MCH. MSIGWA ALAMBA MATAPISHI YAKE MWENYEWE !!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • Lilikuwa suala la muda kwa Mchungaji Peter Msigwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ndivyo unavyoweza kueleza baada ya kada huyo wa zamani wa Chadema kutimkia katika chama hicho tawala.
    Msigwa ametambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM leo Jumapili, Juni 30, 2024, mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho (NEC), katika kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
    Uamuzi wa mwanasiasa huyo umethibitisha tetesi zilizokuwa zikiibuliwa mara kwa mara na wadau zikimhusisha Msigwa na CCM, tangu enzi za utawala wa Hayati John Magufuli.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 Місяць тому

    😂😂😂😂 hii nchi bwn!

  • @babupiza641
    @babupiza641 Місяць тому

    Eeeeee 😂😂😂😂😂 njaa imefika kwenye kichwa

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Місяць тому

    Ni ufisadi tu

  • @danielishigita2423
    @danielishigita2423 Місяць тому

    Chezea njaaa weye

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Місяць тому

    ACHEN KUFUATILIA MAISHA YA WATU SASA KUHAMA KWAKE KINAWAHUSU NN HAYO N MAAMZ YAKE

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 Місяць тому

    Msigwa vp bwn hata yesu aliuzwa.

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 20 днів тому

    KAJIKANYAGA MWENYEWE, MWINGINE ALIWAHI KUSEMA UWAZIRI NA URAIS NI M
    KAZI NDOGO, ALAFU AKAWA MBUNGE, TUNASHUKURU HIZI RECORDING ZINASAIDIA KUTUONYESHA RANGI HALISI YA MTU