RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA GEREZA LA BUTIMBA MWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @RNWALTER.
    @RNWALTER. 3 роки тому +387

    Kama umekuja hapa baada ya kifo Cha magufuli piga like.... Rest in peace magu

  • @nairaoden4813
    @nairaoden4813 5 років тому +31

    Kama unamkubali rais magufuli gonga like hapa

    • @juliusatema1221
      @juliusatema1221 5 років тому +1

      Godly given gift to Tanzanians.Hail him in comparison to the founding father Julius nyerere.

    • @dishonithomasi79
      @dishonithomasi79 5 років тому

      Duuuh mh ww ndo President haswa

    • @kanyamatransporter2282
      @kanyamatransporter2282 4 роки тому

      Nimekukubali sana rais wetu kwa kitendo cha kuwasikiliza hao washtakiwa,, mwenyezi Mungu akubariki sana !!

    • @FrankMkindi
      @FrankMkindi 7 місяців тому

      988😢😅​@@dishonithomasi79

  • @gracemalatwe5344
    @gracemalatwe5344 5 років тому +43

    Ningekuwa na uwezo wakumshauri raisi ningependa aende kuwasikiliza vizur wafungwa inaonekana wengi wameuziwa kesi jaman emungu sikia maombi yangu niombapo juu yawafungwa kama nawew huwa unaombea wafungwa gonga like tujuane

  • @abdirahmanmohamed6803
    @abdirahmanmohamed6803 3 роки тому +15

    Mimi naitwa Abdulrahman kutoka Somalia 🇸🇴. Huyu mzee ambaye ni mfugwa wa miaka 30 ndio amenifundisha kiswahili. nilikuwa mwaka moja kamili lakini bado nashuku Mungu. Mungu abariki Watanzania wote

  • @janenabwire6629
    @janenabwire6629 4 роки тому +15

    amen mtetezi wa wanyonge mungu akubariki mjini na hata mashambani , utokapo na hata urudipo magufuli Raisi wa Tanzania am from Kenya.

  • @bettytashy3113
    @bettytashy3113 4 роки тому +48

    Mimi ni mkenya lakini rais wa Tz 🙌🙌🙌🙌🙌🙌mungu amzidishie ,,ana roho ya utu kweli,,natamani ningekua mzaliwa Tanzania

  • @zuleikhamazuu2874
    @zuleikhamazuu2874 3 роки тому +18

    M/mungu akurehem Rais wetu hii nimeipenda mno na mung akusamehe kwakila ulinkosea baba hili ni jema hakika🙏

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 3 роки тому +49

    Jmn baba MAGUFURI 😭😭😭😭😭😭lala salama baba mungu akumbatiye roho yako🤲🤲🤲🤲😔🙏🙏

  • @ghjhggui6447
    @ghjhggui6447 5 років тому +107

    Huyu Rais Magufuli ni number kwa africa nzima nakupenda sana Rais wa Tanzanie 🇹🇿 from Burundi 🇧🇮.

  • @richardshow6629
    @richardshow6629 5 років тому +27

    Kama unaamini magu ni shujaa like

    • @mussakilumbe8574
      @mussakilumbe8574 5 років тому +1

      bongo tv mheshimiwa tembelea na wilaya ya makete huku mkuu tunaomba sana kijij cha kijyombo tunaomba Sana

  • @dorahmhila6262
    @dorahmhila6262 3 роки тому +29

    😭😭Hakika Rais Magufuli tutakukumbuka daima wewe ni Rais mwenye upendo jmn naumia sana nalia jaman naumia sana

  • @vicentmunishi5886
    @vicentmunishi5886 3 роки тому +5

    Namkubali Sana na mm Niko hapa baada ya kifo Cha muheshimiwa rais

  • @ibrahimhamid9376
    @ibrahimhamid9376 2 роки тому +3

    Mungu hiweke loho ya raisi wetu peponi mungu tupatie raisi mpenda amani na wanamchi wote

    • @itNeza
      @itNeza 10 місяців тому

      Sio Loho ni Roko, Kama ulivyo sema Raisi na sio Laisi.

  • @omarybabuutv972
    @omarybabuutv972 3 роки тому +7

    Nampenda sana Kalikenya Thomas Nyamboge kila siku nairudia hii clip

    • @AwadhAhmed-qu3iy
      @AwadhAhmed-qu3iy 5 місяців тому

      Hata Mimi pia napenda sana kuirudia hii clip❤

  • @blessedlady2741
    @blessedlady2741 5 років тому +13

    Raisi mwenye roho ya utu Afrika nzima,,, nakupenda Sana,,, I wish Kenya ingekuwa hivi,, may God bless you forever and ever amen.

  • @jimira9068
    @jimira9068 3 роки тому +8

    Jamani mimi naomba sana zizi vidéos za Raisi wetu J.P.M tuzi angaliye myakayote milele na milele mimi simu Tanzania ila Niko mtoto wa Africa J.P.M alikuwa Raisi wa Africa .R.I.P Baba yetu

  • @Rikko_Ke
    @Rikko_Ke 3 роки тому +54

    🇹🇿 had a great president who never exploited his powers. Im from Kenya but im really mourning his quick demise ooh God im in pain I really loved magufuli. May God rest his soul in eternal peace 😭

    • @RepentJesusisComing
      @RepentJesusisComing 3 роки тому +4

      I agree Kenyans are the most hard working, intelligent, everywhere they go in the world they succeed but we are cursed with bad leadership.

    • @jamesmwangi2030
      @jamesmwangi2030 3 роки тому +4

      Soo sad for kenyans

    • @winniethuo9736
      @winniethuo9736 3 роки тому +1

      He can be reincarnated in you brethren, in Spirit if you allow it. Live good and His goodness will live on! Remember, unless a kernel of wheat falls to the ground and dies, it remains, only a seed. But if it dies, it produces many seeds. You are one seed and eventually, God grant you life to gather enough wisdom to leave behind you. We all share your pain but joy for the above revelation.

  • @charleskimani7040
    @charleskimani7040 5 років тому +11

    So far this be an exemplary leader the whole of Africa.He so down to earth and always put himself in others shoes I say he is a charismatic leader🙌.God bless you mheshimiwa frm 254 Kenya

  • @doriskasmil9385
    @doriskasmil9385 4 роки тому +4

    Mungu akupe maisha marefu rais wetu una tetea wanyonge na kupenda sana

    • @salumshaban3300
      @salumshaban3300 3 роки тому

      daah ndo ametutoja sasa tumuombee sana

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому

      mnyonge alomtetea maana naona wengi walikuwa wakilalamika vyuma vimebana.

  • @stamilially4110
    @stamilially4110 3 роки тому +7

    Mungu mpokee baba yetu mtetezi wetu leo hii katuacha kwa mapenzi yako amin

  • @JOHARI-MEDIA
    @JOHARI-MEDIA 5 років тому +11

    Hakika sio wote wanaofungwa wanakuwa na makosa wamenifanya nitoe machozi. Mungu awape moyo wa uvumilivu na muendelee kumtumainia Mwenyezi Mungu

    • @jemsimaige5411
      @jemsimaige5411 3 роки тому +1

      Pumzika kwa amani rais wetu mungu akupumzishi

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 3 місяці тому +1

    Lala salama baba,tutakukumbuka daima,bado tunakulilia kwani mtetezi wa wanyonge toka ulale usingizi wa milele tumebaki kama yatima,raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani,Amina.

  • @Discoverlondon101
    @Discoverlondon101 3 роки тому +24

    Man of his people. He never let slaved master money take his African spirit away. Rest in power

  • @emilymwachanya2320
    @emilymwachanya2320 5 років тому +1

    Hongera rais magufuli mungu akupe maisha marefu katika uongozi wako ili uendelee kuwatetea wanyonge

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 5 років тому +12

    All the way from KENYA Magufuli Mwenyezi Mungu Akulinde kwa kusikiliza vilio vya wenye mahitaji sijaona raisi wakuwajibika kwa wananchi kama wewe.....

    • @hawabenjamin8743
      @hawabenjamin8743 4 роки тому +1

      Mheshimiwa uishi milele , una hekima km mfalme sulemani

    • @hawabenjamin8743
      @hawabenjamin8743 4 роки тому +1

      Mungu akuongezee wingi wa siku mheshimiwa John Pombe Magufuli

  • @barakamfinanga983
    @barakamfinanga983 3 роки тому +35

    Pumzka kwa amani Baba umemaliza Safari yako 🙏

  • @metube7700
    @metube7700 4 роки тому +9

    Magufuli aky naeza sema Tz mlibarikiwa..sana kama huyu die rais wenu..wa haki.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @issasalim7688
    @issasalim7688 5 років тому +38

    Proudly 🇹🇿 Tanzanian Mungu amtunze Raisi wetu ♥️

  • @xpressexpress552
    @xpressexpress552 3 роки тому +6

    Maashaa Allaah huyo mzee ukweli amefanya kazi yes kuna wachache ndio hakutaka juu wanakera watu wao leo mzee He is not with us bt Allaah anajua kazi nyenye amefanya and Am sure atapata usaidizi wake mbele ya Mungu bila wasiwasi Inshaa Allaah. Na mkumbuke kuna Magufuli wengi ndani ya watu Tanzania .

    • @leilatyadam8710
      @leilatyadam8710 3 роки тому

      Umetuacha mapema baba yetu mungu akufutie azabu ya kabur

  • @JOHARI-MEDIA
    @JOHARI-MEDIA 5 років тому +1

    Hakika Mungu akulinde sana Rais wetu. Tuna kiongozi hakika

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 3 роки тому +11

    Hats kama ulikuwa na dhambi nakuombea kwa mungu akusamehe dhambi Zamora ulikuwa kiongozi mzuri. Rest in piece man of action

  • @patrickmwenda7613
    @patrickmwenda7613 5 років тому +13

    Providing problem based solutions. God sent leader

  • @eldermacharia6872
    @eldermacharia6872 4 роки тому +6

    Nakupeda Sana mweshimiwa...Elijah macharia from Embu Kenya!!!

  • @noronhacompanylimited5370
    @noronhacompanylimited5370 5 років тому +38

    Naomba Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio Msahafu Ibadilishwe!!!!!!

  • @veramakau1931
    @veramakau1931 5 років тому +21

    God bless President John Magufuli

  • @mohafishaal4190
    @mohafishaal4190 3 роки тому

    Mimi Sio mtanzania lakini nampenda kazi anayo fanya vzuri
    R.p. mgufuli peace in

  • @isamony58
    @isamony58 3 роки тому +54

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿magufuli nani ataziba pengo lako bb mungu fanya miujizaa arudi tena bb

  • @kennedyokongo1801
    @kennedyokongo1801 3 роки тому +5

    I love the courage of this first speaker very courageous and articulative.Maghufuli was a wonderful president of this 21st century!!!

  • @josephsimkonda192
    @josephsimkonda192 5 років тому +22

    Nakuombea kwa Mungu azidi kukupa afya njema Mh. JPM uzidi kutetea wanyonge. Amina

  • @arjunelly540
    @arjunelly540 3 роки тому +1

    Eeee mwenyezi Mungu nisamee mimi lakini namlilia Rais wangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ismailrebe7072
    @ismailrebe7072 3 роки тому +9

    Baba magufuli mungu akulaze mahala pema peponi

  • @eliasdamian7749
    @eliasdamian7749 5 років тому +2

    Namkubali sana sana
    Raisi magufuli
    Mungu wa mbinguni
    Ampe maisha malefu
    Sana sana
    2020 chukua kula yangu

  • @christinasiikon4708
    @christinasiikon4708 5 років тому +30

    Mimi sasa nimeanza kumpenda huyu Raisi.yani huyu mfungwa amemtumbua huyu mkuu wa polisi.safi sana.Magu nakukubali endekea hivo hivo.

  • @mpesmail1834
    @mpesmail1834 3 роки тому +10

    A unique ruler, unparallel in the world, and will never get another like him.
    Some will try to copy him, but it will be for photo opportunitiesm Magufuli is original.
    He should have been the president 20 years ago while he was more vibrant, more energy. RIP my hero.
    I remember him in my prayers.

  • @shining_light1
    @shining_light1 5 років тому +64

    Maghufuli ako sawa sana from 254 big up 👍

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 4 роки тому +15

    Huyo zeruzeru apewe msamaha wa Rais.🇰🇪🙋

  • @alpheondanzi2544
    @alpheondanzi2544 5 років тому +5

    Magufuli magufuli magufuli magufuli😢😢😭nasikia kulia kwa furaha Mungu ibariki 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Mungu ibariki iringa 🙏🙏Mungu mbariki Ally Happy 💪💪💪

  • @tracykajuju5777
    @tracykajuju5777 4 роки тому +3

    Good leader nice one kura yangu ya mukenya sukua ,pita with flying cols

  • @pauloanjelo5060
    @pauloanjelo5060 5 років тому +6

    Mungu akubaliki raisi wetu

  • @samirosempemba9589
    @samirosempemba9589 4 роки тому +1

    Mungu Akubariki sana John Rais watu

  • @jacklinewilliam4565
    @jacklinewilliam4565 4 роки тому +34

    Zungu kachafukwa anamsema mtu yuko hapo hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂aisee

  • @jameskanyi5134
    @jameskanyi5134 5 років тому +13

    I salute you sir,respect from Kenya.

  • @zolazola2226
    @zolazola2226 4 роки тому +3

    As kenyans we love you more than our president.

  • @nyambulilazaro2740
    @nyambulilazaro2740 4 роки тому +6

    Nice magufuli unawez uongoz kaa miaka 100

  • @patrickwatene196
    @patrickwatene196 3 роки тому +5

    The whole world no president like u magufuli RIP

  • @hannahmwaura2463
    @hannahmwaura2463 3 роки тому +1

    Aki wa Tanzania mna President mzuri sana.. Na watu wengi walioko gerezani hawana kosa kweli

  • @clarageogre8251
    @clarageogre8251 5 років тому +18

    Yani magu nampenda hapo kuwatetea wnyonge Asante mungu

  • @hassanally712
    @hassanally712 5 років тому

    Mungu amepe maisha marefu Rais. Maguri huyu nimtu munguu alee mwinuwa sn namwenye rokho. Yaurumaa sn t

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 5 років тому +13

    Rais Magufuli Napenda sana Kazi Yako Njema Barikiwa Ukose pa kuweka

  • @peragiaisdor6315
    @peragiaisdor6315 3 роки тому +1

    Baba baba baba uko wapi baba😰😰😭😭 rip baba etu mungu akupe pumziko lamilele🙏🙏🙏🙏😭😰

  • @nzilwamedia776
    @nzilwamedia776 5 років тому +14

    Barikiwa baba president wetu

  • @juliuslabarani8575
    @juliuslabarani8575 3 місяці тому +1

    Siku nikiwa Rais nitawatembelea wafungwa gerezani na kuwasikiliza shida zao. Ee MUNGU nisaidie

  • @olivermfinanga1268
    @olivermfinanga1268 3 роки тому +21

    Sio kila mfugwa ni mfungwa wengine wesingziwa😭😭😭

    • @chancesabata367
      @chancesabata367 3 роки тому

      Kweli kabisa 😣😣😭

    • @olivermfinanga1268
      @olivermfinanga1268 3 роки тому +1

      @@chancesabata367
      😭😭😭😭

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому

      @@olivermfinanga1268 kweli hasa kipindi hichi cha Magu wafungwa wakusingiziwa ni wengi mno. kuna sgeria gani yakumpeleka mtu jela bila yakupelekwa court? kuna sheria gani yakumueka mtu miaka bila yakusomewa kesi ? halafu nawashangaa wanaompongeza kuwa rais wa wanyonge .

    • @olivermfinanga1268
      @olivermfinanga1268 3 роки тому +1

      @@kiri5807 me sijakoment kumpnga magu wala hyo siyo kaz yang maandiko yanasema heshimu kila mamlaka iliyoko kwan kila mamlak hutoka kwa Mungu so anayepaswa kumuhukumu apo n Mungu sio ww au mm me nmekoment kuhusu iyo video angalia uelewe raisi apo anahusika VP siku zote jeshi LA polisi ni hususan ao magereza n waonevu sana my dear nchi imejaa uchafu sana kama aujawai kumuelewa Magu kuna siku utamuelewa kwa sababu ww kuna mambo auyajui anyway tuombee sana taifa kwana yajayo yanahuzunisha

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому +1

      @@olivermfinanga1268 huwezi kujua pengine kuna kheri inakuja .

  • @odenmasebo9777
    @odenmasebo9777 2 роки тому +2

    R.I.P MZEE MAGUFURI ,EEEH MUNGU ULIYEUMBA MBINGU NA NCHI PASIPO NGUZO ,KWA NINI UMERUHUSU MTU WAKO AFE MAPEMA INGARI BADO TUNA MUHITAJI 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @salehobed5102
    @salehobed5102 4 роки тому +7

    Kama wy umeiona mwaka hu 2020, like✌

  • @abdiomarimohamed6626
    @abdiomarimohamed6626 5 років тому +2

    Nashukuru Hassani wa Kisesa! Pole shukran sana Raisi amekusikia wengi tumepitia hayo! Polisi wachafu sana Tz !

  • @edresallrab85
    @edresallrab85 5 років тому +16

    Safi Sana baba yni baba ungekua mkwe wngu najua nisinge onewa🤣🤣🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸

  • @mamahusna4207
    @mamahusna4207 5 років тому

    Asante Baba wa wanyonge MUNGU Akutangulie Raisi wetu

  • @sarahlydia2635
    @sarahlydia2635 4 роки тому +10

    Your search a blessing to your people

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +6

    Asantee Baba magufuri

  • @evanciusjr6303
    @evanciusjr6303 5 років тому +8

    Love you my President keep on may lord give u plenty of years

  • @kishubuti
    @kishubuti 4 роки тому +1

    Magufuli is a real president. I luv him. A true God fearing.

  • @bethwairimu1674
    @bethwairimu1674 3 роки тому +8

    Driving tz in the right direction...hongera Mr Prezzo.

  • @z-1il
    @z-1il Рік тому +1

    Mungu alaze mahali pema peponi Ameen yaraab

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 5 років тому +3

    Mungu akubariki Rais wetu.

    • @salumshaban3300
      @salumshaban3300 3 роки тому

      ndo hivyo tena hatupo nae tena duniani tumuombe mungu amsaidie

  • @AgustineAntoni-vw6se
    @AgustineAntoni-vw6se Рік тому

    Magufuli ni kweli alikuwa rais wa wanyonge apunzike kwa a man👏👐👋☝👆👊👋👈👌☝👆

  • @musamalibob5646
    @musamalibob5646 5 років тому +17

    Thanks president magufuli we need a Ugandan president like you magufuil

  • @rehemamichael2227
    @rehemamichael2227 3 роки тому +7

    Can't stop crying 😭

  • @fariyaosmanali9220
    @fariyaosmanali9220 5 років тому +12

    I wish our president will be like this🇰🇪

  • @benardtawuo316
    @benardtawuo316 5 років тому +25

    I wish Kenya prezo should be like this

  • @salimalghannami3059
    @salimalghannami3059 5 років тому +30

    This is very interesting and can help those people who have unfair treatment

  • @fariyaosmanali9220
    @fariyaosmanali9220 5 років тому +5

    Lot💞💞💞Mr President from 🇰🇪

  • @jumannefabiankalembe3800
    @jumannefabiankalembe3800 5 років тому +3

    Nakupenda sana magu MNGU Akupe maisha marefu

    • @salumshaban3300
      @salumshaban3300 3 роки тому

      ndo hivyo tena hatupo nae tena duniani tumuombe mungu amsaidie

  • @josephrotiken6896
    @josephrotiken6896 2 роки тому

    Baba Magufuli Mungu akupokee kwa mapenzi yake

  • @joebanda5475
    @joebanda5475 3 роки тому +13

    Pumuzika kwa amani legend

  • @monicaisaya6143
    @monicaisaya6143 3 роки тому +1

    Toka nazaliwa ckuwahi kuona Raisi Kama magufuli ulipenda watu na tajili na maskini tuliheehimiana hakika ntawasimulia mpka wajukuu wangu daah baba pumzika kwa Aman baba yetu Mungu akutunze🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @prskaayubu7577
      @prskaayubu7577 3 роки тому

      Mungu wewe ututetee ulimleta ilikuwa na makusudi yako mlaze mahari pema

  • @mcyudasicqo9610
    @mcyudasicqo9610 5 років тому +8

    Hakika magu wewe ni Jesus ❤ of tz

  • @ndutubimakelemo8514
    @ndutubimakelemo8514 4 роки тому

    Mungu akulinde Rais wa wanyonge

  • @janetwallace2683
    @janetwallace2683 3 роки тому +20

    Been mourning him when I see the way he was handling cases of the poor. We as Africa have lost a great leader. Am a Kenyan but I don't know if there's a president I will ever mourn like Magufuli. May the Lord bless his family for generations to come for the seed that he planted in Tanzania through the poor, widows etc. RIP Magufuli.

  • @mwana-unique
    @mwana-unique 10 місяців тому +1

    Walio angalia mwaka 2024.

  • @brendasamson1310
    @brendasamson1310 5 років тому +6

    Such an amazing president.. May you live long.. Ingekuwa ni hapa kenya uwezi ruhusiwa kuongea na uhuru.

  • @Sportynews32
    @Sportynews32 Місяць тому +1

    Tunaoangalia mwaka 2024 tujuane hapa😅

  • @b.3940
    @b.3940 5 років тому +36

    Mheshimiwa rais Magufuli njoo utawale Kenya miezi miwili tu wanyonge tupate haki.

    • @unclesam2015
      @unclesam2015 4 роки тому

      Even if is part time, we'll accept it.

    • @YunusiIkramu
      @YunusiIkramu 9 місяців тому

      @@unclesam2015 ..

  • @faridamwakingwe935
    @faridamwakingwe935 5 років тому

    Raisi wetu ni namba 1 dunia nzima

  • @martinbuberwa9244
    @martinbuberwa9244 4 роки тому +6

    Long live President of Tz Mungu nijalie niwe kama wewe

  • @fadhilnassor8196
    @fadhilnassor8196 3 роки тому

    Yan kuna watumishi hawana watumishiii ubinadam ni wanyama .kabisa kuna watu wana roho mbaya ambao ni watumish wa serikali daaah hatari .baba magufuli ww ni noma mungu akulinde

  • @raymondmuturi8361
    @raymondmuturi8361 5 років тому +9

    Magufuli kiboko yao👍 🇰🇪proud kenyan🇰🇪🇰🇪

  • @elizabethnafunamakhanu8942
    @elizabethnafunamakhanu8942 5 років тому +1

    Ooh Mungu ingekuwa inchi yangu jamani may God bless you raisi WA Tanzania

  • @faithhumble3780
    @faithhumble3780 3 роки тому +8

    Duuuh Pumzika kwa Amani Mzee wangu

  • @neemaponera2037
    @neemaponera2037 5 років тому +2

    Saaafi Sana Raisi wetu.yaani raia wanabambikiwa kesi bila sababu.ndiyo zao hao mapolisi.