Yaallah nakuomba kupitia dua hii yarabi ninakuomba nikaondokewe NA kila shali kila husda kila mikos kila nuksi NA mimi na watotowangu tuepushe NA wenye shali nasisi na wenye husda nasisi nawenye vijicho nasisi na uniponye maumivu ninayo yaskia mwilini mwangu kiunoni miguuni kwauwezo wako inshaallah yatakwisha amiin
Assallam allaikum samahani shekh umesema kama kuna vitu vimefukiwa chini vitolewe,sasa kama mimi sijui kama kuna vitu vimefukiwa chini ama nafahamu lakini sikuhusika na hilo jambo la kuweka vitu hivyo chini au nafahamu kwa kuambiwa na mtu mwingine kwa hiyo hapo sasa nafanyaje na uwezo wa kutoa hivyo vitu sina,shekh nahitaji ushauri.
Assalam alaikum shehe wangu kwa majina naitwa Ali Said Msellem nna suali nataka kukuuliza kuhusu maswala ya ndoa. Mimi niko nje ya nchi ila nimeo lakini ugumu wa maisha niliopitia najua mimi na mkewangu kutoka hali ilikuwa ni mbaya ikabid tukae nakuwaza nini tufanye bahati nzuri zikatokea nafasi za kwenda nje ya nchi lakini hii kazi inachangamoto kidogo mashart yake hupati kurud had ifike miaka 2 ndio inaruhusiwa kuja kuiona familia yako kutokana na hii hali ya maisha nikaongea na mwenzangu bila yakumshawishi tukakubaliwna kwa moyo mkunjufu nakuniruhusu niende kutafuta riski na atanivumilia kwa huo muda lakini sheria ya dini haitaki ukae mbali na mke kwa muda huo jee kwavile tumekubaliana hii inafaa sitokuwa na jukumu mimi mbele ya haki naomba unisaide shehe
Assallam allaayku. Shekhe mm khairun shaban mohamend nina changamoto nyingi dawa ya kumtowa mahaba ni duwa peke au kuna na nyingine na kama zip tunazipataje inshaalla
Walai nmechelewa lakini nliifatilia baada ya masaa matatu sijui kama nko sawa,,,,alhamndulilahi rabil alamiin allaha akujaalie hasanat duniani na ahera

Mashaallah tabarakanllah shukuran jaziran shekhe wetu Allah akuzidishie kira rahery lnshaallah
Maashallah mashallah shekhe allah akupe umri mlefu wenye afya njema inshaallah
Mashallah Sheikh Mwenyezi Mungu atakupa hitaji la moyo wako inshallah
Shukran jazaka ALLAH khery Mola akulipe mema dunian na akhera na pepo ya fridous kesho akhera Inshallah
Ishallah sheikh janati fridhausi
Baraka njema kwako
Allah ukupe Nuru zaidi
Ameen Allha akujalie
Shehe nashukuru kwa dua zako allhamdulilahi naona heri nasumbilwa sana mwenyezi mungu atakulipa heri inshallah
Mashallah sheikh othman Allah akubarikiye akupe afya na umri mrefu na akuhifadhi
Kwa dua alihamdulillah SHUKURU LILLAH
Amiin
Manshallah
Mashaala
Shukrani🙏
Shukran sn sheikh mungu akuzishie insha'Allah
Asalam aleikum sheikh Allah akuzidishie kila LA kheiry
Asante shekh Kw tiba zako Allah akujaze kila la kheri
MaashaAllah nmeskliza imenifaa saan Alhamdulilah Allah akuzdishie uwe mwepes kwa kla unalo hitaji Amin
Asante Shekhe
Shukran
Asante sana mungu akuzidishie kila la kher
🤲🤲🤲🤲, Aamyn......
Barak llah fikhy
mashaa allah mashaa allah hadhiri kwa kupata elimu adhwimu
Sakam aleikum shekhe jazakallah
Naomba nambayk
Asante sana shekh wetu kwa Dua zako
❤❤❤❤❤❤
Amin ya Rabb Allah akukinge nakila bala
Jazaka LLA kerr sheikh mola Akupe afiya nzuri na jannah inshaAllah .
Shukrani sheikh othman Micheal ❤️❤️
MASHAllAH
Mashallah mungu akulipe mema inshallah
MashaaAllah
Shukran sana sheikh mungu akuzidishie inshaa Allah
Shukran jazillah
Mashallah sheikh allah bless you for everything
MashaAllah tabarakallah shukrani
Jazakallahkheyr
Shukurn nasikiliza kutoka U. A. E
Jazaaqa Allah kher Sheikh Othman
Shukraan shekh wangu Allah akulipe pepo 🤲
🤲🤲🤲🇧🇮🇧🇮
Ameen
AMEEN YA RABII
ASALAM ALEIKUM ya sheh
MUNGU akulipe DUNIA Na AKHERA
Aamiin
Assallam allaikum samahani shekh umesema kama kuna vitu vimefukiwa chini vitolewe,sasa kama mimi sijui kama kuna vitu vimefukiwa chini ama nafahamu lakini sikuhusika na hilo jambo la kuweka vitu hivyo chini au nafahamu kwa kuambiwa na mtu mwingine kwa hiyo hapo sasa nafanyaje na uwezo wa kutoa hivyo vitu sina,shekh nahitaji ushauri.
Mashaallah
Shukran God bless you INSHALLAH.
Shukran sheikh Allah akupe kila la kheri..
Shukurani sheikh
Masha Allah sheikh Authuman May Almighty Allah reward your good deeds Ameen yarab
Mimi niko burundi
Alhamdullillah
Mashaaallah tabarakallah jazakallahu kheri shekh othman
Assalam alaikum shehe wangu kwa majina naitwa Ali Said Msellem nna suali nataka kukuuliza kuhusu maswala ya ndoa. Mimi niko nje ya nchi ila nimeo lakini ugumu wa maisha niliopitia najua mimi na mkewangu kutoka hali ilikuwa ni mbaya ikabid tukae nakuwaza nini tufanye bahati nzuri zikatokea nafasi za kwenda nje ya nchi lakini hii kazi inachangamoto kidogo mashart yake hupati kurud had ifike miaka 2 ndio inaruhusiwa kuja kuiona familia yako kutokana na hii hali ya maisha nikaongea na mwenzangu bila yakumshawishi tukakubaliwna kwa moyo mkunjufu nakuniruhusu niende kutafuta riski na atanivumilia kwa huo muda lakini sheria ya dini haitaki ukae mbali na mke kwa muda huo jee kwavile tumekubaliana hii inafaa sitokuwa na jukumu mimi mbele ya haki naomba unisaide shehe
Kwa kua mmeridhiana ni halali kabisa almuhim mawasiliano yawepo ndug yangu Allah ni mjuzi zaid
Assallam allaayku. Shekhe mm khairun shaban mohamend nina changamoto nyingi dawa ya kumtowa mahaba ni duwa peke au kuna na nyingine na kama zip tunazipataje inshaalla
Tuma namba ya sim
Nitafanya nini nikufikie shekee
Shekh nikisikiliza2 uwa kiuno kinaniuma sana sijuwi kwanini