Hotuba ya Rais Magufuli Unguja, Zanzibar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @jovianusmusimo5652
    @jovianusmusimo5652 6 років тому +1

    Ubarikiwe sana rais wetu Mungu azidi kukulinda na kukujaza hekima na maalifa, hakika tanzania mungu ametupa kiongozi mzuri sana

  • @mariamsongoro8026
    @mariamsongoro8026 4 роки тому

    Nampenda raisi wangu naipenda TANZANIA 🇹🇿

  • @samwelmohabemarwa5316
    @samwelmohabemarwa5316 8 років тому +2

    Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika

  • @kipolelosaid6938
    @kipolelosaid6938 8 років тому +2

    huyu ndie rais tuliejariwa na mwenyezi mungu namukubali sana

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 8 років тому +3

    Sina Shaka na utendaji wa Rais magufuli namkubali namuhitaji sana roho yangu imefurahi sana

  • @adambago
    @adambago 8 років тому +2

    Tanzania ni nchi nzuri, tunamshukuru Mungu. Ni wapi kama Tanzania? Licha ya changamoto tulizo nazo bado upendo upo palepale. Asante Mwenyezi Mungu.

  • @ramaaally8280
    @ramaaally8280 8 років тому +2

    Pongez kwako rais wetu makufuri natumain tz ikipata marais kama huyu watano ivi tutafika mbali sana kimaendeleo mungu azid kukupa ujasil

  • @abelubambaa8152
    @abelubambaa8152 8 років тому +2

    Huyu ndiye Rais ambaye Tanzania inamhitaji,

  • @kadelege8034
    @kadelege8034 8 років тому +2

    Ama kwa hakika ww n chaguo la mungu endelea kutetea watanzania

  • @salumkiduda3607
    @salumkiduda3607 8 років тому +2

    safi sana kiongoz mkuu

  • @ffanklleopord5998
    @ffanklleopord5998 2 роки тому

    Kweli tulikuwa na raisi dikteta

  • @allywalid1172
    @allywalid1172 6 років тому +1

    Huyu mzee angefanya kazi na marehemu Walid sipati picha mzee ana uchungu sana nipo Mr President nitahakikisha nakulinda kama mtanzania naitaka nchi maendeleo.

  • @iliasaliogopen6505
    @iliasaliogopen6505 4 роки тому

    Dunia bwana inafurahisha saana,nawana dunia wanafurahisha saana.

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 роки тому +1

    Rais wangu nimpendaye.

  • @amandomwasuku918
    @amandomwasuku918 8 років тому +3

    Faza kama Nyerere vile msimamo

  • @lwandalikohugu8698
    @lwandalikohugu8698 8 років тому +3

    pongezi Mr president

  • @ffanklleopord5998
    @ffanklleopord5998 2 роки тому

    Hicho ni kiburi cha uongozi wa kipumbavu!!!!

  • @rajabumoshi8209
    @rajabumoshi8209 4 роки тому

    Wewe ni Rais Wawanyonge tunakuomba Rais wetu uwatoe mashehe wa uwamsho.

  • @khadijkhadijakamus7247
    @khadijkhadijakamus7247 6 років тому +1

    Muheshimiwa nakukubali naomba utusaidia sis i maskini tunanyanyaswa na kunyanganywa mali zetu n.a. wageni wanaoingia kuufungua miradi mbili mbali ikusaidie muheshimiwa

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 4 роки тому

    Safii magu sahihi vyema sanaa

  • @mgendela2416
    @mgendela2416 8 років тому +2

    keep moving broda.👍

  • @rajabumoshi8209
    @rajabumoshi8209 4 роки тому

    Rais nakuomba uwatoe mashehe wa uwamsho nakuomba Rais. Ahsant

  • @ffanklleopord5998
    @ffanklleopord5998 2 роки тому

    Hapo ulikosea kutembea na maskini

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 роки тому

    Makufuli oyeeee love youuu

  • @allywalid1172
    @allywalid1172 6 років тому +1

    Muungano daima

  • @yorrammabugas5856
    @yorrammabugas5856 8 років тому +4

    huyu ndiye rais kidume tuliyekuw tunamtak, piga kaz we ndo mwanaum tuliyekuw tunakutak

  • @aminandendya6727
    @aminandendya6727 4 роки тому

    Safi mzee

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 4 роки тому

    Magufuri oyeeemupederais wenu turikatarakabira tunariyaleo

  • @mckamotvonline7437
    @mckamotvonline7437 8 років тому +1

    daaaah

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 4 роки тому

    Njaa kali

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 5 років тому +1

    ".Mimi ndiyo Rais" hahhhh bigup

  • @amourharthi4379
    @amourharthi4379 8 років тому

    Mimi nauliza huu uwanja wa ndege ulitengenezwa na nani?jee magufuli unasema kweli?

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 4 роки тому

    magu kwahili una jenga chuki kwa wazanzibar

  • @feiz3180
    @feiz3180 8 років тому +1

    uwezo wa kufikiri ni mdogo sana. Huyu Magufuliamekuja kutukana wazanzibari. Hakuja kuleta amani bali farakano. Viongozi wetu hawakumjibu kitu. Hapa zanzibar hatuna haja kuhubiriwa chuki na Magufuli. Tunajuwa tunachokitaka....Kaeni kwenu Tanganyika musituletee ujinga na utumbo kama huu kwetu.

  • @pigabox8117
    @pigabox8117 8 років тому

    duu

  • @mpokiraphael7508
    @mpokiraphael7508 8 років тому

    crap

  • @kipolelosaid6938
    @kipolelosaid6938 8 років тому +2

    huyu ndie rais tuliejariwa na mwenyezi mungu namukubali sana