Hivi ndivyo Aliko Dangote alivyoupata UTAJIRI wake hadi leo kuwa Bilionea #1 Afrika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @abdulrahmanmkanga4952
    @abdulrahmanmkanga4952 4 роки тому +8

    Haya ndiyo yakujifunza cku zote,, na sio upuuz wa wengneo kwenye mitandao. Shukran.🙏

  • @erisonguonahom6984
    @erisonguonahom6984 4 роки тому +2

    Mzee habari nzuri we need more than this we appreciate my brother

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +1

    Woow nimependa Sana umeeleza vizuri, hongera sky

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 роки тому +2

    Masha allah mungu nijalie utajiri nisaidie mayatima wanaoteseka😢🙏

  • @sirabahendayussufu2862
    @sirabahendayussufu2862 3 роки тому

    Sky ww ni nomaaa sauti yako noaaaaaa sanaaa I wish I can be like u🎼🎼🎼🎼very attractive

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 роки тому

    Thanks u brother sky kwa habr nzr na utangazaji wako

  • @drfrankfaustine5469
    @drfrankfaustine5469 2 роки тому +2

    Kaka sky izo ndo story zinazoweza kuleta manufaa inchin lakin siyo umbea wa kina mwijaku kwaiyo pls story kama izi ziwe nying ili watu wajifunze kutokubweteka na kufanya biashara ndogo ndogo ili kufika mbali sana

  • @CSMAPESA
    @CSMAPESA 2 роки тому +2

    Sasa mtu alipewa dollar 3000 miaka ya 1977 sawa na milion 6 na point kwa miaka hiyo inamaana sio pesa ya kitoto sasa we jidanganye uote kuja kuwa tajiri kikubwa tupambane tu na hali zetu tupate chakula maana MAJI HUFATA MKONDO

  • @desekepi
    @desekepi 4 роки тому +2

    Basi kuna mtu mzima tuu tena mkubwa alinipa story tofauti na hii kuhusu dangote afu sikuwazaga kuitafuta tena nikamuamini 💯 kumbe kaniingiza chaka 😅😅😂

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 роки тому +1

    Mashallah Allahumma barik 🙏❤❤❤❤

  • @barackhuncho2432
    @barackhuncho2432 4 роки тому +2

    Ooooh... it's OK it's ok

  • @godimahenge3345
    @godimahenge3345 Рік тому +1

    Kuna stoli nyingine na as tuwe tuna jiongeza tusiwe na mawazo mafupi ya kukuba TU. (1) babuyake unaambiwa alikua ni Moja ya matajili Nigeria (2) chuo kikuu Cha biashala kasoma misili. alipo itimu kaludi Nigeria (3)kakopa Kwa ndugu yake USD 3500. SAWA na 6000000 kwa miaka ya saizi Kwa miaka ya Yuma ilikua ni chini yaapo iyo iyo ela kaagiza Mchele na sukali. Nchi mbili tofauti. 🤔🤔🤔. Yani iyo nisawa nakuwaangiza vijana wajiajili wakati wewe umeajiliwa. 🙏🙏

    • @Nominated207
      @Nominated207 Рік тому

      Hakuna kisichowezekana lakini ukweli hawa watu hawawezi kusema ukweli story zao ndio kama hivo wanasema wametokea katika familia maskini kumbe sio kweli huwa wanazikuta mali kiasi wao wanaendeleza lakini bado Nampa heshima yake sababu kuviendeleza na vikakua pia kazi si ndogo

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +2

    Dangote kumbe ndio huyu shukran

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 4 роки тому +1

    Woow

  • @sadadololi4545
    @sadadololi4545 4 роки тому

    Asante maelezo mazuri sana 🙏

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +2

    Kumbe dangote ndo huyu🤔sasa kwhyo mam dangote huyu ni mwananae🤪

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 4 роки тому

    Napenda unavyo simlia 🥰

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 роки тому

    Safi

  • @egonkasiano7822
    @egonkasiano7822 4 роки тому +1

    one

  • @gucijeshii1794
    @gucijeshii1794 4 роки тому

    Boss

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 роки тому

    🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Sns

  • @khamisomary7428
    @khamisomary7428 7 місяців тому

    Tunaomba utafanyie interview na zongii mwanza

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 роки тому +1

    Walai izi story ndio nazipenda sio kila siku wasanii tu ivi vitu vinatujenga ss ambao tunapambna

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 4 роки тому +1

    Sasa fanyeni video why alifunga kiwanda chake cha Tz

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 роки тому

    💪💪

  • @abdullahyaasin768
    @abdullahyaasin768 4 роки тому

    Ahasante sana bro

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 Рік тому

    alilelewa kama MUISLAMU ama ni mwislamuu.??..🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @snetiengineeringltd8246
    @snetiengineeringltd8246 Рік тому

    Tuache wewe