Ya Rabiii ya rabiii tuepushe na hizi shari za majini pia za wanadamu wabaya Allah wewe die nguvu yetu sikia kilio chetu na utuepushe na shari utupe dheri zako ya rabii ya rabiii na umwogoze shehe othman kwa kazi yako na ulipe hapa duniani na kesho aghera😢
Ameen thuma Ameen nakuombea kwa kila la kher na Mwenyezi Mungu akuzidishie umri uje uwape tiba hata vilebwe keza vyetu In Sha Allah. Sheik nasikiliza sana hizi ruqya mana nasumbuka kwa kipindi kirefu naamini ipo siku atateremsha rehema yake 🤲🤲🤲🤲🤲
Chukuran jazaka lahou kher mimi jo ku aza kukufwata kisomo ya Rukiya, nime choka na ungojwa mwaka tano.sijatocha kitumayini kwa Allah, niya naku ombeya Allah akubari na akukinge na kila kibaya chote nda ya mayicha yako nakizazi chako ,takita na ichallah tuta onana uni ombeye jinalangu Habiba
Pamoja na watoto wako wote na mamako mzazi my mam i.a wabilahi taufig inshaalah sheik osman Allah akupe zaidi you want to do for dinner tonight to get a new car for you and your family are doing well how are doing well too late for you and you are doing better than my dia sory ❤❤
MashaAllha shekh napenda unavyo soma maana naumwa kichwa,kifua,mgongo miguu mikono vyotevinaniwaka moto. Ila unavyo soma bac vikokatika har ya kunipwina mfano wajipu
Alaah akupe Maisha marefu inshaalah sheik osman na pia ukifika siku yako ulisema una persona royal blue ok thanks for letting me get a chance please Niko but badae inshaalah
Asalam aleykum ustadh mm nakufatilia nkiwa sausia katika maelezo yko nmeadhirika na naotandote za majoka mikusanyiko ya watu miguu kywaka moto nahisi baridiKali mgongoni sinaraha na usingizi naomba Dua yko
Asalam Alykum shekhe nakuuliza unafanya kisomo kwa pesa ama manake hapa nime uliza wengi kwanza wanakuuliza pesa haki ita toka lakini si kwanza kuuliza pesa kwanza wana uliza lakitano kama huna hezo pesa anasema siwezi kuku saidiya sielewi watu wana weka pesa mbele si elewi watu aina hiyo pole sana sijuwi wewe
Allah akulipe kheri sheikh othman michael
Allah atuhifadhi Sheikh Othuman micle😊😊
Shukrani sana Shekhar Inshallah kisomo kikafanye mimi pamoja na wazazi wangu Inshallah 🤲🤲🤲
Mungu atufanyie wepes magonjwa tulokuwa nayo yaondoke ishaallah ❤❤❤
Shukran Jazillan sherk Allah akuzidishie kila lenye kheri na Inshallah atupe radhi zake sote Yarrabb alamin
Jazaka Allah Kher Sheikh Othman micle nimetapika japo kidogo alhamdulillah
Ya Rabiii ya rabiii tuepushe na hizi shari za majini pia za wanadamu wabaya Allah wewe die nguvu yetu sikia kilio chetu na utuepushe na shari utupe dheri zako ya rabii ya rabiii na umwogoze shehe othman kwa kazi yako na ulipe hapa duniani na kesho aghera😢
Masha Allah Masha Allah how beautiful voice is may Allah bless you and grant you great akhera
Rabbanaa walaa
Tahmmil ghalayna isran kamaa hamaltahu ghalaa lladhiyna min qablina
Masha Allah sheikh Authuman such a powerful ruqiah shariah May Allah protect all of us from any types of evil ameen yarab
Shekh Allah akuzidishie Elmu na akulinde na Shari zote 🙏
mashallah mashaallah
Shukran mashaallah Allah barik
Ameen thuma Ameen nakuombea kwa kila la kher na Mwenyezi Mungu akuzidishie umri uje uwape tiba hata vilebwe keza vyetu In Sha Allah. Sheik nasikiliza sana hizi ruqya mana nasumbuka kwa kipindi kirefu naamini ipo siku atateremsha rehema yake 🤲🤲🤲🤲🤲
Shukran Allah akupe umri na afya njema in sha Allah
Asante Shekhe mwenyezi mungu akubarik
Aameen sheikh wetu huyo tunampenda kwa ajili ya Allah
👏👏👏👏👏👏
Inshaa allahaa allah fiyk
Mashaalah sheik osman Allah akupe Maisha marefu inshaalah kwa kutupa ilmi ya dini ❤❤🎉
In shaa Allah dawa shiffaa Amiin
Shukuran jaziran shehe wetu Allah akuzidishie kira rahery lnshaallah
Mmoja Yuko.mombasa.mwengine.niliambiwa.ameenda.tanzania.kwa.mtibabu.mimi.nikombali..cijui.itakuaje
Amin mungu akujalie uwe na maisha malefu
Walahi these man is a gift from Allah ,thank you Allah and I pray Insha’Allah you bless and protect him and his family.and to keep doing Allah’s work
Chukuran jazaka lahou kher mimi jo ku aza kukufwata kisomo ya Rukiya, nime choka na ungojwa mwaka tano.sijatocha kitumayini kwa Allah, niya naku ombeya Allah akubari na akukinge na kila kibaya chote nda ya mayicha yako nakizazi chako ,takita na ichallah tuta onana uni ombeye jinalangu Habiba
ALLAH akubariki sana
Shukran sana shekhe Allah akulipe kilalakher
Allah akulipe Apa duniani na ahela Nami nataka Nami kutibiwa
Allahamdulillah Allah akupe umri mrefu inshaallah
Mashaalah shukuran shekhe ubarikiwe sana❤🎉
Bro I love ur Dua sana
Shukran shukran San shekh mungu akulipe duniani na akhera Amiiin
Allah, tufanyie shifaa kwa sote wenye matatizo,,🤲🤲🤲🤲Aamyn...
Napenda kuskia ukisoma Qoran. Mashallah!!! Unasoma kwa utulivu wa hali ya juu. Mashallah!!!
Shukrani sana Allah Atakulipa insha Allah 🤲🤲
Mashallah mwenyezi mungu akupe elimu fi dunia na khera
Mashaa Allah shekhe wetu Allah akuongoze uzidi kutupa visomo Inshaa Allah
Tunashukur sana tena sana, sheikh Allah akulipe khair kwa kutusaidia MaashaAllah, Allah swt akulinde wewe Na famillia yako
Saana shukran kwa Dua mustajab
Saana shukran kwa Dua mustajab Ameena
Assalmaleyhi warahmatullahi
Maashallah Allha akuifadhi insha'allah
Pamoja na watoto wako wote na mamako mzazi my mam i.a wabilahi taufig inshaalah sheik osman Allah akupe zaidi you want to do for dinner tonight to get a new car for you and your family are doing well how are doing well too late for you and you are doing better than my dia sory ❤❤
Shukran jazaka ALLAH khery Mola akulipe mema dunian na akhera na pepo ya fridous kesho akhera Inshallah iwe mashukio yako
Allah akube umri insha Allah Sheikh Othman Micheal🤲🤲🤲🇰🇪
Shukran Allah akupe afya njema naumri mlefu Amiin
mashaa allah mashaa allah kila la heri shehe. Hakika kisoma kinaleta athari pamoja na kiwa nilisoma alfajir ila hiki kinaniathiri sana. Shukran shehe.
Allah akuzidishie shekhe na akulipe
Mungu akuongoze shekhe wetu alhamdulilah
Asallaamu.allaaykumu.ustaz.kwema.ustazi.mie.nashida.je.nakupataje
Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala dua hi,iweyenye kunikiga mm pamoja na wanagu nawazaziwagu 🤲🤲🤲🤲
Jazakallahlikhery shekhe allah akupe elimu zaidi na akukinge na kila aina ya shari na fitini inshaallah. Ameen
Kbsa amiin Amiin lnshaallah nawe Pia Allah akufanyie wapesi
Je kma mm Nikita kusomewa nitakpa vp shehk vng swa nmempta hyo no shkrn jazakah Allah akuzidishie
waalaikum salam warahmatullah wabarakatu shukran sana shekh wwtu mpendwa allah akuhifadhi fil dunia wal ahera ...
MashaAllha shekh napenda unavyo soma maana naumwa kichwa,kifua,mgongo miguu mikono vyotevinaniwaka moto. Ila unavyo soma bac vikokatika har ya kunipwina mfano wajipu
Allah akupe tarajio la moyo Wako inshaallah 🙏
Alaah akupe Maisha marefu inshaalah sheik osman na pia ukifika siku yako ulisema una persona royal blue ok thanks for letting me get a chance please Niko but badae inshaalah
بارك الله فيك يا أخي الكريم في الدارين.
Fatma Iddy mbwana kwajina shukuran shekhee allahaaa atakulipa
Shukran sn our shekh
Sherkhe Allah akupe rherie nyingi
Allah akupe umrimrefu.
May Allah reward you for trying to help others Insha Allah.
Mashallaah sheikh
Shukran Sheikh... Allah kujaalie Mema yalotukuka .. Na akupe umri mrefu Ueze kutuelimisha na mengi
Insha allah sheike deus ti facilitar a sua vida ate no janat
Shukurani sheh mungu akuzidishi
Amiin Amiin🤲🤲🤲
Amen ya rab shukran
Shukrani sana M ungu akubaliki akulinde kwakira jambo
ShukrN sana mungu akuongoze
Asaalam alaykum waramatulah wabarakatul.. Shukran jazakaallah kheir kwa somo zuri Allah akulipe kila la kheir...❤❤😍
اللهم امين يارب العالمين
Nazitaka izo sawa ustadh
Jazakallah kheri mungu akupe umri inshaallah
Mashallh God bless you
Mashaa Allah
Asante babaaaaaaa mungu akubariki nitakutafuta
Insha allah
Mashallh mashallh
Inshaallah Allah hatakulipa ustadhi
Mashaallah mungu akutilie wepesi k
Mashukura🙏
😅ameen allah akuongoze akupe wepes wamaisha hapa na kesho ahkera
Maashaallah
Jazzakallah kheri
Shukran Shekh, Allah akujalie mwisho mwema.
Asante allah akupe umri mrefu amiin
Ustazi mmi naomba unifanyiee dua kilaninalo fanya sifanikiwi kabisa
❤❤❤❤
Namba hazionekani vizuri
Aslam alayikum warhamatullah wabarakatu shekhe mm ninashida
Izo dawa ziko mpaka kenya ama 😥😥
Shukrani Kwa kisomo mwezimungu azidi kukuongoza
Machallah
Asalam aleykum ustadh mm nakufatilia nkiwa sausia katika maelezo yko nmeadhirika na naotandote za majoka mikusanyiko ya watu miguu kywaka moto nahisi baridiKali mgongoni sinaraha na usingizi naomba Dua yko
MashaAllah sheikh mwenyezi mungu akuzidishie
Marshallah marshallah shekh Othman Michael
Shukranii
Wa alykuma msalam warhmatullahi wabarakatuh
Nahomba tu Jina ya hiyo mafuta haki nateseka tu sana nikiwa hapa Kenya. Nimeslimiswa kuwa Muslim now is 1year nikiwa Muslim
Mashaallah
Q
!``````]°°
MWENYEZI MUNGU akupe umri mrefu na afya nema
Maxhaallah
Ya.Allah.niponye.kwa.uwezo.wako
Asalaamu alayku shukuran shekhee allahaaa atakuongoza
Shurani
Mm hizo zote ninazo
Kaz zangu zinamitihani sn
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
🤲🤲
Asalam Alykum shekhe nakuuliza unafanya kisomo kwa pesa ama manake hapa nime uliza wengi kwanza wanakuuliza pesa haki ita toka lakini si kwanza kuuliza pesa kwanza wana uliza lakitano kama huna hezo pesa anasema siwezi kuku saidiya sielewi watu wana weka pesa mbele si elewi watu aina hiyo pole sana sijuwi wewe
Mm niliota naludiana Na mpenzi wangu wazamani Na bado sijaolewa
Nijibu