BAKHRESA AVUNJA REKODI ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 61

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 Рік тому +4

    Masha'Allah!
    Insha'Allah iwe kheri kubwa sana, kwa mmiliki na kwa sisi abiria

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +2

    Bass haya mimi sina lolote nipo lailah hailawauwah mungu ndie anajuwa zaid

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 Рік тому

    MashaAllah Hongera Bakhresa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Mashallah mashallah mashallah mola awazidishiye baraka azam

  • @ahmedmselem9493
    @ahmedmselem9493 Рік тому +1

    Hakuna la kusifia hapo bado mnaonyesha kuegemea upande mmoja wa zanzibar huku pemba ikisahaulika boti za kasi zimejaa rout ya unguja dar wakati pemba hakuna boti hata moja hii ni dharau kubwa

  • @hamedamour2634
    @hamedamour2634 Рік тому +8

    Kwa upande wa usafiri bado kabisa na hakuna sifa yoyote mpaka sasa madhali bado Kuna ugumu mkubwa wa usafiri wa unguja kuelekea pemba na kurudi .......... Hivi kweli tuseme usafiri upo wakati zinajaliwa biashara kuliko wasafiri.....eti meli ipunguze mwendo kwa kuuza biashara zao......usafiri wa masaa 2 au 3 .... Msafiri anakaa ndani ya chombo zaidi ya masaa hayo.....je huo kweli usafiri au madhila......... Kama kweli hassa kuwepo sifa basi upatikane usafiri wa kisasa tena ni wa haraka wa kwenda pemba na kurudi.....sio usafiri wa kujali biashara huku wananchi wanateketea na kuteseka katika safari yao

    • @tajirifundi
      @tajirifundi Рік тому +1

      Biashara ipo zanzibar kwenda dar sio pemba

    • @hamedamour2634
      @hamedamour2634 Рік тому

      @@tajirifundi ikiwa biashara ipo hivyo unavyosema......je! Kuliwahi kutokea siku moja wapo kwenda usafiri na kurudi kwa siku hiyo hiyo moja ?
      Ikiwa hakuna basi usiseme kitu kwa fikra zako tu ..... Tafakari kwanza then ndio useme.
      Ikiwa huu usafiri uliopo sasa tu unaotoka unguja kwenda pemba unajaza meli na siku ukirudi pia unajaza .... Fikiria ingelikua kuna speed boat yenye uwezo wa kwenda na kurudi Kwa siku ...... Abiria wangapi ingelikua wanakuja kufanya biashara au kuleta biashara zao na kuweza kurudi kwa siku hiyo hiyo moja!!!!!!
      BIASHARA HAIJAEKWA SEHEMU SPECIAL ...... IEKWE BOAT NDIO UTAONA UYALISIA NA SIO POROJO

    • @hamedamour2634
      @hamedamour2634 Рік тому

      Leo hii eti mapanton ndio tunaambiwa meli ...... Tulipotoka kuzuri kuliko tulipo.....ulizia MV SEPIDE NA NYENGINE ILIVYOKUA IKIKUMTA MAJI NA ILIKUA INAPIGA SAFARI NGAPI KWA SIKU

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Рік тому +1

      Wallah umeongea pwent kama ungali kuwa nakuona zawadi jngestahikinkwako my

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Рік тому

      ​​@@tajirifundi hm pole nani kakwambia zile tunazo nunua nini au wenye pesa ni watu wanao safiri kwenda dada tuu wa Pemba hawana hebu wacheni dharau

  • @JohnLeonard-d6y
    @JohnLeonard-d6y Рік тому +1

    Hongera kwako mzamini wa meli

  • @alymwala6725
    @alymwala6725 Рік тому

    Nakupata sana nakubali kazi yako sna❤

  • @sadih5333
    @sadih5333 Рік тому +2

    Nimeshangaa na hayo magwanda ya kijani na vitambi vya ugonjwa wa kisukari,

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому +1

    Masha Allah

  • @karamahfoudh8
    @karamahfoudh8 Місяць тому

    Ruti ni wapi na wapi

  • @eliudezekiel8615
    @eliudezekiel8615 Рік тому

    Punguzeni nauli nikubwaa sana Zanzíbar to dar. Nikaribu sana

  • @JumaMsukwa-bu5nt
    @JumaMsukwa-bu5nt Рік тому

    Mungu amupe wepes zaid nazaid😊

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 Рік тому

    Mashaallah tabarakaallah

  • @abdilahhajj154
    @abdilahhajj154 Рік тому

    jamaA asa anapenda sofa Sana kulimo kazi

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Рік тому

    Mashaallah jazakumllah kheir amiin

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm Рік тому +2

    Kisiasa zaid naona

  • @habibumohd1808
    @habibumohd1808 Рік тому +1

    Pemba tupen kisiwa chetu munatubagua

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 7 місяців тому

    Tena kwani ayo mashat ya CCM ktk huduma za jamii walio wengi yanini si mungoje ktk mkutano wenu wa chama

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 Рік тому

    Sijaipenda hii serikali baharesa anatupinga pesa nyingi kupitia baharini kuliko hata viwanda.vyake

  • @sebcltd187
    @sebcltd187 Рік тому +1

    Bado kwasababu Pemba si usafiri wa anga Wala waboti hili litafutiwe ufumbuzi

  • @lullebolle808
    @lullebolle808 Рік тому

    Wewe ulitaka afungue shule sio?

  • @nassorhamad1904
    @nassorhamad1904 Рік тому +1

    Wapemba hamututendei haki 😢hatuna usafiri WA kutoka Pemba Kwenda unguja

  • @kasimukessy
    @kasimukessy Рік тому +1

    Sawa bado zan fast feries nae kuleta Zanzibar 3.

    • @yahyaanasi9879
      @yahyaanasi9879 Рік тому

      iyo chuma inayokuj inaitwa wek mbaki n watt

  • @salimukimwaga
    @salimukimwaga Рік тому

    Barabara ya nini toka dar mpaka znz wakati hakuna shida ya usafiri hata siku moja tusichezee fedha za mikopo tukope kwenda kuchimba. Chuma kitakachoweza uchumi wa nchi hiyo barabara haina uchumi wowote ila ila ni kubaki na madeni kwa watanganyika tu

  • @MussaOmar-fo6kp
    @MussaOmar-fo6kp Рік тому +1

    Ah santeni kwakutujali sisi tunaokwenda pemba mm nataka kujua ile spidi bot mbona haifanyi kazi namaanisha sepide ambayo kwa sasa imebadilishwa jina inaitwa royaly 2

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 Рік тому

    Sisi tunaisubiri CHOMBO yetu ya Fundi Zan first ferries. ZANZIBAR 3 Fakhari ya Wazanzibari soon inshaaallah biidhni LLAH

  • @suleimanikirassahassan9711
    @suleimanikirassahassan9711 Рік тому +2

    Raisi anakosa kazi anafungua boat

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Рік тому

    Au ndio matunda ya Uvamivi wa oktoba 2020?.

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 Рік тому

    Huyu kijana aliongea kwanza ni yule akisalisha masjid Mtoto taraweh?

  • @jokhasimba586
    @jokhasimba586 Рік тому +1

    Ndio.allaah ameshamjalia huyo

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 Рік тому +1

    Hizo boat mbona Pemba hamuzipeleki Kama kweli Ni boat hasa!!

    • @princealrawahy
      @princealrawahy Рік тому

      Nunua yako uipeleke

    • @alhudhaify7810
      @alhudhaify7810 Рік тому +1

      Zitaenda tu subiria, Zanzibar 3 ikianza kazi kwenda Pemba na hao hawatokua mbali

  • @yahyaanasi9879
    @yahyaanasi9879 Рік тому

    iyo meli ay boat tujifunze kuongea bwn iyo ni boat

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 Рік тому

    Baharesa anatupinga kwa bakora yetu wenyewe serikali ipo haina kitu pesa zetu anachezea akili sasa serikali ipo wapi isifanye wao mambo hayoo anafanya.mtu binasi tulimuondowa mkoloni ilitujitawalee R.p rai wetu kipenzi mzee wetu Abed Amani karume

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Рік тому +2

    Ni Ujinga inamuhusu nini rais , hayo ni mambo ya priivate section
    Africa bado mmelala.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Рік тому +1

      Rais pia anapenda kiki mie simuelewi kabisa ukiwa na kibanda chako cha kahawa ukimwita aje kufungua bc atakuja na mawaziri wake wote na mkewe

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому +1

      @@KassimAlly-xp4dz Hii Meli ya kisasa
      imeitwa KILIMANJARO ni ya ZANZIBAR au TANGANYIKA?

    • @mabrozacpmstancesa1207
      @mabrozacpmstancesa1207 Рік тому +2

      @@khatibal-zinjibari6956 Acha ubaguzi sote watanzania Kwan ikiitwa Kilimanjaro kunashida gan?🤪

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому +1

      @@mabrozacpmstancesa1207 Samahani Tanganyika na Zanzibar ni Nchi na Kilimanjaro sio jina la Mtu.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому

      @@mabrozacpmstancesa1207 Kwani kuna shida gani kuitwa Forodhani?
      MAZURI (Mfano Meli ya Kilimanjaro) ya ZANZIBAR ni ya TANZANIA.
      LAKINI
      MABAYA (Mfano Biashara ya Utumwa) ya ZANZIBAR ni ya ZANZIBAR.

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 Рік тому

    BAHARESA AVUNJA REKODI YA SERIKALI YA ZNZ ILIOKUWA HAINAPESA KWA KUWEZA KUCHUKUWA MAJUKUMU YA KUNUNUWA MALI KAMAHIYO NI AIBU KWA UKWELI NCHI INAWATU WALIOKUWA WANATAKA KUIUWA ZNZ NA TAYARI WAMESHAIUWA ZANZIBARI ANGALIKUWEPO INSHAALLAH MAREHEMU ABEDI AMANI KARUME ASINGE KUBALI HAYA SERIKALI KUTIWA AIBU NA WATU WA KAWAIDA KILICHO BAKIYA WANAKUCHEKENI KIAKILI TU HALI YA ZNZ INADHOFISWA NA MAGUWO YA KIJANI 😳😳😳😳😳😳😳😳😳😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰😰🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿💀🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿🔥🇹🇿

    • @mohddelo
      @mohddelo Рік тому

      Wewe chuki tu zimekujaa ila mungu atakulipa