Mpambe wa Rais alivyowasilisha bahasha ya siri bungeni
Вставка
- Опубліковано 11 лис 2020
- #Mpambe #JPM #SpikaJobNdugai #Bungeni #Dodoma
#RaisJohnMagufuli #Dodoma #KassimMajaliwa @DailyNewsDigital
Msaidizi wa Rais John Magufuli akiwasilisha jina la Waziri Mkuu Mteule ndani ya Bunge leo jijini Dodoma.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09
Da leo ndy nimeona uyu mpambe katabasam Kama na ww umeliona ilo gonga like twende sawa
👇👇👇
Kwer kabisa
🌹🌹
Hayati Magu mungu amlaze mahala pema,hakukosea kabisa kuchangua Jembe hili Majaliwa Majaliwa,mungu aendelee kukupa nguvu sana na uendelee kutuongoza.Amina.
Utakumbukwa daima R I P John pombe maguful
Fantastic
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu hapo kama hautojali
Ipo siku Allah atazidhihirisha siri zote,yawmunadhim
Pumzika salama baba magufuli
Mungu mbariki Rais wetu kwa uteuzi sahihi
Mambo ni motooo
😭😭😭 leo hatunaye tena
😭😭😭😭
Musimwite mpambe bwanaa angalau mjumbe
Dunia ina mengi sana ishaalah
Ivi Uyu wa kwanza kufurai ni Danga lake Au😀 ni Utani tu Majaliwa oyeee
I like that
Vip
haya ndio mimi niĺiyataka,walikuwa wanatukana majukwaani wamembia wakimaanisha awakuwa na dhamira njema ,(majizi)
Hafu leo hii WABUNGE ndio wamekuwa wasaliti kwa magufuri
🔥🕊️
the boc
Majaliwa deserves to be a Tanzanian prime minister
Uuûtygyff if no
Makofi aYo hayatoshi🤣
Alie kuwa nyuma analeta utani et😎
🎉🎉
Heh... bunge limejaa wakike kibaooooo
Kwaukweri kabisa jeshi let lina nidhamu sana
Du! Hiyo tembea mh ya kisasa🤣🤣🤣🤣🤣
Huu ni mapenzi ya kweli kabisaa waziri
Countries are really different. Kama hii ingekuwa Kenya upinzani wangekataa wakisema Raisi ajilete mwenyewe 😂Otherwise majirani mna Parliament ambayo ni ya kuvutia sana!
Zile drama zinakuwa Tz acha tu
Leo bunge 🇹🇿 linalia jaman wakati walikuwa na furaha eeh Mungu tulindie nchi yetu iendelee kuwa na aman😭😭😭😭
Rais SAMIA jaribu kusikiliza kilio cha mtumishi wa mungu MBALIKIWA MWAKIPESILE MBEYA ISYEISYE MAANA ANAHAKI YA KUSIKILIZWA KAMA LAIA WA TZ
Ndungai bwana..eti makofi hayatoshi..😃😃
huku kungekuwa kwetu kenya ungeona watu wakilimana mangumi ama kutupiana viti ati kisha ni ukabila🤣🤣🤣🤣
Hi
Kamanda kama kamanda
Hahahaha
Nitakumbuka sana kipindi hiki
Vp
Magufuri 😢
Mpambe tena
Binge la ovyo
Mmesahau kama mwaomboleza eee
R.I.P
Usajili wa yanga 2024
Remember your create r
Ongera snaa majaliwa unasitahili kwakwel
Majaliwa ngani tena
Wangetafuta jinsi ya kumwita nasio mpambe dah.
Nahuyo ndo rais atakae fata 2026
Nchi gani
Mmm
Kwani hana jina mpambe ndo nini
Mpambe ni msaidizi kwa lugha nyingine
Mpambe ni mtu maalumu mwenye sifa maalum, ila jinanaweza kuwa hata loko kama umekidhi vigezo na masharti
Leo bunge linawaheshimiaa mpaka wapampe wa Rais ???/bunge hili nikiriitaa LA viraza ntakuaa nimekoseaa??bungeni wangekuwepo wapinzani wssingekubali mpambe achomeke ujumbe kweli jpm mfalme sio Rais. nimekubali leo
Hongera yako kwa ulisema hiloo...Mungu atakulipa kwa unayoyasema ..hauna shukrani ww I think umefurahia kifo chake!9 furahi popote ulipo
What???
Duuh
Majaliwa deserves for it
Kuhani na mwalimu richad mwach
Tuliona mengi mno....
Vichekesho
Kofu
Pambe la rais
Majaliw umestahili hil pasna shak kabxa
Kuwasilisha dokument nd kiswahili gani
To deliver or present.
@@albanbros6705 😂😂😂😂
hii
ndio alchokitaka raid
awe na watu wasio weza kumkosoa
ndıo wanawake na ea chama chake
hahahahahahhah
Syo kila mtu anajua kiswahili
kwasasa kuna cheo kinaitwa mpambe wa rais kama unaakili kweli tunaitaji katiba mpya mambo yawe sawa sio hivi sasa tz ya leo tukubali kufa tupate katiba wa tz
Mambo mengne bhana yanafurahsha tu kuyaangalia😁
Af majaliwa alikaa backbench
Bakabencha oyeeee
Alaf backbenja wanakaa kama wajinga ila wanaakili🤣🤣
Eeeeee
Sawa
Bunge la ndio ndio2
utapasuka bro...
Tanzania mna vituko kweli kweli 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
We speak English in Kenya.
Magu aliteua jembe linafanya kazi yake hadi leo
Ccm,ccm,ccm
Nakupongeza kwa utiifu spika wa bunge
yuu.mad
WaS
Mtapiga Sana makofi Awamu hii
Nilikuw cjui kumbe had rais ana mpambe hahahaha
0
Eti anajifanya alikua hajui km atachaguliwa tena
n mfumo mkubwa saba hii n sistim
Kijiweni
Umbea mtupu...
@@alliymohamedalliy6524 wanatuona ss wajinga
Mpambe wa rais nae ni rais wazee
Ivi kumbe Ni mpambe sio mlinzi
Walinzi huwa ni wale wasiovaa sare
Iv kasimu ni mtu wawapi kwanza bara au zenji?
Luangwa
@@arizinamussa6006 jibu lako halitoshi...
By the way, sio " Luangwa" ni Ruangwa
Yeye ni wa Bara katika jimbo la Ruangwa Mtwara
Ooh ok
Tatizo cyo mihuri Bali yaliyoandikwa huko yanatusaidia wananchi!
Huyu mpambe wa rais anaitwaa nan ?jina
benard mlunga
Joseph mulunga
Upuuzi mtupu
😂😂😂wanamgombania
Nani .
@@msetikebwasi1469 kama hujaangalia bc
@@credo7837 kuona c kuelewa na kuuliza c ujinga ni kutaka kujua .
@@msetikebwasi1469 silazim ujue brother kausha
@@credo7837 siwezi kausha kwa sababu kuuliza c dhambi .
Ovyo kabisa
Kassim anafaa kua rais wa badae kama maguful akikataa kuendelea
Aysha fala ww unataka niendelee kufanyajee
Tz cyo nchi ya kifalme akiendelea ni tamaa tu za madaraka
@@edenbaraka7533 kuongoza nchi yetu ya tz rais wetu wa wanyonge tunajivunia alhamdullah
Kbisa sema ndio hivo mungu amefanya yake
huo upuuzi kwio
Bunge gani hili limejaa wanawake kiasi hicho
Ndoujuwe wanawke hawako nyuma kwass.kizazi kingine hiki.acheni wivu
Dharau za wanaume zishaanza duuh!
@@happinessjacob2512 sijui wanajikutaga kina nani
We mafi kweli, ulitaka awe Nani Sasa😠😠
Ata aliekuzaa mwanamke na ndie unaemwita MAMA
Mdicho mlichokua mnakitaka hicho upuuzi mtupu
Zuu,-,
La,amazlma
S64
Agata
Llkofufu
Vichekesho