MAGUFULI: Nimejitolea maisha yangu kwa ajili ya Watanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 189

  • @mpogomialexandermussa248
    @mpogomialexandermussa248 3 роки тому +18

    Wamemua rais wetu mwanga wa milele umwagazie eeeh Bwana,apumzike kwa Amani, Amen,😭😭😭😭

  • @mussaisaac
    @mussaisaac 3 роки тому +6

    Kweli mzee wangu ulijitoa kweli kweli...Pumzika kwa Amani baba tuonane paradiso kwenye mji wa raha.

  • @mustafakalamo2912
    @mustafakalamo2912 3 роки тому +12

    Mungu akupokeye. Unakufa ju ya kusema kweli

  • @oscarkasalile8442
    @oscarkasalile8442 3 роки тому +1

    Ee mungu wetu kazi yako haina makosa ila umemchukua mapema mtu wako, nasi alikuwa rais wetu wanyonge na maskini, ila tunamuombea watanzania wote tunao like hapa, wanaomuombea pepo magufuli ebu tu like hapa, Amina.

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 3 роки тому +18

    Pumzika kwa amani Baba Magufuli, Mungu Baba akupokee na uketi katika mkono wake wa kuume,katikaniina la kristo Bwana, amaina.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Akika kaka ulijitoa kwa moyo wa thati kutupigania lakini ibilisi aliye laaniwa akupendezwa na kazi yakk

  • @daudinyenye6875
    @daudinyenye6875 3 роки тому +6

    Mungu muweke mahari pema pepon roho inaniuma sana huchoki kusikiliza hutuba zake ,

  • @richardkubanda6627
    @richardkubanda6627 3 роки тому +3

    Mungu kwanini UMERUHUSUU MWAMBA WETU AENDEE Tumebaki na ukiwaaa nafsi zimejawa gizaa Magufuli lala SALAMAA tutaonana badaee sote njia yetu moja 😭😭💔💔 tangulia twaja. Tanzania imekumis.

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 роки тому +36

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty

    • @dometridabenard8881
      @dometridabenard8881 3 роки тому +4

      That sure u talking but now our nation is so sad there is no leader like magufuli for now

    • @amosmoses7800
      @amosmoses7800 3 роки тому +1

      Am aN Italian
      ThE LaTe maGuGuLi wAz a Tyrant RuleR. ThE BLooDy DicTaToR in AFRICA.
      ANceLLOti SchhiLLaCi

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Daaa baba mungu akubariki sana kaka zaidi sana kaka ulipo tupo kaka jipm

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Kaka ulijitolea kwa moyo wako wote kutupigania lakini ibilisi usiye mfahamu

  • @ommykiss4550
    @ommykiss4550 3 роки тому +10

    Walianza kukata shina la magufuli ambae ni Mkapa zen wakaja kumaliza kiulaini kw magu mwenyewe...daah😭😭😭😭

  • @johnmathenge3406
    @johnmathenge3406 2 роки тому +1

    Kweli vita ya kiuchumi ni mbaya sana pumzika kwa amani Simba wa Afrika John Joseph Pombe Magufuli.

  • @hadijaabdul8765
    @hadijaabdul8765 3 роки тому +9

    Mimi nitakulilia mpaka mwisho baba yetu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jessicarasigu2220
    @jessicarasigu2220 3 роки тому +3

    Tuko njiani tunakuja ukouko ulipo baba Magu 😭😭😭😭😭😭 kwani akuna atakaye dumu hapa Duniani sisi wote ni maiti watarajiwa,😭😭😭😭😭😭 Pumzika kwa Amani Raisi wetu shujaa wa Afrika,

  • @anthonymloko1733
    @anthonymloko1733 3 роки тому +16

    Pumzika kwa amani mzee wetu

  • @calvinchonjo
    @calvinchonjo 6 місяців тому

    It's 2024 remember u champion,always in my heart

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 роки тому +1

    lala baba tutaonana badae kila Siku Mimi nakuombia baba sijawai Kuacha kukuombia baba lala baba lala vta umeipiga baba Hakika mungu amekupokea na IPO Siku Kama Kuna Mukono WA mutu umeusika hatafika Mzi wakumi mungu atailusu hasila yake lala Kipenzi cha Wat u🙏👏👍

  • @undulemwakibabala8119
    @undulemwakibabala8119 3 роки тому +4

    PUMZIKA kwa AMANI Hayati Rais Magufuri 😭😭😭😭😭

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 3 роки тому +13

    Kweli umejitoa sadaka,ulimwengu na taifa la Tanzania tumekutambua.

  • @andrymilanzi4720
    @andrymilanzi4720 3 роки тому +6

    Pumzika kwa amani mzee baba

  • @richardmanyilizu8400
    @richardmanyilizu8400 3 роки тому +1

    Kweli ulitupenda ukayatoa maisha yako kwaajiri yawatanzania tulikupenda sana tutakukumbuka daima rais wetu kipenzi

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 3 роки тому +2

    Hakika mtu huyu alikuwa mwema sana (Rais John Pombe Magufuli)

  • @meshackmagee1412
    @meshackmagee1412 3 роки тому +6

    #nitakukumbuka rais wang mpendwa##
    Mungu akurehemu upumzike kwa amani na utuombee sisi wanao tuwe na mawazo kama yako Amina!!

  • @josephholela136
    @josephholela136 3 роки тому +1

    Mzee pumzika kwa amani ulijitoa sadaka kwa ajili ya Tanzania mungu atajibu maombi yako kwa wanafiki

  • @jofreypilla5041
    @jofreypilla5041 3 роки тому +7

    We miss you dad 😭

  • @bonifacejohanes895
    @bonifacejohanes895 3 роки тому +6

    You were the commander in chief, Man of strong faith, a hope to the poor and true statesman. You made us believe Tz is a rich country and u demonstrated this with massive development projects you implemented for the development of the nation and its people.

  • @user-cl7km9ob3m
    @user-cl7km9ob3m 5 місяців тому

    AMEEN baba 🙏

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 3 роки тому

    We mungu muumba mbingu muweke mahalipema peponi huyu magufuli ananiliza kila nimskiapo laisi wangu mpendwa nilimpenda Sana kwaukweli wake

  • @saidseleman6004
    @saidseleman6004 3 роки тому +3

    Raisi kama huyu watu mkamuuwa dah mungu atusamehe

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 роки тому

      Alafu kinacho Uma wema wake hata Hao waliyo muua umewasaidia huku niliko matajiri Hawana raha wa aishi kwa hofu kisa corona tz tumepata nabii mwema KAKEMEA Korona hatufi kama wenzetu katutia moyo wa kumtegemea mungu zaidi huku hadi Leo misikiti na makanisa vimefungwa kheli KUMLIPA kifo baba huyu MUNGU ANA KASILIKAJE?

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 3 роки тому +2

    Arafu bado Kuna mbwa baada ya kufa, wanakubeza eti ulikuwa dikteta , mungu atawajibu hapa hapa duniani .

  • @johnstonerhino8852
    @johnstonerhino8852 3 роки тому +2

    Pumzika kwahamani raising wangu niliyekuwa nakupenda😭😭😭😭

  • @neemaanney9379
    @neemaanney9379 3 роки тому +17

    big up legend magufuli rest in peace

  • @sarahantony3319
    @sarahantony3319 3 роки тому

    Leo tunalia baba imebaki stori Asante Mungu

  • @jumamavind7713
    @jumamavind7713 3 роки тому +1

    Makugufuli wewe kweli nimtu wamungu ,asante kwakuwatetea watanzania namali zao

  • @akidanyanje9072
    @akidanyanje9072 2 роки тому +1

    Even if i will meet you in heaven ,to be honesty i will carry you to my hands n ask god to keep you safe place... Rip baba

  • @samwelimadaha767
    @samwelimadaha767 3 роки тому

    Asante Papa ....TUNAAMINI SASA! TUMEJIONEA ...

  • @japhetpdidi49
    @japhetpdidi49 3 роки тому +2

    Naomba kuuliza mtu anayempinga magufuli ikiwa kasema kajitolea kufa kwajili yetu na kweli kafa bado amuoni upendo wake juu ya tanzania.

  • @emmanuelmichael3012
    @emmanuelmichael3012 3 роки тому +3

    Mtu mkweli akieleza alisema vitu kwa undani ili kila mtu aelewe kwa kweli tunamshukuru MUNGU sana kwa ajili yake APUMZIKE kwa amani Baba yetu JPM

  • @gilbertkipchumba2256
    @gilbertkipchumba2256 3 роки тому +5

    The man who fighted for the corruption in TZ,, rest in peace Mgufuli

  • @nurreinmwatsahu8044
    @nurreinmwatsahu8044 7 місяців тому +1

    We miss you JPM

  • @raphaelluyela5666
    @raphaelluyela5666 3 роки тому +2

    Dah,baba magufuri pumzika kwa amani tanzania wanyonge wako tunakukumbuka baba bado naishi kwa kusikiliza clip zako kwangu kwa upendo bado tupo pamoja

  • @amiryhamza1984
    @amiryhamza1984 3 роки тому +5

    pumzika kwamani rais wetu magufuri allah akuweke mahalapema peponi bado naumia sana

  • @elizabethkwilasa4857
    @elizabethkwilasa4857 3 роки тому +2

    RIP shujaaa wa Africa umetufumbua macho watanzania x😥😥😥😥😥

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 3 роки тому +3

    We mis you so much baba yetu

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 роки тому

    Nakupenda haijalishi umelala màuti,unaweza kufufuka kwa nguvuu za Mungu,nitakupigia kula Tena Baba angu.

  • @lucyshirima4701
    @lucyshirima4701 3 роки тому

    Pumzika kwa Aman jpm jmn mungu akupungusie athabu za kaburini

  • @faustalugome2860
    @faustalugome2860 3 роки тому +2

    Yaani wewemagufuli kama umeitwa na mungu sisemi mengi.

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 3 роки тому +2

    Lissu hii meseji ya usaliti ikukae vyema akilini na iwe funzo. Ulitutisha Watanzania kwamba tukiwagusa Accacia basi tutashitakiwa MIGA,, lakini mwisho wa siku Magufuli alituvusha salama hapa na sasa Taifa linaenjoy kodi pamoja equal sharing ya faida ktk migodi

  • @shadymbuki87
    @shadymbuki87 3 роки тому +8

    Yamekupata pia baba..pumzika kwa amani JPM 😭😭😭

  • @amiryhamza1984
    @amiryhamza1984 3 роки тому

    tunakukumbuka sana rais wetu magufuri allah akuweke mahalapema peponi mtetezi wetu maneno yako niyakizalendo umetupenda sana watanzania tunakuombea pepo yamirere

  • @rehemaedison1802
    @rehemaedison1802 3 роки тому +13

    Cjui nitanyamaz lin kila nikiangalia lzm machoz yatoke jmn inaumiz mno

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 роки тому +1

    We miss Yu big Time dad

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 2 роки тому

    Baba wa mataifa ya Africa huyu mungu muweke pema mnzalendo wa kweli

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 роки тому +1

    Kwa hakika ameichokoza vita hatari.Ni kujitoa mhanga kweli kweli.

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 3 роки тому +6

    Rip JPM Umeacha Alama Kwa Taifa letu

  • @maryerick5487
    @maryerick5487 3 роки тому

    Ww uliona mengi sana yaan mungu angekupa misha miaaka 5 mingne Tz ingekuwa mbali sasa tumelemewa mizgo tangulia baba umefanya meng kwa muda mchache nenda baba tunakulilia JMP

  • @aronesamson3692
    @aronesamson3692 2 роки тому

    Pumzika kwa amani shujaa wa Tanzania jpm

  • @alindabenjamin6672
    @alindabenjamin6672 3 роки тому +2

    Pumzika kwa amani Baba!!

  • @ezzy_7669
    @ezzy_7669 3 роки тому +1

    Raisi wetu tutakukumbuka sana

  • @fadhilimwanjwega
    @fadhilimwanjwega 3 роки тому +3

    Nilichokuwa napenda kwa uyu dady,,, ni kuwa ALIKUWA ANAJUA ANACHOKIFANYA ... His responsibility as president 🙏🗞️🇹🇿.

  • @calvinmwasambili4080
    @calvinmwasambili4080 2 роки тому

    Mungu mwema ipo Sik nitakuona

  • @allyabdallahmsusa
    @allyabdallahmsusa 3 роки тому +5

    The Great 😔🙏🏾

  • @patricklembeli8523
    @patricklembeli8523 3 роки тому +1

    Nakupenda nawaliohucka watajuta nao ni wafu watalajiwa watakufa mbwa wawazungu

  • @yohanaphilemon7645
    @yohanaphilemon7645 2 роки тому

    Lala salama baba yetu , mkombozi wa taifa letu

  • @kareemmngeza478
    @kareemmngeza478 3 роки тому +1

    Kimwili ako nasi,kiroho uko nasi hamilijeshi mkuu wa Africa .Allah akuepshie Shar na usida mbaya.tunakukumbuka

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 3 роки тому +1

      Kimwili na Kiroho Hayuko nasi maana ameshakufa.
      Au ulimaanisha nini mkuu

  • @piusjosephnjige8171
    @piusjosephnjige8171 3 роки тому

    Tutakukubuka daima

  • @benjaminabisemba5331
    @benjaminabisemba5331 3 роки тому +2

    RIP mzee wetu JPM 😭😭😭

  • @mathiasbuhili4102
    @mathiasbuhili4102 3 роки тому

    Tunakukumbuka bba etu

  • @shaninjarangi722
    @shaninjarangi722 Рік тому

    Hakika sauti Yako imebaki ktk mioyo yetu tutakukumbuka daima

  • @gloriendelule2939
    @gloriendelule2939 3 роки тому +1

    Daah 😭😭 nitakukumbuka daima

  • @etemesiedward1508
    @etemesiedward1508 Рік тому

    king jpm

  • @tajiriadamu41
    @tajiriadamu41 Рік тому

    Daddy Rest In Peace ✌️ kutoka South Africa 🇿🇦🙏🏿

  • @ngasikecollins6910
    @ngasikecollins6910 3 роки тому +1

    hardworking with focus

  • @frankkashner
    @frankkashner 3 роки тому

    For the rest of my life utabaki moyoni Mwangu

  • @lydiaemmanuel7355
    @lydiaemmanuel7355 3 роки тому

    Dah! One day yes

  • @athumanishabani4970
    @athumanishabani4970 3 роки тому +1

    R.i.p magufuli

  • @siwonikewiliam5104
    @siwonikewiliam5104 3 роки тому +1

    Pumzika kwa amani Mzee wetu

  • @dripboymedia6032
    @dripboymedia6032 3 роки тому +1

    Rest In Peace our lovely president😭

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 2 роки тому

    Huyu alikuwa mzalendo wa kweli

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 3 роки тому

    Roho yangu unahuzuni paka Leo pumzika kwa Amani baba

  • @ibrahimmabila5518
    @ibrahimmabila5518 3 роки тому

    Mama

  • @sadickwaziri3182
    @sadickwaziri3182 2 роки тому

    Sijawahi kukupinga kila hatua uliekuwa unapiga daaaaah tunakukumbuka sana

  • @raymondanthony6207
    @raymondanthony6207 3 роки тому

    Tunalia saiz baba

  • @mashakamapate7846
    @mashakamapate7846 Рік тому

    Pumzika salama

  • @kulwamabula4983
    @kulwamabula4983 3 роки тому

    Kila jambo litakaro fanyika lazima mwenyezi mungu alikubali kwanza kisha aweke vema nimekubali mfano mzur kwa mkali tundu lisu kapigwa lisasi 17 mwlini mwake lakn mung akuweka vema maana aliona matendo yke yakuwatetea maskin yko sawa ndo akufa sasa huyu kwanza alimziaki mungu akataka watanzania tumuogope kuliko yeye mungu,uspo msifia tu umekwisha acha afe mungu katumpumzisha na mengi yaliokua mbele yetu mabaya

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 роки тому +6

    Hivi mtu kama huyu, mkweli kama huyu nitawahi kumwonea wap jmn, hivi machozi yangu yatakauka lini??? Bwana tusaidie.

  • @peterkahura6668
    @peterkahura6668 3 роки тому

    100 💯 Rais

  • @ev.nanaipetrotv9976
    @ev.nanaipetrotv9976 3 роки тому +1

    Powerful speech

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 роки тому

    Waliokuwa Wanapinga Maendeleo Ya Taifa letu la Tanzania Hao Ni makuma Sana Yaan na Mungu Awalaani

  • @edisonbenard226
    @edisonbenard226 Рік тому

    RIP BABA JPM

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 3 роки тому +1

    Hujacheleweshwa Baba yetu,Tayar wamekumaliza kipenzi chetu.ndo hao hao,wameshirikiana na Mabeberu kukumaliza.ILA MUNGU YUPO,JPM UMETUUMIZA WATANZANIA WANYONGE.MACHOZI HAYAKAUKI,TUNALIA MPAKA TUNAMKUFURU MUNGU.

  • @annamussa679
    @annamussa679 3 роки тому +3

    Hakika ww in pengo lisilozibika wanyonge bado tunakulilia

  • @swagger7053
    @swagger7053 3 роки тому

    Bab ayo mambo ya KO'd uliyasimamoa vzr

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 3 роки тому

    The great king

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 3 роки тому

    Huyu kweli alikuwa Rais .

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 3 роки тому

    Asante sana

  • @tabasamushemndolwa7201
    @tabasamushemndolwa7201 2 роки тому

    Ivi wewe mzeeee nalia tu nitalia mpaka basi

  • @fredyphilimon38
    @fredyphilimon38 3 роки тому +1

    Never and never, seen all-over

  • @khamissaid7394
    @khamissaid7394 3 роки тому

    Puunzika kwaamani baba

  • @brightluvanda2795
    @brightluvanda2795 3 роки тому +4

    Eeh!MUNGU tuondolee uchungu huu!tulipo sasa kimya kimetanda hatujui a wala be!

  • @user-bf8dy5nl6h
    @user-bf8dy5nl6h 8 місяців тому

  • @ArnstanFrahaHitler
    @ArnstanFrahaHitler Рік тому

    RETURN IF POSSIBLE THE LEGEND (((FATHER OF PAN-AFRICANISM))))