kumkataa angemkataa tuuu

  • @madammanka2731
    @madammanka2731 3 роки тому +1

    Mungu amsaidie huyu dada amedhalilika sana kwa kweli, anajitesa mno sijui shida nini wanawake hatuko hivyo jamani

  • @dayanakyando1544
    @dayanakyando1544 3 роки тому +1

    Mgindo kama mgindo..pole mmy

  • @thresherjordan6829
    @thresherjordan6829 3 роки тому +12

    Nimejifunza kutokata Tamaa
    Mwijaku: niniii?
    Me:🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому +5

    Dada anajidhalilisha jali kazi yako sio wanaume

    • @jumamaduka4275
      @jumamaduka4275 3 роки тому

      Hakuna Mwl anayezurura kutafuta mwanaume akaacha vipindi

    • @subiramichael3840
      @subiramichael3840 3 роки тому

      Siomzima nati zimechomoka afutwe uwalim afai

  • @annnash5074
    @annnash5074 3 роки тому +2

    Jamaani dada wa watu 😅😅😅😅 pole sana una moyo

  • @esthermutali7270
    @esthermutali7270 3 роки тому +1

    Mwijaku jamani ati ukaletewa Chips na Goodluck ukasikia raha 🤣🤣

  • @lydiamacmillian1398
    @lydiamacmillian1398 3 роки тому +18

    Halaf gudluck mwenyewe wa kawaida Sana kupendwa na huyo dada ndo unajiona bonge la handsome mpaka umuweke nondo cku 7 hovyooo kwa kwel...

  • @mwantumkombo172
    @mwantumkombo172 3 роки тому +3

    🙆 kupenda uku...We dada embu jitaidi kujikaza bahna, utawakosesha raha wenzio ktk Mapenzi yao, hususani uyo Mwanamke mwenzio jmn... Good luck kuja kwake apo police kukuangalia ni roho ya kiubinaadamu tu lkn siyo Kimapenzi, Anampenda zaidi Mchumba wake, omba Mungu akufanyie wepesi kwa kipindi ulichonacho now....Kaa pembeni uanze ukurasa mpya na umtegemee Mungu, achana na ayo Mapenzi ya wenzio Kama ipo ipo tu...Uyo mwenzio ni wifi yako🚶

    • @isaakwabi8197
      @isaakwabi8197 2 роки тому +1

      Dada pole jipanga utapa mmeumpendae

  • @devothafesto9853
    @devothafesto9853 3 роки тому

    Ila mejua kuitunga story na mekiki pia Subira ameuvaa uhusika vzr amejua kuigiza kwa kweli Mwijaku wewe ni mtunzi mzuri sn baada ya hapo kipi kitaendelea tena?? Hongereni kwa kutuvitia mashabiki zenu mko vzr.

  • @barakawabaraka5003
    @barakawabaraka5003 2 роки тому

    Pole Mwalim MTU asikucheke maana uwez jua nn ambacho kipo ndan ya Moyo wako ntakusaidia kumpata uyu unaemtaka.

  • @lupakisyopeter2009
    @lupakisyopeter2009 3 роки тому +12

    Nyie wanaume Mungu anawaona!!!! Sio vizuri kumfanyia hivyo Dada wa Watu!!! Mnamfanya kama mdoli kweli!!!!

  • @namnyakiabell3818
    @namnyakiabell3818 3 роки тому +4

    🥰🥰🥰🥰

  • @diahemedsalumdia6594
    @diahemedsalumdia6594 3 роки тому +2

    Yn awa

  • @georgiaruhinda1704
    @georgiaruhinda1704 2 роки тому

    Jamani pole sana dada ila mungu atakuletea mume atakaye kupenda kutoka moyoni huna haja ya. Kumung'ang'ania wako atakuja tena mzuri zaidi Godlock na utaishi nae kwa mapenzi ya Mungu.

  • @mauamonela6246
    @mauamonela6246 3 роки тому +5

    This is very bad. Huyu binti amekua exploited, used and left. Hivi vitu vinaweza kumcost akapoteza na kazi yake. Hivi akifukuzwa kazi nani alaumiwe? I feel very sorry for her. Mwenye number yake ya simu anitumie. Ninataka kumsaidia hata kimawazo tuu. Amekuwa kichekesho kwa kweli.

    • @khadijamussa4364
      @khadijamussa4364 3 роки тому

      Hana kz Hy n maza house t

    • @verolimo707
      @verolimo707 3 роки тому

      sidhani kama ni mwalimu huuuuuuuyu noooooooooo hawezi chezea kibarua kwenye tundu la chooo namna hiiiii

  • @jenymtafya3430
    @jenymtafya3430 3 роки тому +14

    Wenzio hapo wanaingiza pesa, wamekufanya mdoli😥😥, nenda kafanye kazi Dada! Focus on your work and your future as well!

    • @lilianbitutu1072
      @lilianbitutu1072 3 роки тому

      Very true arudi shulen jmn

    • @edwinotiatomarwa.6361
      @edwinotiatomarwa.6361 3 роки тому +1

      Love is part of future...and it is a force of creation nature that cannot be changed! Have you ever loved somebody?

    • @lilianbitutu1072
      @lilianbitutu1072 3 роки тому

      @@edwinotiatomarwa.6361 🤫😢

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 3 роки тому

      @@edwinotiatomarwa.6361 If you love someone who doesn't have feelings on you, your supposed to force the love, is what you mean? Because your looking for the future of yours??

  • @seciliarenatus8657
    @seciliarenatus8657 3 роки тому +1

    Mwijaku 🙌😃😆 et najua najua

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 роки тому +2

    Jaman dada wa watu pole Sana jaman umepitia mengi

  • @emanueldeo4650
    @emanueldeo4650 3 роки тому +4

    Wazeeee wa mbangaaa

  • @georgemhalla8853
    @georgemhalla8853 3 роки тому +1

    Mwijako mmbea Sana aiseee

  • @scolahaule9681
    @scolahaule9681 3 роки тому

    Aiseeee love is bling

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 3 роки тому +11

    🤣🤣🤣🙆‍♀️Daaaah kumpenda mtu asokupenda ni Sawa na kusubiri boti airport ndo huyu dd Kaaaah mbona khatarii hii Astaghafirullah

  • @janetalfred7716
    @janetalfred7716 3 роки тому +4

    M namwazia huyo mchumba wa goodkuck akiona hayo 😂😂😂😂,hajatumwa kwel huyu!

  • @rebeckyusuph8058
    @rebeckyusuph8058 3 роки тому +1

    Jamani da imeniumiza

  • @neemaluhesha2026
    @neemaluhesha2026 3 роки тому

    Pole dada kupenda huko kwiyoooo

  • @rubenijhonisamelo5796
    @rubenijhonisamelo5796 3 роки тому +17

    Uyo dada akili yake haipo sawa

    • @jacklinejacksone1165
      @jacklinejacksone1165 3 роки тому +1

      Ipo sawa tu labda uwez jua nikwann kafanya ivyooo

    • @esperancakombat7797
      @esperancakombat7797 3 роки тому

      Kuna kafyuzi hakako sawa kwakweli

    • @linaemma7535
      @linaemma7535 3 роки тому

      Hujui mapenzi ni nini kama haijakutokea mshukulu Mungu .mimi najua mapenzi anauma sana tena sana.

    • @esperancakombat7797
      @esperancakombat7797 3 роки тому

      @@linaemma7535 duh...bas data ivi katayar mlikua ktk mapenz lakn humjui hakujui unamfata tena kwa kupanda bus mwendo mrefu ivo hapana hii kchwa haiko sawa

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 3 роки тому

      @@jacklinejacksone1165 Gooluck ndio anashida ya mvuto kwa wanawake lkn hawezi uoa

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 роки тому +6

    Jaman huyu dada bado anapenda kwakweli duuuuh

    • @graceg9332
      @graceg9332 3 роки тому

      Kuna namba sio sabsbu mm mwenyewe ninayo ,

  • @hansijuma4839
    @hansijuma4839 3 роки тому

    Pole ulichelewa wapi jamani