CHECHE NYINGINE ZA RC WA "FYEKELEA MBALI" KWA DC WA IGUNGA NA INJINIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2018
  • Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri ambae amekua maarufu mitandaoni kwa misemo yake ikiwemo 'fyekelea mbali' au 'sukumia ndani' leo alitembelea ujenzi wa kituo cha Afya cha Igurubi kwenye Wilaya ya Igunga kuangalia umefikia wapi ujenzi huo na fedha zilizotolewa na Serikali zinatumikaje.

КОМЕНТАРІ • 539

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 років тому +1

    Kwanza kabisa Mh. Mwanri ana uchungu Na Nchi yetu, hababaishwi Na wasioelewa, anaumia Na wasioona juhudi za Mh. Raisi, wanapata tabu mno, Mungu akulinde, Mungu Ibariki Tanzania, Aamina.

  • @vincentmuli4283
    @vincentmuli4283 5 років тому +1

    Hongera lecture wangu wa communication skills John Mwaipopo Mungu akubaliki sana,vile vikao vya mtenda hotel vimezaa matunda. Hongera sana.

  • @saimonirugwila4608
    @saimonirugwila4608 5 років тому +1

    Hongera mzee wa sukuma ndani kwa usimamizi wa alimasi za inchi yetu pongezi Sana chapa kazi hata laisi wetu anawapenda wawakilishi wake kama wewe ubarikiwa sana DC Tabora.

  • @GaudenceRaphael
    @GaudenceRaphael 5 років тому +14

    Hana vitisho vya Siasa bali vya Uchumi, kama unamuelewa gonga likes Sukuma ndani 😂😂😂😂

  • @willykikwete342
    @willykikwete342 5 років тому +2

    Mwanri ni kiongozi anayetambua kuwa maendeleo hayaji kwa kuchekeanachekeana, urafiki na udugu kwenye mambo ya msingi yenye manufaa kwa nchi yake na watu wake Bali kimbinde mbinde na full ukauzu. Yuko poa mkuu wa mko huyu na anamachungu kweli na ya dhati juu ya maendeleo hasa kwa eneo lake la utawala. Be blessed Mr RC-TABORA

  • @daviesmwingira5183
    @daviesmwingira5183 5 років тому +4

    Nimekukubali sana ww Kiongozi uko vizuri sana kwenye utendaji.Nimejifunza kitu kutoka kwako Mh.DC.

  • @shadrackemmanuel7582
    @shadrackemmanuel7582 5 років тому +1

    Na wish ningekua mkazi wa tabora kwa haya ninayoyaona big up sana baba piga kazi #MKUU WA MKOA.

  • @amosikabalata6381
    @amosikabalata6381 5 років тому +54

    Kama umesikia kibonge alitaka kuanguka, hebu wote tukae chonjo kwa like

    • @stivenkhanga9781
      @stivenkhanga9781 5 років тому

      😁😁😁😁😁😁😁

    • @limokisuda4145
      @limokisuda4145 5 років тому

      Amosi Kabalata uwiii? mbavu zangu jaman kibonge alitaka kulazwaa

  • @bimkubwamussajuma5356
    @bimkubwamussajuma5356 5 років тому +1

    hongera kwa kazi nzuri mh mungu akusaidie inshallah

  • @frankmwafifi6712
    @frankmwafifi6712 5 років тому +56

    Nyoosha mkono juu jifanye unajikuna😁😀😂🙌👏👏👏👏

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 5 років тому +60

    Uzuri Wa huyu Mkuu Wa mkoa akufukuzi kazi anakurekebisha tu,waukweli sana,jifanye unajikuna uone

  • @martharichard7982
    @martharichard7982 5 років тому +1

    Wallah nampenda buree kazi nzuri cio maneno maneno

  • @magesamambaga7939
    @magesamambaga7939 5 років тому +1

    Hongera sana mh kazi njema

  • @flavian-augustino.pangah
    @flavian-augustino.pangah 5 років тому +12

    Asanteh mh. Mkuu wa mkoa bwana Mwanri Mungu akujaalie maisha marefu unafanya kazi nzuri

  • @japhetmaganga8055
    @japhetmaganga8055 5 років тому +17

    Uyu ndiye Rais wangu mtalajiwa

  • @mastermind5729
    @mastermind5729 5 років тому +69

    Kama ulitamani kumuona kibonge gonga like hapa

    • @reyjosee9390
      @reyjosee9390 5 років тому +2

      novelty christopher me nlitaka nimuone kibonge

    • @mkwavi
      @mkwavi 5 років тому

      kwanza huko alipo ana harisha kibonge wa watu

    • @emaneez
      @emaneez 5 років тому +1

      Hahaha nipo.. Hapa...

    • @florianthomas4292
      @florianthomas4292 5 років тому

      Duuuu

    • @hassanimlacha8479
      @hassanimlacha8479 5 років тому

      Magufuli kwaniñi usituletee mwandry apa moshi aka was high bulimia vilivyo

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 5 років тому +2

    Nani kasema muondoe miti hapa,Bonge yupo wap?👏👏
    Hongera sana,kwa uajibikaji

  • @dc39139
    @dc39139 5 років тому +5

    Hii ni spirit kamili ya kuelekea kwenye Tanzania tunayoitaka

  • @wilfredmaimu5084
    @wilfredmaimu5084 5 років тому +1

    Hongera mkuu mungu akulinde kwa kazi nzuri

  • @chriskalega4348
    @chriskalega4348 5 років тому +1

    Safi sana hapa kazi tu

  • @georgekimboka9821
    @georgekimboka9821 5 років тому +31

    Wachagga wajanja Tanzania zima
    1..Aggrey Mwanri
    2..George Mushi Kimboka

  • @isackngulelo3075
    @isackngulelo3075 5 років тому +16

    Kweli huyu ndiye "mkuu" wa mkoa. Hahahah daah. Hakuna rukxa kujikuna mbele yake.😂😂😂

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 5 років тому +43

    Huyu mkuu wa mkoa raha sana burudani

  • @linusngure9944
    @linusngure9944 5 років тому +110

    kukaa na uyu mkuu wa mkoa karibu anaweza kukupiga kofi

  • @pantaleoshirima4579
    @pantaleoshirima4579 5 років тому +20

    Raisi john pombe magufuli huyu anafaa kua mkuu wa mkoa wa dsm tuletee dar huyu anatufaaa

  • @joseelias4870
    @joseelias4870 5 років тому +35

    Aiseeeeeeeeee huyu mkuu wa mkoa anatoa burudani, yaaaani hapo mwishoni kanikoshaa saaaaana, Duuuuuuuuh "anayebisha anyoshe mkono, anayesema mkuu wa mkoa anaongea kitu cha kipuuzi anyoshe mkono". Big up RC chapa kazi, lkn nimechekaaa kinomaaaaaaa

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 5 років тому +12

    We mzee walaahi ALLAH AKUPE PEPO ONE DAY INSHAALLAH
    MWISHO NAOMBA JPM AKURUDISHIE TAMISEMI ONE DAY INSHAALLAH KUMBE AWAMU ILIYOPITA WALIKUFANYA UKAKOSA UHURU WA AYA TUYAONAYO LEO.......UR FOREVER BIG BROTHER

  • @lennygeorge9165
    @lennygeorge9165 5 років тому +3

    Namkumbuka sana mzee huyu akiwa waziri wa TAMISEMI na Magufuli akiwa waziri wa ujenzi walikuwa wakichapa kazi ad raisi kikwete alikuwa akiwambia punguzeni ukali,

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 5 років тому +15

    me sio ccm ila nakukubal sana mzee

  • @paschalvenance1833
    @paschalvenance1833 5 років тому

    Huyu Bwana wakikakaa na kamanda Jafo Tamisemi patakuwa hapatoshi kwa kweli your the Best among JPM selection.

  • @kherisalum5748
    @kherisalum5748 5 років тому +2

    Nakukubali sana Mwanri piga kazi baba

  • @danielsantael8799
    @danielsantael8799 5 років тому +25

    Unakumbuka ile siku alitaka kwenda kulazwa😂😂😂kwaleo nimemsamehe 😂😂😂

  • @GreatYNChannel
    @GreatYNChannel 5 років тому

    Huyu Mheshimiwa Mwanri nimependa utendaji wake( Hamung'unyi mung'unyi maneno) Hongera Rais wetu.

  • @imathamjesse2702
    @imathamjesse2702 5 років тому

    All leaders in Tanzania are now inspired buy Magufuli’s systems of leadership. This is a boost in all Tanzanian politics and economic development, Lions 🦁 always raise lions 🦁. Big up my people .

  • @samboreeadam4273
    @samboreeadam4273 5 років тому +2

    Nakuamin sana mh Agrey ,unaongoza vizur mkoa wang

  • @miriamchisongela9205
    @miriamchisongela9205 5 років тому +1

    Safiiii Tabora imekaa kaa nyoosha mzee kama vipi sukuma ndani

  • @mwetamweta8433
    @mwetamweta8433 5 років тому +5

    Dah Mzee anachapa kazi

  • @lutherking3666
    @lutherking3666 5 років тому +18

    3,4 aliyeckia ngonga like hapa

    • @davidodehero8760
      @davidodehero8760 5 років тому

      #6310

    • @SteveMK
      @SteveMK 5 років тому

      Kupitiwa kwenye kuhesabu ni jambo la kawaida unapoongea bila kusoma points... Kama kweli anatekeleza anayoyasisitiza, Mkuu ni mchapakazi sana.. Na msimamizi mzuri sana..

  • @hambalgullam8178
    @hambalgullam8178 5 років тому +1

    Good this is how leader ought to do

  • @philipmihayo6335
    @philipmihayo6335 5 років тому +1

    Katika u serious wake anatumia busara kubwa sana, 2020 namwombea apate jimbo awe Waziri wa Kilimo

  • @luomusicchannelfromtanzani5650
    @luomusicchannelfromtanzani5650 5 років тому +14

    PANDA MITIII WWE KIBOOONGEEE

  • @mrishomussa8698
    @mrishomussa8698 5 років тому +6

    Kweli Tabora itakua Toronto nimekubali

  • @munamuna414
    @munamuna414 5 років тому +2

    Mungu akuongoze milele

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 5 років тому +29

    jamaa ni jitu kweli ana kimo kama kile cha Iddi Amini.

  • @barakamweta9958
    @barakamweta9958 5 років тому

    mkuu Wa mkoa safi sana huyu,nampenda sana ,anafurahisha sana,nimtendaji mzuri sana

  • @alsadymateke8695
    @alsadymateke8695 5 років тому

    Mkuu unajua sana mungu akuzidi shie humli baba ww ni muawazi na mkweli una uzalendo

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 5 років тому +60

    Japo simpendi Makufuli kabisaa lakini nawapenda wakuu wa mikoa wawili. Mwanri na Mongera. Mongera ni muungwana sana na mara nyingi hutumia busara. Huyu Mwanri nampenda kwakuwa haya mambo mnayoyaona anafanya hajaanza katika serikali hii ya kiki, yeye alikuwa hivyo tangu akiwa waziri tamisemi alikuwa anakagua mpaka vitasa vya milango hata niliposikia amekosa ubunge nirihudhunika japo siipendi kabisaa CCM.

  • @masoudissah567
    @masoudissah567 5 років тому +2

    Sijawahi juta kukufahamu mkuu wa mkoa Mwanry tangu ukiwa TAMISEMI#gRISI YA VYUMA VILIVYOKAZA#BURUDANI YENYE TIJA KAZINI#SAAAFI SANA

  • @magdalenakidumbuyo1505
    @magdalenakidumbuyo1505 5 років тому +2

    Hongera

  • @gbbuku4714
    @gbbuku4714 5 років тому +2

    jifanye unajikuna ndo utatambua mkuu wa mkoa ni nana
    agrey ana biti sana😀😀

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 5 років тому

    kama upon pamoja nam jifanye unagonga like

  • @jonyojaote6589
    @jonyojaote6589 5 років тому +1

    I like whatever is happening in Tanzania under President Magufuli.

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 5 років тому +4

    Chota Baba sukuma ndani Kwa mkuu wa mkoa huyu wallah hata kama umekasirika utacheka tu Kwa jinsi anavyoongea 😂😂😂😂😂

  • @baissabaissa6596
    @baissabaissa6596 5 років тому

    Mtapigwa bao hahahaa noma sana mkuu wa mkoa

  • @anthonymganule46
    @anthonymganule46 5 років тому

    Nampenda sana Aggrey,,,,,,,,sio tu anabit lakin yuko vzur anachapa mzigo

  • @captenndunga6745
    @captenndunga6745 5 років тому +3

    Mi nawekaga MB kwa ajili yako. Nakukubali kinomanoma.

  • @hotexmedia2021
    @hotexmedia2021 5 років тому

    Jamaa anapiga kazi Sana nimemkubari. Lakin akae hawaeshimu professional,. Make yey sio professional ni mwanasiasa tu.

  • @hamisikessy1987
    @hamisikessy1987 5 років тому +2

    Huyu mkuu wa mkoa abadilishane na makonda. Aje Dar

  • @alphoncetheodory41
    @alphoncetheodory41 5 років тому

    Daaaaah kweli we mkuu wa mkoa saf sana unajua maendeleo ya wanatabora

  • @ttec9431
    @ttec9431 5 років тому +4

    Uyu akija kuwa raisi huyu atakuwa zaidi ya magu

  • @joshuarichard144
    @joshuarichard144 5 років тому

    nice for all

  • @shawaribakari1226
    @shawaribakari1226 5 років тому

    Ila huyu mzee ajee dodoma anatufaa Sana Mana nizaidii ya comedy 😃😃😃😃😂😂washirikianee na Mr mroto

  • @bennygladnes3888
    @bennygladnes3888 5 років тому

    Good work

  • @manawaaporinary9635
    @manawaaporinary9635 5 років тому

    Noma sana

  • @sophiatungaraza2507
    @sophiatungaraza2507 5 років тому

    Mungu ibariki tanzania

  • @aloyceboniphace2235
    @aloyceboniphace2235 5 років тому

    safi sana

  • @solomonitv7808
    @solomonitv7808 5 років тому +10

    Sukuma ndani wote wakikosea

  • @noahgodwin4194
    @noahgodwin4194 5 років тому +1

    Say yes!!!!!

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 5 років тому +1

    kiongozi safi sana

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 5 років тому

    Mwalimu huyooooo lakini yuko sahihi Ingawaje inabidi umzoee vinginevyo utaugua shinikizo la damu. But naona ni rahisi kuwajibika kwake ukimpatia kazi nzuri.

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 років тому

    Daaaah safi sana

  • @mackandrew3823
    @mackandrew3823 5 років тому +2

    MH.MKUU WA MKOA HUYU MWANRI MIE NILIKUA NAMUELEWA TOKA WAZIRI SERIKALI ZA MITA TAWALA ZA MIKOA ...HAKOPESHI ANAJUA ANACHOKIFANYA ...MUNGU AMSIMAMIE SANA

  • @bensonnyagali7605
    @bensonnyagali7605 5 років тому +1

    Hawa wote ni kuchota na kusukuma ndani Anayesema mkuu Wa mkoa anachoongea ni cha uongo anyooshe mkono jifanye Kama unajikuna

  • @allenngandu17
    @allenngandu17 5 років тому

    i love him he is so real...

  • @fadhilrashid2711
    @fadhilrashid2711 5 років тому +4

    dah huyu RC noma xana jifanye unajikuna uone

  • @freymuch7112
    @freymuch7112 5 років тому

    Nampenda sana huyu jamaa...mweye namba zake anitumie.natamani siku nimtembelee

  • @dr.bigfish3607
    @dr.bigfish3607 5 років тому

    The man knows how system works.

  • @bakarameir2868
    @bakarameir2868 5 років тому

    hongera

  • @youngvullagentleman4075
    @youngvullagentleman4075 5 років тому +13

    Mmmh akiwa ndo babaangu nistor tu mtaani mtoto wa mkuu wa mkoa apotea mazngira yakutatanisha

  • @didaskabendera4521
    @didaskabendera4521 5 років тому

    mkuu uko sawa lakini kwa upande wa ilo jengo likipelekwa kwa speed unayotaka nahsi baadae linaweza kupata madhara make ujenzi unautaratbu wake

  • @khajisokoni6060
    @khajisokoni6060 5 років тому

    Nakukubali

  • @brianadolfbabat1180
    @brianadolfbabat1180 5 років тому

    vizuri sana mkuu wa taboraaa

  • @kassimhashi4092
    @kassimhashi4092 5 років тому

    Mimi binafsi Niko Kenya lakini .huyu mzee nimemkubali.kiingereza yake safi.mchapakazi na pia mchesi

  • @goldenson1340
    @goldenson1340 5 років тому +4

    Sukuma ndani............ Yan hata mimi huku nimeshindwa kujikuna jaman RC mbona mambo ni moto😂😂😂😂

    • @alfredkillo6080
      @alfredkillo6080 5 років тому

      Mi naamin kwa mwendo huu tabora itakua tokyo anafaa aletwe dar awanyooshe wazembe

  • @tumainimsilanga8427
    @tumainimsilanga8427 5 років тому +6

    Haaaaahaaaaahaaaa jifanye unajikuna hapa uone

  • @mwinjumathomas5132
    @mwinjumathomas5132 5 років тому +3

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,Baba turidhani kuwa unaigiza😀😁kumbe ulikuwa unamanisha,Tunyooshe baba tulizoea kupiga dili , na kulala twende kaziiii

  • @0785116223
    @0785116223 5 років тому +19

    😂😂😂 Jifanye Unajikuna Tu owone😂😂

  • @julianabryson5832
    @julianabryson5832 5 років тому

    luv Father

  • @JafarTanzaniaa
    @JafarTanzaniaa 5 років тому +1

    3,4

  • @kimarobrighton3269
    @kimarobrighton3269 5 років тому +2

    Hahaha, eti nyoosha mkono jifanye unajikuna 😂😂😂

  • @issasalum6293
    @issasalum6293 5 років тому

    issa flavour

  • @beltilakaphipa8892
    @beltilakaphipa8892 5 років тому

    WACHANGA WANAOGOPA KUIBIWA , SAFI SANA MKUU

  • @ibrahimmaganga3429
    @ibrahimmaganga3429 5 років тому

    Mmmmmmmh Mr.eeeeeeeh tuna mkuu wa mkoa tabora ila wabunge tunaye bashe tyuu naomba mkuu wamkoa 2020 uje bukene tuombe kula zetu tutakupa z cyo mtu

  • @michaelcyprian6733
    @michaelcyprian6733 5 років тому

    safi mwanr

  • @richyruva1445
    @richyruva1445 5 років тому

    Kama umesikia neno rujwejwe gonga like za kutosha

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 років тому +1

    Huyu injinia kwa kweli alitamani afadhali angezimia akajikuta tu yupo spital lakini maskini hakijatokea hicho

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 років тому +3

    fyekelea ndani❌❌

  • @FrancisAMligo
    @FrancisAMligo 5 років тому

    Lakini mimi nimempenda sana. Uhakika wa mipango kwa faida ya watu

  • @dalalimollelarusha7151
    @dalalimollelarusha7151 5 років тому

    Safiiiii sanaaa

  • @danieliskander9680
    @danieliskander9680 5 років тому

    Heshima kuu ikufikie